🚨Uchambuzi Crownfm,Mjadala Mzito kuhusu Prince dube na Mazito Yanayoendelea kwake,Nini shida kwake.

  Рет қаралды 5,102

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

#ahmedally #alikamwe #football #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

Пікірлер: 12
@ayubhumakuya8466
@ayubhumakuya8466 2 күн бұрын
Hans uko very bright kaka unaujuw mpira
@mwinyihijaramadhaniseif1100
@mwinyihijaramadhaniseif1100 16 сағат бұрын
Usijali utafanya vizuli kama buti dube hapoumefika sehemu yandoto yako tuliya sana unawachezaji wenyekukulisha sana hapo yanga
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 4 күн бұрын
Inatakiwa dube atafute video za Michael Owen na Thierry Henry ataongeza ujuzi wa kufunga
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 3 күн бұрын
Hata mayele alikuwa anakoss sana magoli sema kwa vile tumezoea kufunga matano 😂😂tu ila alikuwa anakosa sans Mayele
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 4 күн бұрын
Natural finisher na clinical finisher vitu viwili tofauti
@saidsoudamiri4054
@saidsoudamiri4054 3 күн бұрын
Hapa nakubaliana 100% na Hans. Dube ni aina na mchezaji anayecheza nyuma ya striker. Ni assistant striker, ni kosa kubwa sana kumataka awe classic number 9.
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 4 күн бұрын
Raphael leo uko vibaya kwauchambunzi ao cling finisher hawakuwahi kukosa?
@IssaNdelwa-pz3zl
@IssaNdelwa-pz3zl 4 күн бұрын
Inabidi abadilike kiukweli daaaa maana mashabiki tunaimani na yeye
@yokoi3970
@yokoi3970 4 күн бұрын
Hans umebonga watu wako kimya mwezako wanabonga lazima uingilie maongezi. Sikiliza wezako sbbu u know nothing acha ufundishwe
@yokoi3970
@yokoi3970 4 күн бұрын
Hans always talking shit. Mchezaji ni mchezaji hata chooni acha ushabiki mandazi. Hakuna mchezaji hapo that's it. Hans rudi kwa wazee uombe hekima na busara otherwise now days unazidi na stories za dada zako.
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 4 күн бұрын
Mtu wa kwanza duniani kumpangia mtu cha kuongea 😂😂
@yokoi3970
@yokoi3970 3 күн бұрын
@@haidhabushiri9558 shida si shule au malezi ni heshima yako. Na kwann nimpangie lakini kma umezoea kusikiliza ushuzi basi ni sawa lakini nikicheki ni mwezako huyu kwa mtazamo wako
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 1,6 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 96 МЛН