Mtanzania Aliyecheza Kombe La Dunia Aipongeza Taifa Stars Kwa Kufuzu AFCON

  Рет қаралды 32,545

Dozen Selection

Dozen Selection

Күн бұрын

Ripota wa Dozen Selection John Jackson JJ kutoka Ujerumani amefanya mahojiano EXCLUSIVE na Mtanzania #YussufYuraryPoulsen ambaye anacheza katika Klabu ya RB Leipzig ya Ligi Kuu nchini Ujerumani (Bundesliga) na pia anaichezea Timu ya Taifa ya Denmark, allifungia bao kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Peru. Baba yake mzazi alitokea Tanga na alifariki kutokana na kansa mchezaji huyo alipokuwa na umri wa miaka sita. Baba yake alikuwa akifanya kazi katika meli ya makontena iliyokuwa inatoka nchi za Afrika kwenda Denmark. Ni katika moja ya safari hizo ambapo alikutana na mamake mchezaji huyo, Lene.

Пікірлер: 22
@user-gl6ch2fc7x
@user-gl6ch2fc7x 7 ай бұрын
Uzembe wa Tanzania kutomchukua jamaa uyu
@Kadebecomedy
@Kadebecomedy 7 ай бұрын
Ofukoziii
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 5 ай бұрын
They didn’t like him to play? Or they didn’t select him to be a Tanzanian national team player.
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 5 ай бұрын
Hakuna mTanzania hapo. Mtashitakiwa hana passport ya Tanzania.
@najashdawood9680
@najashdawood9680 7 ай бұрын
Kiswanglishi hicho ...mpiuzi unatia aibu
@itubefilms2314
@itubefilms2314 5 жыл бұрын
Oyeee!
@MohammediKihimbwa-bj4pf
@MohammediKihimbwa-bj4pf 9 ай бұрын
@kudoja_fish_shop9592
@kudoja_fish_shop9592 8 ай бұрын
Socond time bro
@lirastanley390
@lirastanley390 8 ай бұрын
Duh huyo anayehoji sijui ni muandishi au nani? Mbona mnatutia aibu??? Ndio maana majiran zetu wanatusema sana kwan kuongea kiingereza ni lazima jamani? Ebhu mchek baraka majogoro afrika kusini anaulizwa kiingereza anajibu kiswahi that's superb yan mpaka inapendeza anaficha udhaifu wake kwenye kuongea...tuwe tunauliza watu kwa kiswahili na watafsiriwe kwa kiingereza na wakalimani...yan sijui inakuwaje hapa sijui the the the the ndio nn mnatufanya tunasemwa sana mbona kiswahili ni safi tu
@user-rc1em7ol6u
@user-rc1em7ol6u 7 ай бұрын
Kama kakosea neenda wewe kahoji
@wakubonya6335
@wakubonya6335 5 жыл бұрын
Nimesikia neno Tanzania vngne sjaelwa
@abdulwahidmsellem1998
@abdulwahidmsellem1998 5 жыл бұрын
😂😂😂
@estonsalvatory7258
@estonsalvatory7258 5 жыл бұрын
English noma
@mvoih4854
@mvoih4854 5 жыл бұрын
sio mara ya kwanza kufuzu hii ni mara pili
@lirastanley390
@lirastanley390 8 ай бұрын
Unajua imekaaje mpk akajibu vile ni sbb yeye hajui mwenendo wetu wa soka na historia ya timu ya taifa ndio sbb alisema anafikiria ni mara ya kwanza akiwa hana uhakika huku akamuangalia aliyemuhoji kama atakubal au atakataa matokeo yake nae anaitikia tu yan kama ni mwandishi wa Habari bas kafel yan sijui alikua anapiga pugaje khaaa
@swaxflag
@swaxflag 5 жыл бұрын
😁😁😁
@babasupa4035
@babasupa4035 5 жыл бұрын
Shughuli ipo na hiki kingerezza.
@alimzee7397
@alimzee7397 8 ай бұрын
Mamaake mtu anatokea tanga
@amanimusa5744
@amanimusa5744 Жыл бұрын
Homeboy kach3mka kama wahindi
@officialpaulmabula8346
@officialpaulmabula8346 5 жыл бұрын
Kamanimtanzania mhoji kiswahili
@babasupa4035
@babasupa4035 5 жыл бұрын
Siyo kila mtanzania anajua kiswahili na siyo lazima watanzania wote wajue kiswahili. Infact huyo si mtanzania ila anauhasili wa tanzania na si raia. So usikurupuke na uporipori wako.
@adventureernest5599
@adventureernest5599 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni mtanzania na amezaliwa Tanzania Tanga ameondoka akiwa mdogo sana kwa hyo ni vigum kujua kiswahili kutokana na aliko huko hakuwa na mda wa kusikia lugha ya kiswahili ikizungumzwa
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 44 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
SAMATTA AFUNGUA NJIA, MCHEZAJI MWINGINE MTANZANIA APATA SHAVU ULAYA
4:50
ShahRukh Khan - World Tour | HD
5:54
XEZ
Рет қаралды 2 МЛН
NGOMA NAGWA AVAMIWA USIKU, ONA WALIVYO ZICHAPA NA MAN FONGO
14:00
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 511 М.
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 44 МЛН