CONGRATULATIONS VINNY MUKASA KWA UTUNZI WA WIMBO WAKUMUAGA MAREHEMU AWEZE KUPUMZIKA KWA AMANI. SHUKRAN MY SON, GOD GIVE YOU MORE STRENGTH TO SERVE HIM UNTILL YOUR OLD AGE AMINA. BE BLESSED TOGETHER WITH YOUR FAMILY. FROM QATAR BUT KENYAN.
@magreth14926 ай бұрын
Pumzika kwa amani Derick rafiki yetu ulitufanya tulipokuja kenya tujihisi tuko Tanzania.Pumzika kwa amani Derick bye😢😢
@charleschuwa40206 ай бұрын
Wimbo bora wakati wa maombolezi, Hongera sana Kaka Vinny
@anastaciamuema6 ай бұрын
Amina🙏🙏 RIP our brother and friend Derick Wafula🙏😭
@julianakasana12676 ай бұрын
Pumzika kwa Amani Rafiki yetu Deric,hakika Mungu amekupenda zaidi.Nasi tutakukumbuka daima 😢😢
@josephsamweli24866 ай бұрын
Poleni sana Kwa kuondokewa na rafiki yenu wafula Apumzike Kwa Amani 😢😢😢
@uncertgosbertuncertgosbert83626 ай бұрын
Duu wimbo unagusa hisia kabisa poleni wafiwa wote
@mitaboniparish42605 ай бұрын
Nota za huu wimbo tafadhalini
@rosegrassian98696 ай бұрын
Pumzika kwa Amani rafiki yetu Derrick tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi .
@MissK2546 ай бұрын
Jamani Derrick.. 😢May he rest in peace.. Poleni sana wanakwaya wa KMK kwa kuondokewa na rafiki mkubwa!
@PRISCAVEDASTUS5 ай бұрын
Rest in peace brother Pia nawapenda sana
@janemwangi6056 ай бұрын
POLENI SANA WANAKWAYA KWA KUODOKEWA NA MOJA WENU. MUNGU AMPE PUMZIKO LA MILELE AMINA.
@MaxmillanItumo6 ай бұрын
May his soul rest in eternal peace🙏🕯️na hongera sana vinny kwa wimbo mzuri wa maombolezi ya rafiki wenu
@staminacastory53226 ай бұрын
Poleni sana Mwenyezi Mungu ampokee kwenye uzima wa milele
@fridoliusrushunju90936 ай бұрын
Pumzika Kwa Amani ndg yetu deric🙏
@perpetuamutindi67496 ай бұрын
Such a good tribute to our brother and friend Derick. Until that resurrection morning Wafula
@maxmiregwa67316 ай бұрын
Mungu awajalie zaidi na zaidi..Amina
@AvitusByamunguRichard6 ай бұрын
Raha ya milele akuangazie ee Mangu
@Vinnie-organist6 ай бұрын
Wimbo mzuri kaka Vincent
@ocestalmgao36786 ай бұрын
Poleni sana kwa msiba huu mkubwa kwenu
@eugenekeragori6 ай бұрын
Pumzika kwa amani ndugu yetu Derick wafula 😭🙏🙏🙏
@Arati36 ай бұрын
Kazi nzuri Vinny,,, na apumzike Kwa amani 🙏🏾🕊️🕊️
@Prisca_Regine6 ай бұрын
Eternal Rest Grant to him O Lord ,and let the perpetual Light Shine upon Him. May he rest in peace 🕊️ 🙏 Amen
@macleanngimbuch83146 ай бұрын
Poleni sana Wana KMK
@daudimwalongo58036 ай бұрын
Poleni wote
@margaretngunura27706 ай бұрын
It's so sad 😢😢😢 Rest in eternal peace Derick wafula🙏🙏
@joeljoseph23606 ай бұрын
#Apumzike kwa amani
@josephsamweli24866 ай бұрын
😢😢😢😢 nani tena Apumzike jamani
@marywandia37196 ай бұрын
May your soul Derick rest in eternal peace ,,may the heavens be your resting place friend😢😢
@amedeusmworia7656 ай бұрын
Pumzika kwa Amani kaka
@agatonngailo66326 ай бұрын
Pumzika kwa Amani derick
@juslynekigufa74826 ай бұрын
Jmn mm sijaona picha ya aliyepumzika Sasa nashidwa kujua aliyetutangilia n yupi Kati yenu