No video

MCHUNGAJI SIMBAULANGA AMALIZA UTATA JE? YESU NDIYE ISSA WA KISLAMU BIBLIA NA QURANI VYATOA MAJIBU

  Рет қаралды 52,473

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

Пікірлер: 904
@MSUYA-n1t
@MSUYA-n1t Ай бұрын
Ukweli ndio huo mchungaji . Ubarikiwe na Mungu mwenye kutupa nafsi na uhai atukumbuke na kutupa maarifa tusiangamie,kwani amwaminiye hatapotea bali atakuwa salama Amina.🙏
@MuddyAlli
@MuddyAlli 9 күн бұрын
Kwanza hakuna kitabu cha mungu kinaitwa bibria hakuna
@annamasumbuko-h6f
@annamasumbuko-h6f 16 күн бұрын
Amen. ISSA na Yesu Kristo ni tofauti kabisa barikiwa Kwa mafundisho na Mungu wa Wakristo ni tofauti na Mungu wa dini nyingine
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 11 күн бұрын
@@annamasumbuko-h6f There’s only one Jesus Christ.One who was born of Virgin Mary .whether you Moslem or Christian
@BurhaanMohamed-vp8xu
@BurhaanMohamed-vp8xu 3 күн бұрын
Hhhhh na mungu tena inamana kuna miungu mingi
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 Ай бұрын
MTUMISHI huyu ni HAZINA ya nyumba ya MUNGU ktk nchi yetu Tanzania!! Ee Bwana YESU naomba umpe umri mrefu zaidi kwa ajili ya kanisa Tanzania; Naomba haya ktk Jina lenye nguvu la Yesu Kristo, Amen!!
@wahidakisingo3588
@wahidakisingo3588 Ай бұрын
Amin amin
@PaulRichard-vq9xz
@PaulRichard-vq9xz 14 сағат бұрын
Huyu mchungaji Mungu ambariki sana nmeelewa haswaaaaaaaaaaaaaaa
@salimdiabyonlinetv4873
@salimdiabyonlinetv4873 12 күн бұрын
YESU NA ISSA NI MWANADAMU MMOJA NANI MZALIWA NA MARYAMU, HAMNA TOFAUTI YOYOTE, KWA NINI MUTOE ANGALIZO KWA KANISA! YESU AMBAE NI ISSA YUPO HAI NA HAKUFA, NA NI MTUME WA ALLAH (S.W), TUPE HOJA ZAKO KWENYE AGANO LA KALE SI HIZO MPYA MULOFUTA FUTA NA KUPOTOSHA, DINI NI MOJA TU NANI YA UISLAMU.❤
@FridayMwassa
@FridayMwassa 12 күн бұрын
Dini haiwezi kuwa moja hata wahindu, wabudha,wana dini yao
@pascalmgassa8441
@pascalmgassa8441 7 күн бұрын
Uislam unalazimisha sana uongo uwe kweli...sababu za kurudi Issa ni nyepesi sana na sababu za kurudi Yesu ni nzito sana na zina makusudi ya Mungu 100% kwa mwanadamu
@romathosimfukwe4240
@romathosimfukwe4240 Ай бұрын
Waoooo that's great lesson be blessed Pastor.
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano Ай бұрын
Jina Yesu ni atakayewaokoa watu wake na dhambi zao, lakini sio Issa maana Yesu si mtu bali Yesu ni Neno lililotumwa likafanyika mwili. Hivyo Yesu SIO ISSA. NI UONGO WAZI WAZI.
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 16 күн бұрын
@@MjumbeAgano Unachozungumza unajichanganya tu. Yesu sio mtu wakati mwenyewe alikua akisema yeye ni binadamu.tena ni Imanuel.Yesu ni neno ina maana neno lilisulubiwa msalabani? Hua mnazungumza vitu visivyo na maana kabisa. Neno ndio lilisulubiwa? Neno ndio lilikufa?
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 18 күн бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu nimebalikiwa sana nakuelewa kati ya Yesu na issa binimariamu kumbe ni watu tofauti
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk Ай бұрын
Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana kwa mafundisho yako mwenye kuelewa ameelewa asiyeamini atuhukumiwa umefanya kazi vema ubarikiwe sana.
@AloyceMrema-i6u
@AloyceMrema-i6u 13 күн бұрын
Good thanks!!!
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 Ай бұрын
"Muslim : Who is God? Christian : Jesus Muslim : Is Jesus the son of Mary? Christian : Yes Muslim : Who created Mary? Christian : God. Muslim : Who is God? Christian: Jesus Muslim : Jesus is the begotten son? Christian : Yes Muslim : Who is his father? Christian : God. Muslim : Who is God? Christian : Jesus. Muslim : Jesus is a servant of God? Christian : Yes Muslim : Jesus died on the cross? Christian : Yes Muslim : Who resurrected him? Christian : God. Muslim : Is Jesus a messenger? Christian : Yes Muslim : Who sent him? Christian : God. Muslim : Who is God? Christian : Jesus. Muslim: Did Jesus worship while on earth? Christian: Yes Muslim: Whom did he worship? Christian: God. Muslim : Who is God? Christian : Jesus. Muslim : Did God have a beginning? Christian : No Muslim: Then who was born on 25 DEC? Christian : Jesus. Muslim : Is Jesus God? Christian : Yes Muslim : Where's God? Christian : In Heaven. Muslim : How many Gods are there in heaven? Christian : Only one God. Muslim : Where's Jesus? Christian : He is seated on the right hand of his father. Muslim : Then how many are they in heaven? Christian : Only one God. Muslim : Then how many seats? Christian : One Muslim : Where's Jesus? Christian: Seated next to God. Muslim : How are they seated on one chair? This proved that Jesus is a messenger of Allah not god. And Alhamdulillah we also believe in Jesus.We respect him as our prophet. Only one god in the all worlds (ALLAH)
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 Ай бұрын
Kuwa mkristo ni mtihani . Namshukuru Muumba kunijalia kuwa katika dini moja ya kweli 'UISLAM' Sasa Mzee kama huyu kasoma usiku na mchana bado anamwabudu mtoto wa maryam.
@SimonKalikumbe
@SimonKalikumbe 14 күн бұрын
Asante ubarikiwe mtumishi wa mungu tunkuombe maisha marefu
@zenassylvester125
@zenassylvester125 Ай бұрын
Nakuelewa sana mwalimu ndio maana unawamudu sana mashekhe..... Mungu aendelee kukupa nguvu na ujasiri , barikiwa sana
@amourhassan7075
@amourhassan7075 Ай бұрын
Jifunze ndugu yangu. Mzee kapotea njia huyo
@Hezekia-ke6cy
@Hezekia-ke6cy Ай бұрын
Asanteee mwalimu wale hicho chuma cha Yesu.watulie wakitaka wabishane na vitabu vyao ukweli umewapa
@setelitemba3944
@setelitemba3944 Ай бұрын
Mtumishi unachambua vizuri sana wao wawe na issa wao nasi tuwe na yesu wetu
@Sheba4651
@Sheba4651 Ай бұрын
Nyie huyo Yesu mlipewa na wazungu baada ya bibi zenu kuswagwa utumwani, mkapewa mafundisho toka ulaya.
@user-bv2cb9qj9j
@user-bv2cb9qj9j Ай бұрын
Mungu akubariki na akulinde mbele za Magahidi Asante sana.
@KHamisiJuma-wy6ky
@KHamisiJuma-wy6ky Ай бұрын
Ww una uwelewa kabis
@didasmajor9288
@didasmajor9288 Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi, Mungu akubariki sana, Wakristo kuweni makini
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk Ай бұрын
@@didasmajor9288 hapotei mtu hapa YESU KRISTO Ndiye Anayeokoa
@veronicatresphory
@veronicatresphory Ай бұрын
Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo akubariki sana
@kuulejoackiml8313
@kuulejoackiml8313 9 күн бұрын
Glory be to God be blessed continue spraying gospel Muslims change know the truth Jesus Christ is the way to heaven not Muhammad please please
@justusngonyani165
@justusngonyani165 Ай бұрын
Issa sio Yesu.Wakristo haealazimishi Yesu kuwa Issa,bali waislamu wanalazimisha Issa kuwa Yesu
@wakeshojana
@wakeshojana Ай бұрын
Lazima wahalalishe dini yao kwa uongo kila wakati!!
@sulleysidey2844
@sulleysidey2844 Ай бұрын
basi itahalalishwa dini ya paulo
@AGM19697
@AGM19697 Ай бұрын
Uislamu umejaribu kukopi maandiko ya wakristo na wayahudi na matokeo yake baadhi ya mambo umechanganya sana mfano Yesu sio issa na wala aliyetolewa sadaka ni Issaka na sio Ismaili
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f Ай бұрын
​@@AGM19697eeee!! hahaha yan anaongea kma vle amesoma,
@sulleysidey2844
@sulleysidey2844 Ай бұрын
@@user-sn4iq6cu1f mm sijasoma
@albertmkangya8195
@albertmkangya8195 26 күн бұрын
Ubarikiwe na Bwana Yesu mchungaji.
@alimaulid9543
@alimaulid9543 Ай бұрын
Qur an imemwita yesu ka masihi Sura ya pili aya 45 إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِّنْهُ اسْمُهُ الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).
@bitsanjE
@bitsanjE Ай бұрын
Hayo ni maneno ya shetani,, hakuna malaika hapo
@jannffer
@jannffer Ай бұрын
great teacher
@officialbrothacley4777
@officialbrothacley4777 Ай бұрын
Isa ( Kiarabu : عِيسَى , romanized : ʿĪsā ) ni jina la kale la Kiarabu na tafsiri ya Yesu . Jina Isa ni jina linalotumika kwa Yesu katika Quran . Hata hivyo, si tafsiri pekee; inahusishwa zaidi na Yesu kama inavyoonyeshwa katika Uislamu , na kwa hivyo, hutumiwa sana na Waislamu . Wakristo Waarabu kwa kawaida humrejelea kwa jina Yeshua ( Kiarabu : يَسُوع , romanized : Yasūʿa ), aina mbadala ya jina Yoshua.
@AndrewMabagala
@AndrewMabagala Ай бұрын
Leo umenisaidia jambo mchungaji wangu. Barikiwa sana
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Ай бұрын
Yesu ( yehoshua) uinuliwe juu juu sana,,,, barikiwa family yangu na tupe neema ya kuendana sawasawa na Neno lako
@BarakaMwaikenda-ty1bt
@BarakaMwaikenda-ty1bt 19 күн бұрын
Amina baba umetufungua
@justusngonyani165
@justusngonyani165 Ай бұрын
Mafundisho ya wakristo yanapatikana kwenye biblia.Mafundisho ya waislamu yanapatikana kwenye Quran.
@daudmtoba191
@daudmtoba191 Ай бұрын
@@justusngonyani165 soma ikra soma uku mbavu ziki Banwa alafu mnasema nabii wa MUNGU Muhammad sio na bii wa MUNGU AMBAE NI YEHOVA ABAN MSEMO WENU INALLILA WAHINALLILA RAJUN
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Ай бұрын
Na hadithi
@SolomonMwankuga
@SolomonMwankuga Ай бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji kwa somo zuri sana.
@DuuSaid
@DuuSaid Ай бұрын
Hakuna baba Alie mbinguni mungu Hana mtoto hajazaa wela hajazaliwa sisi binadam ni viumbe wake ametuumba kuanzia adaam
@lupaprince1229
@lupaprince1229 Ай бұрын
Tatizo lenu, mnataka kusema ili MUNGU awe na mwana lazima awe na Mke, MUNGU amejulikana kuwa ni BABA wa roho zetu, baba wa duniani anajulikana ni baba aliyetuzaa kimwili.... hata zamani wayahudi bado wanamwita MUNGU baba, ila Mpinga Kristo alipokuja duniani mwaka wa 600 akaja kupinga kuwa MUNGU siyo BABA wala hana wana, lengo kubwa ni kupinga Wokovu wa MUNGU kwa wanadamu, kwa sababu Mpinga Kristo ni yule anayesema Yesu si Mwana wa MUNGU, hivyo ameudanganya ulimwengu na wanakana Wokovu wa kweli, atakaporudi YESU, ndipo watajua kuwa YESU siyo ISSA, watakapoona Alama za Misumali mikononi mwake, ndipo watakapoelewa kuwa Yesu alisulubiwa na kufa, na kufufuka....sasa maamuzi ni juu yako, Umwamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana waliomuona Yesu au umwamini Mtume wa uongo aliyekuja miaka 600 asiyewahi kumuona wala kusikia mafundisho ya Yesu. KUMBUKA, Ukweli unatangulia, kisha uongo unafuata ili kupotosha Ukweli....utaamua mwenyewe kumfuata YESU wa Biblia ambaye Alikufa na Kufufuka au kumfuata Mohammad aliyedanganya kuwa Yesu hakufa wala si Mwana wa Mungu
@user-ub1xk6yz6l
@user-ub1xk6yz6l Ай бұрын
Waislam ni watu wamwili zaidi kuliko wa rohoni wao wanafikiri kuzaliwa kimwili tu. Hapo ndo mmefeli. Ndo maana mnaishia kutawadha mwili. "Tawadha roho" yaani kuacha dhambi. Vyakula na matendo ya mwili yanawapoteza mwili na matendo yake yanaishia udongoni.
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x Ай бұрын
@@lupaprince1229 nimekupenda Bure ndugu yangu Kwa ufafanuzi mzur hongera
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x Ай бұрын
Muhammad uko aliko anajuta Kwa kuwapoteza wanadam na ndo maana kila siku wanamtakia rehema na amani viwe juu yake, Hana amani Muhammad jaman uko aliko
@OmariShuli
@OmariShuli Ай бұрын
​@@lupaprince1229Unaonekana una maarifa kidogo. ulitakiwa ukisome kitabu chake kisha ujiulize; huyu Muhammad ambaye watu wanasema hakujua kusoma wala kuandika,alieishi mbali sana na khabari za jerusalem, watu wake ni waabudu masanam, ujasiri wa kuandika haya ameutoa wapi? kwanini kwanini mara awasifu wana wa israel na kuwatia peponi, na mara awaponde na kuwatia motoni?kwanini kama anatafuta umaarufu asiwasifu baba zake, babu zake na hata maqurashi wenzake? kwani kitu gani hasa alichokuwa akitafuta? Ukijiuliza mswali haya akili yako utiweka huru, kisha utaanza kuisoma bibilia kwa utafiti na kuisoma qurani kwa uchungazi. Wakristo wameshindwa kuitetea dini yao ndipo wakaja na hoja mbili za kutaka kumaliza mjadala kiujanja:- 1-- YESU SIO ISA 2--MUNGU NI BABA WA KIROHO. Wangekuwa na hoja hizi tangu mwanzo kusingekuwa na mihadhara. kwa sababu vinavyo zungumziwa ni vitu viwili tofauti kabbisa. Lkn mihadhara imeendelea kwa miaka mingi kwa msingi kuwa watu wanazungumzia kitu kimoja ktk uwelewa tafauti, na kila mmoja anajiona yeye ndio yuko sahihi na anajitahidi kumuelewesha mwenzake usahihi.
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 18 күн бұрын
Mungu wa mbinguni aishie milele aliponye kanisa lake ambalo ni wakristo wa kweli wanaomuabudu Mungu ktk roho na kweli Duniani kote ktk jina la yesu Amin
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd Ай бұрын
Huyu mzee Allah amuongoze na afanye jitihada ya kuongoka tatizo la kuwapotosha watu bwana nafsi ikitoka akija mwenye amana kuichukua amana hakuna muda tena utajuta majuto ambayo hayatokusaidia
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Ай бұрын
ALICHO SEMA NI KWELI SIO KWELI?
@OmariShuli
@OmariShuli Ай бұрын
​@@patrickmunishi2277Alichosema sio kweli. Ni uongo mtupu.
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Ай бұрын
Allah sio mungu majini ni waslam ndomana mafundisho yenu ya ajabu ajabu
@FridayMwassa
@FridayMwassa 12 күн бұрын
Yaani wewe mwenyewe una mashaka na dini yako, Ndiyo maana koran inakwambia kama unamashaka nenda kaulize kwa watu wa kitabu
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa BWANA,,,,nimeelewa
@AnnaLwanda-oj4jn
@AnnaLwanda-oj4jn Ай бұрын
Ameen I mchungaji Mungu akubariki sana tunaelewa sana kumbe wametudangunya tumeujua ukweli sasa
@Saidishokakiburuji
@Saidishokakiburuji Ай бұрын
MCHUNGAJI USIBABAISHE ENDELEA KUPOTOSHA TU
@petermwaibofu7580
@petermwaibofu7580 Ай бұрын
Imekula kwalo​@@Saidishokakiburuji
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 Ай бұрын
Wewe ndo wababaika na wahadhiri wako wa mchongo wakina mazinge
@joanithagidion9796
@joanithagidion9796 15 күн бұрын
Ameeni barikiwa na Mungu akutunze
@songabethel
@songabethel Ай бұрын
Siku zote ukipokea jambo lolote kwa kubisha bila kutaka kuelewa kamwe huwezi kuelewa isipokuwa ukitaka kuelewa usitangulize ubishi jitahid tu kufanya research hata kimya kimya kwa faida yako kwani utajua ukweli
@andrewnyamwaro5174
@andrewnyamwaro5174 Ай бұрын
Yesu si Issa. Tusilazimishane juu hilo. Tunayemeamini tunamjua. Si Issa.
@rajabumwinyi8050
@rajabumwinyi8050 Ай бұрын
Hivi mchungaji ulisoma Quriani gani iliyo sema Mariam alilelewa Makkah?
@omarikhalfan1079
@omarikhalfan1079 Ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@omarikhalfan1079
@omarikhalfan1079 Ай бұрын
😅😅😊😊😊😊😊 😊
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of Ай бұрын
Anawapotosha makafiri wenzake,
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x Ай бұрын
Iyo iyo ya kwenu
@YustoBashweka
@YustoBashweka Ай бұрын
Ubarikiwe Mchungaji kwa somo ili make wakristo wengi wamepotoshwa na mafundisho potofu
@zenahussein2242
@zenahussein2242 Ай бұрын
Duh, msikiti wa al aqsa uliopo Jerusalem, sio makkah.
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Ай бұрын
ule utapigwa chini siku sio nyingi
@malifedhaanyasio811
@malifedhaanyasio811 8 күн бұрын
​@@patrickmunishi2277kaka kwataarifako ule msikiti mayaudi hatawanye nn hawawezi kuupora mpaka kiama kinasimama
@AyubuAnderson
@AyubuAnderson Ай бұрын
Amen mtumishi wa neno la mungu nmefalijika san hakika bwana yesu ndio mkombozi wa dunia na yeye Ndio njia uzima wa milele, anae mkataa yesu ajuwe ata baba wa mbingu na ardhi amemkataa
@salumharuna5872
@salumharuna5872 Ай бұрын
Kumbe wachungaji waongo namna hii Duh, hakuna sehemu Qur'an imesema Malaika alimtokea Maryam akiwa Makkah, kwa nini usiseme ukweli kama wamuogopa Mungu. Na huyu ndio mchungaji tegemewa kwa wakristo. Malaika alimtokea Maryam katika msikiti wa Aqsa ambao upo Palestina mpaka leo cha ajabu mchungaji anadanganya kweupeee🤣
@SimonHaule-tp3ny
@SimonHaule-tp3ny Ай бұрын
Kwa akili ya kuvukia barabara tu,muhamad kazaliwa karne ya tano,Yesu yupo karne ya kwanza,kwa hiyo msikiti huo al aqsa upo palestina karne ya 1 ? wakati msikiti umejengwa na idris wa jordan baada ya mujahidina kuiteka jerusalem.
@salumharuna5872
@salumharuna5872 Ай бұрын
@@SimonHaule-tp3ny Hoja ilikua uongo wa huyo mchungaji wenu kua Qur'an imesema malaika alimtokea Maryam huko Makkah, hoja sio lini msikiti umejengwa maana akili yako ya kuvukia barabara imeshindwa kutofautisha kati ya kujengwa na kufanyiwa maboresho.
@FrankBella-qe4tj
@FrankBella-qe4tj Ай бұрын
Majini mnasali nayo msikitini
@user-vl7zi7rz8y
@user-vl7zi7rz8y Ай бұрын
Jamani yesu
@FridayMwassa
@FridayMwassa 12 күн бұрын
​@@salumharuna5872Ebu nawewe tuonyeshe mahali alipozaliwa YESU ktk koran yenu
@AminimunguWilfried-fw2eh
@AminimunguWilfried-fw2eh Ай бұрын
Barikiwa mtu wa Mungu issa siyo Yesu
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym Ай бұрын
Wewe ndiye Mwalimu na Mchungaji mkweli na Msomi! Be blessed in richly!
@BENS-ok4vh
@BENS-ok4vh Ай бұрын
Bravo pastor na fichua just ya wenye uhui wanne juu ya uso wa mwanadamu
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v Ай бұрын
Zakariya hakuwahi kuishi makka wala mariamu.Wala sinagogi sio msikiti.Sehemu yoyote inayotumika kumuabudu mungu Kiarabu inaitwa masjidi.Umepata mtu akakudanga nawe ukadanganyika.Na sasa unawadanganya watu.
@NammanaMobile
@NammanaMobile Ай бұрын
Sasa ww ndo unaongea nn wapi andiko la quran linasema Zakaria alikuwa makka
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa Ай бұрын
Aaache kuwapoteza watu uyo namslahi yenye yuko anatafuta yakifeza kama amepata mtu wakumpa pesa il aje adanganye Watu .na wala hatupati atapata wapotevu wenziye
@bitsanjE
@bitsanjE Ай бұрын
Quran inasema ivo wewe ni nani ukatae
@NammanaMobile
@NammanaMobile Ай бұрын
@@bitsanjE weka andiko la zakalia kuwa maka
@bitsanjE
@bitsanjE Ай бұрын
@@NammanaMobile kulingana na quran Mariam alipewa mimba na "malaika" aliondoka nayo na akaenda mbali, kisha baadaye akazaa chini ya mtende,ikiwa na maana mimba aliibeba kwa cku moja akazaa, hizo ni story za jaba aisee
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 13 күн бұрын
Hakuna Yesu wawili.Yesu ndie Issa aliyezaliwa na Mariamu.Isipokuwa Sifa za Waisilamu tafauti sifa wanaoamini Wakristo.Jina lake halisi Yeshua.Issa
@FridayMwassa
@FridayMwassa 12 күн бұрын
Kama sifa ni tofauti huoni kwamba ni watu wawili tofauti,kipi kitabu kilianza kuandika habari za YESU Kati ya koran au injili,walio andika habari za YESU walikuwa wayahudi kama YESU lakini inakuja Koran ya Muhammad inapotosha kwa makusudi
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 11 күн бұрын
@@FridayMwassa In English there’s only one Jesus Christ whether you’re Moslem or Christian.
@hamoodhhamoodalsharji7584
@hamoodhhamoodalsharji7584 Ай бұрын
Endelea kuwapoteza
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 Ай бұрын
Ww ndo umepotea
@peteryohana891
@peteryohana891 Ай бұрын
Acha ubishi ndugu wewe kubari uwokorewe na yesu,uwe mteule
@David-im8fw
@David-im8fw Ай бұрын
Mmeshikwa pabaya mnahemea juu juu! nyambafu zenuwaislamu
@franciskabila8136
@franciskabila8136 Ай бұрын
Asante mwalimu umejenga imani yangu kweli.ubarikiwe sana
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of Ай бұрын
Imani ya uongo
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
​@@AlkadoNkundwe-wb3ofKama ilivyokua Shakahola kule Kenya ni mahodari wa kudanganya watu na kupindisha maandiko
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 Ай бұрын
Kweli wakristo ni watu wa kuburuzwa
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk Ай бұрын
@@nassorsharifu9837 wakuburuzwa ni ww usiyejua maana ya mandiko unayekwenda kama kipofu maana hata kitabu chako mwenyewe hukijui kinakuelekeza nini kazi kupinga tu,hata kama hujui acha waliokwenda darasani wakufundishe usiyoyajua ww.
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk Ай бұрын
@@nassorsharifu9837 Mi nakukumbusha Mwamini YESU KRISTO usipomwamini hata ufie masjid au juu ya jiwe jeusi alkahaba huko Maka utakwenda jehanam kweupeeee.hii utaikumbuka siku moja we subili tu.
@Sheba4651
@Sheba4651 Ай бұрын
​@@Rashid-vm1fkAkisha kumuamini huyo yesu wenu kristo ndio atapata nini?
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk Ай бұрын
@@Sheba4651 nitapata uzima wa milele
@Sheba4651
@Sheba4651 Ай бұрын
@@Rashid-vm1fk Akupe nani nzima wa milele. Hiyo siku ikifika Yesu atasema hajui utokako.
@WilliamWami
@WilliamWami Ай бұрын
Asante sana mwalomu wangu.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Ukitafakari Quran na vitabu vungine vya kiislam unabaki unashangaa tu, unawaza labda walidhani vitasomwa na wao wenyewe tu, kwahiyo uongo wa vitabu vyao usingejulikana abadan.
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p Ай бұрын
Wewe umesoma kitabu gani cha kiislam au umekaririshwa porojo?
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk Ай бұрын
​@@user-mc2xd4eu2p Anzia na Qur'uan tu, ina taarifa nyingi zisizo sahihi
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr Ай бұрын
Timetheo 4:4 wataacha kweli ya MUNGU na kufuata HADITHI ZA UONGO
@machajuma6565
@machajuma6565 Ай бұрын
Jitafakari ndugu yangu una unachokijua ktk bibilia wala Qur-an tukufu
@faridalharthi8621
@faridalharthi8621 27 күн бұрын
Kwani Yesu ametokana yuko Yonani ? , kweli Waarabu wanamwita bwana Yesu ( Yasua ) , lakini wamelipata wapi ? Na pia Waswahili wamelipata wapi jina hili (Yesu ) ? , hebu tazama tofauti baina ya majina haya mawili , licha ya hivyo Waingereza pia wanamwita ( Jusus ) , na wayahidi pia wanamwita (Emmanuel ) na nchi nyenginezo za Ulaya wanamwita (Isso ) , nchi mbalimbali za Ulimwengu wanamwita kwa majina tofauti tofauti ! ، sasa tujiulize ! Ni jina lake NANI HASA ? Kati ya majina yasiyo na idadi kwa tofauti zao ? Tazama jina Muhammad ! Ulimwengu mzima Waisilamu na wasio waisilamu wanamwita jina hilo hilo moja Muhammad , kwanini basi tofauti iwe kwa Bwana ISSA tu ??? , ebu zingatieni kwa hili tu basi
@user-dt5wp5qo4n
@user-dt5wp5qo4n Ай бұрын
Yesu sio isa,leo nimejua ukweli,kumbe ndio maana waaisilamu wanasema,isa hakufa na sisi tunasema yesu alikufa na amepaa mbinguni,mungu akubariki mchungaji simbaulang,
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f Ай бұрын
kwani yesu kwalugha yakiingereza inatamkwa vp na kwakiarabu inatamkwaje? Usijirizishe ktk mitandao ukasema asante mtumishi wakati hujaenda kusoma sasa bs mm nilwambie k2 kma utaenda kusoma kwl kwl kwajil yakmjua mungu ndugu yngu unaweza kuchanganyikiwa
@FredrickKagusa-wt9bw
@FredrickKagusa-wt9bw Ай бұрын
​@@user-sn4iq6cu1fKwa kiarabu anaitwa yasuor siyo isa tafuta biblia ya kiarabu tafuta neno yesu
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Ай бұрын
@@FredrickKagusa-wt9bw sawa kabisa hata mimi ninayo haisemi Issa bali Yasour
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f Ай бұрын
@@FredrickKagusa-wt9bw icho itakua ni kiarabu cha kimakonde
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f Ай бұрын
@@odilomwemeziernest646 kiarabu cha kizaramu icho
@WillBat-gc9ex
@WillBat-gc9ex Ай бұрын
Barikiwa sana mchungaji hata isaya benson aliwahi kufundisha hivohivo ba bilifuatilia saba nikajua kweli wachngaji bandh yenu mmekuwa vizuri na wengine mungu ataendelea kuwa fungua siku hadi siku mbarikiwe sana wachungaj wote dunian
@ModestMwakikoti
@ModestMwakikoti 14 күн бұрын
Umeeleza vizur sana wewe kweli ni mtumishi wa mungu aliye hai
@user-jl1db6lc1w
@user-jl1db6lc1w Ай бұрын
Mungu akubariki kwa somo hii maana hata mimi nilidhani tuko sawa.
@user-zh1dp1tx7g
@user-zh1dp1tx7g 4 күн бұрын
Kristo ni yeye yule Jana , leo na hata milele amina, na ukweli nikwamba neno la maana kwao waaminio ni nguvu Bali wanaopotea ni upuuzi
@MiltraudNyagali-fw3hu
@MiltraudNyagali-fw3hu Ай бұрын
Ni kweli cc wakristo hatuabudu mungu mmoja na waislam wao hawamwamini kama Yesu ni Mungu na wao wana Mungu wao ambae ni Allah
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 25 күн бұрын
@@MiltraudNyagali-fw3hu Sasa naji alianza Bikira Maria kumzaa Yesu au Yesu kumuumba Bikira Maria kupitia kwa Adam. Ni sawa na historia ya kuku na yai nani kaanza lakini ni rahisi kwani Noah alichukua katika Chombo chake kuku wawili wa jinsia tofauti wakatengeneza mayai.Haya Yesu na mama yake Maria ilikuaje? Mungu na mama yake Maria ilikuaje?
@FridayMwassa
@FridayMwassa 12 күн бұрын
​@@hashimchaoga9566YESU alikuwepo kabla hata ya ulimwengu kuwako,kuzaliwa na Mariam haimaanishi kwamba hakuwepo, maana ili mwanadamu atokee kwenye mwili huu lazima apitiye kwa mwanamke
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 12 күн бұрын
@@FridayMwassa Hizo ni stori tu za Warumi na Wagiriki.Aliekiwepo na asie mwanzo na hafi ni Mungu Mwenyezi tu ambae hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mshirika wala mfanowe. Hizo komedi za kuwepo halafu azaliwe ndio atokee duniani tena Mungu hafanyi.Amini tu Yesu ni mtume mwaminifu wa Mungu na alitumwa Nazareti kuja kuwakomboa wana wa Israel waliopotea.Mungu alimtuma Malaika kwa Mariam kumjulisha kupata Mimba na kuzaa mtoto wa kiume basi.Mengind ni nyongeza tu za waandishi. Yesu alikuja kufundisha ikiwemo injili zake na za akina Mussa na wengineo waliomtangulia Asie mwanzo asie mwisho ni mmoja tu Mungu Mwenyezi. Yesu yuko katika mitume 25 wa mwenyezi Mungu wa kwanza ni Adam wa mwisho Muhammad
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 12 күн бұрын
@@FridayMwassa Hizo ni stori tu za Warumi Wagiriki na kanisa. Aliekuwepo asie mwisho na hafi ni mmoja tu. Huyo hakuzaa hakuzaliwa hana mfanowe na hana mshirika. Wengine wote 25 ni mitume wake watiifu waliotumwa kueneza neno lake na Yesu alitumwa. Nazareti kuja kuwaokoa wana wa Israel
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 9 күн бұрын
​@@FridayMwassaYesu alikuwepo akitokea wapi? Inajulikana ni Mungu tu mmoja ndio alikuwepo yeye hana mwanzo hana mwisho hakuzaa hakuzaliwa na wala hafi na si Myahudi kama Yesu Mungu hana dini si mkristo.Hawa Warumi Wagiriki na Kanisa wameongeza mengi tu ambayo si ya kweli
@BarakaMwaikenda-ty1bt
@BarakaMwaikenda-ty1bt 19 күн бұрын
Mimi mwenyewe nlipotoshwa kwa miaka mingi ila saivi nmejifunza
@jannffer
@jannffer Ай бұрын
Great revelation
@martinkisha6307
@martinkisha6307 26 күн бұрын
Teacher good
@williamissaya8091
@williamissaya8091 Ай бұрын
Habari hii ni very very special kwa wakristo wote waweze kujua siyo kwa waislamu ila wale watakao pata neema ya kuingia kwenye ukristo.
@joelmusili1733
@joelmusili1733 Ай бұрын
Asante Mwl wangu,Kwa mafundisho yako niliuliza maswali kwenye mhadhara msikiti wa chihota tandika yalikosa majibu mhadhala ukavuligika ukiongozwa na mazinge mwaka 2000
@VitusMakala
@VitusMakala Ай бұрын
Huna uwezo wa kumuuliza mazinge swali ashindwe kujibu
@zenahussein2242
@zenahussein2242 Ай бұрын
😂😂😂 Yani mazinge anakimbiwa wewe ndio umkimbize kweli. Acha futuhi zako 😂😂😂
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Ай бұрын
Issa anafujo...kwa Nini avunje misalaba ya wakristo,,,,,ndo mana Hawa wenzetu wanakuwaga na fujo na ubishiii,,,,kumbe ni tabia za nabii wao ,,,,, yehoshua amebeba upendo na amani,,,,,,, asante MUNGU kwa kujifungua ufahamu wangu
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of Ай бұрын
Sio huyo huyo alipindua pindua meza na kuchapa watu viboko mle sinagogini ?
@AminiKayanda
@AminiKayanda Ай бұрын
Km n fujo kaanza uyo yesu wa kwenye bibilia maana alipoingia kwenye cnagogi alikasilika kuona watu wanafanya biashala kwenye nyumba ya mungu wake
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 18 күн бұрын
​@@AminiKayanda Toa Andiko Wapi Yesu Kafanya Fujo Hizo Kwenye SINAGOGI!?
@ModestMwakikoti
@ModestMwakikoti 14 күн бұрын
Ok
@dadamuebrania1539
@dadamuebrania1539 Ай бұрын
Amen. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
@bethaniahemalautukufu-np3so
@bethaniahemalautukufu-np3so Ай бұрын
Asante baba pasta Simba ulanga
@DaudaBilikesi
@DaudaBilikesi 19 күн бұрын
Kwa viwango na umri wa Mchungaji Simbaulanga hatarajiwi kusema uongo au jambo asilo na uhakika nalo!.Siamini kama haijui historia kuwa kwenye baadhi ya matoleo ya biblia takatifu,neno sinagogi(nyumba ya ibada au hekalu) limetafsiriwa kwa maana ya 'msikiti wa Wayahudi'. Ni wapi Mchungaji Simbaulanga alipata maandiko ya Mariam kukutwa Makka ya Hejazi,anafahamu mwenyewe.Hakuna mahali katika Qurani wala Hadith ya Mtume anakotajwa Mariam kuzaliwa Makkah na hata kumzaa Yessu akiwa Makkah. Ndiyo maana hajataja kitabu alichorejea kuyasema hayo! Tuombe huruma ya Mungu kuuona, kuusema na kuuishi ukweli.
@danielchacha2973
@danielchacha2973 Ай бұрын
Baba, umenielewesha sana na kwa lugha nyepesi Ubarikiwe na Bwana Yesu. OMBI WEKA VYA WAISLAM VIELELEZO WAZI KTK MASOMO YAKO TUIMALIZIE KAZI NZURI UNAYOITENDA PAMOJA NA WENGINE. ONA PIA CHANNEL MOJA YA mtumiahi Christian Prince.
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
Huyu anasoma vitabu na hadithi za uongo zilizokua rejected. Sio maandiko yote ni ya kweli. Waislam wanaamini Yesu huyo huyo bali wanapinga baadhi ya mambo mengine kuhusu Yesu huyo huyo. Mungu hafi kamwe nyinyi mnasema Mungu ndio Yesu halafu kafa. hivi ndio vitu ambavyo waislam wanapinga.Au Yesu ni Mungu inakuaje sasa Mungu azaliwe tena na Maria aliyemuumba na nani alianza Maria kumzaa Yesu au Yesu kumuumba Maria mambo yasiyowezekana kama haya ndio waislam wanapinga na si injili mpya. Msalaba ulikuwepo kabla ya Yesu na kazi yake ya kuulia Yesu haikufanyika kwa Yesu pekee. Yesu kama ni Mungu hawezi kuteswa wala kufa hizo ni dhihaka kwa mwenyezi Mungu. Mwokozi ni mtume yeyote wa Mwenyezi Mungu hata Mussa aliyeshushiwa amri kumi za Mungu ambazo ndizo mkombozi ukizifuata
@messiah-l4r
@messiah-l4r 23 күн бұрын
Nioneshe amri 10 za MUSA kwenye Quran? ​@@hashimchaoga9566
@jannffer
@jannffer Ай бұрын
Napenda vile unafudisha Mungu akubaliki
@amirmape6474
@amirmape6474 Ай бұрын
Unapenda kuongopewa hakuna sehemu kwenye Quran inayosema mariam mama yake issa aliishi maka analeta ujanja wa kijinga Quran haikusema mariam kwamba amelelewa kwenye msikiti wa maka
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
1 Yoh. 4:1-3. Inasema roho isiyomkiri Yesu Kristo haitokani na Mungu, ndiyo roho ya mpinga Kristo. Kwa andiko hili na mengine, ni dhahiri Uislam ni roho ya mpinga Kristo
@bethaniahemalautukufu-np3so
@bethaniahemalautukufu-np3so Ай бұрын
Baba safii vumbua uwongo wa waarabu na kitabuchao
@loner_wolf
@loner_wolf Ай бұрын
ISSA IBN MARIYAM NDIO YESU ..... HILO HALIHITAJI MJADALA ....... ZAKARIA NDIO ALIYEMLEA MARIYAM MTOTO WA IMRAN . YAAN MARIYAM NI MTOTO PEKEE WA MZEE IMRAN , NA IMRAN NDIO BABU YAKE YESU . MARIYAM BAADA YA KUFIWA NA WAZAZI WAKE ALILELEWA NA ZAKARIA , NA HUYU ZAKARIA NDIO BABA MZAZI WA NABII YAHAYA AU YOHANA MBATIZAJI KWA BIBLIA . ZAKARIA NA MARIAM NA YAHAYA HAWAJAWAHI KUISHI UARABUNI . WALA UISLAM HAUKUANZISHWA NA WAARABU . HIZO NI PROPAGANDA ZA MAKANISANI ....... MANABII WOTE KUANZIA ADAM , MPKA MUHAMMAD , YAAN IBRAHM ,ISAKA NA ISMAIL, ISAYAH, YAKOUB ,MUSSA,NUHU, ISSA, YAHAYA, WOOOOOTE WALIKUWA WANAUJUMBE WA MUNGU NI MMOJA NA NDIO MWENYE HAKI YA KUABUDIWA...... HII TRINITY NA UKRISTO NI MPANGO WA BINADAM TENA WARUMI KUTOKA ROMA NA BAADAE WAKAUNGANA NA WAZUNGU WOTE WALIPOPOTEZA UTAWALA WA KIKOLONI .
@AGM19697
@AGM19697 Ай бұрын
@@loner_wolf Hiyo ni kulingana na nyie. Lakini katika vitabu vyetu sisi na vya Wayahudi sifa za hao wawili zinakinzana. Ndio maana sisi tunasema sio mmoja ni wawili tofauti. Toka jina Yeoshua mpaka Issa ni majina tofauti kabisa. Biblia za kiarabu zimeandika Yesua/Yeoshua/Yesu mapepo yatatoka na kukimbia. Njoo kwenye maombezi utashuhudia ndugu zako Waislamu wakitolewa pepo kwa jina la Yesu na sio issa Hata tufanye experiment ndogo twende kutoa mapepo kwa jina la issa hakuna pepo litakalostuka. Ila kwa jina la Ye
@japhetmtafya5072
@japhetmtafya5072 Ай бұрын
Asante mtumishi kutungua ufahamu wakristo
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p Ай бұрын
@@japhetmtafya5072 anawapoteza huyo amka soma usitegemee hawa wawasomee maandiko wanawapoteza
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
Mmezowea kudanganyana tu kama yaloyotokea Shakahola. Ni dini ya kutunga tunga tu. Ni kweli kama Mungu ndio Yesu basi hajafa kwani Mungu hafi mnaona mnavyojichanganya. Mnaposema Yesu kafa halafu kafufuka basi mseme si Mungu kwani Mungu hafi
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
Kuna vitabu na hadithi nyingi za uongo Na ndio anasoma huyu mchungaji. Hata waandishi wa Biblia walireject mengi tu na hata biblia ya Wayahudi haina agano jipya yawezekana wameona kuna uongo uongo mwingi. Na biblia ziko za vitabu 66 na 78 ya Warumi. Hao waprostestant wameona kuna vitabu vya uongo hawakuvijumuisha katika biblia
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
Kuna hadithi za uongo kwamba ukitaja jina la Yesu Israel unakamatwa na kufunguliwa mashtaka.Ajabu Yesu katumwa Israel kuja kuwakomboa lakini walimkataa hadi kumuua kwa sababu tofauti na si za ukombozi huo unaohadithiwa.Lakini ajabu hakuna anaewalaumu wayahudi kwa waliomtendea Yesu. Taurati ilikataza nguruwe na yesu pia pamoja na masanamu msalaba na kilichomo ni sanamu lile kwani hakuna picha halisi ya Yesu wala Mariam . Yesu alikataza kuabudu masanamu kwa hivi akiyavunja ni sawa
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 Ай бұрын
Asante Sana Mtumishi wa Mungu Elimu Nzuri ili kupunguza malumbano,,wa kule wabaki wa kule na wa Huku Wabaki Wa huku
@rafiurashid1021
@rafiurashid1021 Ай бұрын
We simba ulanga huna akiri lugha inakusumbua, unavosema yesu siyo issa! Inamaana yesu siyo Jesus!! Ningekwambia ukasome, ila umli wako umeenda Mzee badirika
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 Ай бұрын
Poleni sana Wakristo maana hamjui pa kushika, Kila atakaye kuja kwenu kuwaeleza habari za Kristo Yesu anazidi kuwachanganya. Wayahudi wa dhehebu la Kikristo la Othodox Mungu wanamwita Allah, je leo akija mkristo wa Kiyahudi akakufundisha kuwa Mungu ni Allah mtamkubari?. Isa na Yesu ni kitu kimoja lakini tofauti hapa ni mapokeo na mafundisho.
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 Ай бұрын
Ndugu umeopotea sn, Yesu kazaliwa ktk hori la ngombe - Bethlehem lkn Issa kazaliwa kandokando ya msikiti huko Mecca,. Je uhoni tofauti??
@piusmdoe3200
@piusmdoe3200 Ай бұрын
Pamoja na maelezo yote hayo hujaelewa tu
@OmariShuli
@OmariShuli Ай бұрын
​@@hamisijuma3276 tuletee kitabu chochote cha kiislaam kilichosema kuwa Yesu amezaliwa makka. na pia anayea sema amezaliwa kwenye kihori ni Luka, nenda ukamsome na Mathayo.
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 Ай бұрын
​@@hamisijuma3276Maka gani leta ushahidi wa aya. Ni uongo hakuna aya inayosema Mariam alikuwa Makka!
@justusngonyani165
@justusngonyani165 Ай бұрын
Issa sio Yesu.Hawana sifa zinazofanana.Wasiofanana sio wamoja.Tukikubaliana sio mmoja,kuna hasara GANI?
@loner_wolf
@loner_wolf 16 күн бұрын
Sijawah kuona mchungaji mjinga kichwa kama huyu . Yaan anataka tumfuate yeye na kichwa chake wakati vitabu vipo . Quraan iko wazi . Hakuna kitabu kilicho wazi kama quraan . ILA MZEE NIKUSHAURI TU , SOMA LUKE 1:1 NDIO UTAELEWA KUWA BIBLIA SIO KAMA QURAN .
@mussamsanu1544
@mussamsanu1544 Ай бұрын
Imami Baidhawi hayupo labda ni mchungaji mwenzio.
@amirmape6474
@amirmape6474 Ай бұрын
Duhh eti mariam aliyemzaa issa aliishi maka kweli muongo huyu pasta hakuna sehemu kwenye Quran kwamba mariam alikuwa anaishi maka kasome tena
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Ай бұрын
Nendeni mkafute kwenye vitabu vyenu sasa majini yamewafundisha kukataa
@loner_wolf
@loner_wolf 16 күн бұрын
​@@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hlpunguani , mwambie akwambie quran anayosoma kaitoa wapi ...? Au nikupe kazi wewe , ikikutana na mtoto wa madrasa mwambie akusomee surat al imran akifika hapo kwa makka asimame alafu njoo na kisu unichome jichoni nipo hapa😅
@loner_wolf
@loner_wolf 16 күн бұрын
Hamsomi ndiomaana WAZUNGU kwakuwa wanasoma sana WANASILIMU makundi kwa makundi . Mtabaki ninyi mazezeta msiotaka kutafuta ukweli mnakalili tu mnadhani dini ni team za mpira, dini sio kubishana , nikusoma na kufanya research , mtu mjinga anakwambia eti maryam amelelewa makka unakubali na quran anayoisingizia hana .😂😂
@FridayMwassa
@FridayMwassa 12 күн бұрын
​@loner_wolf Kusilimu kwa wazungu haimaanishi kwamba koran ni ya kweli.Kila Siku wanasilimu na bado wanawapiga kwa mabomu
@OmariShuli
@OmariShuli Ай бұрын
Waislaamu ndio wa kwanza kuanza mihadhara wakiwa na yaqini kuwa Yesu ndiye Isa ispokuwa wanasema maelezo ya ndani ya bibilia yamepotoshwa. Baadae nyinyi wakristo mkajitokeza kuanza kujibu na hapo ndio malumbano ya kaanza. Kwa nini basi tangu hapo siku za mwanzo msiyaseme hayo yote na mkaacha malumbano?
@user-mt4ro9yz5s
@user-mt4ro9yz5s 26 күн бұрын
Midahalo ilipigwa marufuku baada ya dini mojawapo kuazisha fujo
@mtindikoja8837
@mtindikoja8837 20 күн бұрын
Hapo akili yasimbaulanga imefika mwisho, hata mungu wawakiristo sio wawaislamu nahstadini nitofauti hata histori
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 25 күн бұрын
Waislamu wanafundisha kuwa mama yake Issa ni dada yake Haruni na Musa wa agano la kale ambao waliishi maelfu ya miaka kabla ya kuzaliwa kwa Yesu wa Biblia.
@mohamediomari7145
@mohamediomari7145 Ай бұрын
Simba ulanga weka mjadala namazinge kama utatoboa usizungumze vichochoroni mzee huna hoja
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 15 күн бұрын
Waislamu Wana mohadi wakristo hawana wakristo Wana yesu waislamu Wana isakuzaliwa tofauti historia yao tofauti Kwa mfano habubakali kwakizungu au kiswahili anaitwaje
@mussakamando2678
@mussakamando2678 Ай бұрын
Muulizeni na Mussa wa kwenye Biblia ndiye Mussa wa kwenye Quran?
@WillBat-gc9ex
@WillBat-gc9ex Ай бұрын
Musa wa kwenye biblia ndiye huyo musa wa kweye kuruan walk haliba ubishi
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Ай бұрын
Nami naongezea mtumishi wa MUNGU,,,,pepo ukilikemea kwa jina la YESU Toka ,,,linatoka haraka sana,,,,ila subutu useme kwa jina la ISSA Toka uone kama pepo litatoka,,,,,halitatoka kamwe,,utakeshaa
@loner_wolf
@loner_wolf 16 күн бұрын
Yesu aligeuza maji kuwa pombe kali kbsa, Issa hakufanya kitu kama hicho cha kumchukiza mungu😮
@FridayMwassa
@FridayMwassa 12 күн бұрын
Uongo ni dhambi, hakuna mahali popote panaposema Yesu alitengeneza pombe, Yesu alitengeneza divai siyo mvinyo
@officialbrothacley4777
@officialbrothacley4777 Ай бұрын
Kuna aina mbalimbali za vyeo vinavyotumika kumrejelea nabii wa mwisho wa Uislamu, Isa ibn Maryam ( Yesu ), katika Quran . Wanazuoni wa Kiislamu wanasisitiza haja ya Waislamu kufuata jina la Isa (Yesu), liwe linazungumzwa au limeandikwa, kwa maneno ya heshima alayhi al-salām ( Kiarabu : عليه السلام ), ambayo ina maana ya amani iwe juu yake . Isa ametajwa kwa jina au cheo mara 78 katika Quran. [1]
@WillBat-gc9ex
@WillBat-gc9ex Ай бұрын
Kwa mujib wa quran na sio biblia
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 Ай бұрын
Isa ni Isa YESU ni YESU kwani Kuna tofauti Gani ya lugha kati ya waarabu wa kikristo wanao muita YESU na waarabu wa kisilam wanaomuita Isa
@ernestmbasha6428
@ernestmbasha6428 25 күн бұрын
Walsham waskalili dini kutoka kwa wazazi waliowaongoza , waisome vizuri Quruan
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Ай бұрын
😊 pasta Tafadhali Mkiristo anaamini Yesu NI Mungu .
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Ай бұрын
Namuhurumia sana huyu anaeshikilia spika muda wote uo Kwa huyu mzee wa hovyo mm ningeshaingia ganzi mkono zamani
@WillBat-gc9ex
@WillBat-gc9ex Ай бұрын
Hujielewi wewe kachekiwe akili
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 Ай бұрын
Kabisa hatamie nimgempa akashika mwenyewe kisa chakupooza mkono aalaaa
@lilianphilipo9219
@lilianphilipo9219 Ай бұрын
​@@saleemadhiyabalkhatri7800hata msipoamini Kuna ndugu pale kashaeleza. Ukikemea pepo kwa Jina la Isa halitoki ng'ooo utakesha ila sema YESU uone shughuli yake
@seifserenge3340
@seifserenge3340 Ай бұрын
Endelea kuwadanganya hao wakristo. Waislam wana kamba madhuburi isiokatika. Haki na batili iko wazi, endeleeni kufata dini ya wazungu mtakuja kuona mwisho wake. Wewe huijui Quran wala iyo biblia yenu
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 Ай бұрын
Iv we unajitambua kweli? Et tufate dini ya wazungu wakati hata kusali tunasali kiswahili, nyie mnafata dini ya warabu ndo maana hata kusali Ni kiarabu, Sasa wewe ndugu yako Ni yupo msukuma wa kukaya af unasali kiarabu
@user-be8mu6fm3t
@user-be8mu6fm3t Ай бұрын
Wanafata kiarabu hata hawajui chimbuko la uongo wa Mohammad
@hamidmussa838
@hamidmussa838 Ай бұрын
Siku utakayo toka roho ndo utamjuwa Mungu wake.
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 Ай бұрын
Wewe ndiyo unaotoa mnatishwa tishwa tu kufa ni kusinzia hakuna maumivu wakati wa kufa
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g Ай бұрын
Wewe ni poyoyo,sikiliza chuma hicho
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Ай бұрын
Hujui kitu wewe endelea kuosha mkundu msikitini ukidanganywa juwa ndio ibada ya mungu muumba mbingu na nchi
@NammanaMobile
@NammanaMobile Ай бұрын
Kama issa siyo yesu.... Basi hata jesus siyo yesu.. Mana apo shida ni lugha tu. Ila ningependa nikuache na faida moja ili ujue kama wazungu siyo watu wa zuri... Chukua neno jesus... Afu toa j ya mwanzo afu nambie kinacho sound apo ni kitu gan... Afu ndo utajua au hujui kama mlilishwa matango poli na wazungu.
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c Ай бұрын
Haongelei tafsiri ya majina ktk Lugha. Anaongelea life content zao kwa Mujibu wa maandiko kwamba ni watu wawili tofauti
@SolomonMwankuga
@SolomonMwankuga Ай бұрын
Si lugha tu msikilize pastor vizuri, Isa atavunja misalaba ,ataoa mambo mengi ameeleza yanayo mtofautisha Yesu na Isa.
@jamalkishangu
@jamalkishangu Ай бұрын
Yesu ana majina mengi na Kila sehemu watu wanamuita tofauti, Wafasaransa wanamwita JEZY, Waingereza wanamwita Christ, waarabu wanamwita ISSA. Kuamini ni kitu kingine na ukweli ni kitu kingine. Unaweza ukaamini kitu ambacho sio sahihi.
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Ай бұрын
Wew na wew giza kweli, ina maana aulewi anachokiongea apo, yahswa au ali masih ni nini kwa kiaharabu?
@danielgiiti7295
@danielgiiti7295 Ай бұрын
Waislamu Ni kabila au ?
@danielgiiti7295
@danielgiiti7295 Ай бұрын
Waarabu hawaiti hivyo wewe acha kitu Kama hujui
@AloyceMrema-i6u
@AloyceMrema-i6u 13 күн бұрын
Acha uongo waarabu hawamwiti Yesu ISSA Mshamba hata kiarabu chenyewe hukijui mnalishwa matango pori😅
@OmariShuli
@OmariShuli Ай бұрын
Swifa za Mungu tunaye muabudu sisi waislaam:- Jina lake ni Mwenye ezi Mungu. hakuzaa wala hakuzaliwa wala hafanani na kitu chochote, ni mmoja na wa pekee, hana mshirika ktk uungu wake wala ktk jina lake wala ktk swifa zake wala ktk vitendo vyake. Hana msaidizi wala mshauri wala waziri yeye ndiye aloanzosha viumbe na ataye virejesha tena ni mweye kuhuyisha na kufisha na ndiye mmliki wa siku ya malipo.
@favoritebrayo
@favoritebrayo Ай бұрын
eee tunajua yeye ni sanamu tu hawezi zaa hana hio nguvu wapiga kristo nyinyi
@khambhai360
@khambhai360 Ай бұрын
​@@favoritebrayoSasa wewe chizi sanamu ndiye aliyeumba mbingu Na ardhi Na viumbe wote maana ye ndiye Allah.Mwenyezi Mungu wetu tunayemwamini waislamu.
@favoritebrayo
@favoritebrayo Ай бұрын
@@khambhai360 nani amekwambia Allah ndiye kaumba😏😏😏😏
@khambhai360
@khambhai360 Ай бұрын
@@favoritebrayo yes, Ni Mungu setup Allah ndio kaumba katuumba Sisi ndio maana tunamsujudia,tunafunga Kwa ajili yake.Nyie kanisani mnaenda kuimba Na kuvaa nguo zisizo Na stara.
@favoritebrayo
@favoritebrayo Ай бұрын
@@khambhai360 hio ni wewe umesema wala huna andiko la kudhibitisha
@athumanmkomwamkomwa2912
@athumanmkomwamkomwa2912 22 күн бұрын
Jamani simbaulanga anawapoteza isa ni kiarabu nan yesu ni kizungu na kiarabu na warabu hilo jina wamelipata kwenye qur,aan na quraan sio kiarabu niluga ya kimungu kwamaana hata waarabu wenyewe wanaji funza qur,aan kwahiyo isa wamaka na yesu wanatheret nikitu kimoja na mungu wao nimmoja na mungu wawaislaam na mungu waeakiristo nimungu mmoja na mariamu aliotajwa kwennye gur,aan mariamu aliotajwa kwenye bibilia nimmoja na musa qur,aan na musa wa bibilia nimmoja ibrahimu wa quraan na ibrahimu wa bibilia nimmoja daudi wa quraan na deudi wabibilia nimmoja tafadhalini wakiristo msipotezwe mkakosa radhi za alla Simba ulanga schochote Wala sio lolote mtu Kama wewe mtegemee yule AmBAR anatushushia mvua wewe na Mimi na yule Ambae anatulete ma baala ya mafurio wewe na Mimi huyo ndoo waku sikilizwa na Wala sio Simba ulanga kasema hivyo kutokana napumzi yake Ina afya
@athumanmkomwamkomwa2912
@athumanmkomwamkomwa2912 22 күн бұрын
Wew
@EdinaChalres
@EdinaChalres Ай бұрын
Ndomaana wanafujo kweli kweli hadi shetani alisilimu hii ni hatali issa mpenda mademu mala kuvunja misalaba mala nguluwe mwisho mwisho et anakufa tena
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Ай бұрын
Amen amen
KISA CHA NABII SULEIMAN MFALME TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI
1:11:03
arkas online tv
Рет қаралды 95 М.
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 4,8 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 4,3 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
JE UNAMJUA YESU? | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
1:16:32
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 38 М.
Je! Nabii Issa wa Qur'an ndiye Yesu wa Biblia?
1:16:57
Straight Path Dawah
Рет қаралды 43 М.
MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO
39:38
Mbengo Tv
Рет қаралды 64 М.
MUNGU MMOJA NI NANI KULINGANA NA BIBLIA
40:46
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 8 М.
UKITAKA KUJUA MWANAMKE NI KIUMBE CHA MAANA AONDOKE NYUMBANI "PASTOR MGOGO
1:33:17
#mahubiri MAISHA YA ANAYE BEBA AGANO |PR.DAVID MMBAGA | SIKU YA 4
1:12:11
Ushuhuda wa aliyekua muislamu.
28:57
END TIME LOUDCRY TV
Рет қаралды 245 М.
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 4,8 МЛН