Mtalamu aichambua Rolls Royce ya DIAMOND "Ni original sio fake" ni kubwa kuliko ya DAVIDO? maajabu..

  Рет қаралды 120,784

Middle simba

Middle simba

Күн бұрын

Пікірлер: 349
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Simba kama simba hajawai tuwaangusha hata siku moja wacha wao waongee tu kelele za chura hazimfanyi tembo kunywa maji .middle simba pickup bro ❤❤❤
@fatumasamiasuluhuog8696
@fatumasamiasuluhuog8696 3 жыл бұрын
hongera cna Mond unatishaa watajiharishia mwaka huu
@musason1680
@musason1680 3 жыл бұрын
Uyu snash atakuja kuwa mtu mkubwa Niko nae since day one
@kingrasdee445
@kingrasdee445 3 жыл бұрын
Asant san braza kw maelezo zaid. Shukran pia Middle simba pia kw habr za kwel coz nmekuw naww umeend mwaka sasa.
@jamesabraham3373
@jamesabraham3373 3 жыл бұрын
Jamaa amemaliza vizuri kinoma..Safi sana
@zaynd5366
@zaynd5366 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Tatzo watu wakiamka wakisha shiba mihogo na chai Wanaamua kuja kupinga maendeleo ya watu kwenye mitandao badala kutafuta pesa
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
@rahimaan6481
@rahimaan6481 3 жыл бұрын
Ndugu yngu ata wakiamka kumi nyekundu hawana ndo hasira zinaanzia hpo 🤣🤣wakimuona diamond yupo angani wanaanza makasiriko na kuanza uzushi wao, kwakwel watafute pesa wanadhalilika wanaume kama mabint
@braycetz99
@braycetz99 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@abdallahomari655
@abdallahomari655 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Wanatafuta pesa kwa kupinga maendeleo ili wafatiliwe na wapmbav wenzao
@Bashilwa
@Bashilwa 3 жыл бұрын
Uyo jamaa ni mkweli middle niko USA 🇺🇸 iyo gari ni $472,600 na uku wanahingeza pesa za tax endapo inaweza kuhongeza hadi $52,000,000 ivi . Simba juu 🔥🔥🔥
@jayloschussi7916
@jayloschussi7916 Жыл бұрын
Uko usa alafu kuandika hujui eti uyo wakati huyo imaandikwa huyo,iyo wakati inatakiwa kuandikwa hiyo, wanahingereza ulitakiwa kuandika waingereza . Najiuliza umefikaje? Napata jibu kimchongo pia huyu mondi anavyopeda sifa wakati ananunua kama davido anavyoonekana anapokua analipa ghalama za hiyo gari tungemuona kwa misifayake lkn inajulikana gari yanani na ime pumpiwa tuu tunajua hii gari haiji kwaeli inakuja kwa ndege haipandishwi meli uliza ujue. Nainakuja kwa ndege na kilomoja ni elfukumi natano mara 3000 kilomoja acha kununua nakunya mondi akinunua dukani nakunya barabarani mchana saa7
@Janjeocs306
@Janjeocs306 3 жыл бұрын
All the way from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@eunicejames5399
@eunicejames5399 3 жыл бұрын
Wtz tunashomboka lakini hatujui chochote hahah big up diamond
@stevenchenga1978
@stevenchenga1978 3 жыл бұрын
Asant xana @middleSimba kwa kutuletea uchambuzi Safi nadhani wenye roho mbaya majibu wameyapata🔥🔥🔥
@mjuba
@mjuba 3 жыл бұрын
Huyu jamaa namkubali ni atari kwenye maswala ya technology namfwatiliaga sana 💪🔥🔥
@isackkamuga5665
@isackkamuga5665 3 жыл бұрын
Anaitwa nani jamaa
@mjuba
@mjuba 3 жыл бұрын
@@isackkamuga5665 mcheki hapa KZbin kwa jina la Snash Tanzania
@joookahjokah8430
@joookahjokah8430 3 жыл бұрын
Kunawatu wanamihaho,Simba big 💥💪🏾
@ReubenGodfreyMsipi
@ReubenGodfreyMsipi 3 жыл бұрын
Hii kitu middle ni original waache kuzinguwaaaa Simba 💎 ni another level 🔥🔥🔥
@asaajuma9961
@asaajuma9961 3 жыл бұрын
Middle Simba vizuri sana .
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 3 жыл бұрын
Hongera mido simba kwa juhudi yako
@alexkidda4102
@alexkidda4102 3 жыл бұрын
Jaman tutafute pesa sio kutafutiana gundu Middle 🔥🔥🔥
@maryannemwangi168
@maryannemwangi168 3 жыл бұрын
Rolls Royce Swahili nation hardwork pays aggressive behaviour talent their is mileage hiyo ndo anatukanganyana
@musason1680
@musason1680 3 жыл бұрын
Nipo na middle bampa to bampa
@ruhotolarunungwe2786
@ruhotolarunungwe2786 3 жыл бұрын
Rolls Royce Swahili Nation 🔥 🔥 🔥
@Lastbornecadet
@Lastbornecadet 3 жыл бұрын
Zinatolewa offer kwa wasanii USA 🇺🇸 hizo hajanunua kwahela yake
@chrispinimkanda7127
@chrispinimkanda7127 3 жыл бұрын
@@Lastbornecadet Aisee!! Mnaangaika bwana mala feki , mara kapewa ,mala kaokota, mala yakwake anapoteza Hera tu , duuu!! Mbona Simba atawafanya mbaka mtakunya sasa maana kila mtu anasema lake ilimradi tu kapinga 🤣🤣🤣🤣
@ruhotolarunungwe2786
@ruhotolarunungwe2786 3 жыл бұрын
@@Lastbornecadet Kazi unayo blood ukimfatiria @💎 utakuja kufa bure
@abdulyussuph9570
@abdulyussuph9570 3 жыл бұрын
Wataelewaa tuuu🔥🔥🔥🔥
@luzugatv5270
@luzugatv5270 3 жыл бұрын
Brother nimemuelewa sana,,,wabongo waache uboya fanyeni kazi
@williammbewe1675
@williammbewe1675 3 жыл бұрын
Simba🦁🦁🦁🦁🦁 middle simba💥💥💥💥 wcb 4 life💪💪💪💪💪
@rjartistsog4649
@rjartistsog4649 3 жыл бұрын
#Middle simba at the top every day
@nahimanahassan6987
@nahimanahassan6987 3 жыл бұрын
Tuaceni tulale jamani wengine tushaanza kuota kupiga pica na Rolls Royce yetu 🦁🦁🦁🇧🇮💎💎💎💎💎🔥🔥🔥🔥🔥
@nanangendakumana5632
@nanangendakumana5632 3 жыл бұрын
🤣🤣
@roymannaison9849
@roymannaison9849 3 жыл бұрын
Jaman uster kazi kwakweli dar
@adamyasin4089
@adamyasin4089 3 жыл бұрын
Ukizungumzia brand ya Rolls Royce unazungumzia brand kubwa Sana dunian Sasa Kama Kuna fake wengi wangekuwanazo hizo yani but wengi wetu ni hatupendi maendeleo ya watu huo ndo ukweli
@husnaaliy6158
@husnaaliy6158 3 жыл бұрын
kabsa
@husseinpaya4071
@husseinpaya4071 3 жыл бұрын
big point
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 3 жыл бұрын
Tatzo wa2 wanaona fake n km simu 2 za kichina
@posianelias
@posianelias 3 жыл бұрын
Middle simba na snash nawakubali sana kwa uchambuzi mzuri
@مسدمصطفى
@مسدمصطفى 3 жыл бұрын
For the first time AT LEAST someone has explain in details and CLEAR THE AIR about Diamond Platnumz's car. 12:05 onward you've KILLED IT. I don't know SNASH but at least I can say YOU are the ONLY ONE FROM Tanzania you've not just explain, BUT ALSO give full and well informative details about Rolls Royce Cullinan. One thing you've forgot is to tell them regardless YOU are inside Rolls Royce, but you are POWERED BY BMW N74B68 ENGINE...WELL DONE AND THUMBS DOWN TO THE REST OF WASAKA TONGE MEDIA IN YOUR COUNTRY.
@Trend_TV_
@Trend_TV_ 3 жыл бұрын
Ok cool
@mbungetz2520
@mbungetz2520 3 жыл бұрын
Middle simba yani hurari nnje Kila umbea umo daah we shida sana
@mbungetz2520
@mbungetz2520 3 жыл бұрын
@DJ JUMA KHAN MOVIES that do you want
@munashabani1376
@munashabani1376 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Ndo maana ya mtangazaji
@sebastianjacob369
@sebastianjacob369 3 жыл бұрын
Watu bwana oooh kabov!!! Muulize baba ako anako??
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 жыл бұрын
Kama kweli ingekuwa feki sikuileile wale jamaa wange posti kwasababu watu walienda kwenye page yao na wakatagiwa sana ingekuwa ni feki wangesema, WATAZANIA TUACHENI MAKASILIKO JAMANI KAMA MTU KAKUZIDI KAKUZIDI TU
@julietshija7501
@julietshija7501 3 жыл бұрын
Kiukweli binadamu hasa watanzania mh kiukweli tunamajanga xaxa sijui kinachowauma hapo Nini et feki mh halaf mtyu mwenyeee maskini hata hajibi kitu katulia Kama haskii
@mariamibrahim9988
@mariamibrahim9988 3 жыл бұрын
Mm ni Mkenya wtz msimchukie hivo diamond siyo powaa wtz sisi twampenda sana simbaa
@pierreoriva4131
@pierreoriva4131 3 жыл бұрын
Simbaaaaaa Simbaaaaaa Simbaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥 htriii
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Hakuna timamu anaeweza kuyumbishwa na makasiriko ya wapmbav kama mwijaku na mangi kimambi acha Mond awanyooshe hawaamin haya mambo yanafanywa hapa Tz tema mwana ananunua gari tatu kwa mwez mmoja💪💪
@ommydia2734
@ommydia2734 3 жыл бұрын
Simba 🙌🏽
@kaburaakbar4838
@kaburaakbar4838 3 жыл бұрын
Simbaa baba lao
@Hanskapella
@Hanskapella 3 жыл бұрын
SNASH nakukubali mzee
@alfahumphreyz2238
@alfahumphreyz2238 3 жыл бұрын
Mnyama snash tz leo na middlesimba og
@noobplayer4005
@noobplayer4005 3 жыл бұрын
Asante #middle simba
@magomayetu5768
@magomayetu5768 3 жыл бұрын
Nomaa
@masabatv2743
@masabatv2743 3 жыл бұрын
Snash sio mnafiki wala mbinafi.. hongera sana kaka mkuu
@Hotcgold
@Hotcgold 3 жыл бұрын
Original twende Tena tulete zingine na ndege Bado mondi#🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
@ramayonline2281
@ramayonline2281 3 жыл бұрын
Asante Snash
@fjemmedia128
@fjemmedia128 3 жыл бұрын
💎Michael Jackson from Africa RR swahilination
@wasafiwasafi3500
@wasafiwasafi3500 3 жыл бұрын
H. Mama na mwijaku na mange ni wivu tu wako nayoo watakufa na wivu
@selfmadefx
@selfmadefx 3 жыл бұрын
Wa TZ wanaitaji somo There is no fake Rolls Royce in the world Have to know the brand Rolls Royce can’t take it please Even Chinese can’t make their own
@BosimuneneTv
@BosimuneneTv 3 жыл бұрын
Mwamba hajawah niangusha hata siku moja
@fadhilmtunha4070
@fadhilmtunha4070 3 жыл бұрын
💎🔥🔥🔥
@joejux1380
@joejux1380 3 жыл бұрын
Katika maisha usikubali mtu akuambie kuwa HAUWEZI................................
@Mryoram
@Mryoram 3 жыл бұрын
Good sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@brownmauzo1156
@brownmauzo1156 3 жыл бұрын
Acha tuone kama h baba ataongea tena jama yao kanyamanza 🤣🤣
@saraagire2455
@saraagire2455 3 жыл бұрын
Their no fake ,Haters wakubali 2 Diamond is numba1 and the frist middle simba tell them😂🔥
@bongoflexible2942
@bongoflexible2942 3 жыл бұрын
Wa kwanza hapa naomben like zangu
@origimondi9051
@origimondi9051 3 жыл бұрын
Mmm
@jimmyjay9802
@jimmyjay9802 3 жыл бұрын
Safi
@danielmkama24
@danielmkama24 3 жыл бұрын
Middle Simba ni kama anampangia Snash cha kusema alf kngne ni kama anamchulia poa hv, yaan hampi heshima anayostahili
@mindirajabu9039
@mindirajabu9039 3 жыл бұрын
Simba akoseyagi ata siku moja
@frankchilumba5953
@frankchilumba5953 3 жыл бұрын
Amenitisha kinoma noma #snash
@joshuakatumbo3255
@joshuakatumbo3255 3 жыл бұрын
Watapata tabu sanaaaa
@barakahassan2189
@barakahassan2189 3 жыл бұрын
First
@alimbarak7878
@alimbarak7878 3 жыл бұрын
#diamond #royce roll #swahilination 🔥🔥🔥
@thesmartboychannel9138
@thesmartboychannel9138 3 жыл бұрын
naaminia sana middle simba
@jastinjustus6878
@jastinjustus6878 3 жыл бұрын
Simba ni anothr level
@yungjam_cb
@yungjam_cb 3 жыл бұрын
watanzania kwan hampendi maendeleo? ndungu yenu ywaleta sifa kw nchi nyie mnamponda daah🎬
@augustuss4503
@augustuss4503 3 жыл бұрын
Kuna Watanzania wana chuki na roho mbaya sana
@kanboi5
@kanboi5 3 жыл бұрын
Amekosa tuzo amekuja kimya kimya uwanja wa ndegr
@Ray-vk7bp
@Ray-vk7bp 3 жыл бұрын
@@kanboi5 aimbe pke hke
@rahimaan6481
@rahimaan6481 3 жыл бұрын
@@kanboi5 ulitaka awataarifu familia yko kija tafuta pesa roho ya kichawi itakupeleka kuzimu mapema 🤣🤣
@kanboi5
@kanboi5 3 жыл бұрын
@@rahimaan6481 jamaa kakosa tuzo anatuletea kiki za gari tusahau tuzo ni ya watanzania gari ni lake ukielewa uto bisha
@aloycekilianitvonline2965
@aloycekilianitvonline2965 3 жыл бұрын
Middle we ni unique
@davidgathaka1383
@davidgathaka1383 3 жыл бұрын
Guys every car brand has what we call extras which you get charged extra based on what you order for.
@braycetz99
@braycetz99 3 жыл бұрын
Watajua wenyewe
@ervinseya3487
@ervinseya3487 3 жыл бұрын
WA tanzania kwann tunakuaga kama wa shamba izo Gari hazija kuaga na fiki
@lm6373
@lm6373 3 жыл бұрын
Dubai zipo huko utaona mambo ya ajabu
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Acha wateseke mbona kipindi Davido amenunua hawajawah kujiuliza kama kuna fake 🤥 ngoja wateseke kumamaee zao huy ndo Mond 💎💎
@japhetlust5050
@japhetlust5050 3 жыл бұрын
Achawaongee t wanavyo juwa
@RashidStudio29
@RashidStudio29 3 жыл бұрын
Mtaalamu naye ndie. middle simba
@mindirajabu9039
@mindirajabu9039 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 3 жыл бұрын
Ume sema kweli kaka yetu ila wambongo ni wabishi kweli
@husnaaliy6158
@husnaaliy6158 3 жыл бұрын
Ndo nembo yao hiyo Tz
@tausingot9551
@tausingot9551 3 жыл бұрын
Jamani iwe faki original sindio yake kwani ikiwa fake anaendesha nani?si Diamond aliyenacho anacho muacheni afurahie maisha yake
@kelvinndokole8367
@kelvinndokole8367 3 жыл бұрын
Tatizo ni ushamba eti Tyl zimelika..😂😂😂😂😂waende Google wakaona aina ya matail ya hizo Gali mtajua.....watz washamba saaana 🤣🤣🤣 tyl zake ni special zipo flat Kama kipala Ila sio kipala ndio muundo wake....nenden google mkaangalie aina za matail
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Uko sahihi
@sudaissaid8428
@sudaissaid8428 3 жыл бұрын
kweli wabongo washamba washangalia gari
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 3 жыл бұрын
Kama unaamni middle simba ni team mond gonga like
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Kama n team Mond basi yupo upande sahihi
@egonkasiano7822
@egonkasiano7822 3 жыл бұрын
Yenyew
@geophreylukanga7148
@geophreylukanga7148 3 жыл бұрын
Middle simba ...umemtafuta adi uyuu mwamba na mrespct sana anajua kama ujuwavyo we mzee
@yusufhasan4045
@yusufhasan4045 3 жыл бұрын
Ukiwaa Na Elaa Uwezi Semaa Feki Na Og..Tutafutee Elaa Tu Ndio Mpango Mzmaa
@asallymbwego5906
@asallymbwego5906 3 жыл бұрын
SIMBA BABA LAO
@mullahmasudy2622
@mullahmasudy2622 3 жыл бұрын
Mateso yaendelee kwa wanaoteseka 💥🔨
@princehancesam9892
@princehancesam9892 3 жыл бұрын
Simba Ni Simba tu
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 3 жыл бұрын
Mtalamu lini alifanya kazi katika kampuni hio ya ilo gari, plus Italy wametengeneza lamborgin na china wana lamborgini vilevile ila nembo tofauti ila hongera mondi
@SomeOne-wh4yu
@SomeOne-wh4yu 3 жыл бұрын
Simbaaa orijino king
@hacker-sk7uk
@hacker-sk7uk 3 жыл бұрын
Middle simba did it
@coolzeddy_official9216
@coolzeddy_official9216 3 жыл бұрын
Middle simba no moja East Afrca Kwa habari motomoto
@nandymore7605
@nandymore7605 3 жыл бұрын
Atakama ni fake chamuhimu n Rolls Royce🤣
@aaa64sa13
@aaa64sa13 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥✊
@tonabenny4604
@tonabenny4604 3 жыл бұрын
Jamaa ana maelezo yamenyooka.. Safi kabisa
@fadhilabass9126
@fadhilabass9126 3 жыл бұрын
Ssa diamond tushamjuwa anauwezo sasa tunataka Ali kib na hamo wanunuwe
@rajabutumaini551
@rajabutumaini551 3 жыл бұрын
👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@silassteven7124
@silassteven7124 3 жыл бұрын
Wabongo noma kweli yaan wapo watu hawakubali kushindwa kabisa hata vitu anavyonunua mondy hawakubali kabsa wanamtafutia vitu vya kumshusha mondy atakaye mshusha ni mungu mwenyewe co wanadam Wala ukanda fulan
@tantinebettynduwimana380
@tantinebettynduwimana380 3 жыл бұрын
hamna kweli
@jeremiahagrrey1147
@jeremiahagrrey1147 3 жыл бұрын
Dubai 🤠 HTR
@vackyboy8055
@vackyboy8055 3 жыл бұрын
Litawachoma
@ommynyika6384
@ommynyika6384 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@b-creative4662
@b-creative4662 3 жыл бұрын
Nawasalimia kwa jina la ROLLS ROYCE 😂😂😂
@aishadjumaphones8877
@aishadjumaphones8877 3 жыл бұрын
Tuna pokeya kwa jina lasadala 😂😂😂
@husnaaliy6158
@husnaaliy6158 3 жыл бұрын
@@aishadjumaphones8877 mbna mchokozi ww
@shabanomary3600
@shabanomary3600 3 жыл бұрын
Wakwanza leo jamani
@BosimuneneTv
@BosimuneneTv 3 жыл бұрын
Michael Jackson wa Africa
@pendomarco8928
@pendomarco8928 3 жыл бұрын
Simbaa
@omarymwajashojr9009
@omarymwajashojr9009 3 жыл бұрын
Sis tumeshazoea IST hizo nyengine tuwaachie wengine
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Acha Diamond 💎 awanuooshe
@alexprotas40
@alexprotas40 3 жыл бұрын
Ndowali mwengu
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
USIYO YA FAHAMU KUHUSU ILI GALI LA ( CYBER TRACK )..
4:05
ZILIZO JIRI ONLINE.
Рет қаралды 1,1 М.
UTAJIRI WA ALIKIBA UTAKUACHA KINYWA WAZI...
6:38
JIMBO MEDIA
Рет қаралды 782 М.
Qasriga ugu qurxoon Muqdisho | Amazing tour.
12:18
Jimcaale Deals
Рет қаралды 187 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН