Sijawahi kudhani kuwa Nasri yupo very Brain 🧠 baada ya kusikiliza haya mabishano🎉
@gideonmathias407 сағат бұрын
Jamani hapo sioni sababu ya kubishana, ni kwamba timu nyingi kwa sasa zimewekeza na ndo maana mnaona timu za Kazkazini zimeshuka ubora
@AbdallahOnga10 сағат бұрын
Zamani gani job
@IddyHussein-tb8ucСағат бұрын
Huyo jobu yapo kwaajili ya kuisemea Yanga tu Hana jipya uyo
@franccoz9411 сағат бұрын
Mo anazingua WACHEZAJI aliosajili hawawez kumpa UBINGWAA
@IddyKhalphan11 сағат бұрын
Hamna sela mmeishiwa
@PakatJames7 сағат бұрын
Job job point yake yakwamba vilabu vya kaskazini vimeshuka viwango ndio maana vilabu vyetu vinafika mbali kwenye Caf competitions ni ya kuyakataa maendeleo ya Tanzania kwa ujumla na ni msaliti wa Nchi hii kana kwamba sisi watanzania hatuna haki ya kudevelope kwa kifupi Job job anachukizwa na maendeleo ya watanzania. Binafsi kama ningekuwa na namiliki hicho kituo cha Radio ningemfukuza kazi kwa sababu kazi yake kwenye kauli zake nyingi ni kuwavunja moyo watanzania hasa vijana kweenye ndoto zao za maendeleo kuwa maendeleo ni ya watu wengine na sio watanzania na tukiyapata basi mwenye haki yake atakuja kuyachukua ni kasumba za hovyo. Sijui kwanini inawakera sana kuona simba ya Tanzania inapata maendeleo kwenye Caf champions. Simba ya sasa ni bora kuliko simba zote has kutokana na age wise ambao wachezaji wengi wao wamepitia kwenye misingi halisi ya soka tokea watoto.
@ephraimsaimontv97154 сағат бұрын
JOB NI MBISHI SANA ANAJIFANYA MJUAJI LAKINI NIA YAKE NI KUSHAMBULIA USHINDI WA SIMBA KAMA ATACHUKUA UBINGWA WA SHIRIKISHO COZ ASHAPATA HOFU KUWA YIMKINI SIMBA AKABEBA KOMBE. KANAFIKI SANA HAKA
@silvesterrichardhelenya131911 сағат бұрын
Media ya yanga hii umesahau kama tumefika fainal 1993 ambayo na yanga walikuwemo ni ujinga kuaminisha watu kuwa simba ina deni kwa yanga simba haina deni kwa yanga yanga ndiyo wana deni kwa simba
@user-dv3kg2xd4o10 сағат бұрын
Wapuuz wote
@UfahamHalisi10 сағат бұрын
Wachambuzi wa hovyo kabisa,mnapiga piga midmorning tu,hamna lolote cjui huwa mnatumwa kuishusha simba