Рет қаралды 13,082
#shortfilm #mtcibalambeya #movies
KWAYA YA WATOTO WA "MTC IBALA MBEYA"
MTC ni kirefu cha neno MTUKUZENI CHOIR na neno IBALA ni jina la USHARIKA wetu tunaotokea yaan USHARIKA MORAVIAN WA "IBALA" Kutoka UYOLE YA KATI JIJINI MBEYA..
Hakika tutamtumikia Kristo maadam tungali hai kwa hali na mali tutakanyaga shetani mpaka aseme shikamo..
Tunapenda kuwakaribisheni wote kwa mialiko na maoni mbalimbali ili tuweze kuendelea kujifunza kila siku kila saa.. MUNGU AWABARIKI SANA NYOTE.. AMEN
MAWASILIANO ZAIDI :
M/KITI : 0686 302 916
MAKAM M/KITI : 0753 958 600
MWALIMU : 0622 456 763
STUDIO : 0622 456 763
INSTAGRAM : mtc_ibala_mbeya