🚨Simba 3-1 Al ahly Tripol, kiufundi Tathimini dkk 90,ubora wa mchezaji mmoja2.

  Рет қаралды 19,746

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@AbdallaAli-dn6xp
@AbdallaAli-dn6xp Ай бұрын
Simba wana kiu na wanajituma sana
@FungamezaLucasy
@FungamezaLucasy Ай бұрын
Wachambuz ninyi wenyewe mlikua mnampa Simba asilimia 0 Simba kutoboa mnazngua bhana
@YunusHuseni
@YunusHuseni Ай бұрын
Hii simba ipo siku itakuja kumfanya mtu vibaya mnoo
@KarisBaya
@KarisBaya Ай бұрын
Kwa simba hii tukikutana na timu yeyote tutatoboa tu, hii sio ile juzi na jana
@doricehungu5817
@doricehungu5817 Ай бұрын
Na sisi ndio tutamtoa mchezoni
@yokoi-u3g
@yokoi-u3g Ай бұрын
Badoo hamjasema
@AbdalaMohamedi-jk2yc
@AbdalaMohamedi-jk2yc Ай бұрын
Yaani simba ikishinda kuna wapumbavu wananza kutafuta makosa na madhaifu ya wachezaji wetu chambuzi wengine jinga kabifi
@mwasunga
@mwasunga Ай бұрын
Ivi juma ayo weapo ledio uondoke tu
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
SIMBA NI BORA SANA. TUNAMSHUKURU SANA MUNGU. ASANTE MUNGU.
@babuDingi
@babuDingi Ай бұрын
Nazani uyo mwalabu wa temeke asha anza kusema tuli juwa uta sema na sasa una sema ubaya ubwela simba nguvu moja
@ip_header
@ip_header Ай бұрын
Kawaida Wachambuzi wa Bongo wanakwenda na matokeo
@mussahoza
@mussahoza Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 nkajuaa nawajuaa peke'nguuuu
@mlembamo
@mlembamo Ай бұрын
Yaani simba imekosea, irudi kuangalia ilipokosea😂😂😂😂
@alexchikoko9369
@alexchikoko9369 Ай бұрын
😂😂
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow Ай бұрын
ASANTE MUNGU ULIEUMBA MBINGU NA NCHI UMETUSAIDIA TUMEFUZU HIVYO HIVYO ULIVYOTUSAIDIA TUKAFUZU HIVYO HIVYO TUNAOMBA UTUSAIDIE KUMTOA SAMIA MADARAKANI TUSAIDIE MUNGU BABA
@HusseinHussein-f7n
@HusseinHussein-f7n Ай бұрын
umeweka asilimia 60 kwa unafiki wako
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 Ай бұрын
Acha ushamba Timu ikishinda hamnga mkosa
@AlcherausMalinzi
@AlcherausMalinzi Ай бұрын
Hivi makosa ni ya simba tu.Wahuni tu nyie.
@mlembamo
@mlembamo Ай бұрын
Mnahangaika mlisena somba bado, kiwango kiko chini. Eti haina muunganiko, maneno ya chini ya kiwango sana kwa wachambuzi hawa wa bahasha😂
@mlembamo
@mlembamo Ай бұрын
Unafiki ni mbaya sana, Mtu anaanza na madhaifu ya simba😂 yaani Wachambuzi mlilipwa shingapi kuchambua madhaifu ya simba?
@emmaDNA98
@emmaDNA98 Ай бұрын
mata😂😂😂 nyie wachambuzi uchwara
@HusseinHussein-f7n
@HusseinHussein-f7n Ай бұрын
hamja sema bd nyiny si ndo mulikuwa munatubeza
@johnsmwandu7338
@johnsmwandu7338 Ай бұрын
Acheni uchwara nyie kujichanganya kupo hata ulaya
@kefangendwa3336
@kefangendwa3336 Ай бұрын
Yaan simba inafany kaz ya kuw prove wrong wachambuziiii😅😅
@HemedMjema
@HemedMjema Ай бұрын
huyo shoga anaongea mambo ya kijinga sana
@mlembamo
@mlembamo Ай бұрын
Eti Paten ya timu haija kaa sawa,😂 uliangalia mpira au uchambuzi kwa nguvu ya bagasha
@mlembamo
@mlembamo Ай бұрын
Why always negativity. Mabeki makosa, mawinga makosa, kila kitu makosa yanaongewa 80% utadhani tulikuwa na cheza na daraja la 4. Yaani hizi media😂😂
@AbdallahOmary-e9z
@AbdallahOmary-e9z Ай бұрын
Binafs yangu debora mnavyomzngumzia kuna namna mnambeba anapaswa ajiangalie sana n mtu anayevurunda mnoo n vile uvundo wa akina budo unambeba ngoja nafas ya budo ifanyiwe kaz atakayefwata n debora
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Ай бұрын
Daah umewahi cheza hata gombania goli ?
@islamIbrahimmussa
@islamIbrahimmussa Ай бұрын
Utopolo huyo
@IsmailMrisho-v1n
@IsmailMrisho-v1n Ай бұрын
😂😂😂​@@FahadAbubakari
@IsmailMrisho-v1n
@IsmailMrisho-v1n Ай бұрын
Aisee... Mpira waachie wengine, huenda mchezo wako ni Kombolela
@clementmdoe2211
@clementmdoe2211 Ай бұрын
Hivi ww unamuongelea Deborah yupi.? Huyu huyu Mavambo au kuna mwingine?. Wewe si mpira tu wa miguu ambao utakuwa hujacheza inawezekana hataa lede hujacheza bro
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 3,1 МЛН
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 25 МЛН
Magoli | Simba 3-1 AL Ahli Tripoli | CAF CC 22/09/2024
9:11
Azam TV
Рет қаралды 672 М.
TAZAMA KIKOSI KIPYA TAIFA STARS - ALI SALIM ATEMWA AITWA MANULA
9:44
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04