MTOTO wa MIAKA 12 ADAIWA KUUAWA KWA KUPIGWA NA BABA YAKE, MAJIRANI WAELEZA "ALIKUWA ANALAWITIWA"

  Рет қаралды 6,590

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@mwanas2
@mwanas2 15 күн бұрын
Hasira mbaya sana.Tumeelezwa ukiwa na hasira kaa kwanza Muombe Mungu akupoozebasi Allah atakupa subra ya utulivu.Sasa leo wakumuua ilikua ni huyo mlawiti sio mtoto aliedhulimiwa kulawitiwa..... Allah amlaze mahala pema kijana.Na mlawitaji adhabu imshukie kubwwa na baba ndio ivyo tena magereza inakuhusu pole kwa hasira
@MakopaOrg-v4b
@MakopaOrg-v4b 11 күн бұрын
Dah noma sana
@AshaMalonga
@AshaMalonga 15 күн бұрын
Mnamuombea kwa mungu amlaze mahala pema peponi amina
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 15 күн бұрын
❤Mtauwa wanaume wote mtabaki na HII dunia
@emmadora7848
@emmadora7848 15 күн бұрын
Nani anayewaua?
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 15 күн бұрын
Hata sijui niandike nini lkn Mungu atusaidie.malezi yamekuwa magumu saana jamanj.
@SamsonStuwart
@SamsonStuwart 14 күн бұрын
Ishatokea kifo hakian sehemu ya kutua popote kipo kilicho baki ni mimi nawewe kujiweka tyr R I P😭😭
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 15 күн бұрын
unapiga mtoto kisa amefanyiwa unyama? yani na wewe una mfanyia unyama kwa vile kafanyiwa unyama? eeh Mungu.
@MirriamDevis
@MirriamDevis 12 күн бұрын
Kwann alikuwa hasemi kama anafanyiwa hayo mambo
@RayChausa-g6m
@RayChausa-g6m 15 күн бұрын
Inna lillahi waina ileyhi rajioun 😢😢😢😢
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 15 күн бұрын
Mbwa wote,mngekamata hao mbwa wanaomlawiti.
@SaphinaSamson
@SaphinaSamson 14 күн бұрын
Baba Muuaji
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 15 күн бұрын
Hivi wa TZ tunalaana gani jamani mbona matukio kila siku hayaishi halaf tunaona kama maisha ya kawaida tu?
@musahusein-k8v
@musahusein-k8v 15 күн бұрын
Ina lilahi ilaihi waina ilaihi rajiun. Dah baba na mama ndio tunategemea wawe walinzi lkn inageuka mzazi anakua ndio Izrail wako inasikitisha sana mwenyezi mungu atusaidie ameen
@emmymtambo2874
@emmymtambo2874 15 күн бұрын
Muongo huyu mjumbe,mliitwa mara mbili,kila mkiitwa mnaenda mnamuacha,hata nyinyi inafaa mkamatwe
@MirriamDevis
@MirriamDevis 12 күн бұрын
Namuelewa huyo baba sisemi kitu
@AmedeusMbanda-gh4rj
@AmedeusMbanda-gh4rj 15 күн бұрын
😭😭🙆🙆
@ZainaRashid-t3m
@ZainaRashid-t3m 15 күн бұрын
Inna lillah wainna ilayhi rajiuun
@fainesindansihans-w4v
@fainesindansihans-w4v 15 күн бұрын
eeeh! mungu wazazi tunaelekea wp?
@DeboraDebora-r3b
@DeboraDebora-r3b 15 күн бұрын
Kwa sasa tupo dunia ya mwish
@AlexMkwama
@AlexMkwama 15 күн бұрын
Huyo police kata kwanini hakufika Hadi police Toka kirwa road? Ahojiwe huyo police kata ya Kijichi. By Alex Mkwama
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r 12 күн бұрын
Baba katili.Watu wa hivi inatakiwa wahukumiwe maisha.
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 15 күн бұрын
Yani wote kamatq tia ndani wanachangia sana matukio mana wanaitwa ila wanashindwa kutoa msaada kwa kuogopa lawama ss likitokea kifo ndio mnajitokeza fy9ko fyoko kwani alivyokua anampiga si mlikua mnasikia mlikaa kimya ovyo kabisa
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 15 күн бұрын
Balaaa,la mwaka,
@shamsaadam6965
@shamsaadam6965 15 күн бұрын
Inna Lillah waina ilahy rajjiun
MTU MMOJA AFARIKI KWA UGONJWA WA MARBURG KAGERA
4:53
Wasafi Media
Рет қаралды 304
RR7438A MALAYSIA: THE LAST DOMINO?
23:50
AP Archive
Рет қаралды 15 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
RR7125 TRANSKEI: SOUTH AFRICA'S BANTU HOMELAND
26:11
AP Archive
Рет қаралды 32 М.
1963 Ford Barn Find | Full Transformation
23:55
Hampus Granström
Рет қаралды 2,8 МЛН
Discussion | Public vs private employment for SA doctors
9:00
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
9:03
Boxing After Dark
Рет қаралды 12 МЛН