JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
@SafreenfeenАй бұрын
Marshallah huyu mtoto anaakili….Namuombea dua Allah ampe furaha ya dunian na akhera…..aaamin
@SafreenfeenАй бұрын
Marshallah mtoto kakua Allah amlinde Na kila shari na hasada
@AishaSaeed-i6kАй бұрын
Sura amina,,,mwili mpakanjia aiseee Mungu tupe umri mrefu tuwaone watot wako
@rosehaule6765Ай бұрын
Mungu ni mwema❤
@FestoMunishiАй бұрын
Nakushauri achana na pointi za madawa y kulevya hayo ni maisha ya watu ndg km umeamua kuwa kwenye siasa fanya mengine issue z madawa achana nayo watakupteza
@jenyyusuph4973Ай бұрын
Mh mtu kua vile ni damu ya kuumbwa nayo ataacha madawa atazungumzia haki watampoteza pia atazungumzia Sheria watampoteza pia kikubwa ni kumuomba Mungu
@miriamdavis3893Ай бұрын
Sema ni maisha yako wewe
@MajiburaAllyАй бұрын
Kama walivompoteza mamake
@dorcasdavid2247Ай бұрын
Amina
@MamshikaАй бұрын
Amina kifupa mtupu R.i.p Amina tunakumisi sana
@OfficialA83640Ай бұрын
Huyo ni Baba yake Mpakanjia mtupu hd urefu Maa'shaallah
@judithtitomalyeta4000Ай бұрын
Mhuuu siasa asingeingia jamani mtoto
@fauziasultanikilewa7602Ай бұрын
Iyo nyumba itakuwa ni ile ambayo mfuniko wa oven umeeka duara la kuungua😂😂 walipenda sana kuchezea kwenye iyo nyumba
@OnlyRukyАй бұрын
Typical baba yakeee mpka tabia hukoo snapchart namuonea hurumaaaaaa😮