Ya Rabbi nijalie watoto wema wachamungu na waifadhi Qur'an na sunna Aamiiny ya Allah
@dadaasalim47745 жыл бұрын
YAARAB
@abdulramadhani72315 жыл бұрын
Mashaallah
@samsacute86725 жыл бұрын
Maashallah
@kareeminsely31155 жыл бұрын
Mashaallah
@hildababyabdullah56275 жыл бұрын
Amiin kwasote
@SharifahMgude9 ай бұрын
Maaha allah machoz yananilenga nataman watoto wangu wawe kama hyu sijui nifanyeje
@wlkmwlkm84866 жыл бұрын
Waislamu mko wapi tupongeze kijana wetu kwa mambo ya kheri. Ingekua ni mtoto amehifadhi wanasiasa na wasanii ungeona coment 1k. Tujivunie na Watoto wenye faida km hawa wakuhifadhi Quran. MashaAllah Mungu amulinde mtoto huyo
@alwahaibiamaryama25936 жыл бұрын
amin yarrabil alamin insha Allah
@ahamadichoclate31746 жыл бұрын
Alllah azidi kumjalia mwanadam huyu!
@wlkmwlkm84866 жыл бұрын
Richard Soka usitake elim kwa mambo yasio kuhusu. Fatana na bibilia yako
@wlkmwlkm84866 жыл бұрын
Richard Soka una lazima gani kujua kitu na hukipendi. Kwanzaa Mtume Mohammed haitwi. PBUH
@wlkmwlkm84866 жыл бұрын
Richard Soka wewe fala. Mtume wetu Mohammed Salalal aleihi wa salaam. Hakuna sku tutaandika ufupi. MUOB. fatana na mambo ya yesu. Munae muita Mungu wachana na mambo hasio kuhusu. Sis waislam tunajivunia Watoto km huyo unae muona amehifadhi Quran hajahifadhi nyimbo za kwaya ama kipa imara vitu visvyo na faida. Kuja kwangu uone Watoto wa miaka 7 anavyo kuchambulia Quran. Fatana na misalaba
@FatumaSaidi-t1k9 ай бұрын
Yaaallah nijalie nam nipate Watt kama huy kjn anayesoma Quran vzr
@abdibakari6416 жыл бұрын
jamani kadogo kangu ka like nako Allah Akaweke in sha Allah
@fatmambarouk78635 жыл бұрын
Tabaraka llahu
@MunawwarTimamy9 ай бұрын
Ya rabby nijaliy watot weny kher na kukujuw wey Allah na kuhifadh Qur'an in shaa Allah
@salmashsalmash55816 жыл бұрын
Mashallah mungu amzidishie na sisi watoto wetu wawe Kama yy
@kakolalukika11655 жыл бұрын
Allah awakinge mabaya
@sitist71575 жыл бұрын
Mungu akulinde na hadad
@sitist71575 жыл бұрын
Masha allah
@afdaa9465 жыл бұрын
Amiin amiin ma shaa Allah
@harerimananajati45895 жыл бұрын
Ameen
@cuteisheroman7646 жыл бұрын
Bismillah mashaAllah jicho la husda lisikufike 😍
@zahramustafa43875 жыл бұрын
Mashaallah
@khamisally41005 жыл бұрын
Maashallah
@salmakakozi9635 жыл бұрын
Ma shallah mdogo wangu mungu akuzidishiye hapo zaidi yani nasikiya raha sana hadi machozi 😭😭 yananitoka
Masha'Allah Masha'Allah Masha'Allah yarab mlinde na fitna za sheitwan.
@zenahnyale35515 жыл бұрын
Amiin inshaallah
@harerimananajati45895 жыл бұрын
Ameen
@mwanahijamwarangi45515 жыл бұрын
mashaallah mashaallah mungu akupe mwisho mwema
@alphoncenestorybishirangon18365 жыл бұрын
Bunafsi siyo muislam lakini nimeyapenda haya malezi na matumizi ya akili za watoto wetu. Hakika ni jambo jema na fahari umma wa waaminio katika imani yenu. Angekuwa karibu ningempa zawadi hata mimi. Tuwafundishe watoto mambo ya Kimungu zaidi. Amazing....... Wow
@mohammedrajabumwamba13223 жыл бұрын
Ukosawa kabisa nduguyangu🤝
@azamsaid52563 жыл бұрын
Amin
@fadhilichituhuma40383 жыл бұрын
Nice
@khairatgamon47446 жыл бұрын
mashallaah Allah akupe kila lenye kheri akuzidishie imani ktk moyo wako kijana ramadhan
@suhaylamwinyi85556 жыл бұрын
mashaallah,Allah amhifadhi na amjaalie watakao ingia jannatul firdaus na yy in shaa Allah,,, Allah aturuzuku na Sie kizazi bora kama hiki in shaa Allah
@nasseralhabsi14836 жыл бұрын
Ma sha Allah, tunamwomba Allah amzidishie na amwongoze ktk. njia iliyo nyooka,amin.
@farajaally86816 жыл бұрын
MAASHAA ALLAAAH. Ewe Allaah nijaalie na mim nijepata mtoto kama huyu.pia mkinge yeye Na macho ya HUSDA.ASSALAAMU ALAYKUM
@ابوريحان-ص1ر6 жыл бұрын
Faraja Ally @ Amiyn hakika Allah ni msikivu wa dua. kilichopo ni sisi kutakasa nia zetu kwaajiri yake isiwe tuombe kupata maafidh ama sisi kuhifadh kwaajiri ya mashindano laa hasha! bali iwe ni kwaajiri ya kupata ujira kutoka kwake Allah subhaana wata'ala na hayo ndo mafunzo ya deen yanavyosema. ndo maana unakuta kunamaafidh hifdhi zao haziwasaidii chochote katika twaa ya Allah kwasababu ya nia zao katika kuhifadhi Qur'an
@jumamrimi96026 жыл бұрын
juma mashaslah
@abdijimbale92326 жыл бұрын
Mashallah Allah ewe Mola mzidishie kijana huyu.....
@halimasalim95825 жыл бұрын
Masha allah allah akuzidishie kila lakheri.
@dadaasalim47745 жыл бұрын
YAARAB
@ukhutyzaiukhutyzai40456 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah Allah akupe kila lakheri
@ahmadakida45266 жыл бұрын
mashaallah mashaallah mashaallah Allah nami anijaalie kupata watoto kama hao watakaokua wamehifadhi qur an na kuifanyia kazi
@twalibushaban89515 жыл бұрын
Ahmad Akida J
@ashunmohd91825 жыл бұрын
Amiin ila wanaaandaliwa na waxaz kwahyo jitihada tuwe nayo
@bacarcamposelemane41275 жыл бұрын
Amen
@wardakimambo3335 жыл бұрын
Mashaanlla
@abelshikupa10515 жыл бұрын
Am not a Muslim but I love to listen to Qur'an and I enjoy it inshaallah
@jamilsaid12605 жыл бұрын
May Allah give u hidaya
@shamtenyambega29443 жыл бұрын
Inshallah,Allah akurejeshe kwa dini ya kweli
@mariamkassim97992 жыл бұрын
Allah akujaalie dini ya haki
@abuabdillahyusufjama11532 жыл бұрын
Welcome to Islam, the true religion and the religion of all the Prophets. From Adam, Noah, Ibrahim, Musa, Issa (Jesus), Muhammad the last one. etc..
@gipsonabdoul76342 жыл бұрын
Masha allah
@mozasawafy366 жыл бұрын
mashaallah umenitoa machozi Allah azidi kukuongoza
@maryamomar76686 жыл бұрын
Maaaaa Shaaaa Allah Allah nijaghalie kizazi kizur mfano WA mtoto huyu
@ummurayyanali95226 жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah allah amuepushe na vijicho vya ulimwengu allah atuongozee watoto wetu ya rabbil alamiin
@cuteisheroman7646 жыл бұрын
Hadi raha eallah Allah nujalie kizazi chenyema chenye kukujua ww na myume wako amiin numekapenda hako katoto kalouliza japo sijakaona
@salummariamu71415 жыл бұрын
MashaAllah
@hassanally94686 жыл бұрын
Mashaallah Allah akulinde dhidi ya husda
@zainabuzuberi69925 жыл бұрын
Pb
@jainaboman89524 жыл бұрын
Mashallah akuzidishie kipaji
@khadijabayaga80296 жыл бұрын
Maa sha Allah,Allah akuhifadh mdogo wangu
@devibadman46396 жыл бұрын
Khadija Bayaga
@mauwapremice78505 жыл бұрын
Allah amzdishie kipaji chake allahuma amiin 🙏🏻🔥
@hamidbahren16506 жыл бұрын
mashll allah akuhifadhi insh waalimu nawaombeni muendeleeni kumkomaza kijana katik fani nyengine za ilmu insh ili aje kuwa ulaamaa wa kiislamu
@mariamuselemani1535 жыл бұрын
mashaallah M/mungu akujaalie uendekeze dini yetu nasi vizazi vyetu viwe ni vyenye kuifadhi Qur'an
@aminariziki16776 жыл бұрын
MashaAllah Allah amuhifadhi pamoja na watoto wengine Allah awaongoze wote.
@zuhurajokoro12335 жыл бұрын
ManshaAllah !Ewe Molawetu mjaalie kheri nyingi huyu kijana wetu kama ulivyowa aalia waliotangulia InshaAllah!
@ustaadhshehe77775 жыл бұрын
mashaalllwah
@zaujahamis95386 жыл бұрын
mashaAllha Allha atujalie vizazi vyema
@mwanaishambili2416 жыл бұрын
Mashaallah chanda chema uviswa Pete mungu kamuongoza huu kijana na azindi kumlinda
@saidabdul55865 жыл бұрын
Allah ajalie mwanagu ahifadhi kitabu chake 🙏🙏
@fatmaali51015 жыл бұрын
Amiin.
@hassankitende30565 жыл бұрын
Cha kiingilish au ?
@galbyhayuuni52946 жыл бұрын
Ma shaa Allah TabarakAllah.....Allah Atufanyie wepesi wa kuifadhi Quran na kufwata mafudisho yake ameern
@habbykihanuka26335 жыл бұрын
Yaa rabi na Mimi nijalie wanangu wawe miongoni mwa watoto wema wenye kuhifadhi qur-an mfano wa huyu kijana Masha Allah 😘😘😘
@abdullipunjaje96036 жыл бұрын
Allah amemchagua, maana si kazi rahisi
@nashmustafaynashfiq62746 жыл бұрын
masha Allah may Allah protect him 4rm evil eye Ameeeen
@hassaniddy85976 жыл бұрын
Maashallah Allah sw akulinde na husda pamoja na madui
@AliM-di8dz6 жыл бұрын
Allah mjaalie Mtoto huyu Màisha marefu , mkinge na mabaya yote ili awe kiongozi kwa vizazi vya sasa
@rehemambweso38806 жыл бұрын
Amiina
@swalhajaafar85406 жыл бұрын
MA SHA ALLAH
@mohamedhassandubaduba35256 жыл бұрын
Ameen ya Allah
@fatmahriyami83455 жыл бұрын
Ewe Mola wetu mjalie huyu mtoto maisha marefu awe kianguzi wa dini yetu
@ashrafmohd18685 жыл бұрын
Maashaallh
@hanifaali95266 жыл бұрын
mashallah Allah akulinde na akujalie maisha mema file dunia Wal akhera.
@swidatyomary13806 жыл бұрын
MashaAllah... M/mungu akuzidishie zaid ya hap.. InshaaAllah
@omaryrashid72716 жыл бұрын
Jazakallah
@foziaabdullah90536 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuzidishie ufaham zaid ya hapo ..napenda kuwasomesha watt wangu elim ya kumujua mungu namtume wake ila uwezo wangu duni ..naumia sana kiukweli 😭😭😭
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Pole sana dada angu mungu akuinue
@artisthusnatalal30996 жыл бұрын
Yaa Allah give me pious children 👪❤💜💛💚💙👍
@salminasalim56306 жыл бұрын
Mashaallah Allah Azidi kumwepesia kila akitakacho akipate InShaAllah
@asiarashid63995 жыл бұрын
Salmina Salim
@munaswaleh17906 жыл бұрын
Masha Allah Takbiiiiiiiiiiiir nimetokwa na machozi kwa kweli Allah atujaalie vizazi vyema
@wahidaswaleh17996 жыл бұрын
Allahumma Ameen Yarabb jamii Islam
@khadijamohamed68546 жыл бұрын
Mashallah may Allah protect u and your family and Muslim ummah may Allah give as children just like him
@raheemnanyakata38946 жыл бұрын
Allah amzidishie ridhik na amfanyie wepec katk shughuli zake inshaallah
@salmasendeu70066 жыл бұрын
allah akuzidixhie
@suleimanmohammed57136 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie na ukulinde na mahasidi wa Dunla
@mkumboramadhani85176 жыл бұрын
Mashaalah
@abdimoge38396 жыл бұрын
Amiin.
@lailatmrsrajaimustapha13846 жыл бұрын
allah akuhifadhi na mahasidi
@geofreyshio20386 жыл бұрын
Allahu akbar... wish ningekua hivyo udogoni mwangu... Allah ampe heri katika maisha yake ya duniani na akhera
@hosnahcozymwsee3046 жыл бұрын
Maa shaa Allah Tabarakallah Laahawla Walaquatha Ila Billahi Allah Akujaze kheyr duniani na Akhera na Akuepushe na shari za waja Na watoto wetu Allah Awajalie Khifidhul Qu'an
@mubarakkambangwa94196 жыл бұрын
mashalah allah amuhifadhi na amjalie elimu hiyo iwe na manufaa kwa umma
@njmanjma86266 жыл бұрын
Mashallah Ramadhani Allah a kuifadhi... In shaa Allah
@AbdullahHamid-xb6ks10 ай бұрын
Masha Allah ❤❤❤❤❤
@afdaa9466 жыл бұрын
Ma shaa Allah ma shaa Allah mungu tujalie na cc wana wetu wawe waifahi quran tukufu yarraby
@tumhaji89672 жыл бұрын
Mashalla jazakallahu lkheir mungu atujaalie sisi pamoja na watoto wetu
@mrsmohammadnguche41656 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah Mashaallah Allah akuhifadhi mdogo wangu
@aminaabdu42396 жыл бұрын
Jazakal mulAllahi kheir mungu anipe kizazi km hiki watoto went kujua dini ya Allah subhana wataala
@ibrahimwario31775 жыл бұрын
Masha Allah may Allah bless you my younger brother
@surealfredkabasa45185 жыл бұрын
Allahumma ameen
@musaibnkhamis67497 ай бұрын
MashaAllah Allah amuhifadhi na atujaalie kuipenda quran nakuisoma
@allyismaily21306 жыл бұрын
Mashaallah jazakallah kheyr
@jamesmaleko5935 жыл бұрын
Mashaallah jazakallah kheyr
@aishaissa53506 жыл бұрын
😢😢😢 Ma shaa Allah Atujalie kizazi chema chenye ufahamu Allah Akbar
@biparilakiyao93376 жыл бұрын
Masha Allah. Allah ampe ujuzi zaid ya hapo alipofikia. Akasha Daawa. Naombeni mnisaidie mawasiliano ya sheikh Abuu Hamza ambaye kwa mujibu wa maelezo hapo yeye ndiye mwalimu wa Ramadhani Nasri. Allah atakulipeni InshaAllah
@AKASHA.P6 жыл бұрын
+254 722 713 927 Abu hamza
@biparilakiyao93376 жыл бұрын
Jazakallahu kheri
@nuruhamza92096 жыл бұрын
MashaAllah MTT wetu
@thuvaallythuvathuva90645 жыл бұрын
Masha Allah jazaka Allah
@naimarashidrashidd31485 жыл бұрын
Mmmh mtoto mzuli mashallah naomba wawe kama huyuu tuombeane mema waislam
@حميدهخلفان6 жыл бұрын
Mungu akuzidishie
@suhailbedran62846 жыл бұрын
Maa shaa Allah,, Allah amlinde na mabalaa yote ya ulimwengu ,, ALLAH AKBAR
@faridabakari85116 жыл бұрын
Mashallah mashallah Allah akuhifadhi kamaulivyo hafidhz al Qur an tukuff
@halimamohamed16936 жыл бұрын
Mashallah
@sinzobakwirasada61286 жыл бұрын
jazzakhallah herei
@fatmaally60785 жыл бұрын
Mashallah Allah amjalie ktk watt walofuzu , na awajalie na watoto wetu wafuzu Yarab
@abdulramadhan9816 жыл бұрын
mashallah may Allah blessing your parents and yourself
@salminasalim5630 Жыл бұрын
Mashaallah Tabarak Allah. Allah amuhifadhi na azidi kumpa akili na amuzawadie uchamungu aendelee kufahamu Qurani na mwisho mwema
@allyfutto87636 жыл бұрын
mashaallah amakweli Bidii ndio ngao.
@katibaomari68643 жыл бұрын
Mashaalla.ewe.alla.tupe.nasi..kizazi.chema
@safiaothman5175 Жыл бұрын
Maa Shaa Allaah. Mwakani 2024 ingia katika mashindano ya Qur'an, Africa, In Shaa Allaah.
@sheikhanasser47146 жыл бұрын
Bismilah Masha Allah Allah akufunguliye yote ya kheir akuepushe na hassad Aamen
@sophiakaiche46486 жыл бұрын
jazaka llwahu heri allwau amlinde na husda
@nasrashaksi92796 жыл бұрын
Masha Allah Allah atujalie kizazi chema Amiin
@safiyasafiya50145 жыл бұрын
Mashallah tabaraka rrahman mola akuhifadhi kama ulivohifadhi kitabu chake akuzidishie elmu na akulinde na mabaya yote akupe afya alhamdulillah
@mbwanabakarimansoory68016 жыл бұрын
Mash Allah tabaraka Allah my brother mola azidi kukuhifahi Ndugu yangu
@farhatomar74956 жыл бұрын
Mashallh mungu akuzidishie inshallh amina
@bintsalimalbimany93736 жыл бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah Yarab nijaalie na watt wang wawe nibwenye kuhifadh qur-anilkariim😚😚
@issakissanga14436 жыл бұрын
Allah amjaalie azidi kumcha mola wake
@munirarama836 жыл бұрын
MASHALLAH MABRUK RAMADHANI ALLAH AKUHIFADHI
@abdabed96156 жыл бұрын
MaashaAllah MaashaAllah MaashaAllah May Allah increase him in knowledge & memory
@aishaaaa69876 жыл бұрын
Masha Allah, mpaka raha
@hafsahassan77726 жыл бұрын
Mashaallah
@zayanaiddysuleiman23795 жыл бұрын
Mansha Allah tabarak Allah wazazi wote tujifunze kama mzazi wa uyu kijana 😍
@samanthaali8736 жыл бұрын
Madha Allah Taqbeerrrr
@abduljuma78079 ай бұрын
Allah akuwezeshe uje uifanyie Kazi Qur an Ili jamii ya binadamu ipate salama kama Qur an yenyewe inavyo jieleza nikwaajili ya Uongozi wa watu 2:185
@doreenchris1985 жыл бұрын
Mashaalah mashaalah mashaalah mashaalah
@abuuahmad62075 жыл бұрын
ما شاء الله ،نسأل الله أن يحفظنا وحفاظنا عن العين والحسد ...
@allykango94405 жыл бұрын
Allah akuhifadh mtoto
@hassansayyid40016 жыл бұрын
MASHAALLAH TAKBIR
@swalehmzee58832 жыл бұрын
Furaha ya machozi yanitoka mashaAllah Allah akuhifadhi atujaliye tupate watoto wengi mfano wake Ameen
tumuombe sana ndungu yetu dua maana amefanya jambo kubwa sana
@mohamedsasma8796 жыл бұрын
Mungu ampe nguvu uzima furaha amani na upendo kijana huyu amiin
@aishamwende6846 жыл бұрын
ya Allah grant us knowledge that translates into taqwa in our hearts.
@zainabumasudi6736 жыл бұрын
maaashallah allah unamiaka mingapi kijana jamani nyie ndo vijana tunaowataka katika kuisogeza jamii yakiislam mbele maaashallah allah akuhifadhi namatamanio ya dunia
@mejubaraza87876 жыл бұрын
Mungu nijalie kizazi changu kiwe kama iki
@maryamkhamfar40296 жыл бұрын
Meju Baraza Aamiin kwa wote🙏🙏🙏
@mejubaraza87876 жыл бұрын
Maryam Khamfar amiin daa
@ilhammodlick24806 жыл бұрын
amen
@galbyhayuuni52946 жыл бұрын
Ameeen...Atujalie sote
@awadhmohamed39626 жыл бұрын
Amin
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
A alekum kumbuka huyu n mtoto msimchanganye kwa mambo mazito zaidi hakika amehifadhi mashaallah mungu akuzidishie.awajaalie na watoto wetu kuongoka inshaallah jazaka llahu her
@ahmedali-cf1tg5 жыл бұрын
Manshallah may Allah protect as the day of Qiyama
@salmasaeed93575 жыл бұрын
Mashallah Allah nijalie na mm kwenye kizazi changu nipate mmoja kma huyu,,, ya Rabby mlinde na jicho la hasidi muepushie balaa za ulimwenguni🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@nusurakajubu87856 жыл бұрын
MashaaAllah MashaaAllah nimependa katoto ako jmn
@kinchasaplumber29624 жыл бұрын
Masha Allah hv naomba niulize vpaji hivi Allah anavyowajalia watoto wa kiislam husoma ktk madrasa ipi hapa nchini tafadhali naomba nipate mawasiliano ya madrasa hiyo biidhin-llah inshallah nipate kuwacliana nijue utaratibu wao nipate kumleta kijana wng
@njmanjma86266 жыл бұрын
Mashallah Allah awazidishie bongo la faham In shaa Allah Amin
@abdumkumba33766 жыл бұрын
mashaallah.
@iigigijfjffjfif5506 жыл бұрын
ما شاء الله
@husnahmad55466 жыл бұрын
Njma Njma maashaallah yaallah nijalie mtoto mwenye kipaji kama hicho nakumpita huyo
@habibaabubakari29476 жыл бұрын
Mungu mjalie kijana yetu kheri katika maadili haya yalio mema