Mungu mwenyezi amfunike kwa kuvu zake na damu ya bwana wetu yesu kristo ifunike na kumlinda aingipo na atokapo
@maswamills31612 жыл бұрын
Ubarikiwe Mchungaji kwa kumtambulisha Mchungaji Mwenzako.Nimejifunza KUHESHIMU.
@janewaiti37022 жыл бұрын
Dunia isikarimbie mtoto huyu in the mighty name of Jesus christ. Hii ni mambo ya ajabu. God bless this boy and hide him where the enemy can't get him.
@judith51122 жыл бұрын
Mungu aongezeke ndani yake mtoto huyo,baraka na neema zimjae,asipungukiwe na chochote,roho mtakatifu wa bwana amuongoze usiku na mchana,,barikiwa sana mtoto,🙏🙏AMEN
@gracamaina23082 жыл бұрын
Glory to Jesus..mchunganji usiachilie hizo baraka ukasikilie tu..na Mungu atakusaindia
@samsondaudi1082 жыл бұрын
Alichokiinuwa mungu mwadamu kukishushaa hawezi wachamungu amuinue viwango zaidi ya hapa
@lazarogeorge38302 жыл бұрын
Mungu mwema kamata kila anacho fanya mtumishi wako Ukikumbatitie sawasawa adui asimuone, Amina
@marynyambara67352 жыл бұрын
Amen amen abarikiwe mtoto huwo nimukono wamungu tusipo mheshim mungu basi mungu atainua watoto wadogo amen amen damu ya.yesu naimtoshe
@twitikemwamundela2393 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana na tumbo lilikuzaa limebarikiwa. Mungu akutumie kwa viwango vya juu, akulinde, akutunze na kukuhifadhi katika jina la Yesu Kristo 🙏
@UpendoIsaria Жыл бұрын
Amen Amen Amen mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu sana mtoto mzuri ubarikiwe mno 🙏🙏
@joycebruno3122 жыл бұрын
May almighty bless that child and his mother and there pastor oh my God l cannot believe this. Wonderful much love from mombasa Kenya we love you all.
@josephinejosephine4202 жыл бұрын
GOD bless your son and the family. GOD meet the family at their point of need my LORD.The church all the glory to GOD.
@teresawangeci57642 жыл бұрын
@@josephinejosephine420
@emilythuo51642 жыл бұрын
Amen. I am blessed this morning by the word of God through this young man of God. Hallelujah.
@mithikamugambi76722 жыл бұрын
Amina!!Amina!!Amina!! Mungu awabariki watoto wake milele daima.
@graceestomihi94022 жыл бұрын
Amen Amen, Mungu azidi kuachilia baraka tele kwenye maisha yako na familia yako
@victormwampumbe61642 жыл бұрын
Mungu amwinue viwango vyajuu zaidi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 mungu akubaliki sana mutoto
@christinemarwa2602 жыл бұрын
Amen,very blessed,God protect you mchungaji.
@henrykatana99562 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu apewe sifa azidi kumuangazia jumbe nyingi na kuzifuata
@sebonikegobi62442 жыл бұрын
Hongera mtoto Mungu azidi kukutumia ubarikiwe
@terizaomollo40652 жыл бұрын
Oooh God I thank you for your child I'm really encouraged this morning I'm surprised I'm in tears and I'm broken
@ayubumwampamba7502 жыл бұрын
Neema ya Mungu ipitayo fahamu zetu imhifadhi mtoto huyu ktk Jina la YESU amen
@jacintagitau41052 жыл бұрын
Wawa waw thats great words of inspiration you are such agreat blessings junior pastor Eian more grace to you our warrior
@veronicamutuku50232 жыл бұрын
So challenging for young ones may our Lord continue to bless him
@ezinakemunto2272 жыл бұрын
Mungu akulinde siku zote Na kubariki kipali cha Neema amemupa
@edinashaurishauri52232 жыл бұрын
Damu ya yesu ikufunike na ukawe baraka kwa watu mungu azidi kukupigania na akuepushe na kila nguvu za adui barikiwa sans mtoto mnzuri
@elizabethkemunto19322 жыл бұрын
may the blood of Jesus cover you and be a blessing to people, God continue fighting and defending you from all powers of the enemy,be blessed good child
@salomemueni1002 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN...damu ya jesu iliojaa uhai wa mungu..hallelujah, hallelujah
@lavuulovenes16822 жыл бұрын
Ameen🙏🙏🙏 Mungu naomba umzidishie mtoto huyu hekima yako babaa
@hellennyaboke90322 жыл бұрын
Congratulations bby boy God bless you too much
@richardmagaka95252 жыл бұрын
Mungu atukuzwe kwa njia ya mtoto maana dah watoto was siku hizi wao ni kukariri nyimbo za bongo fleva, majina ya wachezaji wa timu lakini hii ni fantastic sana
@ElizabethMwenda-re1sd Жыл бұрын
Mungu amubarki sana huu mtoto
@peternduati88772 жыл бұрын
Mtoto ,,,wa maajabu🤗🤗🤗🤗🙂 Mungu ampe na amtimizie haja za moyo wake.Amina
@PrinceRevocatus2 ай бұрын
Pokea sifa Bwana Yesu kwa ajili ya mtumishi wako huyu neema yako na ulinzi wako uwe juu yake
@zainabukinje28772 жыл бұрын
Ee Mungu mfunike kwa mbawa zako mtoto huyo , Amen
@dianabada84402 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni azidi kukutenda mema zaidi na akuinue zaidi
@GeorgeSebatian Жыл бұрын
MUNGU akubaliki Sana mtoto uliye meza vitabu aaaakingine nimependa ujasili wako ubalikiwe xana
@ruthkidui46412 жыл бұрын
Beautiful! Glory to God. May the young man of God be blessed indeed 🙏.
@tabithamueni29162 жыл бұрын
May God 🙏 the lord bless you
@angelamwende21272 жыл бұрын
Glory be to God..I wish ningekua karibu
@lemburiskedoki85902 жыл бұрын
Nampata sana huyo mtoto mungu bariki sana Amina me nampata kutoka ngorongoro Amina sana
@magrethmollel10782 жыл бұрын
Mungu akulinde mtoto mzuri Mungu azidi kukuinua damu ya Yesu ikufunike zidi ya hila za shetani
@rosemsele80122 жыл бұрын
Amen had nimeshikia raha moyoni Mungu akatumie mwanangu
@joycemwaipyana20002 жыл бұрын
Amina🙏 ,,NGUVU ya MUNGU isipungue juu yako mtoto
@mwashasaidi53582 жыл бұрын
Mungu aware nguvi
@johnfondo93812 жыл бұрын
1
@johnfondo93812 жыл бұрын
1
@MugholeAnnemarie6 ай бұрын
Amina Mungu kumbuka watoto wangu🎉🎉🎉
@msafiricharles64822 жыл бұрын
Barikiwa sana mwanangu MUNGU wa mbinguni azidi kukutunza
@domianambithe Жыл бұрын
Thankyou kijana udumu katika bwana amina
@marydavid1511 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa zawadi iliyo ndani ya mtoto huyu. Amen
@lavuulovenes16822 жыл бұрын
Amen mwanangu ufanikiwe kwa Mambo yote barikiwa sana mwanangu
@glorymushy62402 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
@goodricmusoga62482 жыл бұрын
Very powerful. May God bring to completion the good work He has started in this young man. Baraka
@rosemsele80122 жыл бұрын
Hadi nimelia kwa upako jamn Aaaah! Amen
@willibroadwilliam67982 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukupa upeo amen.
@irenesamwelilihawa80692 жыл бұрын
Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vingine ili utumikie kusudi la Kristo! Ubarikiwe sana Mchungaji mtoto!
@rosenyabuti83812 жыл бұрын
Mungu ataendelea kubariki mdogo Amina
@mumomaxwell7387 Жыл бұрын
Neema ya Bwana wetu Kristo imtoshe huyu kijana
@jamesamokola5627 Жыл бұрын
Am blessed may God guide u all through
@pascaljunior5355 Жыл бұрын
Hakika mungu amlinde na famiyilia yake
@beatricenyinge23192 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akamfanikishe katika kipawa chake cha utume
@beatricegithinji24552 жыл бұрын
Wow, God bless you son.From Thika kenya
@marymuthoni15512 жыл бұрын
Amen and Amen, Mungu aendelea kukubariki
@hellenjemeli49712 жыл бұрын
Glory to God, be blessed 🙌
@trizashanelly7764 Жыл бұрын
Glory to God na ainuliwe saidi
@hellenjemeli4971 Жыл бұрын
@@trizashanelly7764 Amina
@AnnaShayo-vw4eq Жыл бұрын
MUNGU akuinue zaidi
@petermururu98752 жыл бұрын
Dat wonderful u will go far
@khamisisaya28612 жыл бұрын
Amina sana Mungu azidi kumshika mkono
@tabithamueni29162 жыл бұрын
Waaao wonderful 😊 congrats
@Dkemer-u7f2 жыл бұрын
Mungu ambaraki Sana Huyu mtoto, I may He protect him in His Secret place, may he be protected by the precious Blood of Jesus Christ. Glory to God in the highest.