No video

MTOTO MWENYE AKILI ZA AJABU ZANZIBAR, ATAJA MAJINA YA MARAIS 33 DUNIANI, ANA NDOTO KUWA RAIS

  Рет қаралды 88,160

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 125
@hanifasilima900
@hanifasilima900 2 жыл бұрын
Mashallah nimempenda allah amuondoshe hasadi
@muniraomar5412
@muniraomar5412 3 жыл бұрын
Ma sha Allah ikiwa anafahamu nzuri mpeleke hifd quran.itamfaa leo duniani na kesho akhera.
@omarynassor6313
@omarynassor6313 3 жыл бұрын
Good
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Napendaga vitoto kama hivyo vidogo vyenye akil nilivyokuwa mdogo nilikuwa hivyo hivyo nilikuwa najuwa Majina mengi ya viongoz wale wa kwenye historia tuliofundishwa
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Anafanya kazi ya Corona wazir wa afya na kwel alikuwa anasisitiza mambo ya Corona nilikuwa naonaga😁
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Kafanana na mama, yake
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Ukiangalia habar utajuwa vingi. Hata baba mpenzi Sana wa taarifa ya habar hatakagi impite paka mikanda ya taarifa ya habar anayo
@shom1229
@shom1229 3 жыл бұрын
Yani mimi ushangaa sana sisi wazazi wakiislam..yani mtoto mashaAllah Allah kampa fahamu..badala yakumfundisha majina ya Allah na mtume..lakini mwataka sifa za dunia subhanaLlah..wallah siku ya kiama tutajuta sana..huo ni msiba sio sifa..
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
kweli kabisa badala ya kumhifadhisha quran,majina ya Allah,hadithi za mtume wanamhifadhisha mambo ya kipuuzi .
@alisalum6733
@alisalum6733 3 жыл бұрын
Tatzo ss wenyewe hatujuw labda tuwapeleke madrasa
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 жыл бұрын
@@abuyunusmohamed6961 mh kwakweri inaskitisha sanaa nimtihani wallah
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 жыл бұрын
Usikute anawajua
@velomudy6672
@velomudy6672 2 жыл бұрын
Nyie mmejuaje ajafundshwa hayo
@fatommmaff705
@fatommmaff705 4 жыл бұрын
Mashaallah mtoto mana siewengine nandevuzetu kilapahali atuwajui haomarais zaidi yamagufuli ongera sana ndoushajaaliwa
@salumumuhunzi916
@salumumuhunzi916 3 жыл бұрын
Ndio mmoja uyo
@flyboyalpha4039
@flyboyalpha4039 4 жыл бұрын
i love her❤️ mashallah😍
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 3 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mhifazisheni Quran pia ndio mpango mzima
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 жыл бұрын
Haswaaa
@cinderellahkatila1226
@cinderellahkatila1226 3 жыл бұрын
Waaah mpendwa 9
@nazhakesi4974
@nazhakesi4974 3 жыл бұрын
Maashallah Asmahan Mungu akulinde na akupe mafanikio ktk ukuaji wako duniani na akhera pamoja na vizazi vyetu aamiin aamiin.
@fra967
@fra967 2 жыл бұрын
Hongerasanamunguailindendotoyako
@farhatomar7495
@farhatomar7495 3 жыл бұрын
Wallhi kinafujo 😂😂😂😂👌👌👌Mashallh allah amuhifadh inshallh
@ahluudiinnan1301
@ahluudiinnan1301 3 жыл бұрын
Mashaallah
@assfzainab912
@assfzainab912 3 жыл бұрын
MashaALLAH tena yuyasema kama mzaha mtoto mola akuajalie umri mrefu na kujua mungu
@philomenamakonge227
@philomenamakonge227 3 жыл бұрын
Anapenda awe Rais wa nchi Mungu baba akutangulie ktk kutimiza malengo yako binti yangu
@lucykilonzo2749
@lucykilonzo2749 3 жыл бұрын
Arusha yupo w Miaka miwilii...... N genius atr
@annamushi2390
@annamushi2390 3 жыл бұрын
Duh mungu akuweke mashaallah icho kipaji
@francineciza1888
@francineciza1888 4 жыл бұрын
Jamani mtoto waakirinyingi sanamungu kamujaria kipajicaajabu anamutaja Rais wetuwaburundi Evariste ndayishimiye respect sanamtotowaakiri.
@nailaomar4810
@nailaomar4810 4 жыл бұрын
Mashaallah Allah amuhifadhi amzidishie na akili ya kusoma so quiet mashaallah
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 3 жыл бұрын
Masha Allah 💝💝💝😍🤩😘
@lamyaally5162
@lamyaally5162 3 жыл бұрын
Mashalla dogo genius 👍
@sassboy9360
@sassboy9360 4 жыл бұрын
Mashallah asma khan
@scolasticaemmanuel4010
@scolasticaemmanuel4010 3 жыл бұрын
Mungu anaumba .Hongera wazazi wa mtoto
@akshaydavid159
@akshaydavid159 3 жыл бұрын
Huyu ndo atakuwa Raisi wakwanza mwanamke nchini Zanzibar baada ya kukombolewa na mwamba maalim seif.
@khamiskhamis7649
@khamiskhamis7649 3 жыл бұрын
Hhhhhh
@verona1789
@verona1789 3 жыл бұрын
Duh sijui iyo
@yussufomar1489
@yussufomar1489 3 жыл бұрын
Acha usnich
@manchestercitybettartv5922
@manchestercitybettartv5922 3 жыл бұрын
watoto mungu awalinde
@nostressfreedom7431
@nostressfreedom7431 4 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅Jomani Mtoto Marshall Allah amueke aje kuwa mtu mkubwa mweny fayida ya I chi. Amiin
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 3 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah
@niyongereniyongere4647
@niyongereniyongere4647 3 жыл бұрын
Mungu amubariki mtoto kabisa nimependa sana jinsi ali pronounce president wa Burundi na USA
@jeannedarcngoga2016
@jeannedarcngoga2016 3 жыл бұрын
Wavyunvise 😀 raisi wa Burundi ndayishimiyeeeeeeeeeee😂😂😂
@makamehaji2609
@makamehaji2609 3 жыл бұрын
Masha Allah
@philomenamakonge227
@philomenamakonge227 3 жыл бұрын
Hapendi marafiki.... nimeipenda sana hiyo
@willsonlunju6741
@willsonlunju6741 3 жыл бұрын
Allah ambaliki
@leiyolaizer3544
@leiyolaizer3544 3 жыл бұрын
Keep it up uko vizuri
@johngoodboy8735
@johngoodboy8735 3 жыл бұрын
God bless this kids John from burundi
@abezadamuor7358
@abezadamuor7358 10 ай бұрын
🙋🙋🙋🙋🙏🇿🇦💯
@salummzee9739
@salummzee9739 3 жыл бұрын
Una muhusudi Allah mtoto mwenye neema na ufahamu akiwa mdogo huwa hatangazwi km Ngombe mnadani ata husudika Musio Ufahar ukapata kichwa mitihan unamtengezea
@mudriqhamidu6031
@mudriqhamidu6031 3 жыл бұрын
Tunafanya hvyo kwa kupata sifa za ajilikane mitandaoni, na lupata ujinga wa dunia, mashaallah mama jina zuri bt mtt baada mumfundushe maswala ya dini ayashike
@salummzee9739
@salummzee9739 3 жыл бұрын
@@mudriqhamidu6031 umeonaee tunapenda sifa ya kijnga mtoto una mtengeza akuliye umalala mapema
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 3 жыл бұрын
Ndo ninyi huwa mnawaficha walemavu kwan kuna shida gan hapo wakat anaweza pata udhamin wa masomo bureee na shule kubwa zinazofanya vizur
@tumakassim6286
@tumakassim6286 3 жыл бұрын
Kachangamka huyo mashallah
@annamushi2390
@annamushi2390 3 жыл бұрын
Icho kipaji au miujiza sie mijitu mizima hatujuwi zaidi ya watanzania
@christinashaban7262
@christinashaban7262 3 жыл бұрын
Kabisa
@johngoodboy8735
@johngoodboy8735 3 жыл бұрын
KUNA rais WA East Africa pia nijirani natanzania hamujamhoji JINARAKe mumufanya. Veme Juu sio raisi anafaa kufahamika nawatoto wanao kua KWASASA good news congratulations
@zwainazwaina9808
@zwainazwaina9808 3 жыл бұрын
Mashllh
@RioIpo
@RioIpo 4 жыл бұрын
Wallah Asmakhan mwehu eti mie mkorea hahaha
@mwajabumussa4860
@mwajabumussa4860 3 жыл бұрын
Karonaa barakoa
@fatumakimaro4328
@fatumakimaro4328 3 жыл бұрын
Allah amjalie na makuzi yake
@aminajuma
@aminajuma 3 жыл бұрын
mashallah
@seifmasanga8658
@seifmasanga8658 3 жыл бұрын
Mashallah baby girl
@nkubitojaffar558
@nkubitojaffar558 3 жыл бұрын
ako katoto ni mekapenda sana masha allah
@heykids6792
@heykids6792 4 жыл бұрын
Baba yuleee..😂 Dooh MashaAllah
@kylesmeight4837
@kylesmeight4837 4 жыл бұрын
Zanzibar
@aby21111
@aby21111 3 жыл бұрын
In the USA would be highly supported and sponsored.
@machanokhamiss5866
@machanokhamiss5866 3 жыл бұрын
Mashallah
@officialeyxher3030
@officialeyxher3030 3 жыл бұрын
Wow!!
@shixeoshxs7276
@shixeoshxs7276 3 жыл бұрын
Labda mimi nishauri watt kama hawa ni vizuri kuwaelekeza ktk misingi ya dini yao nazani Hilo linamanufaa zaidi kwa kweyy na wazazi wake na mungu ataleta kheri inshaallah
@niwemugenimediatrice5640
@niwemugenimediatrice5640 3 жыл бұрын
Ulinena maana mambo haya ya dunia.....
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 Жыл бұрын
Kweli kabisa.
@fadhilsheha1070
@fadhilsheha1070 3 жыл бұрын
Huyo mama anaishi Zanzibar ila hana asili ya zanzibar kwa muonekano wke jins alivyo
@velomudy6672
@velomudy6672 2 жыл бұрын
Sio kila MTU anaeishi zanzbr aishi kiznzbr acha ushamb wengn wamekuj kwa lah zao
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 Жыл бұрын
Binadamu wote sawa. Katuumba Allah.
@buddahmakucha6848
@buddahmakucha6848 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 keleeele
@tinawanandi2446
@tinawanandi2446 3 жыл бұрын
Nc
@beatriceamber4532
@beatriceamber4532 3 жыл бұрын
Mtoto anajua ila utani mwingi
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka kwa sauti kubwa jmn duuuh huyu mtt nimotooooooo
@hawaashaban3879
@hawaashaban3879 4 жыл бұрын
Jamaniiii...mbona nduru😄😄😄ati anafanya corona
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Mtoto ana kipaji cha ajabu mwandishi anatumia daftali kuangalia maswali ndo aulize na udhibitisha apo apo, ila mtoto yeye anajibu kutoka kichwaniiii, ila mtoto ana masihara hajui watu wako kzn jmn ?😂😂😂😂😂😂😂😂
@maryamjamal3997
@maryamjamal3997 3 жыл бұрын
Asalam aleikum mama ushauri wetu mpeleke akahifadhi quran Hiyo ni zawadi kutoka kwa allah
@abdulsalum9520
@abdulsalum9520 4 жыл бұрын
bless
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 жыл бұрын
Mama naye yuko sawa, inaonekana anajua kuchambua psychology, anayosema ni ukweli watoto wengi huwa hawashiki jidude kubwa liko darasa la 5 lakini utamwambia Waziri wake zaidi ya Mwezi ndio ashike majina yake yote....
@philomenamakonge227
@philomenamakonge227 3 жыл бұрын
Mungu mkubwa amsaidie saana
@user-mv8pv1du6b
@user-mv8pv1du6b 3 ай бұрын
Mabwabwa kweli nyie..kwanza akili za ajabu mnazijua ninyi!!?Yatapotea hayo wala hayadumu maana mnayapambania sana yadunia hii
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 4 жыл бұрын
Nyie mnaona fakhari gani kuwatoa watoto mitandaoni kutafuta husda tu
@bakariuzima5121
@bakariuzima5121 3 жыл бұрын
Huna jipya wewe loho mbaya tu
@manchestercitybettartv5922
@manchestercitybettartv5922 3 жыл бұрын
we wako kama hawezi piga chini unakuwa kaa mkund
@yumnemohd6358
@yumnemohd6358 3 жыл бұрын
Mashallah Asmakhan wetu was Mwera, kwetu huyo
@evelynebwire7684
@evelynebwire7684 3 жыл бұрын
Ashrita Abdallah hujui maana ya malezi wewe jifunze kwanza
@elieshishamy9902
@elieshishamy9902 3 жыл бұрын
Acha gubu we uloweka wa kwako ndani umefaidi nn ,mwache dogo aonyeshe kipaji huwez kujua kesho yake
@TeamKRX
@TeamKRX 3 жыл бұрын
Mi hata nifugwe jela mpaka Miaka Mia nitajua rabda 5 😂😂😂😂😂
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mie 3 tu
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Anafanya kazi gani? Corona na baikola
@saidmbaruk522
@saidmbaruk522 3 жыл бұрын
Muhifadhisheni quraan
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 жыл бұрын
Kabisaaa yaani
@ibrahimothman9369
@ibrahimothman9369 3 жыл бұрын
Et baba yuleeeeee
@maryammarham2862
@maryammarham2862 3 жыл бұрын
7
@hawwahawwa9590
@hawwahawwa9590 3 жыл бұрын
Umii kazii yakzi yakee corona 😂😂😂🙌
@teddyabely1594
@teddyabely1594 3 жыл бұрын
O
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Kazur kama kale kakiume ka zenj uko uko kanachojuwa marais
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
laiti hawa wazazi wangemhifadhisha huyu mtoto quran wangepata thawabu sana.Wanamhifadhisha mambo ya kipuuzi na kumpotezea muda wake wa kucheza na watoto wenzake
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 2 ай бұрын
Kweli kabisa mana ana umelewa vizur mashallah lakin Hawa wazazi sasa mtihan
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 жыл бұрын
AKOKO ODERO GOGNI of YIMBO
@mamyrylovemeagain2406
@mamyrylovemeagain2406 3 жыл бұрын
Mungu amuongoe ila ndo itafutika akijua kutongozwa2 uyo
@ibrahimothman9369
@ibrahimothman9369 3 жыл бұрын
Jamn hy mtot amenichkesh anav jb
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
Shosti unapenda Chokueti?! 😂😂😂
@salumkitamuyo9500
@salumkitamuyo9500 3 жыл бұрын
M
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 3 жыл бұрын
🤣🤣❤
@mwajabumussa4860
@mwajabumussa4860 3 жыл бұрын
Mfundisheni kuruan
@yunusrnb5227
@yunusrnb5227 3 жыл бұрын
Sio kuruan ni Qur_an
@marychiriba2975
@marychiriba2975 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@aishahamadi588
@aishahamadi588 3 жыл бұрын
.
@aliymsellem1462
@aliymsellem1462 3 жыл бұрын
FICHENI NEEMA ZENU MUSIZITANGAZE
@rihammossa1099
@rihammossa1099 3 жыл бұрын
Mashaallah
@kulthumcadir5425
@kulthumcadir5425 3 жыл бұрын
Mashallhu
@mahamedabdi1881
@mahamedabdi1881 3 жыл бұрын
MashaAllah
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 11 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 25 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 46 МЛН
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 11 МЛН