Maa shaa Allah,,, Allah atujaalie familia zetu ziwe zenye kuihifadhi Quran na kuiingiza katika matendo na atujaalie Waume na Wake wema kwa wale ambao bado hawajapat nusra 🤲
@soniahassan67694 ай бұрын
Ameen
@carolinewanjiri7144 ай бұрын
Inshaallah yarabbi, thumma ameen
@sadikiissa77564 ай бұрын
Amiin.
@SachuFentu4 ай бұрын
Amiiin
@HanifaUrassa4 ай бұрын
Hongera sana
@hamidasaid25444 ай бұрын
Ma Shaa Allah Allah Amuhifadhi na Janat Ferdos aingiye na Family yako amin
@hamidahamdun36464 ай бұрын
Mama Sumaiya ni mama bora wa kuigwa, hakika nakupa pongezi sana mama Sumaiya Allah akuhifadhi uendelee kuwalea vema watoto wako na kizazi chako kwa ujumla.
@prettynayally21774 ай бұрын
Kondoa kweny Quran hatuko nyuma Allah ametujalia hil alhmamdullih ❤❤❤❤❤
@SachuFentu4 ай бұрын
Alhamdulillah❤❤
@AkidaIbunjumaa4 ай бұрын
Kwan huyu wa kondoa?
@prettynayally21774 ай бұрын
@@AkidaIbunjumaa kwahiy hujasikiza intevw
@AkidaIbunjumaa4 ай бұрын
@@prettynayally2177 nimesikia ni wa kibaigwa alaf wew umesema kondoa
@mirajiissa46032 ай бұрын
Ametoka Kongwa , sio Kondoa alakul-hal awe mrangi au kabila gani Allah kamjaalia
@Aisha-o4v4 ай бұрын
Mashallah sumayya hongera kwa kuipenda suratu المعد mpaka leo ndotoyako ina enda kutimia.ktkk aya alizosoma. البيت الحرام inshaallah Allah akufikishe utuombe na sisi duwa tuweze kufika
@dawoodabdille80754 ай бұрын
MASHAA ALLAH wallahi machozi yamenibubujika. ALLAH amuhifadhi yeye na ahli zake pia tusimsahau Mwalimu wake baada ya wazazi katika jitihada zake.
@hamidmresa73844 ай бұрын
Mashaallah Allah atukuuzie na kutulindia watoto wetu wawe kama SUMAYYA.
@SaidMgeni4 ай бұрын
امين يارب
@jumamasquater51004 ай бұрын
AMIIN ALLAHUMMA BAARIK
@SaidinaKhamisi4 ай бұрын
Maashaallah asante kwa historya nzuri tumejifunza mengi mazuri kutokana na historya ya sumaiya na wazazi wake.allah aihifadhi family ya mzee shuaib na kila balaa.. lakini ajalie kupitia Qur'an iwe ni sababu ya kupata saaadah siku ya Qiyamah
@abufathiyakiza64124 ай бұрын
Allah amhifadhi bint huyu na mabint wa kiislam kwa ujumla na awajaalie watoto wetu wakihifadhi kitabu cha mola wetu
@myunaniniahmad64634 ай бұрын
Mashaa الله , baba hakukosea kuchagua mama wa watoto wake. Mashaa الله.
@husnamadai70524 ай бұрын
Kwa kweli watt wakinyooka na mama wakipinda pia ni mama
@prettynayally21774 ай бұрын
Mama pia hakukosea kuchangua baba 😂
@ArafaMichael4 ай бұрын
Mashaalaa watu was kondoa mungu amewajalia niwaomaji wazuri wakuruan wameishika dini ipasavyo
@EnthusiasticAtv-gn6pb4 ай бұрын
Allahu Akbar! Mwenyezi Mungu ampatie umri mrefu na Afya njema in shaa Allah. Inasisimua
@mirajiissa46032 ай бұрын
Maa shaa Allah , maa shaa Allah , maa shaa Allah Allah awalipe kheri wazazi pamoja na ustadh wake kwa jitihada hiyo... Tusiwapongeze wazazi kisha tukamsahau ustadh wake.
@MariamsiriNassir-n1h4 ай бұрын
MashaAllah Allah tujaalie watoto wenye kuipenda na kuihifadhi quran tukufu InshaAllah
@SelemaniMbaruti3 ай бұрын
Mashallah nampenda kwa ajili ya allah ayu binti nipeni namba nimpe chochote❤ from usa
@abdullhafidhmohd79444 ай бұрын
Maasha-Allah !!! Tabaarakallaah !!! Allah akuhifadhi sumayyah, pamoja na watoto wetu. اللهم آمين
@faridanurdin96354 ай бұрын
MashaAllah mzee mwenzangu Allah akulipe heri inshaAllah
@KhudhaifatSalim4 ай бұрын
Mashaallh mng amzaidishie ujuzi wake n ss mng atujaalie n hamu n wepes wa kuuhifadh qur_ an ameen
@suleim5054 ай бұрын
Masha Allah : NDUGUYETU TUNAKUOMBEA ALLAH AKUHIFADHI KUTOKANA NA HUSDA, AKUZIDISHIE ZAIDI ELIMU ULIYONAYO.
@Aminahlamranl420-hw2ie4 ай бұрын
Maashaallah wajina wa. bint yang. Na yey pia amehifadhi quran .Allah awaepushe na hasad
@adamshango4 ай бұрын
Allah akujaalie pepo ya Firdausi wewe mzazi na watoto wako umenifurahisha sana katika malezi ya wanao pia umesrma ukweli kua mama akiwa malezi bor a
@HamadMakameHamad4 ай бұрын
Mashallah❤ Allah akuzidishie kheri na akulinde na shari za walimwwngu sumayyah❤
@ashamustafa75674 ай бұрын
Mashallah Mashallah Tunamuombea kwa Mwenyezimungu amuongoze zaidi ya hapo alipo❤
@ashashaban64844 ай бұрын
MASHALLA MASHALLAH ALLAH AKUJAALIE KILA LA KHER MTOTO WETU IMEJITAHIDI SANA NA WAZAZI HONGELEN SANA NA WALIMU KWA MALEZI BORA MASHALLAH NA SS TUNAMUOMBA ALLAH ATUJAALIE VIZAZI VYETU VIWE NI VYENYE KUIPENDA DINI INSHALLAH
@OmanJalan-g9j4 ай бұрын
Maa shaa Allah hongera sana mama na baba kwa muongoza wenu ewe mungu nijalie nami watoto kama hawa na tuipe mgongo dunia na kuikumbatia akhera yetu
@ShufaaSultani4 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah, Mama yake Allah amhifadhi ❤
@JoaBinAlly4 ай бұрын
mashaallah Allah amjaalie na amsimamie binti sumaya na allah awaongoze watoto wrote wawe na mwenendo mwema kama huu
@RamadhaniMohammed-pk4mi2 ай бұрын
Mashaallah mashaallah Allah amzidishie kila khery
@MaryamJuma-q3r3 ай бұрын
mashallah tabarakallah
@RizikiMsangi-mz3lc4 ай бұрын
❤❤❤Alhamdullah. Allah amzidishie umri azidi kutupambania watazania
@sabrinahally35024 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah tabarakar rahman
@UmmuabdulrazaqAbdulrazaq4 ай бұрын
Mashallah mashallah Allah akupe umri wanye manufua akuhifadhi na kupenda Kwa ajili ya Allah
@saft94824 ай бұрын
Jazzakalah likher Habib Allah akuongoze katika safar hii Allah akujalie afya na siha
@SubehaseifMasoud4 ай бұрын
MASHA ALLAH SUMAYYA MOLA AKUONGOZE ZAID NA KUWAONGOZA N A WATOTO WETU AKUPE TARAJIO LAKO UJE UTUTIBU MWANANGU
@aminaSuleyman-d6y4 ай бұрын
Maaasha Allah ❤️ sumayya m/mungu akujaalie kila hitaji unalolitaka la kher allahuma aamin 🤲
@ZainabuMkomwa4 ай бұрын
Mashaallah hongeren sana wazazi kwa malezi yaliyokua bora
@valentineelvis8443 ай бұрын
Mashaalla,Allah;akuzishie,elm;yabinti
@salumhassanallymkurdistan70064 ай бұрын
MASHALAH ALLAH AMJAALIYE KILA KHERI KATIKA SAFARI YAKE YA KUIIHIFADHI QRAAN
@SalmaIbrahim-ns6wy4 ай бұрын
Mashaallah nivizure mwenzangu akubarik ❤❤❤❤❤❤❤❤
@fatmakenda73064 ай бұрын
Allahumma barik.. Masha Allah
@safiyaalharthy63824 ай бұрын
MashaaAllah Tabaraka Al Rahman ❤
@123ummAmina4 ай бұрын
Maa shaa Allah , Allahumma baarik. ❤
@carolinewanjiri7144 ай бұрын
Mashaallah tabarrack Allah Allah, Allah akuepushe na hasad ,kila corner lnshaallah
@ShamsiMikdad-bj7me4 ай бұрын
Masha allah Sumaiya allah akuhifadhi ❤ukimaliza masomo insha allah naomba nikuoe
@YunisB-x9c4 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Jazakallah Kher Fi Amanillah
@adnanhullay4 ай бұрын
MASHALLAH mungu ajalie vifua vyetu vijae qur-an na tuwe na jitihada ktk kuhifadhi
@mariammbwana25524 ай бұрын
Mashaallah Allah amuhifadh binti yetu
@Isi_hakaOmary-d7p4 ай бұрын
Binafsi yangu Nampa hongera sana mama yake kwa kua mama bora, pia nimependa maneno mazuri ya baba yake namnana alivyo tumia jicho la tatu kuona vipi mwanawe atafika kwa Allah akiwa ni hafidhi kur ani.
@NuriahAbdurahman4 ай бұрын
Mashallah Allah amuhifadhi yeye na familia yake.
@RehemaKibwago4 ай бұрын
Mashaallah , Allah amuhifadh
@JasminJay-t1f3 ай бұрын
Mashaaallah alllah ukupe kila la kheri
@fatmamdidi81084 ай бұрын
ALLAH amhifadhi sumaiyah na amlindie imani yake
@mwajumabwanga63134 ай бұрын
Mashaallah habibty Allah akuongoze zaid na zaidi
@bloomingbee.daycare27 күн бұрын
MASHAALLAh Allah awalipe wazazi wake
@idyjumanne97964 ай бұрын
Mashaaalah shekh namfahamu mtu. Wa dawa ila sijamuona kama miaka 3 iv
@MwinyihajiKhamis4 ай бұрын
Mashallah Allah amfungulie maitaji yake ya quraan
@HasaniMandaa4 ай бұрын
Allah amkuze kwa kushkamana na qur, an nae awasaidie wengine inshallah
@dazuujuma7784 ай бұрын
Mashallah mashallah madhallah❤
@ZulfahMuhammad4 ай бұрын
MashaAllaah tabarakaAllaah Allaah akuhifadhi kwa kupitia Neema zake
@FahadRajab-k1n4 ай бұрын
masha Allah Allah amfanyie wepesi pamoja na sisi Amin
@Reyla2554 ай бұрын
Mashaallah na Allah atimize ndoto zako Leo mpk kesho kiama amin
@MuftyMageni4 ай бұрын
MashaAllah, Allahumma jaalnii mindhaalika .
@MohamediKaunga4 ай бұрын
Mashallah Allah amzidishie mafamiliya yetu
@siriyangu4724Ай бұрын
Allah humma mamiin ❤mashallah
@maryamramadhan4 ай бұрын
Mashallah alla akuzidishie ufaham
@fatimahirakoze73114 ай бұрын
Nasiye Burundi mtuchukue tuje tnz watoto wetu wake wasome tutatoa hela
@fatimahirakoze73114 ай бұрын
Mansh"Allah smaiya niwe mama Yako mie napenda nwanangu afike apo
@a.8564 ай бұрын
Jazaka Allah khayran
@AishaJuma-zz2rj3 ай бұрын
Mashaallaah Allah akujaalie
@WardaChande-d9y4 ай бұрын
Maashaala alwa amjalie saaana nas alwa atuongoze ammyin
@myunaniniahmad64634 ай бұрын
Mashaa الله Mashaa الله Mashaa الله.
@JOHARIATHUMAN-d5f4 ай бұрын
Allah akuhifadh MashaAllah
@AminaJuma-r4v4 ай бұрын
Mashaa llah 🎉. Mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 Tabarak llah Allah mtukufu atutanguliee sote waislm tukipende KITABU KITUKUFU CHA ALLAH
@verynicethifilmnuur1alrahb8874 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah Allah azidi kumuongoza vyema
@Zakhiamadahason4 ай бұрын
MashaAllAh thuma MashaAllAh ❤❤❤
@sheikhasalim11904 ай бұрын
binti mzuri barakaAllah fyk. Allah amuhifadhi
@AbasiTwaha4 ай бұрын
Shekh! Binti yako kanivutia. Miaka yangu 20 sio mingi kwa umri wake. Baada ya masomo yake inshallah, nahitaji awe family mother wangu. Nahitaji tutaendana kwani tasnia zetu zaendana pia. Mbali na hayo, Allah amjaalie binti huyo na amuinue zaidi
@caramellaswirl35034 ай бұрын
MABRUUK, Allahumma barik Sumaiya
@sheikhanasser47144 ай бұрын
Bismilah Ma Sha Allah Alhamdelilah Blessed 🤲 ❤
@dazuujuma7784 ай бұрын
Mke uyu apa❤ mashallah
@laylayl51664 ай бұрын
MashaAllah. MashaAllah
@fathiyapereira58644 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah Allah
@DoraNasinyari4 ай бұрын
Watu wa kondoa wameshika dini nimekaa chandama 4years wako vizuri najua kibaigwa vizuri sana
@hassanaboud84424 ай бұрын
Mash ❤ allah 🌟
@fatimahants15264 ай бұрын
Mashaallah allah akupe khatima njema yaallah
@RizikiMsangi-mz3lc4 ай бұрын
Maaaaashallah alla karm
@izzatmohd42914 ай бұрын
Masha Allah ❤️
@leilasaid36234 ай бұрын
Mashaaallah ❤❤❤
@mwajohari43854 ай бұрын
Mashallah,, Alhamdulillah,,yaa Allah Yaa Allah
@ramadhanisaadi47924 ай бұрын
Masha Allah, Allah akujaaliye Nuur
@DaudiMakaza4 ай бұрын
Majini tupu hkn mungu wa kwr hpo
@ع9و9ظ3 ай бұрын
Assalmghalykm warahmatulah wabarakatuh me naombeni na ya mwalimu wake sumaiya insha allah