Рет қаралды 5,242
Athari za mageuzi yaliyofanywa na utawala wa Rais Donald Trump kwenye shirika la misaada la USAID imeendelea kuwafinya wengi waliokuwa wakifaidi. Kenya ikitajwa kuwa ya tano kati ya mataifa yaliyofaidi msaada huu ulioendelea kutolewa nchini kwa miaka 60 iliyopita. Brenda Wanga anaangazia historia ya shirika hili na baadhi ya mashirika yaliyofaidi miradi hii mwaka jana.