Wachambuzi walio wengi ni wanafiki,walitoa kashfa wakati wa mpito wa Yanga
@tumainielmremi79123 күн бұрын
Yanga Bingwa
@BADILIJUSTUS-fs3oo2 күн бұрын
Vipi zile sindano Kule uwanja wa complex hazihusiani na kuondoka kwa kocha kama hakuwa anakubariana na sindano ligi ya bongo bana nalile sakata lilifikia wapi? Wachambuzi bana hamfikilii
@yugemasanza10083 күн бұрын
Hongera sana Ally Kamwe kwa kutambua kuwa Simba ni Tembo kwa Young African 🤣🤣 NI MZIGO
@nevermind47893 күн бұрын
Maana yake ni kwamba Ukiona tembo juu ya mti ujue kapandishwa kwa hiyo mpaka ashushwe
@nurdinmohamed14263 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@CALISTPATRICK2 күн бұрын
Sindano mliziweka ninyi makoloo ili muwaharibie upande wa pili
@mitinjemaziku3 күн бұрын
Kuna timu itakuja kutoa mishuzi siku Moja hii guxa achia ni moto wa kwenye chuma