Huyu jamaa nimesoma nae tuition mwenge ,tulimuogopa sana lkn badae tulimzoea sana no mcheshi Santa na anaupendo sana.
@polynenkirote6007 Жыл бұрын
Mbona sioni shida ya mtu kuwa na urefu huu 👌🏾Kenya unapendwa ndugu yangu ❤️❤️❤️
@sifamugongo81866 жыл бұрын
na mushukuru Mungu kwa kukuumba vizuri, uko sura ya Mungu na mufano wake, Mungu wangu akubariki kaka yangu, furahiya njisi ulivyo sana tena saaaaana, na mutukuza Mungu kwa jiliyako, nakuomba tu kama unaweza piya kumtumikia Mungu aliye kuumba, na juwa atakuinuwa zaidi
@annamsuluja2282 жыл бұрын
Sema Juli una sound sana mwanangu 😂 nakukumbuka classmate😂😂
@doreenshangarai69414 жыл бұрын
Watu warefu huwa by nature ni wapole sana na wapenda amani japo ukiwachokoza hasira zao ndio kama hilo kofi lililopasua taya
@elianestory51594 жыл бұрын
Hahahaaaaa umenichekesha sana Doreeen, naomba unicheck nikwambie ulichonichekesha 0719042007
@ssaa74956 жыл бұрын
Mbona urefu wake wa kawaida tu jamani😍😍😍😍😍😘😘😘😘 isitoshe anamvuto💋💋💋💋
@mohamedpesambili94604 жыл бұрын
Ni mrefu balaa me nlimuona mwaka Jana pale Saba Saba temeke.
@farijala13 жыл бұрын
Ukimuona Live ndio utajua Jamaa ni mrefu
@sirnyoniinspirationstv53277 жыл бұрын
Jikubali ulivyo ndiyo upekee wako,usiumizwe na mitazamo ya watu bro
@esterkileo34865 жыл бұрын
wooh J ninapendezwa sana na ulivyo huo urefu watu tunautafuta kama ungekuwa wauzwa dukani basi leo ungekuta twagombania kuununua👍
@husseinomary44665 жыл бұрын
Hiko kibao tu ingekua ngumi angekua sawa na aliegongwa na semmi
@nasraabdallah8504 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@salama26254 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu miee
@salama26254 жыл бұрын
Hussein omary umenilaza unono leo
@mariamselemani52084 жыл бұрын
😅😅😅😅
@husseinomary44664 жыл бұрын
@@mariamselemani5208 😂
@milicentjonathan18327 жыл бұрын
Naamini Mungu anasababu yake kukuumba ulivyo...na muonekana wako unaweza kuwa sababu ya wewe kufanikiwa tofauti na kuwa na kimo cha kawaida..Mungu ni mkamilifu ana kila sababu ya kutuumba tulivyo ni vema kuheshimu uumbaji wa Mungu tusiwatengenezee mazingira magumu watu kama hao wana haki ya kufurahia maisha na si kujutia
@ananiajaphet86636 жыл бұрын
MILICENT JONATHAN
@jasonbahath65705 жыл бұрын
Alijua jini ndo Mana kakimbia,,,??😂😂
@mrsliver1984 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Z17YomuMnsadfcU
@Sppah6974 жыл бұрын
Na wafupi tuwaite vimbwengu basiii?
@chanilajanuzaj91917 жыл бұрын
huyu jamaa noma Kofi tu mtu taya hana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohamedpesambili94604 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@absm80844 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@magrethsimtenda9264 жыл бұрын
Mshukuru MUNGU kwakila jambo
@janetwambua7387 жыл бұрын
furahia sana maumbile yako ucmind ya watu. kaka ni roho safi huyu.Janet frm Kenya.
@mnzavachris54237 жыл бұрын
janet wambua vzr jeni
@hamishashello82315 жыл бұрын
Hi...
@kacherosimba57624 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 mzava hi picha yako ibadulishe banah😂😂😂😂😂😂tangia nikujue huku KZbin hiyo picha nihiyo
@mnzavachris54234 жыл бұрын
KACHERO SIMBA sina nyingine ndugu 😄
@kacherosimba57624 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 😂😂😂sawa banah
@haikajohn75804 жыл бұрын
Mungu hufanya hivyo kwa utukufu wake usijali mwanangu goliati alikua zaidi yako wako wengi tu!
@mamujally38147 жыл бұрын
Hizo ndio mbegu za kina Ibn Khatwab (R.A) watu wakubwa walioneemeshwa na Allah
@shamijuma72594 жыл бұрын
Mtu wetu sana huyu maeneo ya kigogo luhanga july mpole sana kipenzi cha watu
@sarahkimboi21614 жыл бұрын
Mwenzangu ucfadhaike, coz hata watu wa zaman walikuwa warefu,
@edlumala94287 жыл бұрын
Si kila mchina anajua martial arts, au kila aliyevaa kitenge basi Mnaigeria! Pia si kila mrefu awe mcheza Basket! Huko america kuna watu warefu balaa na unakuta mpishi tu katika restaurant.
@twaibumikidadi73774 жыл бұрын
kweli kabsaaaaa
@mpendakiswahili3053 Жыл бұрын
Wewe, umenichekesha....
@muindijohnson Жыл бұрын
@@mpendakiswahili3053 Kokkk
@teresiamwende86064 жыл бұрын
Aisee n vile Niko mbali. Ningekutafuta nithibitishe Kama n sawa au masiara😁😁😁😁😁😁😁🥰
@tatuhaji65755 жыл бұрын
Pole sana kakaangu ila usijali mm nakupenda na na natamani kukuona jee nitakupata wapi
@magessamtoni8296 жыл бұрын
wawooooo, nimempendaje huyu kaka jmn
@fatyqueen3464 жыл бұрын
Ka mtafute sasa
@stallahsamwel56274 жыл бұрын
Kwani yy siyo mtu lazim apendwe
@mwasianoezekiel51504 жыл бұрын
Huyu jamaa.. Nimekutan nae 2016 Decent open school wakat tupo form six alikua anaish pale decent hostels... Jamaa flan cool Sana yaan
@rehemahussein70657 жыл бұрын
Eti kampiga tu kibao akawa kama kachanwa na kisu hahahhahahahaaa anatishaaa
@jemedary62717 жыл бұрын
hicho kibao cyo cha kawaida
@josephernest6456 жыл бұрын
Ha ha ha ha hicho kibao do !
@pflypfly67224 жыл бұрын
Hahahhahaha nimecheka Sana
@juliethhouseofdesigns1474 жыл бұрын
😂😂😂
@charlesnjige29764 жыл бұрын
Huyo pawa mwanza kibaotuuuuuuuuuu jamaniiiiiiiii me nakufa
@erickelia98263 жыл бұрын
Pole sana mtani
@ramadhaniomarishauri99056 жыл бұрын
Stop boling Tanzania peoples huyu ni kijana kama vijana wengine..god bless u bro😎
@gracekagoma32313 жыл бұрын
Usijali kabisa ndugu yangu
@abuubakarkichimbo99574 жыл бұрын
Wasemehee tuu hao wanaokuita jina la tool wakati hulipendi
@annenduku52433 жыл бұрын
Omba mungu ufike America.watakulipa kisawasawa tena uwe citizen.just wait.
@ramlabaruani42024 жыл бұрын
Mrefu mpaka sauti ndefu dadadeki najiuliza na huko chini je ni parefu 🤣
@farijala14 жыл бұрын
Wewe Ramla, Ndio nini hicho
@eliakazana72523 жыл бұрын
Mbegu za Mwanamalundi alizoziacha,kihistoria Mwanamalundi alikuwa ni kitu refu sana lenye mwili mkubwa,sehemu aliyotoka huyu Julius sishangai kbs!
Take it easy some people are very primitive.move on
@defrinepaul70467 жыл бұрын
duh!! sio kwa urefu huo best we kubali yote yan 😀😀😀😀😀
@omanimujsa97564 жыл бұрын
Maskin
@braysonminja67447 жыл бұрын
mbona m mrefu zaid yake,milard ayo njoo mnihoji
@ellynikotv71787 жыл бұрын
Brayson Minja *Huyu jamaa mrefu sana*
@marrykamera68937 жыл бұрын
tatizo nyota😂😂😂
@jennlafilin22516 жыл бұрын
Brayson Minja hahaaa
@cipladapretty86176 жыл бұрын
Brayson Minja😂😂😂
@elizabethminja50066 жыл бұрын
kekekekek
@mwanaidinusra42487 жыл бұрын
Manshallah mrefu hadi raha
@ivonvena94093 жыл бұрын
Raha Tena😆😆😆
@ivonvena94093 жыл бұрын
Raha Tena😆😆😆
@noelgasto79895 жыл бұрын
Yan huyu jamaa kwa urefu wake anaweza kuona hata kesho
@ethelkatambala16595 жыл бұрын
Hahahaaaaa
@aklass360photobooth8 Жыл бұрын
Nilimpiga kimbao😂😂. Nilimguza kidogo tu
@saulosarmiento86326 жыл бұрын
7:30 kaniacha mbavu sana sehemu hiyo
@elkanaelmashallah24814 жыл бұрын
Huyo msela miaka ya 2007 _kuendelea alikuwa muokota mabox hapo lumumba opposite na shinyanga Guest
@teresiamwende86064 жыл бұрын
Kwanza huo urefu 😋😋 inamaana chombo n kisafi😋🏃🏃🏃🏃
@aishaeliaslocalmusic84967 жыл бұрын
ma giant, sauti pia giant wallahi
@famally71387 жыл бұрын
aiiiii yan kibao tu unachana taya je tekeee si unatoa utumbo kabisaa
@scayzuu96097 жыл бұрын
MASHAALAH UCJALI NDO BINADAMU TULIVYO WE FANYA YAKO
@famally71387 жыл бұрын
#sarahsz polee ntakupaa zangu
@elizabethminja50066 жыл бұрын
kkkkk
@nuruhatony53905 жыл бұрын
Fam Ally. 😁😁😁😁 mtu unachek kama mazur
@salama26254 жыл бұрын
Hahahaaaa jmn dah
@heridadia96343 жыл бұрын
Jikubali broo mbona uko vizur tu wp waref zaid yako ila wanaenjoy
@azizaijumaa92677 жыл бұрын
hamjafa hamjaumbika nakama hamjazaa mtazaa urefu so tija angali kaumbwa msimkufuru muumba yeye muumba analake jambo mbona vidole haviko sawa mfupi atamani urefu na mrefu atamani ufupi kwahiyo broo jikubali mwenyewe usifikirie la mtu yote pumzi moja
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Safi sanaaa
@hitmanhunter95577 жыл бұрын
bro wengine wafupi sisi tunaomba urefu kila siku....mademu wana tudiss wafupi...we shukuru kwa yotee kakaa...
@jemedary62717 жыл бұрын
hahaha
@happymilangasi59047 жыл бұрын
hitman hunter too much is harmful😂😂😂😂
@kacherosimba57624 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@epainethowanjara65467 жыл бұрын
uko vzuri du kumbe walefu tupo weng nlifkili mm 2
@janethpallangyo26333 жыл бұрын
😆😆😆
@westmanmoses5413 жыл бұрын
Aisee mimi mwenyewe mrefu
@bintiiddy70434 жыл бұрын
Kaka usjione mnyonge urefu wengi wanautamani Mungu mwema
@Slingshots84 жыл бұрын
Mimi Na hii mwili yangu ndogo,ndio nasumbua hivi? Je nikaupata mwili huo? Acha ata unavyosema wanakuona wanakimbia,mimi furaha yangu itakuwa wapuruke 😂
@antonyvallerian17187 жыл бұрын
mbona sisi wafupi mtufuati au ufupi ndio hauna nuru
@mazolamohamed61387 жыл бұрын
ukiona ivo Hauna ufupi uo upo kawaida tuu!uxhamuona MTU mfupi kuliko wote duniani
@salymkitumbika86445 жыл бұрын
Mpo wengiii tatizooo
@thomasmwakatobe82074 жыл бұрын
Andunjez ni wakolofi sana ndio maana hawahojiwi 😂😂😂😂
@nasraabdallah8504 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@leahjoram76934 жыл бұрын
Ndio nashangaa na mm hapa mfupi sijapata interview
@cheiknamouna20584 жыл бұрын
Ni mrefu Bado ana matege Kama yote sipati picha akikupiga mtama
Nimempenda bure,huo ndo uumbaji wa Mungu, naupenda uumbaji wa Mungu sikuzote na huwa sipendi mtu amtoe mtu kasoro, maana hata ww huenda Mungu hajamaliza kukuumba, ndo maana huwa wanasema hujafa hujaumbika
@TRAVELANDTASTETANZANIA7 жыл бұрын
Mkeo atakuwa anakuogopa hata kofi la bahaba litamchana duh!
@annnyagaki48984 жыл бұрын
Uko sawa bro
@hollymore49047 жыл бұрын
wanawake msiotupenda wanaume wafupi... chukuen no ya Julius apo
@modestsharia71277 жыл бұрын
HOLLY MORE 😂😂😂
@smakaveli79656 жыл бұрын
😂😂😂😂
@elizabethminja50066 жыл бұрын
akuuu
@priskajustin7074 жыл бұрын
Nitamchukua
@susannyambura78196 жыл бұрын
Usijitharao ww ukopoa ni maubile ya mweyezi mungu kuwa mwepesi usije ukakasilika kwaharaka jivunie urefu wako ukosawa mm nimekupeda tu juu ya urefu na weza peda tuedanishe na ww na weza linga sana ama na weza jivunia kutebea na ww i like you
@aliceudoba36727 жыл бұрын
mshukuru mungu kwa Mila kitu
@JakirBdJakirBd-gv1jr7 жыл бұрын
pole sama my frnd...mbn kawaida tyuu
@marygregory75666 жыл бұрын
5:33 hajui tatizo nn
@annenduku52433 жыл бұрын
Dont listen to people who are not of any help to you.watashangaa ukimalizia America.nakutabiria na mimi ni mkenya.
@peterdalushi57133 жыл бұрын
Jamaa yupo vizur
@kacherosimba57624 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mzee baba unaishi wapi nianze kukuogopa mimi nipo dar maana kibao chako tu uta uwa
@husnasalim57394 жыл бұрын
Ukiwa mrefu sana lazma uwe na matege?? Maana nauona mwengine nimemuona kenya mrefuuuu na anamatege
@Purplecheque7 жыл бұрын
😧😧 maskn..nisha mkibiaga mdada mrefu kweli nilijua jini maana ilikua giza worse enough na yeye akawa ananikimbilia alijua nimeona kitu 😅
@prettyakoth43067 жыл бұрын
Jazy ray - hahaa jamani hata mm naeza kakimbia mm
@rehemahussein70657 жыл бұрын
Hahahahhaa km nawaona mlivyokua mnakimbiana hahhahahahahaha
@Purplecheque7 жыл бұрын
Rehema hussein acha tu 😂😂
@abujamij81267 жыл бұрын
Huyu jamaa namfahamu ameshawahi kufanya kazi ya kuuza mabox pale makoroboi Mwanza. Naamini atafanikiwa.
@fredrickfidelis37707 жыл бұрын
Abujami J kaka ww utakua mwenyeji wa mwanza dogo alikuaga ni mtu wakujitenga
@careenjonasy62236 жыл бұрын
aisee wew kaka itabidi uende maombi kaaaa upige mtu kibao achanike kikubwa hivyoo duuuu jee ngumii simeno yote yatatoka
@jaystar10047 жыл бұрын
Aya me nakuita sasa 'TALL' njoo unipge😂😂😂😂
@linahsemindu95754 жыл бұрын
acha uchokoz😂
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Nenda kamuitie karibu yake unaongea wakati upo mbali nae😂😂
@charlesnjige29764 жыл бұрын
Weeeeehhhhh ucludie akikushika atakunyanyua akupige kichwa utoke ubongo 😬😬😬😬😬
@officialseif64224 жыл бұрын
😂😂😂
@annajoseph99554 жыл бұрын
Atakupiga kibao hadi utakunya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@emtisalramadhani89044 жыл бұрын
Dala dala sio fupi ila we ndo umezid urefu
@everinemhagama4314 жыл бұрын
Sasa upendi kuitwa toru VP wakati Ww mlefu .? Usichukie ndo toru sasa .
@elizabethrichard51853 жыл бұрын
😂😂😂
@ARFIddy7 жыл бұрын
Masha Allah
@iyadi_reeves Жыл бұрын
2023🔥🔥
@ameyashey31744 жыл бұрын
Mi mwenyewe nilishawahi kumuogopa nilimuona mbagara biasi ningekuwa peke yangu ningekimbia sema kuna watu niliongozana nao
@andrewsteven53754 жыл бұрын
Duu Ni Kofi Tu naa kapiga kidogo Je yeye angumpiga kwa nguvu maana kampiga kidogo anger Die.😆😆😆😆😆😆😆
@sudaissaid84283 жыл бұрын
Hashim unamzidi
@angelanyauringo72847 жыл бұрын
maumbile yake s makubwa mkijamiana s atakuuwa mnavyofika mshindo
@mashakanyenzi9047 жыл бұрын
Angela Nyauringo mambo yako hayo, lazima akutoboe s*#$@$
@saidhamisi70446 жыл бұрын
mhhhh angela nyie wanawake mnamatatizo mpate mashine kubwa shidaaaa mpate kibamiaaa shidaaa mnataka mpewe nn sasa??
@boscomakingi19785 жыл бұрын
Angela Nyauringo anishindi mm,mi mfup kimwili ila kwa chini mlefu hadi nawatoa damu
@bennykamuggy51746 жыл бұрын
Huyu jamaa nampata 😂😂😂, siku ya kwanza namuona alikuwa anakatiza kwenye mitaa ya Lumumba Mwanza, hizi Gari ndogo ni kama ziko kiunoni mwake. Nilishangaa binafsi....
@levykiptoo8485 Жыл бұрын
Uyu akinunua gari steering na driver seat inafaa iwe kwa boot
@zuenaally92663 жыл бұрын
Huku kwetu yupo ila ni wakike
@rajabumapunda4547 жыл бұрын
ayo, uje simiyu walefu niwengi sana
@jumamkwanda1877 жыл бұрын
Afanye mawasiliano na Hashimu,Basketball ndio sehemu yake hasaa
@tamashamahuta843 жыл бұрын
nimependa hiyo miguu
@mbogotvonline14205 жыл бұрын
😂😂alichanika taya tuu ila mm nilimpiga kidogo
@charlesnjige29764 жыл бұрын
Angempiga kubwa angetoka mdomo wote wachini
@charlesnjige29764 жыл бұрын
Angempiga kubwa angetoka mdomo wote wachini
@akshaydavid1594 жыл бұрын
Hahahaa
@amayagirl31353 жыл бұрын
Nilimkimbia huyu jamaa tuvyolivokua tukimuag jpm
@mpendakiswahili3053 Жыл бұрын
"Nilimpiga kibao" nimecheka....
@tendatanzania83587 жыл бұрын
WWE World Wrestling Entertainment We need a men like this. Hakika wafaa sana kwenye wwe.
@zawadishabani13114 жыл бұрын
Mshakutana nae siku iyo kisewe nilishangaaa sana
@fadydebosslady39945 жыл бұрын
Tatizo kaona m2 mrf mnoo
@samoragoodwin73094 жыл бұрын
Jamaa yangu ongera upo hatua nzuri ongeza bidii kwenye mpira naomba nikutanie jina lako la Rwagasore mwaikimba vp
@akshaydavid1594 жыл бұрын
Huyu niemkurya sio msukuma
@chingychingy20666 жыл бұрын
ukivaa kanzu nyeupe kwa night kali mzee itakua poa sana
@avelinmaiko24554 жыл бұрын
Duuh kumbe ww dogo wakat tunakuta umiseta ulikuwa form one
@annenduku52433 жыл бұрын
Feel oky .you are oky.
@husseinsimba79465 жыл бұрын
Watu warefu tunapata Tabu kung'ong'wa Visogo
@sijalikifunyo9124 жыл бұрын
Jamaa sura yake Kama wale wa kwenye movie ya avata.
@lovenessferdinand36644 жыл бұрын
Shida ni kwamba huikubal Hal yako ..utakapojua kujitambua utainjoi sanA Na utageuza Hal hyo kua fursa
@ndukulusudikucho_4 жыл бұрын
Sio tu mrefu Bali amejaaliwa matege ,Madaktari wanajua
@fredrickfidelis37707 жыл бұрын
wakurya tuko juu dogo wakilisha watoto wa sahara
@mwanaidhussen13254 жыл бұрын
Ata mm ningekimbia ningewaza ni jini🤔😂😂😂
@saidihaji30237 жыл бұрын
ndo maana huwa nasema hivi mjarbu kwanza kutembelea vijiji mnaona watu xaxa huyu jamaa ana urefu gani kuna warfu mirrd
@emmanuelzao4 жыл бұрын
Hivi watu wafupi nao huwa wanasema “nikuja baada ya muda mfupi” au “wanasema Nitakuja kama nilivyo”?