Tumuombe mwenyezi mungu atujalie mwisho mwema na mazingatio haya
@Aida-qh3jq8 ай бұрын
Subhanna alla
@yusuphuothumani5539 Жыл бұрын
Mashallah ostadh
@updullmata382 жыл бұрын
Ya Allah lainisha moyo wangu....na uniepushe na adhabu ya kaburi 😭😭
@aishaabdulaziz4657 Жыл бұрын
Ameen Yaa Allah
@rahemaissa9867 Жыл бұрын
Innalillahi wainna ilaihi raajing'uun, Eeee Mwenyezimungu ninusuru na wanawake WA dizain hii wenye tabia chafu 🤲Aaaamiiin yaa Rabbal Ng'aalamiin, nijaalie ya Allah niwe miongoni mwa wanawake wema inshalah Amiin yaa Rabbi🤲
@kassongoomary40668 ай бұрын
Allha akubaliki
@Aida-qh3jq8 ай бұрын
Umeogea kweli kabisa lakini asilimia sote wanaume hadhamini wake zao na waume wengi hawaswali wanawake wengi wako madarasani na kama mm naswali mume hswali na wala hana mda huu je hii iko vip
@rahmanassoro8142 жыл бұрын
Alhamdulilah
@yusufseifu4967 Жыл бұрын
Jazaaka lahu haira sheikh ALLAH akueke
@bimumaulid11717 ай бұрын
Dah kwa kweli sijui km tutapona na hizi simu
@user-qx8fv4lj8f9 ай бұрын
Masha.Allah ustadh from somalia❤❤❤
@pilisimaitumba47242 жыл бұрын
Mungu atufanyie wepes amiin shukran
@rehemamuhammad3893 Жыл бұрын
Allah Allah Allah Allahuakkbar
@user-rh6ju9mh9s8 ай бұрын
Inalillah wa inalillah rajiunah
@shekhawadhomarymorogoro36392 жыл бұрын
Masha Allah beautyful
@fgg87945 ай бұрын
Kweli kbs sheikh 😢😢😢😢😢
@user-nr8ot6ok6s2 жыл бұрын
Inalilah wa inalilah randjau😥
@aliwatanikambatikisa52972 жыл бұрын
Mbonde Allah akulinde
@ashurayatima7710 Жыл бұрын
Maishallah
@ARAFATVSHOW Жыл бұрын
manshallah
@DadegrijaDade-qb1xy7 ай бұрын
😢
@mubirirashidi Жыл бұрын
Mashaaallah ❤️❤️❤️
@rashidchidy5983 Жыл бұрын
Mawaidha ya maana sana kwa wanawake
@user-qy3ky4gt1t11 ай бұрын
Jamani huyu mwamba bado yupo hai
@OmariFunya-qe1rx Жыл бұрын
Yarabi tunusuru 😪😪😪
@fgg87945 ай бұрын
😭😭😭😭😭☝️🙏🤲
@fikirihamis42482 жыл бұрын
Dan
@assfzainab9122 жыл бұрын
Nkweli je kama mume mwenyewe ndiye hatak kusali na baba ndiye nguzo ya nyumba nifanyeje kama mimi pia nataka kudai talaka hatak kusali wala kufunga yani hana hata jema mmoja analolifanya
@hassanajiruu77932 жыл бұрын
Dada katika Uislamu Mpe Onyo Hiwapo Hata kubali Kuswali Wewe Huto Mpikia Wala Kumuhudumia Kwa Wewe Kumcha Mollah Wako Kutumia Nehema aliyo kupa mollah Wako nehema ya Afyah na Uzima Kumuhudumia TARIKUSWALA. InsaaAllah Mwenyenzi Mungu Atamzindua na Atamuongoza Kufanya ibaada.
@assfzainab9122 жыл бұрын
@@hassanajiruu7793 sidhani kama atabadilika niko naye kwenye ndoa mwaka wa ishirini na moja nahaja sujudu haya ckumoja kwanza mkitaka mtete ama akunyime matumizi mtajiye mambo ya swala jawabu lake yuakwambia swali wewe uende peponi amenichoza kabsa.
@yasintukwa46112 жыл бұрын
chakufanya . kama hasikii. muombe mungu. Akuepushe. nae. mungu atajua jinsi atakavokuachanisha nae