MTAZAMO WA KAKA YAKE LISSU JUU YA SERIKALI HII YA MUUNGANO/SIWEZI IHITAJI ZANZIBAR/TUNAJITOSHELEZA..

  Рет қаралды 4,312

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 4 ай бұрын
Wewe ndio huwahitaji ila mupo wengi huku wanahitaji 😂, Ujue muungano ndio linachelewesha new Zanzibar
@komboomar8275
@komboomar8275 4 ай бұрын
*Cc tunaomba kila siku tuwe na zanzibar yetu wasukuma na wachaga muingie kwa passport na cc tutaingia bara kwa passport bila shida...Chadema hataacha uchochezi hadi kiama kisimame*
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 4 ай бұрын
Chadema Hana hasira kwasababu kashindwa kutoboa Zanzibar Sasa anataka Zanzibar iondoke ili aweze ingoza lakini hata Zanzibar ikiondoka katika muungano..chedema ataweza shika nchi maana ni wachaga wale wale ..
@1961nungwi
@1961nungwi 4 ай бұрын
Umejichanganya hujaeleweka. Andika tena
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Kweli we chizi hujielewi
@Badvoice707
@Badvoice707 4 ай бұрын
Mchaga ni na nani unajua kweli siasa wewe lisu ni mchaga acha kuingilia usijokijua toa hoja kwa ulichosomea sio kuingilia ingilia
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 4 ай бұрын
Huyu naye mpuuzi mwingine hapa ukabila unatoka wapi hapa ,anyway lisu sio mchaga ,na akitokea mchagga mwenye uwezo why not,utusiletee ukabila hapa!!@!vigezo ni muhimu
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 4 ай бұрын
Mnapiga kelele kila Siku kua mnataka katiba Mpia lakini hamtaki kuchangia fikra zenu ! kwa sababu ? lengo lenu !? sio manufaa ya watz aidha mnataka tz yiharibike katika Amani na usalama kwa faida zenu nyinyi wa chadema
@omarali797
@omarali797 4 ай бұрын
Wao ni unitary union Sisi federation
@VeronicaMwakimbingi
@VeronicaMwakimbingi 4 ай бұрын
Tunataka serikali tatu kwa ajili ya kutulindia mali zetu,zinzochukuli km ni shamba la bibi,lapili
@AhmedZahor
@AhmedZahor 4 ай бұрын
Kila siku sio tunaomba uvunjike Wanzazibar Bara wawekezaji nyie Mukija huku wizi ujambazi kutufujia tu
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 4 ай бұрын
Wewe mpuuzi kweli kweli hivi sasa zipo Serikali mbili Wazanzibari wanatukanwa Jee! Ikiwa Serikali moja si mtawanyea kabisa? Mnahisi kwamba Wazanzibari ni wajinga, wauze nchi yao kwa ujanja wa Tanganyika kuvaa jina la Tanzania. Kwa hilo bado sana, kosa lililoganyika mwaka 1964 msitegemee kwamba lifanyika tena.
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 4 ай бұрын
Tokeni hapa chuki zitakuueni mkiwa mumesimama wima hata wazanzibar hawataki muungano kwendeni huko ujinga tuu Yes mama samia mitano tena pumbavu wewe
@mwalimhamad3825
@mwalimhamad3825 4 ай бұрын
Wandishi mnazingua kuraka ruka maneno mnamanisha nini mnarukisha maneno kama mumechoka kazi acheni
@MalengoKai
@MalengoKai 4 ай бұрын
Kaunde ya kwako
@alinabhan952
@alinabhan952 4 ай бұрын
Wewe mzee Kama nduguyo Lisu speaking totally rubish only RUBISH AND NONSENSE. Iliyopaki CHUKI.
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 4 ай бұрын
Your rubish yourself,
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 4 ай бұрын
Sauti yake ni hio hio kama Kaka yake lissu kweli niwa Tanzania damu hawa ?????
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 4 ай бұрын
Saf
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 4 ай бұрын
Acha ujinga. Nendeni kwa mabasha wenu huko mnakopewa hela ya kuvuruga nchi hii, tena hizo hela mabwana zenu mnaona hizitoshi, mmeaanza utapeli wa kuchangisha wajinga hela nyambafuuuu.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 60 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 60 МЛН