Salama Na TOUFIQ SE6 EP73| um'PENDAE PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

  Рет қаралды 23,255

YahStoneTown

YahStoneTown

Күн бұрын

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
Toufiq ni moja ya majina makubwa kati ya wafanya biashara wazuri na sasa mwanasiasa na Mbunge wa Mpendae, kwa wazee na vijana wa visiwani humo yeye ni mmoja wa mifano ya kuigwa ingawa kwake yeye yaliyo mengi kwenye maisha yake ni nguvu kubwa ilifanywa na Marehemu Mzee wake Ndugu Salih Hassan Abdullah Turky aka Mr White ambaye na yeye akiacha ukweli kwamba alikua tajiri na mfanya biashara nzuri huko visiwani ila yeye pia alikua kipenzi cha wananchi wa Jimbo la Mpendae ambapo sasa Toufiq ndo anaye liongoza jimbo hilo baada ya Mzee wake kutangulia mbele ya haki. Mwenyezi Mungu Amrehemu.
Kwenye meza yetu ya kigae na kiti chetu kikukuu Taufiq anakumbuka wakati wa msiba wa Mzee wake bado wa moto kabisa watu walikua wanakuja nyumbani kwao na kumshauri yeye agombee ubunge wa jimbo hilo ambalo Mzee wake alikua akiliongoza. Ikumbukwe Mzee wake Mr White alifariki kipindi ambacho wananchi walikua wanajiandaa kwa uchaguzi wa wabunge wawakilishi na Rais, ananiambia kwanza aliwafukuza watu hao, wakarudi tena baada ya maziko bado Toufiq akawakatalia, baadae baada ya mambo kutulizana na kuombeleza kupungua watu ambao anawaheshimu walimfuata tena na kumueleza umuhimu wa yeye kugombea jimbo hilo. Wakamuelezea umuhimu wa Marehemu Mzee wake kwa watu wa Mpendae na kwamba kama hatofanya hivyo basi haitakua jambo zuri kwa wakazi wa eneo hilo. Ndugu Turky ilibidi akubaliane na ombi hilo na kutimiza matakwa ya wana Mpendae ambao walimpa kura nyingi za ndio.
Yeye mawazo yake yalikua kwenye kuendeleza biashara zaidi ambayo kwa kiasi kikubwa Mzee wake alikua alimshirikisha nayo toka akiwa mdogo. Kuweza kufanya yote hayo kwa kijana mdogo kama yeye pengine ingekua mambo mengi sana so kwa heshima wakati mambo mengine yanaenda Toufiq ilibidi aachie majukumu mengine kwa Mdogo wake wa Kiume Ndugu Abdallah Salim na Dada yake Bi Khaytham Salim Turky, ingawa bado yeye ndo Mwenyekiti wa makampuni hayo ambayo yamejikita katika biashara mbali mbali ambazo zimestawi visiwani Zanzibar na nchi nyengine.
Toufiq alikuja kwenye maongezi haya akiwa na mambo yake mengine ya ki majukumu kwenye meza yake na ki ukweli hatukupata wasaa teeele wa kuweza kuyachambua mengi kama ambavyo tungependa lakini pia hatukukosa lolote jambo la lolote jambo hilo ndo tumaini letu litasaidia kwenye kukusogeza kwenye sehemu fulani katika uelewa na uchambuzi wako wa mambo.
Tafadhali enjoy hiki kidogo ambacho tuliweza kukukusanyia kwenye muda mchache.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahs...
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
‪KZbin Link bit.ly/KZbinS...
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 39
@jumamuhammed7421
@jumamuhammed7421 Жыл бұрын
Salama jitahid kukumbusha sana unaowahoji wazungumze kiswahi.
@prof.ibrahim1883
@prof.ibrahim1883 Жыл бұрын
😂 pole
@salamisindimwo303
@salamisindimwo303 Жыл бұрын
yaaani, kidhungu cha jumla na reja reja...tulokimbia somo la ngeli darasani interview hiyi hatufui dafu...nimejua ku😂😂😂
@user-xf1xq3ky2w
@user-xf1xq3ky2w 9 ай бұрын
​@@salamisindimwo303kingereza kutojua sio kukimbia shule tu unaweza jifunza
@raymoshmikidadi87
@raymoshmikidadi87 5 ай бұрын
Kwani kingereza huelewi? Jitahidi ujifunze japo kidogo kama huelewi ndio usikwazike
@sundaylema249
@sundaylema249 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni genious from day one nilimuona!appart from that he is down to earth person!
@ahmedhafidh3515
@ahmedhafidh3515 Жыл бұрын
Salama.....JOEL NANAUKA tuletee tafadhali..
@barashially6136
@barashially6136 Жыл бұрын
Tuletee joel nanuka ni mtu mweny madini mengi sana
@Mwamy11
@Mwamy11 9 күн бұрын
We dont say i was good in mathematics we say I was good at mathematics 😊
@susancharles1660
@susancharles1660 Жыл бұрын
Huyu ameishi nje ya nchi simlaumu kuongea kiingereza lkn unakuta mtu yupo bongo hata hajawahi kwenda Kenya ndio anajifanya km anatafuta maneno ya Kiswahili
@MrNdanguza
@MrNdanguza Жыл бұрын
Hahahaha duh nimecheka sana
@tanganigga3499
@tanganigga3499 Жыл бұрын
Inakera show za kiswahili ziongelewe kingereza 😎
@user-xf1xq3ky2w
@user-xf1xq3ky2w 9 ай бұрын
Watu wa aina tofauti wanapita hapo
@faridaalawy7290
@faridaalawy7290 4 ай бұрын
I like him his is our brother may Allah bless him
@nataemsuya
@nataemsuya 2 ай бұрын
Mahojiano yalikuwa poa sn. Ila ingekuwa poa sn na kuonekana iko na motisha km mngetumia lugha moja tu, na muhojiwa namjua anajua lugha ya kiswahili vzr na kingereza vizuri. Kwanini msingetumia kingereza mwanzo mwisho bila kuchanganya kiswahili???mbona ujumbe ungefika tu. Mtu anapochanga lugha zaid ya moja anapitisha ujumbe gani kwa wasikilizaji🤔?kwama lugha zote sio mzuri, yani kiswahili anajua 50%na Kingereza 50%?😂😂😂 Irudiwę bwana Ila iwę kingereza 100% mwanzo mwisho maana watz woote wanajua kinge 🧠
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
Very bright guy
@user-ik7wu5bi8g
@user-ik7wu5bi8g 5 ай бұрын
Baba yko alikuwa Mtu Mzuri sana ila Chawa wake ndio walimuharibia Mzee.Kwa Jimbo La Mpendae Wabunge bora 2 tu.Issa Baharia na Turkey(Allah warehemu)
@jaaffarabuu6750
@jaaffarabuu6750 Жыл бұрын
Nzur❤
@husseinwemmar6217
@husseinwemmar6217 Жыл бұрын
Mlete mzungu salamaaaa🤣🤣🤣
@bedabenson6576
@bedabenson6576 Жыл бұрын
Tuletee Juma Mgunda
@stevennyondo2215
@stevennyondo2215 Жыл бұрын
Thanks 👍
@josephmaganga9948
@josephmaganga9948 5 ай бұрын
Salama safari hii umechemka kwenye lugha
@idrisanassor7744
@idrisanassor7744 Жыл бұрын
Hongeraa snaa
@user-mq6lu2po3y
@user-mq6lu2po3y 10 ай бұрын
Maziko ya baba yake Kuna watu hawakuweza ata kuiona nyumba ya marehemu Wala hawakuona jeneza la marehemu kwa watu walivyokua wengi
@mrfashion1687
@mrfashion1687 Жыл бұрын
Tuletee soudy brown na ikiwezekana avue lile kofia lake
@idrisanassor7744
@idrisanassor7744 Жыл бұрын
Ilkuwa tunaomba intavew ya jb
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
Ujifunze kukuza kitambi au? Learn from toufiq
@lucianmartin-kn9xj
@lucianmartin-kn9xj Жыл бұрын
Tunamuomba dj joozey
@godfreymiho4927
@godfreymiho4927 Жыл бұрын
🔥💯👊
@yustomakangula2361
@yustomakangula2361 Жыл бұрын
Juma Mgunda fanya naye kipindi
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
😘
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 Жыл бұрын
Anaboa anaongea sana Kingereza wengine hatuelewi
@Kamamessi10
@Kamamessi10 Жыл бұрын
Kwel yan
@younglee-oj6we
@younglee-oj6we Жыл бұрын
Anaboa kinoma yaani
@younglee-oj6we
@younglee-oj6we Жыл бұрын
Anaboa kinoma yaani
@younglee-oj6we
@younglee-oj6we Жыл бұрын
Anaboa kinoma yaani
@maindutu5475
@maindutu5475 4 ай бұрын
Mlitumwa msisome😂
@stonetown578
@stonetown578 5 ай бұрын
Masha'Allah
@Hakunamatata_shop
@Hakunamatata_shop 5 ай бұрын
salama mtafute @sale said wa ZMMI Zanzibar
SHILOLE AWASHIWA MOTO NA DK SURE, KWANINI UNAWACHEZEA WANAUME
47:17