aliyeona pombe/ ulevi katika ndoto na maana zake Skh:Jafari Mtavassy

  Рет қаралды 10,914

MTAVASSY TV TANZANIA

MTAVASSY TV TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@JanethMunisi-zr4lk
@JanethMunisi-zr4lk 5 ай бұрын
Ata sijakuerewa
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 ай бұрын
niulize nikujibu ndoto yako, pole sana
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 3 жыл бұрын
Waleykumusalamu warahmatuLLAHI wabarakatu,naghamu naghamu barakaLLAHU fiik
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
waalykummsaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah tabaraka Allah, shukran jazaakaAllah kheir.💕💕💕
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
wa alaykum khayrun minallaahi taala wa barakaatuh
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 6 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvnimeota baba yangu anakunywa pombe na yeye si mlevi ni mtu wa dini nini maana yake
@ishanihijabstyles5364
@ishanihijabstyles5364 3 жыл бұрын
shuqran sheikh Allah akuzidishie kheri daima...ameen🤲
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
🤲🤲
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 6 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvshekh nimeota baba yangu anakunywa pombe na yeye si mlevi ni mtu wa dini, nini maana yake
@angelangaiza376
@angelangaiza376 3 жыл бұрын
Mungu aninusuru uwiiiii....😭
@dianamaombi2379
@dianamaombi2379 2 жыл бұрын
Hata ieleweki😎
@FaidaNzunury
@FaidaNzunury 3 ай бұрын
Mm nimeota mala kwa mala ndoto nimelala na Simba wanne nawahajanizulu sijajua inamaana Gani ndoto hii maana imekua ikijirudia rudia
@ninabizimana6869
@ninabizimana6869 Жыл бұрын
Nime Ota kaka yangu amelewa Sana Tena ame iba Tena sio mwizi sio mlevi
@bbb6nnn561
@bbb6nnn561 3 жыл бұрын
Mimi nimemuota alokua mume wang lkn kalewa lkn kule kweny ndoto eti hatujaachan lkn sasa mimi nilikua naongea yaan sikupenda wallah namwambia ramadhan hii unalewa bs kwenda mbele akagogwa na gari na mimi yaan najitahid kufany ibada sana na nilikua na was was kwelii lkn kama wiik sasa hiv namshukur allah was was sina yaan umeniondoka
@SarahEmanuel-i6b
@SarahEmanuel-i6b Ай бұрын
Nimeota mme wangu amelewa pombe wakati hanywi
@nibigiramwajuma7925
@nibigiramwajuma7925 3 жыл бұрын
Baraka -Allahu fih
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
wa fiika maashaallaah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 6 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvnimeota baba yangu anakunywa pombe na yeye si mlevi ni mtu wa dini nini maana
@stingagency1748
@stingagency1748 3 жыл бұрын
Assalama alaiyku aliyeota ni mwana make apewa viatu na mwanamke rafikiyake na rafikiyake mwengine akamvulia viatu pia akampa vya rangi ya bulu ya mamangu
@mohamedsurur2726
@mohamedsurur2726 3 жыл бұрын
Mimi niliotaa nime shikilia mikononi mwangu chupaa ya pombe na kunwa Na mimi sija wahi kunwa pombe maishani ina maana gani ndoto hii
@munirafaki8588
@munirafaki8588 3 жыл бұрын
Asalam alykm vp mm nimeota nipo na marehem baba tupo kweny gar zur mno tukaliweka na kondoka kwa mguu lkn nakujaona baba tayar amelewa wkt kiuhalisia cio mtu wa ulev nn maaan yake nimeota Ramadan ya saa 26 saa9:30 usk
@Zamzamfarag-b7e
@Zamzamfarag-b7e 9 ай бұрын
Mm sheikh niliota na kuku inatega mayai ndani ya nyumba yangu na rehemu mkaza wangu ananiambia nichunge isianguke mara Tena naona maziwa imemwagika kwenye kitu changu mara Tena naona marehemu mjombangu aki chunga kuku zimetagaa mayai na zimekaa juu ya mayai nikimuomba mayai ananinyima nn maana yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 9 ай бұрын
Ishara ya kupitiwa na hali ngumu kidogo kimaisha
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 6 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvshekh nimeota baba yangu anakunywa pombe na yeye si mlevi ni mtu wa dini, nini maana yake
@sasa-py8jz
@sasa-py8jz 3 жыл бұрын
Mm nilitoka nimeenda kwa mchumba wangu nafika hapo nilipo ingia kwa chumba chake nikaiona kitanda chake kimetandikwa vizuri kwa gafla pakatokea kijana mwengine yuko utupu akaanza kunifukuza anataka kufanya mapenzi na mm nikakimbia hakunipata hii shehe inamaanisha nn
@jeremybr440
@jeremybr440 3 жыл бұрын
Hello brother, Ukiota vitnguu vimeota kwenye kirere chake ina maanisha nini kwenye ndoto
@nzeyimanaanassi3585
@nzeyimanaanassi3585 3 жыл бұрын
Napenda kuota moto Wa gaz unawaka nashindwa kuuzima.nimeota niko napika jiko la gaz likakataa kuzimwa nikaita mtu anisaidie akakata nikaona inataka ripuka nikatok inje nikaisi kuunguwa kwenye mgongo nikabaki nakemeya
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
je huwa unapata migogoro ya mara kwa mara?
@nzeyimanaanassi3585
@nzeyimanaanassi3585 3 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv ndio nakuwag nahofu hofu sana
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 6 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvnimeota baba yangu anakunywa pombe na yeye si mlevi ni mtu wa dini nini maana yake
@kanisiamkoko7051
@kanisiamkoko7051 3 жыл бұрын
Shekhe Mimi nimeota nipo kwenye gari nasafiri tupo wengi kwenye gari tunasafiri, kufika njiani gani limesimama kwa muda, Mimi nikashuka kumuuliza dreva Kwa nini tumesimama Kwa muda mrefu ? Akaniambia tunaondoka sasa hivi kuliangalia like gari limebadilika kuwa Nyumba ambayo INA milango miwili. Ndoto hii INA maana gani?
@fatmaismail13
@fatmaismail13 3 жыл бұрын
Assalam Aleikum mie nimeota nimesahakitu mlangoni kwangu . kukumbuka nikafungua mlango kuchukua nikaona mtu amekiiba yule mtu nikamwita mwizi. basi yule mtu amenivamia nakuniangusha kitandani kutaka kuniua wakati nahangaika. gafla amepigwa radi akaarushwa na akapotea nini mana yake?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
maashaallaa hapo nakudokeza tu ndoa hapo inamashaakil kidogo ila subiri video ya mwizi kesho inshaallaa itakufungua ikiwa hujaelewa utaniuliza tena
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 6 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvshekh nimemuota baba yangu anakunywa pombe naye ni mtu wa dini, nini maana yake?
@habibuhalfani2038
@habibuhalfani2038 2 жыл бұрын
a.alaykum mimi nimeota naumywa pombe na sikuimaliz nilikunywa kwenye glassi ila mimi si mfanya ibada ila najpenda sana ibada ila najikuta siwezi ujana unanite,a
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Unaonywa kuwa makini na dunia, au utapata pesa angalia
@habibuhalfani2038
@habibuhalfani2038 2 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv sawa shekh mimi dunia imeniteka ila najaribu kujishughulikia ahsante
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 6 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvshekh nimeota baba yangu anakunywa pombe na yeye si mlevi ni mtu wa dini nini maana yake
@OoOo-rl8mk
@OoOo-rl8mk 3 жыл бұрын
Waaleykum salam warahmatullah wabarakatuh Sheikh mm huwa ninaota ninapo tembea mara ghafla macho yanakosa nguvu yakuona vizuri kadri nipo endelea kutembea yanazidi na hiyo njia huwa naona kunamilima na mabonde inafika mahala nina simama nahofia kuanguka halafu nashtuka na ndoto hii huwa inajirudia mara nyingi sana nashidwa kuona vizur nini maana yake?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
upo wapi wewe mkoa gani? chukuwa namba zangu za tigo njoo whatsap nikumbushe kisha nit4azungumza na wewe pole sana
@OoOo-rl8mk
@OoOo-rl8mk 3 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv in shaa allah sheikh
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 6 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvshekh nimeota baba yangu anakunywa pombe na yeye si mlevi ni mtu wa dini nini maana yake
@fatmaismail13
@fatmaismail13 3 жыл бұрын
Mume wangu aliota amebeba paka mweupe nini maana yake?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
paka wa rangi hiyo ni moja ya hawa mzinifu,mtu muongo,tapeli,mtu mlaghai, rafiki kigeugeu nk sasa hapo mume wako kuna moja ya hayo analo
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 3 жыл бұрын
Pole mwaya mungu akubadilishie tabia ya mumeo kwani ni hatari kuishi na watu wa aina hiyo muombe funga my utoke sadaka mumeo mungu am badilishie tabia kwani hakuna kinachoshindikana kwake JALAJALALO
@berrymshana4686
@berrymshana4686 3 жыл бұрын
Shehe mimi nimeota nimekunywa pombe chupa 2 na nikalewa sana lakin sijazungumza kabisa kwenye hiyo ndoto zaid yakujishangaa kwa nini nimekunywa pombe na wakat mimi si mjwaji kabisa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 6 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvshekh nimeota baba yangu anakunywa pombe na yeye si mlevi ni mtu wa dini nini maana yake
@angelangaiza2274
@angelangaiza2274 3 жыл бұрын
Video hii haifunguki!
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
angalia tena mtandao tu
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 6 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvshekh nimeota baba yangu anakunywa pombe na yeye si mlevi ni mtu wa dini nini maana yake
@yunisalfarsi6168
@yunisalfarsi6168 3 жыл бұрын
Nini maana ya kumuota mtu aliye kufa na akiwa amelewa pombe
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 3 жыл бұрын
Sheikh naomba number zako za simu
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
+255656606014
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 6 ай бұрын
​@@MTAVASSYTvshekh nimeota baba yangu anakunywa pombe na yeye si mlevi ni mtu wa dini nini maana yake
@stingagency1748
@stingagency1748 3 жыл бұрын
Assalama alaiyku aliyeota ni mwana make apewa viatu na mwanamke rafikiyake na rafikiyake mwengine akamvulia viatu pia akampa vya rangi ya bulu ya mamangu
Aliyeota anavuta sigara na maana yake
17:34
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 4,7 М.
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 210 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 17 МЛН
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 57 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 29 МЛН
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:59:57
Aliyeona nguo /mavazi Ndotoni Skh :Jafari Mtavassy
30:17
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 43 М.
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:59:21
Ndoto ya zawadi : Skh Jafar Mtavassy
4:35
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 1 М.
Aliyeona ndoto ya nywele [02] (@MtavassyTv
4:51
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 154
KUOTA UKIWA SOKO INA MANISHA NINI?
1:32:44
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 5 М.
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 210 МЛН