I enjoyed the interview. Mm mwenyewe niko 🇬🇧 - London for 16 years. Kila alicho ongea ni sahii kweli. Uaminifu ni kitu kikubwa saaaaana uku na ndio jinsi unapata opportunity nyingi za kazi hata kama hukuvisomea. Big up bro ntakutafuta maana nina mpango huo wakuagiza gari in TZ
@jamalabduly88712 жыл бұрын
bro i need to be there can u help me
@edwardmkwelele2 жыл бұрын
Can help to establish the company here let us contact
@seifkitimla45292 жыл бұрын
Tusaidie namb yko kiongozi
@mubabray98452 жыл бұрын
@@edwardmkwelele hbr
@Summerbtz Жыл бұрын
Ooooh Manuela Mahwera upo UK sehemu gani hapo
@georgegodfrey16922 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mtu muelewa sana hana mbwembwe nyingi. Nimependa sana mahojiano haya.
@hassanijuma8862 жыл бұрын
Mimi pia niliwahi kuishi London.Kiukwel maisha ktkt ya mji huu ni garama sana bila kufanya kazi unalala njaa....
@ahmuhally44302 жыл бұрын
Sky nakubali sana Interview zako na habari zako naomba usikate tamaa kwa views chache
@dougherty87322 жыл бұрын
Big up saaana Boka ..! Loong time..😁😁 ! Kila lenye heri bro!!!!!
@leecode61352 жыл бұрын
Angekuwa mtu wa bongo flaver hapo angezungumza kizungu kkkkkk
@owlbig2 жыл бұрын
Thank you so much 😊
@julianakitinde79132 жыл бұрын
Informative interviews
@aliyageorge67942 жыл бұрын
Sio culture ya uaminifu.. Tanzania maisha magumu pesa imekuwa ngumu..
@darajalakidatukilomgi23622 жыл бұрын
Maisha magumu sio sababu ya kuvunja uaminifu, hata UK wako wenye maisha magumu lakini mbona waaminifu? Tanzania tunajiendekeza tu tabia mbaya ya kutokua uaminifu
@debbiethomas98252 жыл бұрын
Kama popote ulipo uko na comfortable life….TULIZA MSHONO…… chaih🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️
@glorynguma35932 жыл бұрын
Proud of you Boka🙌
@bennymochiwa48002 жыл бұрын
Kwenye ngeli hapo upo sahihi kbs, huku Ireland mbn tunaisoma!?
@khalekichambo11312 жыл бұрын
Swala la kukopesha magari UK inawezekana kutokana na system iliyopo ya mtu anaekopeshwa lazima awe na credit score nzuri,details zinazo chukuliwa zinakufunga kiasi utajisababishia kuharibu credit score yako na matokeo ya kuto kulipa yanakupelekea ufikishwe mahakamani. Kwahiyo kwa TZ bado tuko nyuma sana kuweza kuaminisha mikopo ya magari kwa njia kama ya UK. Zinaitwa nchi zilizo endelea kwasababu wameweka mbinu na mitego over the years, unajikuta kuiba ni ngumu au unaweza kuiba lakini mwisho si mzuri
@webettermen32372 жыл бұрын
hizi session ni nzuri sana bro sky wish to help you more asee sema i dont know how
@SimuliziNaSauti2 жыл бұрын
Thanks you, pls email me via fred@snstz.com
@tanzaniawomenyouthempowerm2672 жыл бұрын
Tunaomba namba zako Kaka unayehojiwa
@amourmtungo6232 жыл бұрын
🤔Kaskazini Uingereza gharama za maisha ni nafuu zaidi ya Kusini kwa mfano, chumba kwa mwezi Newcastle unaweza kupata kwa £500 wakati London au Kusini ya Uingereza ni £1200 hadi £800. Kwahio ni tafauti kubwa sana. Lakini Kaskazini ni baridi kidogo kuliko Kusini.
@edwardmkwelele2 жыл бұрын
Nimeishi Uingereza miaka 10 nimeishi London kwanza nilikuwa mitaa y'all North Carolina kunaitwa Edmonton nikahamia Golders Green nikahamia Vauxhall nikahamia Penge niahamia London nikahamia Holmes Chapel nikahamia Crewe nikahamia Manchester
@hamisalfan91502 жыл бұрын
unae mlingishia nani sasa
@darajalakidatukilomgi23622 жыл бұрын
@@hamisalfan9150 😂😂🤣 jamaaa amekariri mitaa hatari
@jaquelinesumary71672 жыл бұрын
Haya tumekuelewa big up
@sakuvedoh_36962 жыл бұрын
Naona ukweli kwenye maelezo yake .....
@lucyheigre31252 жыл бұрын
Niko Norway ila maisha ya uingereza kwa kweli kuipata pound ni vigumu, pia hela yao ina thamani,ukilinganisha Norway pesa unalipwa nzuri,ila vyakula bei mbaya ukilinganisha uingereza chakula bei rahisi.natamani kupata contact za huyo kaka na mimi niagize gari kwenda bongo ,nikiwa huku Norway, God bless sky na kipindi chako,kwa kweli nimefarijika🇹🇿🙏❤🇳🇴
@edwardmkwelele2 жыл бұрын
Nimeishi miaka 10 Uingereza ni maisha magumu mno
@mubabray98452 жыл бұрын
@@edwardmkwelele hbr
@MoodyWAyues2 жыл бұрын
Jamaa anatumia visa aina gani
@amourmtungo6232 жыл бұрын
🤔Kuwepo kwa Malkia “Queen” kwa Uingereza inaonekana ni sehemu ya utamaduni na utalii kwasababu wageni wengi duniani wakitembelea Uingereza hupenda sana kuona jengo la Malkia na change of guards, yaani mazoezi ya ubadilishaji zamu za askari pale kwenye jengo la Malkia. Ni kivutio tosha kwakweli. Utaona watalii wengi wakipiga picha na askari hao🤔.
@debbiethomas98252 жыл бұрын
Very true
@amourmtungo6232 жыл бұрын
@@debbiethomas9825 Kabisa, thank you
@edwardmkwelele2 жыл бұрын
Miaka 70 Sky bwana
@khalekichambo11312 жыл бұрын
Part 2 iko wapi?nataka kusikia hio biashara yake na magari gani anapeleka bongo na eneo la biashara etc
@SimuliziNaSauti2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/q3zEhnyGe72BsM0
@mustafaamani90792 жыл бұрын
Sky unafeli part 2 Aiko wapi sasa haya ndyo mambo aliyosema huyu bwana kwamba watanzania hatuko makini na kazi,kipindi kimekatika umesema unarudi jumla
@SimuliziNaSauti2 жыл бұрын
Part 2 hii hapa kzbin.info/www/bejne/q3zEhnyGe72BsM0
@debbiethomas98252 жыл бұрын
Eti Jumla 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@edwardmkwelele2 жыл бұрын
UK imeeahi kuwa Rebulic kwa miaka 11
@debbiethomas98252 жыл бұрын
NIMEZURURA NCHI 2/3 nmeishia hapa UK… sijaona nchi ina Kingereza kibovu like UK…🤦♀️🤦♀️🤦♀️ but now na me si haba tunaenda pamoja kiaina….🤣🤣🤣🤣🤣
@bennymochiwa48002 жыл бұрын
Hao wanaafadhali mziki tunao huku kwa wa Irish
@edwardmkwelele2 жыл бұрын
Ndio wenye Lugha sema Uingereza kila sehemu ina lafudhi yake
@edwardmkwelele2 жыл бұрын
Siyo kibovu ila wao ni Lugha yao wana matamshi tofauti kila kila kanda sawa na kiswahili cha Dar tofauti na Mbeya
@lydialaurian47342 жыл бұрын
Apa unatuzingua...Utasemaje Wana kingereza kibovu wakati wao ndo wenye Lugha Sasa.
@bajagihaji89232 жыл бұрын
uingereza lugha mbaya sijafahamu labda ni ubaya gani na wapi ndiyo lugha poa