Pongezi sana Mhe.Mizengo Pinda kwa shamba lako nzuri sana.Inapendeza.
@mathiasmwale15543 жыл бұрын
Waziristan mkuu mstaafu hongera Sana kwakujituma ktk kilimo umetisha saaaana
@nayopamlimbatv13825 жыл бұрын
Unalamba pamoja na asali yaan aaah! Bomba kabisa alie sikia kauli hii like hapa
@aishaomar43185 жыл бұрын
😁😁😁
@petersume27805 жыл бұрын
kabisa
@gadikipenda74095 жыл бұрын
Aliemtuma huyu muandishi kwa Mh Mtoto wa Mkulima big up, Mzee wa kusikiliza sana ila maneno machache yenye nyama. Big up Mzee wangu Mh. Mtoto wa Mkulima, ulifikiria vzurii kuwekeza M/Makuu ya Nchi hongera kwa wazo jema pia. Dodoma juuu
@hansmhalila90194 жыл бұрын
Hongera Waziri Mkuu Mstaafu Pinda-Mtoto wa mkulima kwa kuonyesha mfano katika kilimo.Hususani Mkoa wa Dodoma.
@yusufhassan55 жыл бұрын
UNALLAMBA ......UUUUU..... BOMBA KABISA ! I like that ! Very beautiful Farm.
@johnngowi14874 жыл бұрын
Ni mfano wa kuigwa na watu wote hongera Sana Mzee pinda.
@jamessanga31383 жыл бұрын
Hongera sana muheshimiwa waziri mstaafu,unanivtia sana kwa habari za kilimo.Ningepata fursa ya kukutana na wewe.OMBI LANGU LINGEKUA NI MOJA TU (NATAMANI KUFANYA KAMA WEWE, UNIPE FURSA TU.
@ivansutta1664 жыл бұрын
muandishi ana weka miek kwake tuu.... na video editor ameweka ma sauuti ma melody tuuu.... hongera mzee Pinda that my passion
@danielchilongani23855 жыл бұрын
Hongera sana PM mstafu kwa kilimo cha kisasa Tusaidie wakulima wadogo wadogo wa zabibu Dodoma kuimalisha kilimo haswa viwanda vya kununua zabibu za wakulima Tembelea vijiji vya ngahelezi handali chanhumba ndebwe mvumi uone wakulima walivyohamasika
@edwardsilingo49635 жыл бұрын
Mbona mmefupisha jamani mngefa hata saa limoja nimeipenda 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@emmynico5 жыл бұрын
Safi sana Mzee Pinda.. ni kitu cha kujifunza kwa sisi vijana
@ngaboibrahimu76475 жыл бұрын
Hongera Sana Mzee Pinda. Hii inahamasisha ushiriki WA watu wengi has vijana kwenye kilimo kwa kiasi kikubwa.
@kamekafuraha14654 жыл бұрын
Duh huyu mzee hakika ni mfano wa kuigwa Anastahili kuwa kiongozi wa mfano Hongera sana Mtoto wa mkulima ulielazimishwa kuwa waziri mkuu Na ukalazimishwa kuvaa mpaka suti
@eligiusvitalis35045 жыл бұрын
Mweshimiwa yupo. Makini kujibu Maswali sana .
@jafabanda63824 жыл бұрын
Mzee pinda safi sana kweli ww mfano wa ukweli mungu akubariki sana.
@cottonempire68045 жыл бұрын
Good Mashalah mama uko vizuri mrembo na hongera kwa kazi nzuri
@stevenmasato57874 жыл бұрын
Apigwe tu kama akikaidi apigwe tu, 😂😂😂😂 i remember dis moment. keep it up mstaafu wangu
@kambamazig020249 ай бұрын
Mh. Pinda hongera sana kwa mchango wako mkubwa kwenye kilimo cha kisasa na uwezo wako wa kuwafundisha watanzania wengine. Nyuki ni muhimu sana, huku California wakulima wanalalamika sana kuwa pollinator bees wamepungua sana kiasi mimea mingi ya matunda sasa inashindwa kutoa matunda.
@kamishina78535 жыл бұрын
Hii inaidhininisha kuwa mtoto wa mkulima hukujali ngazi ya uongozi uliyotoka ulitambua utu na kuishi na watu wa hali zote hongera sana Pinda
@matalo05514 жыл бұрын
Nakukubali sana mheshimiwa Waziri mkuu Mustafa, Mizengo kayanza
@patricknamangoa64683 жыл бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Pinda kwa uwekezaji bora kabisa.
@nelson01empire96 Жыл бұрын
This is superb,order in the farm is 💯 I like the farm
@marijanimrope65033 жыл бұрын
Da jamani aya ni maojiano au kuna film ndani yake yaani huo mziki unaosikika back playe unapoteza umakini wa kusikia vizuri hayo maojiona next time mshughulikie mambo kama ayo sauti iko too much sana asanteni
@shijandipo8 ай бұрын
Hellow...may I get contact? I wish to vist there?
@umfarid2474 жыл бұрын
Nimependa sanaa mashamba mifugo na vyote vilivyomo ndani asante mweshimiwa
@andreadaniel2144 жыл бұрын
Very good work..for our African leaders...
@nyavaelly4974 жыл бұрын
Daaaaah nimeenda ghafla kubali sana mzee wetu Mizengo Pinda
@lucaschrisostom66473 ай бұрын
Nice video,but the music on background was unnecessary,
@charlesambrose17085 жыл бұрын
Big Up Former PM Pinda
@kisombolaestate84255 жыл бұрын
Former hahah
@mjukuuwakaswaga18084 жыл бұрын
Huu mradi ni wa mamilioni But hongera sana mheshimiwa.
@polloz775 жыл бұрын
Hongera sana Huku ni mfano mzuri sana kwa. Viongozi wengine na watanzania wengine Inspiration
@ilovejesus93035 жыл бұрын
😄😄😄😄 inspiration? Hela za wananchi ukiwa madarakani
@gilbertjackson555 жыл бұрын
Inspiration kweny kodi yko asee think big
@dorothyannan81845 жыл бұрын
Napenda sana...maendeleo ya Mzee Pinda...naiga sana kutoka kwake
@deepahans23903 жыл бұрын
Leading by an example. A True Role Model. Impressed by the farm layout.
@joycekingu15303 жыл бұрын
The music is not necessary at all . Mheshimiwa hatumsikii kabisa
@benjaminilunga88264 жыл бұрын
Mungu mwema ambariki mzee wetu Pinda
@karimmsosa42624 жыл бұрын
Kama umeona mtangazaji amengatwa na nyuki mkononi like ila mtangazaji yako poa.
@kulwasengaauasengapaul96765 жыл бұрын
Aisee hongera mzee
@blasiusabel25765 жыл бұрын
Wonderful Content!!, music is distracting though!!
@EK-kp2np5 жыл бұрын
U mfano wa kuigwa mkuu👏🏻👏🏻👏🏻
@edhe97724 жыл бұрын
Very well presented, may be the first one I have seen in a while 🙏🙏
@pascalnganguli30294 жыл бұрын
"Kweli mtoto wa mkulima umetimiza na kuonyesha mfano kweli kweli," hongera sana kiongozi wetu.
@rahelmilami12715 жыл бұрын
hongera sanaa Mzee wetu 😘😘😘😘😘pinda
@victormavika916811 ай бұрын
Quality content but the background music spoils the whole thing. With 5M subscribers one would think editors wanajua hili.
@yusuphphilbert41654 жыл бұрын
Nimekuelewa waziri mkuu mstafu we ni mwl mzuri endelea kufundisha watanzania kwa vitendo MUNGU AKUBARIKI
@annamushiaminaaa43674 жыл бұрын
Daaa ekar ngpii hizo ebu muda mwingine elekezeni nguvu Angalau kidogo kuangalia yatima, hongera mzee.
@EsterPaul-uc7ny8 ай бұрын
Duuuuh pongez mhe hakika wew mchapakaz sanaaa baba angu
@PaskaliCharles-pz8ds10 ай бұрын
Hongera sana mh pinda
@nicebatare273710 ай бұрын
Waziri ni yeye mfugaji ni yeye mkulima ni yeye watu wa chini hata soko wanakosa jamani 😭😭😭
@jumasaid88924 жыл бұрын
Hongera sana Mheshimiwa lakin ushauri kilimo na mashamba unakua mtumwa unakua na stress mara madawa ,mbegu,palizi,ujenz,hiyo ndo shida
@latenitepiano4 жыл бұрын
“Haya ndiyo mambo mnayo takiwa kutu onesha sisi Wa Tanzania 🇹🇿” “Siyo mna tuonesha watu wana ishi makaburini, Halafu mnaenda usiku wa manane ku chukua videoclip huku mki lishwa ugali na mboga isiyo na chumvi, Kisha mna oneshwa katoto ambako hakaja nyolewa nywele tangu kuzaliwa” “Ina kuwa kama ‘Sangoma au Voodoo vile! Yaani ni kama aina fulani hivi ya uchuro 😡” “MWENYEZI MUNGU ibaraki Tanzania 🇹🇿🦚🌴🏝🌳❤️🌹🥀” “Amen 🙏🏾”
@georgemassebu208311 ай бұрын
Sasa hii music background ni ya nn?
@angelomfilinge866210 ай бұрын
hongera sana umeonyesha wazi kuwa wewe mjasiriamali halisi
@latenitepiano4 жыл бұрын
“🤩 Ndiyo inavyo takiwa namna hii” “MWENYEZI MUNGU ibaraki Tanzania 🇹🇿 🙏🏾” “😍 🇹🇿🦚🌴🏝🌳❤️🌹🥀🙏🏾”
@noelngowi27005 жыл бұрын
Hongera mheshimiwa. Ni mfano bora
@edwinrichard39244 жыл бұрын
Yuko vzr mzee
@asengasefu27674 жыл бұрын
Mzk umeharibu, Hongera mzee
@joshuabanda86734 жыл бұрын
hongera mkuu kwa uwekezaji
@LaurentMasele-f4c10 ай бұрын
Safi sana PM
@praygodmbisse-cc1tx Жыл бұрын
Hongera sana mizengo pinda
@jamessitati73965 жыл бұрын
The story is good, the music is not necessary, kwanza miziki yenyewe ni kama ile ambayo huchezwa msibani.
@latenitepiano4 жыл бұрын
“🤣🤣🤣”
@kaulimbiu1813 жыл бұрын
Kweli mziki wa nini na zaidi ni mziki inaoibua hisia za huzuni na kugubikwa na simanzi
@neemamdami74663 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@ezekieljacob57959 ай бұрын
Usitukane wewe sikiliza elimu unayopewa,muziki haukuzuii kusikiliza
@@arqamibnarqam.7185 alhamdu Lilah waallakuli halli namshukur Allah kwa kuniamsha mwenye afya njema na kuiyona Leo tena alhamdu Lilah
@abditajir40484 жыл бұрын
Kila mtu ana complain sounds..hebu jaribuni ku focus kwenye story bhnaa msituchoshe kwn lazima muangalie??? Kama mliwatuma vilee..! Kazi ya watanzania ni kutafuta mapungufu tu kila siku..story iko sawa ,sound iko sawa, niko busy naskiliza story wala sound siskii mpaka nilipo ona complain
@geofreymahujilo96003 жыл бұрын
Sound iko owk tu ..sijui wancomplain nn jmn
@elinazadaniel37214 жыл бұрын
Mzee umeni inspare najipanga kuja dodoma kwenye zabibu
@abasabasimwache58444 жыл бұрын
Zabibu tunda zuri Sana mungu akubariki mkuu
@joramjackson39524 жыл бұрын
Hogera wazr mstaafu Kwa kudhubutu kuwa mkulima ctad Kwan umekuwa mfano kwetu vjana wa taifa la tanzania
@johannesmaloda82094 жыл бұрын
Mzee mzalendo sana na mstaarabu kweli kweli,lkn makelele ya mziki story imeboa
@allymanyika35023 жыл бұрын
Sass hayo makelele ya miziki ya nini?tunashindwa kusikiliza yanayosemwa
@meedaafarai96775 жыл бұрын
Nice👍
@kisasarob7514 жыл бұрын
Mimi huyo mtangazaji tu..daaaah anaitwa nani nikae hapo rangi ya mtume hiyo mashAllah mzee Pinda mwenywe lazima kaomba mazungumzo nae ya pembni hiviiii
@sudaissoud36703 жыл бұрын
Mtume ni muarabu pure sio mkorogo..Mtume alikua mzuri hana mfano...
@jessemathew46964 жыл бұрын
Mziki upo juu kiasi kwamba hatumsikii vizuri
@badimfangavo83544 жыл бұрын
Nice
@erickmachua88295 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana Ila hiyo Soundtrack imekuwa too Loud.. na hii imekuwa tatizo kubwa sana kwa Tanzania iwe ni interview au Movie,Mnapenda sana Loud Back ground Music..After All sijaona umuhimu wa kuwa na Hiyo Background Music.
@fadhiliakida86095 жыл бұрын
Brother umeongea ki technically hili ni tatizo kweli kwa clip nyingi sana
@malcomg10045 жыл бұрын
Tatzo vyuo vya kusomea taaluma hii ni vya uchochoron na serikali inadai imevisajili.huwez kufanya upuuzi kma huu katka karne hii halafu unaweka youtube ambako kuna wabobezi zaid wa hizi mambo.ujinga sana
@ezekieljacob57959 ай бұрын
Wengi tunapenda hii miziki yaani nyie mmezoea lingala
@fadhiliidafa50445 жыл бұрын
Aliyeedit hii show kashindwa kubalans kati yasauti yamuziki na mahojiano...
@mbarikiwambarikiwa39884 жыл бұрын
Jamani pesa ndio kila kitu, bila pesa huwezi Fanya haya yote make hata km ni kuku peke yake kuwafuga ni gharama kubwa sn. Mzee alijipanga hyo.
@felixkamkala33035 жыл бұрын
GREAT MZEE PINDA
@raphaelkatanga53353 жыл бұрын
Mzee safi
@justusgration86954 жыл бұрын
PONGEZI KWAKO Mh.Pinda hakika ni mfano mzuri wa Kuiga kwa Kiongozi anayestaafu.....
@ussikhamisussi48825 жыл бұрын
Next time hii funneral/sadness background sound msiweke kwa sauti ya juu na isitoshe mjue sounds za kuweka si hii ya funneral/sadness, kila sound ina mahali pake wazee.
@lembrismongi1034 жыл бұрын
Sawa kabisa mr hili nami nililiona sio poa kbsa
@mohammedali72965 жыл бұрын
Please if you don't mind try to reduce the music sound a bit louder. Congrats mheshimiwa great job
Atakaekataa kufanya kilimo apigwe tu 😂😁😁 maana hhakuna namna utapigwa tu
@amtawakal5 жыл бұрын
Hongera baba. Umeyaishi maneno yako. Natamani wengi tungekuwa na fikra na uwezo kama wako.
@frankmgendi87515 жыл бұрын
Cathelin umekua.mweupe kama unakunywa maji ya ray kigosi😂😂
@mohammedabdallah63905 жыл бұрын
Mimi pia sikumjua daaah
@husseinnyomi61205 жыл бұрын
Nikunyaga tu
@farhatfatma125 жыл бұрын
Ni aibu kumuona muafrika anachukia rangi yake kiasi hiki. Ni aina fulani ya mental slavery.
@emanuelmoshama38995 жыл бұрын
Kuna watu wana comment "mfano wa kuigwa" iga ufe investment ya mabilioni iyoo, ilo shamba ni hela tuu
@500gts94 жыл бұрын
Unaanza kidogo kidogo kaka, matonge madogo...usivamie
@mahamoudabas85554 жыл бұрын
Hayo mashamba ni ya mali ya wananchi wa Tanzania, na pesa zilizotumika hapo ni pesa zetu wananch za kodi
@albanbros67054 жыл бұрын
@@mahamoudabas8555 Hiyo pesa ni juhudi zake binafsi ambapo wakati anazitafuta wewe na Mimi hatukuwepo.Hilo ni jasho lake lililotoka kwa muda mwingi.
@claytonkellymwaisango52834 жыл бұрын
Ogopa kuiga baadae wenzako walioanza kidogo kidogo kwakuiga wakifanikisha kukuza brand zao wewe ubaki kuamini ktk freemason nakumtuza shetani
@lucasbartazari77974 жыл бұрын
Kwao ni Sumbawanga/Katavi, amewasaidia wakulima wangapi? Yeye anauza mazao kwa jina la nafasi yake, halafu anajidai kudanganya watu hadhalani. Maembe, zabibu, asali nk. siyo mazao mageni nchini, Leo hii yeye tu ndo agundue soko bora kuliko wananchi wa mikoa yote? Anawazidi hata waliomfundisha! Wapi bhana!
@georgerichard69515 жыл бұрын
Global mnapo kua mna fanya ivi punguzeni izo back voice tune
@josephlushinge8156 Жыл бұрын
Hafai kabisa Mimi simpongexi Leo wanajifanya wakulima gelesha Mimi nikilima pamba wiki Moja kabira msimu kuamxa nakutngaziwa bei ya pamba imeshuka ni nizarau kubwa sana pinda anatufanyia Leo wamefunga mipaka wakulima walala hoi tuendelee kuumi pinda acha kutuzarau acha kabisa
@500gts94 жыл бұрын
Tuko pamoja Kiongozi...motisha wa kutosha... 🇹🇿
@edwinkinyamagoha12284 жыл бұрын
daah kahabi, nahitaji uje unaifanyie interview na Mimi , maana Nina vitu vizuri Sana,
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
bado katavi huko hatariii huyu mzee ni kweli mtoto wa mkulima
@africanhappyadventure69515 жыл бұрын
Nafikiri kama mngetumia zile wireless Mic ndogo za Kuweka kwa shati tu ingekuwa Poa Zaidi..Nawaza tu
@longshot44845 жыл бұрын
Ndugu wewe ndio umenena
@shubackmashinga35354 жыл бұрын
Point
@abuuaymankhudhaifa79814 жыл бұрын
Cha msingi umeelewa acha usenge.
@johnstonemwesiga2365 жыл бұрын
MWANDISHI/MTANGAZAJI KILA MUDA WAOOOH LOH; ALAFU HIYO BACKGROUND MUSIC INALETA SHIDA
@gilbertsalvatory95905 жыл бұрын
Mmm ndgu kwa iyo hakuna zuri alilo lifanya?
@martinekallimbu6615 жыл бұрын
music jaman khaaa why not turning it below interviews sounds...
@soccertv2935 жыл бұрын
Hii system ya kuweka musik kwenye maongez siipend maudhui hayasikik
@hizamwaimu76345 жыл бұрын
Inapendeza Sana
@misschagga80425 жыл бұрын
Mziki unakera sanaaaahata sisikii vizuri kwani bila mziki ujumbe si unafika?tunakosa kusikia vitu vya muhim kuhusu kilimo.
@amryzarck32555 жыл бұрын
Ajakosea
@valentineevarist56285 жыл бұрын
mbona sauti iko chini sana sema nime penda mzee ame invest kilimo vizuri sana
@marymghanga59224 жыл бұрын
hongera babaaa wewe ni mfano wa kuigwa
@sss3s8675 жыл бұрын
Mzee naona ktk suala Zach zabibu ameshikwa kichwa kujikuna. Lakini Amejibu vizuri mno.