MTAA WAVAMIWA NA WAHUNI "WAKILIPIZA KISASI" CHA RAIS WAO

  Рет қаралды 103,006

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#Habari #KtvTzOnline
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
cc: Sadia Rashid
cc: Masoud Maganga
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Пікірлер: 242
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 5 жыл бұрын
Kama umeiona ofisi ya sheha wetu nipe like zang
@خسنموس
@خسنموس 5 жыл бұрын
Bro nassir pole sana kwa unyama uliofanyiwa mungu yupo pamoja nawe inshaAllah utarecover mungu ailinde famili yako Amiin.
@aliy3303
@aliy3303 5 жыл бұрын
Poleni Broo. Hivo kauli za rais wa wahuni ni urongo!! ? Na waliopanga kulipiza kisasi km inavyodaiwa kutoka mitaa mbali mbali ni urongo?? Mwisho nashauri mukiamua maskani za waporaji kufa inawezekana plz muamue
@hammerQ954
@hammerQ954 5 жыл бұрын
Usela mavi ulishapitwa na wakati tafuteni kazi mfanye
@ahmedwar.f.f5517
@ahmedwar.f.f5517 5 жыл бұрын
Hahaha usela wa miaka 100 nyuma uko halafu uyo rais yenyewe bwege tu
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Hammer Q uwiii
@hammerQ954
@hammerQ954 5 жыл бұрын
@@ahmedwar.f.f5517 nimecheka sana kumuona huyo raisi 😁😁
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
😀😀😀 Bora waimbe mduwara hahahaha
@ayshakayeko2043
@ayshakayeko2043 4 жыл бұрын
Wavivu sn haoviumbe wambie kufilana tu
@salumabdullah6634
@salumabdullah6634 5 жыл бұрын
Kwakeli inasikitisha kuona jeshi la polisi linachezewa na watu wasio na adabu tu. na wala sio majambazi inashangaza kwe.
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 8 ай бұрын
Wazazi tuombee sana kizazi chetu kinaangamia peke yetu hatuwezi bila msaada wa Mungu 🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭
@ibrahimsuleimani6428
@ibrahimsuleimani6428 5 жыл бұрын
Hiii kauli ya Zanzibar njema atakaye na aje inatupoonza maana wanakuja watu washashindikana huko sehemu wanakotoka wanakuja huku
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 5 жыл бұрын
Kutoka pemba mana wote hao wapemba
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 5 жыл бұрын
haji abdalla Wapemba ni Wazanzibari , Ibrahim anakusudia Wabara .
@awadhhamza9296
@awadhhamza9296 5 жыл бұрын
@@SA-xj8hc mnawaonea sio kila kitu wa bara hao wapemba
@nassormussa4236
@nassormussa4236 5 жыл бұрын
kwani pemba cio Zanzibar au ni kwa mamayo kule CIO Zanzibar
@daudipaulomatanga2947
@daudipaulomatanga2947 4 жыл бұрын
Nyie vipi Hakuna mbara mwenye tabia hiyo 🤔
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 5 жыл бұрын
Bangi na madawa ya kulevya ni chanzo cha majanga. Tukiweza kuzuiya kuingia Nchini tunawez kuwanusuru vijana ambao kila kukicha wanaangamia
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 жыл бұрын
Kichapo kitakatifu😂😂😂🙆😁
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 5 жыл бұрын
Acheni ujinga vijana mambo ya zamani kuiba simu ayo
@mussasaid1320
@mussasaid1320 5 жыл бұрын
We
@mohdissa8973
@mohdissa8973 5 жыл бұрын
Mwana kuyataka mwana kuyapataa sio wahuni tu ataa wanaowabaka watoto na kuwafanyia maovu kichapo cha kuelekea kaburini kinawahusuu kwa kweli
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Mohd Issa mbavu zangu
@jacklinamani7519
@jacklinamani7519 5 жыл бұрын
Duu SS hiyo hiyo ofice utazan ofice ya hao vijana wanao wapa Jamba Jamba
@lailaabdul5375
@lailaabdul5375 5 жыл бұрын
😁😁😁😁😁haina mvuto
@kpkipuka325
@kpkipuka325 5 жыл бұрын
Ofc haina tofauti na ofc ya Rais wa wahuni😂😂
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 5 жыл бұрын
Washenzi tu wapigeni na wao mbwa hao wanajifundisha kuvuta bangi na njaa
@masoudhamad1047
@masoudhamad1047 5 жыл бұрын
Usseme ivo
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 5 ай бұрын
Aseme vipi?​@@masoudhamad1047
@MasoudKhamisAlBimani
@MasoudKhamisAlBimani 5 жыл бұрын
Huyu Sheha si Mzanzibari
@jumayusuf1694
@jumayusuf1694 5 жыл бұрын
Ila wezi n wazanzbar tujipongeze kwa ilo
@bindawood978
@bindawood978 5 жыл бұрын
Mesut Al - Bimani,ni asilimia kubwa na wengi wao hawana hata haki ya kupiga kura cha ajabu wanawazuwia haki zao wenyeji.
@bichaujuma8065
@bichaujuma8065 5 жыл бұрын
Kinachoshangaza wahuni 60 wamevamia mtaa tunalo jeshi la police na silaha pia linafanya kz gani mbona hatujasikia angalau wahuni 10 wameshikwa
@khadijaa815
@khadijaa815 5 жыл бұрын
Znz njema
@dazuujuma1211
@dazuujuma1211 5 жыл бұрын
Atakae na aje 😂😂😂😂😂
@husseingp5806
@husseingp5806 5 жыл бұрын
Cio njema
@athumanimtajih
@athumanimtajih 5 жыл бұрын
Zanzibar ishaharibika😔😔😔
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 10 ай бұрын
Tena vibsya
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 10 ай бұрын
Vibaya sana
@jumamwadhini6066
@jumamwadhini6066 5 жыл бұрын
huko kwani hakuna serikali hata hao watu wajipange hadi kufikia hivo
@alizahranmohd4095
@alizahranmohd4095 5 жыл бұрын
baba saiv zanzbar hakuna amani
@alizahranmohd4095
@alizahranmohd4095 5 жыл бұрын
hakuna police zanzbr kuna walinda vituo na wapigaj tu
@almalumar6778
@almalumar6778 5 жыл бұрын
Juma Mwadhini serikali ipo tatizo kujuana kwingi utasikia hata kijana akifanya majanga kama hayo anachukuliwa poa tu hata akikamatwa leo ndugu zake watakwambia atatoka leo unakamatwa na dawa za kulevya kesho unatoka unahis vitendo kama hv vitaisha zanzibar ni sehemu hata mtoto wa kike akiporwa cmu utackia kapiga mapanga ukiriport unaambiwa huyo ni fulani akifanya hvyo anakimbia its very shame🤗🤗🤗
@abhambomihambo6754
@abhambomihambo6754 Жыл бұрын
Hebu watoeni roho hao vijana wawili au watatu uone km wataendeleza uhuni wao tena.... Nyinyi mnawalea tuu wakati serikali mpo,asilimia 99 ya viumbe tunauana wenyewe kwa wenyewe iweje leo mshindwe kuua wawili kwa kuleta amani ya wengi,hebu nipeni mm hicho cheo muone km atakabwa mtu au kupigwa mtu mapanga kiholela... Tatizo mnawalea hao wahalifu na bado endeleeni kuwalea"more to come"
@salmaelhinai833
@salmaelhinai833 5 жыл бұрын
Duh kwakweli inasikitisha vijana wadogo sana mungu awaongowe yarabi
@rashidbusanya7166
@rashidbusanya7166 5 жыл бұрын
Askari wahuko niwazembe wajichanganye hao wahun waje bara waone moto unavo waka Tukiwa na jemedari wetu jpm na makanda wake kwa siro hawachomoki hao wehu
@awadhhamza9296
@awadhhamza9296 5 жыл бұрын
@@sahimm4767 tatzo huko kwenu mambo mengne ya hovy san
@vitukobongo9841
@vitukobongo9841 5 жыл бұрын
Uko bara kila ck watu wanakufa na kupigwa, na askar wenu..
@winifridashoo410
@winifridashoo410 5 жыл бұрын
Uku Zanzibar sheria si kubwa katika mambo kama ya sheri
@khamissiali2231
@khamissiali2231 4 жыл бұрын
Unanixhekesha Sana unapo mtaja siro ,,,hebu mfate na umuliza kwa nini aliondoka pemba pumbavu
@sultannassor9756
@sultannassor9756 4 жыл бұрын
Ktv idi Mubarak
@majidmousa4557
@majidmousa4557 5 жыл бұрын
Pole sana raisi wa wahuni
@haido.99
@haido.99 4 жыл бұрын
😂😂mpuuuz sanaaa
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 5 жыл бұрын
Sasa mbona huyo mudi sheni mwenyewe mzuri sasa
@asmaAsma-oi1pm
@asmaAsma-oi1pm 5 жыл бұрын
Hongera shekha zidisha juhud kinuni kunatisha kwakweli,,
@sirfahamu3946
@sirfahamu3946 5 жыл бұрын
mipango ya makafiri ya kuiharibu sehem za waislam imetimia ..
@swedinjaidi4658
@swedinjaidi4658 4 жыл бұрын
Acha usenge unaushaidi kinyeo wewe
@abdunewton6376
@abdunewton6376 4 жыл бұрын
Ww shoga
@swedinjaidi4658
@swedinjaidi4658 4 жыл бұрын
Baba ake mbona yupo kwenye chama letu🤣🤣🤣
@sashababy1321
@sashababy1321 5 жыл бұрын
Jamaa muhuni sana alafu wanamlea. Na kumohoji juu
@ElimenardMgonja
@ElimenardMgonja 7 ай бұрын
Sawa😊
@Kny-tn1mg
@Kny-tn1mg 4 жыл бұрын
Kumetokea tukio kama hili Mombasa,Kenya.Wahuni wanaojiita Wakali kwanza walifanya madhara.Poleni
@Aakhar-z3c
@Aakhar-z3c 5 жыл бұрын
Wapiga kura kumi kumi ao ingekuwa wahuni wangeshakamatwa kitambo....hata ivyo uyo rais ndo wakuanza nae
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Msiyuchafulie JAMAICA YETU
@betuelmchome3224
@betuelmchome3224 4 жыл бұрын
Nyie mna making mnayalea Sasa Kama mnawapa sapota unafikiri uhalifu utaisha kwel
@Quilant749
@Quilant749 5 жыл бұрын
Ofisi kama banda la kufuga mende jamani na zanzimbari kumeparara kwa kweli.
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 5 жыл бұрын
sumimasen mochiron zanzimbar 😂😂😂😂
@rashidbusanya7166
@rashidbusanya7166 5 жыл бұрын
Hiyo ofece utadhan makao makuu ya wehu au makazi ya panya buku
@Quilant749
@Quilant749 5 жыл бұрын
😹😹😹😹
@haimahaima9135
@haimahaima9135 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@user-zj3ke9gc2u
@user-zj3ke9gc2u 4 жыл бұрын
😂😂🙄😂🙄😂
@rithaurassa
@rithaurassa 5 ай бұрын
Ndio ccm hiyo Mungu tusaidie.
@zenji1onlinechannel900
@zenji1onlinechannel900 5 жыл бұрын
wapigeni vizur hawana mana
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 5 жыл бұрын
Huyo raisi wa wahuni ni mtoto mzuri tu
@yunussothman7422
@yunussothman7422 5 жыл бұрын
Lakin mtu akiletwa kituoni babake akiwa anamtoa matukio ndo kama haya tunayo yaona
@zugaonlinetv3902
@zugaonlinetv3902 5 жыл бұрын
Ingekuwa uku dar es salaam hao magufuli angelala nao mbeleeeeee
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 5 жыл бұрын
Huyo kweli mudy sheni mwizi weye ungeuliwa tu
@haido.99
@haido.99 4 жыл бұрын
Pole sana ndugu yng but muwe mnatulia jamaniii
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 4 жыл бұрын
Mmmmmh hio office shekh mwenyewe kapendeza ila ofis chafu🙄🙄🙄
@hajivuai3454
@hajivuai3454 5 жыл бұрын
Wapeni ajira vijana, msiwe mnawapigisha kura tu
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Wanabahati ni Zenji bongo yamepitwa na wakati Magufuli hataki mchezo huo anatufundisha tabia nzuri magu oyeee
@hajivuai3454
@hajivuai3454 5 жыл бұрын
Hayo ni matatizo ya vijana kua hawana ajira, haina tofauti na nyumba ambao haina choo
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Duuh Poleni sana Jamani.
@yussufdjroo1446
@yussufdjroo1446 5 жыл бұрын
Office y SHEKHA KM NYUMB Y PANYA
@dazuujuma1211
@dazuujuma1211 5 жыл бұрын
😂😂😂😂 NIMELIONA ILO
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 5 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅🤔
@daudipaulomatanga2947
@daudipaulomatanga2947 4 жыл бұрын
😂😅
@masuudabdullah3352
@masuudabdullah3352 4 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣 mapinduzi daima
@almandroo8258
@almandroo8258 5 жыл бұрын
Waliojeruhiwa hawakutibiwa lkn hao wahuni wanatibiwa
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 5 жыл бұрын
Raisi wa wahuni nae kaoneshwa za kihuni
@joharijohn7005
@joharijohn7005 2 жыл бұрын
Vijana wa zanzibar ni wahovyo sana hawana kaz hawajitumi wapo kuiba kama mazombi
@salehrasta9165
@salehrasta9165 4 жыл бұрын
Ata Mimi mtu wangu akizinguliwa na mtu yoyote namimi narivenji kibingwa
@jumayusuf1694
@jumayusuf1694 5 жыл бұрын
Huyu labda rais wa majuha
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Жыл бұрын
Allah kaelekeza kuna sifa za mtaa wakuishi
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Kichapo takatifu😂😂
@masoudhamad1047
@masoudhamad1047 5 жыл бұрын
Unafurahia sio dah
@fatmajumaa1069
@fatmajumaa1069 5 жыл бұрын
Mifupa mitupu vijana tafuteni kazi mufanye msichafue zanzibari yenu
@sikudhan3378
@sikudhan3378 4 жыл бұрын
Hhhhhhhhh mifupa mitupu
@twitedmind5406
@twitedmind5406 5 жыл бұрын
Jeshi la polisi limelegea kama ni kenya hao vijana wangepigwa risasi kila mmoja. Sema mnaleta ujamaa wahalifu mnawajua vizr tu
@hermannanyunga7113
@hermannanyunga7113 4 жыл бұрын
MTU anapigwa tu risasi?
@stonetown578
@stonetown578 5 жыл бұрын
Msiba mkubwa badala ya kujikusanya kutengeneza hiyo barabara mnayolilia kila siku mnafanya mambo ya ujinga, na bwana Sheha ukenda huko kwenye vikao wambie wakujengee ofisi, Kuna mambo nchi hii yanatapisha, Allah atufanyie wepesi na awahidi watoto wetu.
@Da-cr6ow
@Da-cr6ow 4 жыл бұрын
Sasa uyo raisi hakua na bdgd wake wanamuacha raisi atembee bila ulinzi sasa kosa la raia😂😂😂😂😁😁😁😁
@AbdallahHamisi-k9o
@AbdallahHamisi-k9o 10 ай бұрын
Kweli jeshila polisi linachezewa na watoto wadogoo haoo kidogodogo ndo wana kuwa wahasi piga risasi wotee ili tuwe naa aman vunja masikan wote
@fatmamohamed1099
@fatmamohamed1099 5 жыл бұрын
wahuni c watu wazur
@hafidhchoi3186
@hafidhchoi3186 5 жыл бұрын
Wahuni washamba tu wamaisha wabakaji hawapigwi weny makosa makubwa
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Жыл бұрын
Mimi nashanga vijana wanafanya uhalifu kisha bado wanaonekana wanatikisa mikono mtaani 😢
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 5 жыл бұрын
Naomba serikal iwajengee masheha ofisi mzuri na makabati ya kuhifafhia makaratasi yao na sehem za kukaa wageni wanao fika
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 5 жыл бұрын
Ewe mola wetu tustir waja wako na kila aina yamitihani😓😓😓😓😓Naona kila siku zikenda na mabalaa yanazid jaman tumuogopen Allah ewe mola wetu tuongoze sisi na vixaz vyetu😓😓😓😓😓👐
@salmajadi3695
@salmajadi3695 5 жыл бұрын
Zanzibar hiyo daah mtihani
@brownjumbe9
@brownjumbe9 5 жыл бұрын
Imani zimeisha wanadamu .tumrudia Allah matatizi yote kwishaa
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 5 жыл бұрын
Tatizo la viongozi wa nchi mutawauwa vijano wote kwa uzembe wenu
@majidmousa4557
@majidmousa4557 5 жыл бұрын
Zanzibar mungu atusaidie
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 8 ай бұрын
Mtukutu ametukutuliwa muhuni nguli 😂😂😂😂😂😂😂😂
@kassim1262
@kassim1262 2 ай бұрын
Kwaio huyo ndio rais wawahuni km kuna matukio makubwa ambayo kashayafanya bc haina haja kutok nzima hospitali
@emanuelmhoja2411
@emanuelmhoja2411 5 жыл бұрын
Hiyo ni ofisi au masikani kama mnavyoitaga huko visiwani?
@tonysolomon2841
@tonysolomon2841 5 жыл бұрын
Sheha mbona sio mzanzibar?
@masuudabdullah3352
@masuudabdullah3352 4 жыл бұрын
Na mim naamshangaaa , mda wote hii lafudhi ya kibara vip
@danielx8
@danielx8 4 жыл бұрын
Wezi lakini wazanzibar 🤣
@alimussa2655
@alimussa2655 5 жыл бұрын
Ofisi ya sheha kama banda la njiwa
@ashahamisi1372
@ashahamisi1372 5 жыл бұрын
Kosa la nan sheha au serikali , nenda kajenge bc
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Hii ndio tija ya kuenezwa ulevi mabaa bangi na pombe kila aina ktk nchi yetu na ndio lengo la maadui wa visiwa hivi
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 10 ай бұрын
Salama,hio ni mojawapo ya chanzo cha uhalifu
@lelaallububa5739
@lelaallububa5739 5 жыл бұрын
Wasimuonee hurum hy rais wa vibak mmalizen iwe fundisho kwa wezake
@MWIGAADAM-r3e
@MWIGAADAM-r3e Жыл бұрын
Vijana Hawa wangekuwa ni wanasiasa wangekuwa washatiwa mikononi zaman ila mpanda muhongo mchungu atavuna muhogo mchungu
@daudmwita2719
@daudmwita2719 5 жыл бұрын
Hahahahaha raisi au rahisi
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Жыл бұрын
Sasa wamekutoa ndani fresh Ndio vipi 😢
@munzirighalidi6305
@munzirighalidi6305 4 жыл бұрын
Ofisi ya sheha mtihani bora mm ambae sie Sheha
@khamissiali2231
@khamissiali2231 4 жыл бұрын
Me nimpongeze tu Raisi wa wahuni kwa kazi nzuri 💪💪💪
@danielx8
@danielx8 5 жыл бұрын
Rais wa wahuni.. what a joke
@bahatimohd1450
@bahatimohd1450 5 жыл бұрын
jamani ulezi kazi
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
Jamani hali kama hii itaisha lini? Hao wahuni dawa yao inachemka 🤨. Poleni walioumizwa. Mola awape shifaa. Ameen
@saidsahd1971
@saidsahd1971 5 жыл бұрын
Hayo maeneo yote muliyoyataja ni mikosi na askari wanajua linalofanyika lakini Hakuna. Kitu kinachofanyika znz yenyewe hata kwenye kiganja haijai halafu munashindwa. Kulinda rai na kukomesha ujinga huo Yani hiyo kinuni unawaon VIJANA WANATENBEA kabisa na. Mapanga
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 5 жыл бұрын
mm nashangaa ivi serikali hawajui yanayotokea huko kinuni au vp?mana matukio hayo kinuni yapo zamani tu
@selemigeto7496
@selemigeto7496 5 жыл бұрын
Huyo dogo ndo wakuharibu mafuta ya difenda
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 5 жыл бұрын
Wamentoa ndani Fresh Kama umeskia iyo tujuane
@dulabori9922
@dulabori9922 4 жыл бұрын
Tatizo ajira ndio maana jamii inapotea
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 4 жыл бұрын
Wapigeni risasi msiwalee wahuni ndo nini piga risasi ardhi haijajaaa wasitusumbue
@abdul-aziziomar5989
@abdul-aziziomar5989 4 жыл бұрын
Wewe unaonekana hasa kuwa muhuni,mkorofi na mwizi,bhangi tupu
@jamalnaeem9569
@jamalnaeem9569 5 жыл бұрын
Hahahahahaha Raisi wa Wahuni pole sana
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 5 жыл бұрын
Baba mtu wakati mwanao unamjua Tabia yake yann ukamwambia kama simu yako imeporwa nahisi ww kama ndio chanzo cha mwanao kufikia hapo Allah atustiri sisi na vzazi vyetu mbeleni Al hamdulillah
@Kifimbo
@Kifimbo 8 ай бұрын
Nyinyi vijan achen useng uwooo hem jeshi la polis uwen ao man wanatuharibia jamii
@feisalomar-hr3hq
@feisalomar-hr3hq Жыл бұрын
Mazombi pia hufanya Zaid ya hayo na ukiripoti kituowoni unaambiwa hawafahamiki kwakweli ukiwa raia mwemwa SI mlevi wala mvuta bangi bas ni Sunna kutembea na silaha yako kiunoni usisubir kuuliwa ukivamiwa jibu mashambulizi misili ya Simba aliejeruhiwa
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Жыл бұрын
Ushauri raia anapofikia hatua yakutishia Amani au kupiga watu mapanga huyo auwawe tu asisumbue watu
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 5 ай бұрын
Walifu wajipanga kiasihicho kweli masikali wakihuo wako wapi kazi kukaa tu vituoni nakushikiana nawalifu ndiyo kazi zao waone chadema watano watajua mandamano yameanza lakini walifu sitini namapanga hawajui
@salimbinargan9658
@salimbinargan9658 4 жыл бұрын
Hao lazima wachukuliwe sheria maana kosa sio lao lawazazi wao ndio wanachangia halafu wakichukuliwa seria wazazi wanaweka midomo juu na kusema police wanatesa raia hao si raia wema ni waovu lazima na wao wachukuliwe hatua wapate machungu wanawapa raia wema
@munzirighalidi6305
@munzirighalidi6305 4 жыл бұрын
Etyy zenji muhuni anakula kwao
@Fetty-r4o
@Fetty-r4o 5 жыл бұрын
Kitu cha kwanza nimeishangaa hiyo office ya sheha, 😳 nikisoma comments kumbe tuko wengi, like tujuwaneni...🤔 Sheha rekebisha office japo kwa kuyaficha makorokoro dah!, umaridadi huficha umasikini... au ndio ikulu ya huyo rais wa wahuni? 🤷‍♀️
@mwadinimwadini4068
@mwadinimwadini4068 4 жыл бұрын
Hatuna Kazi Mumetuahidi Kazi Mnapeana Wenyewe Sasa Tufanyeje Kila Tukifanyacho Vijana Ina Msala. Ukichota Mchanga Mnatuuwa Kwa Bunduki Sasa Tufanyeje Tutapika Ishu Za Mishemishe Mpakabasi. Nchi Yetu Sote Mnakula Peke Yenu
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Huyo raisi wao tia jela Na majeraha yake pumbavu
@khamissiali2231
@khamissiali2231 4 жыл бұрын
Weee ulisikia kiongozi akafungwa bila ya utaratibu maalum
MASKINI ! WALICHO FANYIWA MADADA HAWA HUKO MELI NNE ZNZ NI HURUMA TUPU
30:53
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
WATANZANIA Waishio SOUTH Wasimulia XENOPHOBIA ILIVYOWATESA..
19:25
Global TV Online
Рет қаралды 34 М.
ALIEKUA KWENYE MAPENZI NA JINNI,AHADITHIA MWANZO MWISHO
26:03
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 1,2 МЛН
FULL: KIJANA AFARIKI SIKU CHACHE AKITOKEA OMAN, KIFO CHAKE NI UTATA |
20:12
HII NDIO NYUMBA INAYOTILIWA MASHAKA CHUINI ZANZIBAR
8:52
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 223 М.
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 71 М.
KIJANA ALIOPEWA MAMILIONI KUTOKA KWA MAJJINNI, AELEZA ALIVYOFANIKIWA
21:29
ANGALIA MSAKO MKUBWA ULIOFANYIKA USIKU MJINI. ZANZIBAR
10:13
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 1 МЛН
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 246 М.