Subscribe Jimbo tv follow us on Facebook, Twitter and Instagram #Alikiba #kingkiba #Mofaya BMW i8 coupe is $140,000
Пікірлер: 127
@gogolizzyofmgstr23792 жыл бұрын
Alikiba Ni gini yani the best way for you have car good like
@abuuh44703 жыл бұрын
Bana baba huyu mkalii...mola akupe maisha bora zaidi...rocking
@lameckrazalo63304 жыл бұрын
Noma saanaaa
@user-mv2zs2qe5z7 ай бұрын
Allahu amzidishie kira lakheri
@fatmafarijalayusuph53382 жыл бұрын
Kwendaaaaa
@jadaizahtz91063 жыл бұрын
Fala wewee kasome kwanza😂😂😂😂
@user-um4fk5ls3v11 ай бұрын
Kweli ❤❤❤❤ mungu akisema atakupa atumi baruwa
@danielkagaruki69144 жыл бұрын
Channel za ufujaji wa uchumi wa mb's izi nikuzifungia tu maana wakikosa cha kutuhabarisha awachelewi kupost uchochezi maana ujinga huu uwezi kuukuta kwa mirladayo
@lightho45593 жыл бұрын
Nice voice
@mrzugamelck62474 жыл бұрын
mtangazaji Malaya wew unatumalizia mb kwa uongo et dolla 100 mbwa wew
@shemsasaid94784 жыл бұрын
Maashallh
@fifialhathimi45803 жыл бұрын
Huyo Ndio King Kibaaa Mfalme Wa Africa
@josephsamike28383 жыл бұрын
Ww ndio muogo
@josephsamike28383 жыл бұрын
Kweli
@mbkmbk27704 жыл бұрын
Uyu dada mgo sana sana uwe unaweka vtu vya ukwer
@alijunijohn83543 жыл бұрын
Hahahahahhhhhh wew dada acha uongo jamn dolar 140 unaweza kupata hiyo gar jamn ebu kaa chin kwanza usome utambue mambo ndo uongee
@jahrean-tc85614 жыл бұрын
Awa wehu daah
@josephpeter69914 жыл бұрын
Nice respect king kiba.
@ashwramashallah72424 жыл бұрын
Bora salama..
@zacheecostino97833 жыл бұрын
C'EST pas vrai
@halunamaneno99864 жыл бұрын
Yuko vizur
@abdihamid89174 жыл бұрын
😘😚😘😚😘😚 🍸🍸🍸🍸🍸🍸 Happy New Year
@salum_scales92173 жыл бұрын
Mnatumalizia2 bando zetu
@emmydzoo87294 жыл бұрын
Kwaiyo nimagari two ndio miradi
@royrichardson36752 жыл бұрын
😲 OMG,,so who's the richest between Ali King 🤴 and diamond platnumz 🦁
@manish-fp1fb3 жыл бұрын
Unaonekana mtangazaji una matatizo sana kwenye namba... makosa mengi sana.
@dullahnyota50284 жыл бұрын
Dada mm shabiki wa kiba ayo matango pori unatumezesha😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@veronikadalali72513 жыл бұрын
Wewe mshabikj wake anakujuwa wew
@josephsamike28383 жыл бұрын
We ndio muogo vp Dada yupo pow
@cosmealberto9501 Жыл бұрын
Pika kazi kaka kiba
@jacklinemwamlima78284 жыл бұрын
Mh doller 140 du! Umechelewa dada eti nyumba mil 28 Dada kasome shule
@misisalim72927 ай бұрын
1😂
@jamesrobert88904 жыл бұрын
Dollar mia moja au dollar laki moja tuweke vizuri hapo mtangazaji !?.
@jumakipepo31043 жыл бұрын
Mpumbavu wewe kawadanganye kwenu utopololo wewe
@mbaroukmohammed18713 жыл бұрын
muongooooooooo
@HamadyJuma-fj7yg3 ай бұрын
Dollar140=Tsh-
@shabanabdala15312 жыл бұрын
Utajili wa alikiba
@zakariamachibula4884 жыл бұрын
King kiba tajili asiyenamisifa
@jabirasgar52173 жыл бұрын
Asalam alykm
@alijunijohn83543 жыл бұрын
Hahahahahahhaa ety milion 28 hyo nyumba wew unaweza kuipata kwa hyo ela
@namankakindilo81214 жыл бұрын
Acha kubahatisha
@neemaagutu10523 жыл бұрын
Comedy
@furahmbuto27754 жыл бұрын
Dah gari dollar 100 Dollar 100 nisawa laki 2 za Tz we wawapi ww
@mohammedothuman304 жыл бұрын
😂😂😂😂
@zuberisuleiman20134 жыл бұрын
Eti nyumba ya Kiba million 28 duh Rudi darasani Tena shenzi we
@mundhirhemed64954 жыл бұрын
Khadija Ali umefeli darasa la Saba mungu anakuona
@tausimseta82614 жыл бұрын
Mundhir Hemed XXX
@tausimseta82614 жыл бұрын
O
@tausimseta82614 жыл бұрын
Mundhir Hemed j
@alicenice17113 жыл бұрын
Jamani uyu Dada ka sauti kama angel, mimi sipingi nakubali hundred purcent 😇🤴
@berthacomba42164 жыл бұрын
May god bless you Alikiba
@pixeldrop58744 жыл бұрын
Hzo gari zote wananunuaga used Hzo gari huwez gusa piru wew
@misisalim72927 ай бұрын
Eti dollars ngapi😂
@davidpaschal53634 жыл бұрын
Unatudanganya mchana jmn japo mi Tim kng
@elizabethnyange17114 жыл бұрын
Mbea mkubwa weweeeee😚😚😚
@hamisibogo1974 жыл бұрын
Hawa wanao tangaza utajiri wa mtu mbona hawa masikini wawakanguliwi?
@hamisibogo1974 жыл бұрын
Huu ni ujinga jamani chochote kikitoka ww wakisambaza je ukikanaye kimapenzi pia utatangaza. Plzy jamani haya mambo zimazuri ww fata lako?
@peterkithabo31334 жыл бұрын
Mbona unamsifia sana ni mpenzi wk??
@mzeemohammed97938 ай бұрын
Uongo mtupu huwezi nunua gari hilo kwa dola 140
@salimmassambaking51903 жыл бұрын
Ya kwl ayoooh??
@reginawitacha79214 жыл бұрын
Mtangazaji dollar 140 hata pikipiki hupati imekuaje ally kiba alipata bmw au ndo connection
@louissimon20233 жыл бұрын
Hapana utajiri wa mtu huwezi kutuhacha kinywa wazi ni mambo ya kawaida
@raambrands4 жыл бұрын
Aiseee we mdada ni muongo kinyamaaa. Kwanza unaongea kaa unamtaka Alikiba, unampa sifa ambazo ata sio zake.
@asinatjuma80884 жыл бұрын
Alikiba ni tajiri sana ila hapendi kujifaharisha
@mochannel78764 жыл бұрын
Kama sio fani yako kutangaza acha tu unatumalizia mb
@breackychangwe73264 жыл бұрын
Nyumba million 28 wewe kweli Akili hauna
@selestinsongola27873 жыл бұрын
Naliona Hilo lichaw la mond isa azam
@gogolizzyofmgstr23792 жыл бұрын
Alumina Ni gini yani atali
@akilihabibu42034 жыл бұрын
Siokweli huna la kumpambia
@al-habibtwahir47795 жыл бұрын
Yeeeee baba
@abedbega99044 жыл бұрын
Msenge ww muongo ww mav ww
@tausimseta82614 жыл бұрын
ABED BEGA xxx
@user-po8hz7xw9j4 жыл бұрын
Huwezihata umbeawaachie wenyewe
@madoidoonlinetv49333 жыл бұрын
duu dada jifunze kabla hujapublish vitu
@frankhoffa83562 жыл бұрын
Dada mbwembwe nyingi mno
@mohammedothuman304 жыл бұрын
Me nmetokea kukpend kmapenz ndgu mtangazaj nahtaj nikuoe
@jumafilimomi30994 жыл бұрын
Juma firmon
@zacheecostino97833 жыл бұрын
Nyinyi wa Tanzanie hamuna kitu kuzidia wa kongo
@christophermwasalanga4223 жыл бұрын
Ackim Chris
@nurubilali80253 жыл бұрын
USD 140 hata Mimi ningekuwa nayo
@suleimanmusa76363 жыл бұрын
uongo gari bado zipo showroom wazingua tu
@hamzachande86384 жыл бұрын
Yaani wewe huna lolote hujijui wewe..
@binallysaid72804 жыл бұрын
msenge ww
@stevenmathew2784 жыл бұрын
hanalolotealikiba baba lao ndoatali
@michaelmwangomo47904 жыл бұрын
hyoo dollar
@stemmtanzania11263 жыл бұрын
dada umenena vyema
@abdallahaliy45724 жыл бұрын
By
@nassirmohd28514 жыл бұрын
kajifunze hesabu
@charlesopondo96894 жыл бұрын
Charles opondo
@zuberisuleiman20134 жыл бұрын
Unatuzingua na uongo wako ngoja wajukuu wako wazaliwe uwadanganye
@francelyungu85974 жыл бұрын
Kuwa makini na utangazaji wako
@davidmwakipesile46773 жыл бұрын
Nyumba hiyo sio ya million 28 acha ushamba dadangu, umemshusha sana kiba kwa hizi njaa zenu
@athumaniselemani65643 жыл бұрын
wap kba
@ibrackibrahim69094 жыл бұрын
Hujasoma uko maskini sana badala yakusema vitega uchumi vya maana unakuja kusoma magari
@aslamshakur2554 жыл бұрын
Sauti yako Tam yani sitaki umalize
@piusmarcomabula63903 жыл бұрын
Badili kazi we mwehu ujui kutangaza by mmeo
@albertoscrar32774 жыл бұрын
Ahaha wee 140$ USDMUONGO wee yani laki 3 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aahaha atreeee
@bujavoice25783 жыл бұрын
Katafute Vues Tu
@irenemoraa88183 жыл бұрын
Simba ndio ndio mmiliki wanyama wote polini namanisha diamond nyange platinum
@aljimmykabumbabinazam99043 жыл бұрын
Kama mond ni Simba na Ali Kiba iko Samson aliye uwa Simba kwami kono yake peke
@user-ej6jp7my1i4 ай бұрын
Upumbavu mwingine bwana uyo kiba tunashinda nae barakuda viwanja vya sigara kila siku gar yake tunijua mbona hivyo
@mohamedyiddy86214 жыл бұрын
Dada angu wasikutishe na comment zao zachuki siunajua wachawi hawapendi maendeleo so, Fanya Nazi yako pa1 sana
@robertrichard36044 жыл бұрын
Sana
@gabrielgabito41974 жыл бұрын
Sio kwamba nn bali huyo mdada yuko wrong so watu wanafanya kumcorrect,,ili asikose biashara coz mtu mwingine anaweza ona ni uwongo
@prettytunu97344 жыл бұрын
True
@morganamani13494 жыл бұрын
Mtangazaji elimu yako uliipatia wapi Unasema gari bmw dollar 100 ni toy au!!
@shikukumadison27424 жыл бұрын
Haujaona unatangaza uwongo
@hassanlamumba50544 жыл бұрын
Wachen porojo mrienda kununua nae
@shaffihnandule57324 жыл бұрын
Namkubali mwamba hanaga mbwembwe kwenye maisha
@idrisamuhammed63244 жыл бұрын
Alikiba kweli hatompata chibu d nyumba ml 28 mondy hiyo ela ananunua pp na kuwapa watoto
@asinatjuma80884 жыл бұрын
Sasa kama hujui alikiba ni tajiri zaidi ya mond ila alikiba hapendi kujifaharisha
@fadhilikitojo29644 жыл бұрын
Xxx
@borisisaac59744 жыл бұрын
U r just joke those classic cars are not more than 20k Hufayi kuwa mwandishi kbsa Yani atakuongeya unashindishwa get ur source right
@chrismagori62734 жыл бұрын
Anachosa!. eti "kitu chengine"
@bujavoice25783 жыл бұрын
Fala wewe Ivyo vitu Umevipata wapi Chizi Wewe Kasome kwanza rudi Shule Unatafuta Views tu
@shauqyknyshauqy21704 жыл бұрын
Usilegeze sauti Malaya wewe
@delsonandrew93304 жыл бұрын
Huyu dada muongo kwel mpaka mwenyewe anajistukia
@christopherpastory53744 жыл бұрын
wewe dada sasa unafeli wp sasa au unamtaka huyo jamaa et maana doll 140 sawa na milion mbil na lak 8 chz ww
@lwangahozanakayisavira80394 жыл бұрын
Bien
@farajialex15624 жыл бұрын
ivi unaakili wewe dola 140 afu nkuskize polojo zako fanya tu mpango urudi shule