Miaka 8 ajinyonge, miaka 8 ana msongo wa mawazo dunia inaenda kasi sana
@coldkiller-728 күн бұрын
Wallahi mungu atuongoze mwisho wa dunia unakaribia kweli ajijonge kisa kukosa nguo za sikukuu?yaan miaka 8 anapata msongo wa mawazo!!???? tunaelekea wapi?
@andrewmaiga433128 күн бұрын
Hii ni changamoto ya malezi , watoto wafundishwe kuishi maisha halisi ya wazazi mpaka pale watakapojitegemea. 8 year akuwa na depression kweli? Basi dunia inaenda kasi sana na inawezekana iko kwenye mteremko.
@lisawilliam249128 күн бұрын
dah mungu atuhurumie
@AliphonceMartina-q1u28 күн бұрын
Watanzania tumamaisha magumu mpaka bc ila kuna genge frani wanasema wanaupiga mwingi 😢😢😢😢
@comulusnimbuss93128 күн бұрын
Na adabu hana..watot wafundishwe kukinai jaman mbon cc tulikosa na kukosa nakukosa
@AnethFaida26 күн бұрын
Kwakwel wazazi tunatakiwa kuwajali watoto angalau Mara moja kwa mwaka.