JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@PendoLuis20 сағат бұрын
Ni nn jamani hili pepo limewavaa watoto wetu? Watoto wadogo wanajinyonga sana siku hzi Mungu turehemu🙏🙏Apumzike mahali husika mtoto😥😥
@immaculathaemmanuel824020 сағат бұрын
Wazazi tupunguze kuwaruhusu watoto kuangalia na movie za mauaji hiz roho zinatembea sana😭
@happinessmchome910112 сағат бұрын
Ni kweli kabisa, zina maroho hizi kabisa.
@Yana-o2u10 сағат бұрын
Vipi km amenyongwa (wakaamua kumsingizia tu)
@AbiaWilliam-s1s4 сағат бұрын
Kweli kabisa
@dorahmushi-we6ts14 сағат бұрын
Ni hizi movies, asipotazama nyumbani atatazama kwa marafiki zake, akiona leo wàmejinyonga kesho atawaona kwenye movie nyingine, au akipigwa rrsasi leo kesho atamuona tena, cjui lkn yote anayajua Mungu, tuwaombee sana Watoto wetu jamaniii😢
@JoycLukas-x5g20 сағат бұрын
Mtoto wa miaka 9 anapataje ali ya kujinyonga au kuna mtu kamyonga?
@sleeprelaxation843117 сағат бұрын
anaweza kabisa, na wala huyu sio wa kwanza,
@ShukranMwakyambo11 сағат бұрын
@@sleeprelaxation8431 kweri kabisa
@LilianPhilemon9 сағат бұрын
Sikuizi watoto kujinyonga ni pepo limeingia
@MashaMbwanaСағат бұрын
Wanajinyonga sana tu hata huku Zenji mtoto aliambiwa na mwalimu wa skuli kesho uje na mzee wako maana husikii aliporudi tu nyumban kajinyonga
@AminaLibisa20 сағат бұрын
Wamuulize dada yake vizur me namashaka nao
@AtifaIslam-t6g19 сағат бұрын
We umzima akili yako lakini dadaake mdogo mzima ati aulizwe nini hasa acheni iyo dhana uyu mtoto ni maigizo ndio aliyo yafanya
@edithaeugeni969512 сағат бұрын
Tena anaonekana anatetemeka kabsa aulizwe vizuri
@LeilaJoshua-b7m11 сағат бұрын
mmh😢@@edithaeugeni9695
@AminaLibisa11 сағат бұрын
Wewe mwenyewe huna akili pia haujielewi maigizo Gani sema tukuelewe au wewe ndo umemnyonga maana naona kama umeshaanza kuvhanganyikiwa fyuuuuu 😏
@AminaLibisa11 сағат бұрын
@@edithaeugeni9695 umeonaee
@JosephineIssangya-ix1xj3 сағат бұрын
Innalillah wainna lillah raajuun Mungu ailaze roho yake mahali pema😢😢😢😢😢😢
@NeemaKimario-o7h11 сағат бұрын
Watoto wanapenda kubembea jamani...inawezekana kwenye harakati hizo ikatokea bahati mbaya
@MashaMbwanaСағат бұрын
Jaman basi asipige ata kelele halafu uo mkanda haukumkaza shingo na miguu inagusa chini kidogo sintofahamu hii kifo chake
@sophiakimaro517418 сағат бұрын
Mungu atusaidie jamani.ukweli malezi ya siku hizi na hii mitandao imekuwa ni ngumu mno.Poleni ndugu zangu.
@ZainbAbubakary11 сағат бұрын
Mtihani sana poleni sana Familia mwenyezi MUNGU ampumzishe kwa amani
@Rawdha-y8t11 сағат бұрын
nin miaka 32 ila cjui hata. ile kamba inafungwaje il mtu ajinyonge.Allah atuepushe. na vizazi vyetu.
@aairraahseif56482 сағат бұрын
Hata ktk michezo ya kamba mtoto anaweza kufa by mistake bila kudhamiria ktk mchezo wa kamba ni hatari kuning'inia ktk kamba au bembea, sio lazima ajue kuifunga kamba kwa niaba ya kujinyonga!
@steramwanakira718320 сағат бұрын
Pole sanaa family, almighty Allah wape nguvu
@jacquelineeliasmollel526020 сағат бұрын
Daaaah Apumzike kwa Amani Poleni sana Familia😢😢
@MariyimJumanin10 сағат бұрын
Jaman mtoto mdogo anajinyongaje jaman apana hiyo nakataa bana
@FatumaJuma-b2g6 сағат бұрын
Innalillah wainna lillah raajuun poleni wafiwa Allah awape subra Kwa wakati huu mgumu Amiiiiiiiiin 🤲
@DM.220020 сағат бұрын
Mhhh jamani 😢 mtoto mdogo hivi anaweza kujinyonga mwenyewe au ni mtu kamnyonga jamani? Dahh inatia huruma mnoo. RIP
@martinchambala939920 сағат бұрын
Mimi naona tatizo hapa ni movie zinaweza kua chanzo kikubwa sana
@AtifaIslam-t6g19 сағат бұрын
Swadakta movie au mtoto mwengine akiona kama ivi yuaona ajaribu kumbe ndio mkanda ushamzuiya kujitoa@@martinchambala9399
@ElizabethWamcha19 сағат бұрын
Au wamemua kwa bahati mbaya wakaona wamtundike ili awajue amejiua😢
@AtifaIslam-t6g18 сағат бұрын
Sasa kuuliwa na nani binadam.bwana ndani amebaki na dadaake kwaiyo dadaak yuaweza kumuuwa mdogo wake tena wote wadogo uyu ni vd ba maizo ndio yamempelekea mana amenities kitanzi akaona ni mchezo kumbe kkamba imekaza
@Yana-o2u10 сағат бұрын
@@AtifaIslam-t6gkwa maelezo yao tu inaonyesha kbs hajajinyonga mwenyewe..think deep then you will understand
@bintmrisho35269 сағат бұрын
Uyu mtoto kauliwa sikiliza vizur maelezo yake maana hata uyo dada yake anaonekana anatetemeka @@AtifaIslam-t6g
@AtifaIslam-t6g18 сағат бұрын
Mm pia nasema uyu mtoto alicheza akaona acha njaribu bahat mbaya mkanda ukambana akashindwa kujitoa
@bintmrisho35269 сағат бұрын
Mama yake anasema mkanda ulikua aujakaza na miguu ilikua inagusa chin mkanda umekazaje..?
@upendohalisi806 сағат бұрын
HAPANA HAWEZI KUJINYONGA MWENYEWE NI ROHO ILIMVAA NA PIA MSIPENDE KUANGALIA MOVIE ZA KUTISHA JAMANI MWE!!
@happinessmchome910112 сағат бұрын
Miaka tisa?? Jamani ee Mungu tulindie watoto wetu baba.😢😢
@zainab825118 сағат бұрын
Innalillah wainnaillah rajiun
@ChausikuAli12 сағат бұрын
Inalilahi wainalilah rajighuun polen wanafamilia pamoja na jamaa wote
@saynabmohammed626319 сағат бұрын
Lkn hata kilele asipige ama ajirusherushe roho inauchungu Vip jmn
@noot-oe2mw20 сағат бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni
@sarahsamwely1086 сағат бұрын
Una usomi gani we boya,,,, lete habari acha mbwembwe
@bintmrisho35269 сағат бұрын
Jaman sasa mkanda aujakaza miguu inagusa chini amejinyongaje hapo kuna namna dada yake abanwe atasema ukwel
@sophiakimaro517418 сағат бұрын
Ila huyo dada anaongea kwa ujasiri au ndio kiswahili cha arusha?wacheki fingerprint.
@wemakalama645817 сағат бұрын
Kwa kweli umeongea point
@cheiknamouna205818 сағат бұрын
Camera man umeamua kumlenga mwenye meckup mwenyewe anatabasamu tu
@عزيزه-ر1ه14 сағат бұрын
😂😂
@yukundapeter820010 сағат бұрын
Hata me niliwaxa mbona anamlenga hili linalocheka,mawaxo yangu & wewe sawa
@Neema93513 сағат бұрын
Serikali ya Tanzania inatetea zaidi watoto hata kama mtoto ni mkosefu ao mtundu na ilalaani wazazi. Sasa, mkosoeni na watoto, iyo itakomesha utundu kwa watoto.
@FatimaAli-of4gh20 сағат бұрын
Arusha kila siku kuna jipya hakukosi cha kusikiliza poleni sana
@MagrethMussa-z3s9 сағат бұрын
Huyo alopaka wanja na mekapu ahojiwe vizuli Poleni wafiwa.
@OmbeniMwalupindi7 сағат бұрын
😮😢
@sleeprelaxation843117 сағат бұрын
kusema hawajui wana wanganya umma, hao watoto wenzie wanajua,
@Neema93513 сағат бұрын
Serikali hikamate hatuwa kuusu movi za mauwaji na kukanya watoto kutizama vifo vya kujinyonga huko ndo wanapata ujasiri wote .
@SharifaMohammed-el3ug10 сағат бұрын
Uchunguzi ufanyike
@RukayyaNassor-i9o9 сағат бұрын
Huyo bdda mrembo hata kujictiri hapo nimcbani napahala penye majonzi vp unakaa kama upo harucni huoneshi hata huzuni hata paka akifa unaingiwa nahuzuni vp mwenzio anamcba unajiweka hivyo natabasamu ya furaha vp inakuwa yaani alafuona unavyochukuliwa na video kilamara ujue hujafanya vizuri hiyo hali uliyojiweka hapo mcbani jifikirie lingekufika wwe ungekuwa hali gani innallh wainna illah rajighun
@suzandonadi14009 сағат бұрын
Jamani ushirikina ni mwingi kizazi hiki
@OmbeniMwalupindi7 сағат бұрын
Baba yake alisafiri kwenda wap?
@gililwise20 сағат бұрын
Huko Tabora nako 2 wamejinyonga .hili pepo linalowaingia watoto lishindwe kabisa
@AbasiSwai19 сағат бұрын
Tabora Nako kweli!!! Inauma sana. Tuwaombee sana watoto.
@mwaget081518 сағат бұрын
Mmmh huyu dada mtu na mama wanajua kilichotokea
@Yana-o2u10 сағат бұрын
Kbs na kitu kimekuwa planned kbs ..kwa maelezo yao tu
@edithaeugeni969512 сағат бұрын
Mmhii hapa kunakitu kama miguuu iligusa chini namkanda haukumkaza shingoni jeshi la polisi lifanye kazi yake hapo kunakitu