Рет қаралды 313,533
Huu ni wimbo uliotungwa na Mwl Bernard Mukasa na kurekodiwa na kwaya ya Mt Kizito Makuburi mwaka 2005 katika album maalumu ya kusanyiko la nyimbo za Bernard Mukasa iitwayo Ngoja nicheze.
Wimbo huu unaelezea shukrani, furaha na neema tunazojaaliwa katika maisha yetu.
Karibu uungane nasi kumshukuru Mungu kwa kuimba na kucheza kwa shukrani. Hapa ukiimbwa live na KMK kwenye Tamasha la KMK GALA 2021.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital