Mwenyezi mungu awatie nguvu familia ya waziri marehemu sokonne,
@mussazabron1671Ай бұрын
Nashukuru kukuona tuwe pamoja kulijenga taifa,
@lazaroeliphas8353Ай бұрын
You deserve to be a leader in our country
@dottomarikatv780Ай бұрын
Mungu Awatie Nguvu
@mashaka-zi8otАй бұрын
"MAKUMBUSHO YA VIONGOZI WETU WAKUBWA YAJENGWE" Naunga mkono hoja hii. Ashenari yeyo Kiongozi (yaani Asante sana Kiongozi)
@ramadhanikabute198729 күн бұрын
❤🎉
@amoursalum8266Ай бұрын
Kalishwa tonge uyo ili akae kimya.
@MurunguwetoshaDeheavenАй бұрын
Ashenale,,,,,,huyu alipaswa apewe ubunge , wa kuteuliwa awe waziri wa Dodoma( Kenya walishawahi kuwa na wizara ya Nairobi) Kwa ajili ya ujenzi na uendelezaji wa makao makuu ya Nchi,,,,, Dodoma panafaa kuundiwa wizara ya kujenga mji ule uwe kweli kuwa hurb ya kibiashara lakini kukidhi kuwa makao makuu ya Nchi kihuduma miundombinu na kuunganisha watanzania
@dicksonkilupa2258Ай бұрын
Nimefurahi kusikia jina la Sokonne naikumbuka hata siku ya tangazo la kifo chake 12/4/1984 kama sijakosea wa Tz walilia mno maana mpendwa wao alitwaliwa. Kijana piga kazi fuata nyayo za baba yako. USIIBE MALI ZA UMMA UWE MLINZI MUNGU ATAKUINUA SANA.
@mosesjohnswilla9926Ай бұрын
Duh... Wew ni age go sana
@JamesSichimataАй бұрын
MUNGU ibariki Tanzania
@yordanyona1234Ай бұрын
Ubalozi ni kama kumfungia mtu...angekuwa ndani kuendeleza mambo ya Baba yake
@mashaka-zi8otАй бұрын
Baba wa huyu alijitolea akili, nguvu, na maisha ili kuijenga Nchi yetu ya Tanzania. Ninazidi kuamini; Kazi nzuri za mtu,haziwezi kamwe kupotea, hata kama udhalimu mkubwa utafanyika juu yake. MUNGU ANAWEZA YOTE.
@Stay_with_God_tvАй бұрын
1984 nilikuwa drs la iii,Sokoine alifika kijiji cha ujamaa Mudida kukagua shamba la ujamaa.
@IbrahimSokoine-b2c8 күн бұрын
AYUBU 42:2 MAKUSUDI YA MUNGU LAZIMA YATIMIE.
@amoursalum8266Ай бұрын
Moja ya beti katika utenzi wa hayati Sokoine ulisema. "Hakika walimpenda * na siku aliokwenda watu wengi walikonda" "kwake utekelezaji ndio alouhitaji si kuandika dibaji watu kuasomea.." "Aliibuni miradi kama vita vya jihadi..mwana alijitahidi nchi hii kuinua" lakin wapii wali.........
@bonifasimichael1320Ай бұрын
Ubalozi sio ishu huyu anastahili kuwepo hapa nchini kupewa ubalozi tafsir yake kunyamazishwa usiongee chochote apa nchini mf. Humfrey polepole wakampa ubalozi kunyamazishwa
@amoursalum8266Ай бұрын
Umemalza maneno
@gervas58Ай бұрын
Huyu ni Rais
@ambakisyemwanjemba5787Ай бұрын
huyu ni kiongozi
@irenemungumlinderaiswetuma6735Ай бұрын
Abasi uwezo mkubwa kama Baba yake anastaili kuwa rais
@George-jz3jgАй бұрын
Ukumbi umejaa watu hapo ni maposho tu wakati huku nje barabara hazipitiki
@benoldukaАй бұрын
Stop that long protocol, that is not what we want to hear,stop now
@efatauroki347Ай бұрын
Si bora ajekua raisi wetu jamani ngorongoro itakua sehem salama sana kuishi aise!!! make sokoine akuwai kukbali unyanyasaji kama huu uliopo
@mosesjohnswilla9926Ай бұрын
Go direct to the point.... Stop that long protocal
@pauloegbert515Ай бұрын
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu
@KasalamaAllyАй бұрын
Sokoine jembe naamini angekuwepo wasiojulikana wangekiona cha moto,kiongozi kama huyu imebaki story sasa hivi ulaji na ulafi tu wananchi tupo hoi bin taabani