WINGU LATANDA KIFO CHA ULOMI| ADAIWA KUFA KWA AJALI, AKIENDA KUKAGUA KONTENA LAKE BANDARI KAVU

  Рет қаралды 16,943

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 34
@siskimkimu737
@siskimkimu737 Ай бұрын
Hiv nchi hii Tena dar,mtu apate ajali ahudumiwe,apelekwe hospital zaid ya 2 huku akiwa anatafutwa Tena mitandaoni hao wanamhudumia wao wasione hii habar siku 5 zote kweli??
@gunbizzo1970
@gunbizzo1970 Ай бұрын
Umewahi kufanya kazi mochwari?? Kwanini sahizi wanadamu hatuamini kuhusu kifo
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج Ай бұрын
😢😢😢wametengeneza iyo ajali ,,,tz imekuwa uturuk kwaajil ya matukio ya kusababishwa.
@florencejohn6427
@florencejohn6427 Ай бұрын
Wazee wa minyama wote ni vuguvugu tu. Hawajawahi kueleweka. Waogaaa. Na najua wanajua ukweli wa mambo ila wanalinda tonge lao. Wanang'ata na kupuliza
@veronicmkenda9939
@veronicmkenda9939 Ай бұрын
Kwa majibu wa daktari, alipelekwa na askari , mkuu anasema alipelekwa na wasamaria wema na pia dr. walisema lkwa mujibu wa maelezo lory liligonga pikipiki, je lory hilo liko wapi?😊
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 Ай бұрын
mh! watu wanajua ! tungempata aliyeiona wakati anapata ajali
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 Ай бұрын
Inatakiwa sasa hivi waume zetuna ndugu zetu wakipigiwa cm popote lazima tusindikizane tu mambo haya sio kabisa utata utata
@TatoTato-t7s
@TatoTato-t7s Ай бұрын
Waongo waongo kwaiyo sasa ivi wanaona waseme ajali mtu akitekwa nakuuwawa
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Ай бұрын
na sim yake iko wapi ubungo external tena mchana kwel watu wasione waandishi wasijue mbona ajali nyinine huwa waandish wanafika chapu na habari inarushwa?
@KhalifaMshana
@KhalifaMshana Ай бұрын
Hii picha kuhusu TRA ni kama ile ya tegeta wale mfukuziaji akapodwa na raia
@B23-i8p
@B23-i8p Ай бұрын
Siku Tano ajali ya boda boda yupo hospital
@salminmayla
@salminmayla Ай бұрын
Huyo aliyepata ajali hapo gereji alikuwa kijana mwenye umri wa miaka 22 kwa mujibu wa wandishi habari watuhabarisha mbona hivyo jamani
@siskimkimu737
@siskimkimu737 Ай бұрын
Mnajua kama hamjui
@swaumuhussein3725
@swaumuhussein3725 Ай бұрын
Kuna jambo limefanyika hapo,ili ionekane ni ajali.Na mpaka hapo TRA imemnawa wakala,Wasafi mtuhabarishe je yule wakala ameshakamatwa au Bado?
@MarkDonald-vv8mt
@MarkDonald-vv8mt Ай бұрын
Hando kaongea fresh Sana watu waache papara
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk Ай бұрын
Ajali gani mchana kweupe watu wasione
@BlackKing89-l1u
@BlackKing89-l1u Ай бұрын
Kama wewe ni mfanyabiasha siku hizi..usiende mahali mwenyewe
@HamadBashir-bs5wo
@HamadBashir-bs5wo Ай бұрын
Maiti ya dereva bodboda iko wapi?
@Jafaryamily
@Jafaryamily Ай бұрын
Acheni upotoshaji nyinyi mnaacha kusema ukweli mnafumba fumba mtakosa wafuasi na mtakimbiwa mtu apate ajali siku 2 asijulikane hamna haya
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 Ай бұрын
Nyie tunakosa imani sababu ya matukio yanaendelea kila siku
@charlesmtamala4912
@charlesmtamala4912 Ай бұрын
sahv matukio ya hii nchi design kama tupo Afghanistan
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج Ай бұрын
Kwakwel
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 Ай бұрын
Km alikufa kwa ajili wananchi waliona hiyo ajali au miwili tu ndio ulikutws mochwari
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 Ай бұрын
Nani alimpeleka mochwari?? Ajali mchana kweupee isijulikane siku zote hizo? Nani alimpelea makuburi jamani mbona huzuni kubwa hii Mungu aturehemu tu huku duniani kuna mitihani mingi ila Mungu atatuvusha tu hakuna namna
@florencejohn6427
@florencejohn6427 Ай бұрын
Watu werevu huwa wanajadili chanzo cha mambo haya (hizi issues and incidents) na sio outcomes zake. Why this horrible situation currently? Ukitaka kutatua tatizo vizuri basi chanzo/mzizi wa hilo tatizo. Hasa hawa watu wazima watatu wanajadili kwenye matawi tu. Bure kabisa
@JoyceRichard-qo4gn
@JoyceRichard-qo4gn Ай бұрын
Maulindi kitenge unafurasha sana usomaji wako
@PascalChimatu-h6i
@PascalChimatu-h6i Ай бұрын
Ivi hii selikali inatuona sisi wajinga hatujui kinacho endelea sasahivi sisi wananchi baazi tumefunguka tunaelewa selikali inacho tufanyia selikali ya ujambazi
@omarry-x1z
@omarry-x1z Ай бұрын
Mh asaiv ukitekwa kama hakuna arie ona unasingiziwa ajari du🤔
@econmirajifacts5411
@econmirajifacts5411 Ай бұрын
Shida hawa viongozi wa chadema hawako sawa kiakili ndio utagundua kila jambo wao ni mtihani wako kimihemko zaidi halafu uwape uongozi ni mtihani
@econmirajifacts5411
@econmirajifacts5411 Ай бұрын
Mtu kapatwa na ajali mnasingizia kutekwa. tanzania bwana na hii mitandao na vyombo vya habari ni balaa inaleta taharuki.
@punchlinetz
@punchlinetz Ай бұрын
​@@econmirajifacts5411 hakuna mtu anaweza kuwa hospitali siku 5 anatafutwa mamlaka za hospitali zilizompokea zisijitokeze kusema wana mtu anaefanana na anaetafutwa. Huo ni uhuni ambao mjinga tu atakubaliana nao....
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Ай бұрын
​@@econmirajifacts5411sasa waliomgonga ni nani? na wako wapi?
@Venas-uh3wz
@Venas-uh3wz Ай бұрын
Waliomgonga wapo wapi? Mbona hatujui hiyo pikipiki ipo wapi?
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
MNAOPANGA KUNIUMIZA ILI MUMSINGIZIE MBOWE, ACHENI
6:47
Wasafi Media
Рет қаралды 10 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН