Kuhusu Magufuli hapo Pinda umesema kweli.Hujawa mnafiki Mungu akupe afya njema na umri mrefu. Hata nafasi ya M/Mwenyekiti wa CCM Taifa unastahili. RIP Dr.Magufuli.
@freddymello32275 жыл бұрын
Mzee naheshimu maneno yako unayoongea Leo...ni mazuri na yenye maana kubwa.Hongera sana! Tatizo ni awamu uliyoitumikia haikutukumbuka wanyonge mkakumbatia maovu
@munaahmed84994 жыл бұрын
Huyu mzee mpole mno yaan angekuw kipind hiki cha magu angekuw afsa upelelez huy kwa upole wake anapelelez na kupat uhaki aonge kistaarab masha Allah mungu akutunze mzee Pinda
@jacksonmishwaro70165 жыл бұрын
Na kweli mzee wangu..bila Mungu kwako isingewezekana...Yaani ni Neema na rehema tu..Tumsifu Mungu wetu..!
@innocentzacharia85815 жыл бұрын
Hongera sana mh waziri mkuu mstaafu kwa kuyasema haya nadhani wananchi wameelewa na wataelewa ulichokisema.
@ommyakili5524 жыл бұрын
Mizengo Kayanza Petter Pinda ninakukubali na ww ni kiongozi mzur sana sema serikali uliyoitumikia ni ndio ilikuwa balaa
@donaldsamwel6835 жыл бұрын
Mzee Mungu akulinde na akubariki Sana Wewe ni MTU makini,Mimi pia nimebaatika kukaa na Wewe ana Kwa ana Kwa kweli ni MTU makini Sana,na mnyenyekevu sana.kwa kweli na Wewe ni mtu WA aina yake,Una hekima mzuri.
@Crownvalz5 жыл бұрын
Huyu baba ninao ujasiri mkubwasana wa kumuita WAZIRI MKUU MSTAAFU.... Mungu ambariki sana.
@leonardkigutu77165 жыл бұрын
Hongera sana waziri mkuu mstaafu kwa kusema ukweli..huu ndiyo ukweli
@michaelndilima62103 жыл бұрын
Mungu baba was haki na ukweli amina.
@EsterPaul-uc7ny2 ай бұрын
Nice 👍
@bertinkimati26745 жыл бұрын
Umesema vizuri sana mzee Pinda. Kwamba ukiachia Nyerere viongozi waliopita hapo kati hawakuweza kupambana na rushwa kwa sababu hawakuwa wasafi juu ya rushwa. Leo hii tumempata Magufuli anayethubutu kuikemea na kuchukua hatua thidi ya walarushwa. Sasa iweje anawabaguwa watuhum8wa wa rushwa? Pili jambo la msingi sana umeacha kuliongelea ni kuhusu kufuata katiba ambako mwalimu Nyerere alifuata wakati wa utendaji wake. Hukituambia jinsi mwalimu Nyerere alivyotumia busara zake kujali maisha ya watu kwanza kabla ya vitu. Nyerere huwezi kumlinganisha na kiongozi yeyote na wala hajazaliwa hapa tanzania. Alikuwa mcha mungu na mnyenyekevu wa kweli. Hakuwa anaongea jambo kuligawa taifa. Alisimamia haki na ukweli hadi anakwenda kaburini. Aliwasikiliza watu aliowaomgoza na kujibu hoja zao kwa hoja zake hakurumia jeshi wala wasiojulikana hawatukuwasikia. Alikerwa na siasa chafu. Angekuwepo asingekubali kuona hela za wananchi zinatumika mabilioni kwenye chaguzi za kihuni kusaidia mbunge aliyeacha ununge alioupata yayari na kuutaka tena kwa mlango mwingine. Magufuli anafanya vitu vikubwa sana vinavyoonekana machoni mwa watu lakini kama hatafanya yale ambayo yatadumu mioyoni mwa watu bado baada ya kuondoka atabeba lawama kubwa nyuma yake. Maendeleo ya nchi yanaegemea vitu muhimu vitatu. Elimu,siasa safi na uongozi bora. Ukipima kwa njia hiyo utagundua kuna mapungufu makubwa na hilo ndilo lililoporomosha hata nchi kubwa duniani.
@mohammedjuma-vb7no10 ай бұрын
Lollipop🎉i😮k😅😅ko😅kkokk😅😅o😮yokmii😅🎉😮kt😮🎉rikrrirrturrttuukitriuuruttuykuk it I'm amgklln..j.nmnmnvthyyht😢thyhupp🎉u Np
@KUTOKA-ep2fk3 жыл бұрын
Kumbe ulikuwa usalama wa taifa we mzee nani amegundua huyu mzee alishakuwa usalama taifa?
@simbabbq4427 Жыл бұрын
Ikulu utaitwa kufirwa nenda tu
@mohamedayoub85765 жыл бұрын
Ahsante mzee wetu kwa elimu hii ya Historia
@arthurfesto90265 жыл бұрын
Billy stay blessed baddie bunge likuhusu man
@abdukhalnyerere8993Ай бұрын
Wewe ni msema ukweli na umesema ukweli utakao ishi
@michaelndilima62103 жыл бұрын
Safi sana
@gwakisakaswaga52495 жыл бұрын
Moral authority inamsaidia sana mh. Magufuli. Watangulizi wake were too corrupt wasingeweza kupambana na mdudu rushwa.....
@ezekielmwinami91545 жыл бұрын
Gwakisa Kaswaga aacha kuwakamata kamata wapinzani sasa akubali kukosolewa tu maana kiongozi yoyote ni jalala kila uchafu utatupiwa wewe na kuwabeba watu fulani fula bana kama wakuu wa mikoa
@ramadhansylvesta19525 жыл бұрын
Big up sana Mzee wangu
@sudeysmfaume58005 жыл бұрын
Very interested story...
@patiencensula52325 жыл бұрын
chaguwa lunga moja bana
@lennygeorge91655 жыл бұрын
Namkumbk huyu mzee akiwa waziri mkuu n MTU mweny busara lkn kilichoharibu ni aina ya kiongoz aliekuwa juu yake
@deogratiashaule52245 жыл бұрын
baba Pinda Umenena. asiyekubali mchawi
@christinamonyi42755 жыл бұрын
Oyooooooo good.
@kasianmabele8546 Жыл бұрын
Ninyi wa staafu; badala ya kumshauri mkuu wa nchi pekee,mnapaswa kutoka adharan na kuonyesha mwelekeo wa taifa letu,ili kulinda mazuri mliyo ya pambania yaweze kuishi kwa maendeleo ya taifa,badala kukaa pembeni na kuwa watazamaji (tunu)
@merdaniely47755 жыл бұрын
Kaka Bill nakupata, naona upo kulia mwa waziri Mkuu mstaafu. Tumesoma wote Chuo kikuu smmuco tumekosa ajira, sasa mwenzetu upo mambele tayari.
@kalamuyantajajr26055 жыл бұрын
Una taaluma gani?
@merdaniely47755 жыл бұрын
Nina taaluma ya ualimu level ya degree
@kalamuyantajajr26055 жыл бұрын
Duh! Natafuta mchumi, marketing officer na IT. But check me 0765109287 tuone namna gani tunaweza kusaidiana
Lakini we mzee PINDA ulitakiwa kuwa PM wa JPM yaani hapo Serikali ingekuwa imenyoooooooka 100% dadadek😂😂😂🤣🤣🤣Maana hakuna namna WAPIGWE tuuuuu
@ommyakili5524 жыл бұрын
Umesema kweli yani Pinda ni jembe sema serikali aliyoitumikia balaaa
@mawaidhatv85575 жыл бұрын
Umeongea point mzee Lakin ninavyo wajua tm nyumbu mhh!!
@mawaidhatv85575 жыл бұрын
Huyo jamaa mwenye miwan nimtoto wa kasim majaliwa
@prospermakela77915 жыл бұрын
Kweli brother?
@mnzavachris54235 жыл бұрын
acha uongo ww
@allykigatta75645 жыл бұрын
Unamaanisha wamefanana au unamaanisha ni kinda lake kwa hakika???
@T_Darius5 жыл бұрын
😂😂😂
@arthurfesto90265 жыл бұрын
Uyo jamaa anaitwa billy mtu wa dodoma kasoma smucco ni muhitim pale Education degree
@husnajohn74665 жыл бұрын
Yaani huyu amestaafu kajichimbia kwao huko analima
@africanhappyadventure69515 жыл бұрын
Anapiga zake Pesa Balaa huko na Marupurupu yake ya Uwaziri yako Pale Pale.
@mashmashmkeyenge92105 жыл бұрын
hongera baba pinda
@MohamedAli-qt2iw5 жыл бұрын
sasa mzee vp wale wahujumu walio fungwa na wengine aliotaifishiwa mali zako walifidiwa na mzee mwinyi? ina mana serekali ilikosea na je ? wewe unazifananisha na hii pia inakosea
@samateryussuf59385 жыл бұрын
hivi nyinyi kuna wakati wapinzani walishika nchi hii ?
@margarethsolomon98235 жыл бұрын
Samater Yusufu, unadhani ni mpinzani yupi wa kushika nchi kati ya unaowaona kakangu. Mseme tu hata angalau mmojawapo achana na anayekula pension ya zaidi ya miaka 70. Huyo amevuka kwenye kuiongoza nchi kwa sasa.
@@margarethsolomon9823 Tundu Lissu , Peter Msigwa , Zitto Kabwe, wote hawa ni hazina ya Tanzania , ccm inatupeleka pabaya dada yangu , unaona yanayoendelea Sudan sasa , El Bashir hafiki 2019
@alihamad60465 жыл бұрын
Swahili pls
@petergasaya24455 жыл бұрын
Rushwa hapo bora mh pinda angenyamaza maana rushwa baada ya Rais kuwepo madarakani imekuwa ya wazi zaidi mana yeye anahamisha wapinzani kwa kuwapa rushwa na kuwahonga rushwa ya vyeo.
@emmanuelsiwale61605 жыл бұрын
Yaani huyu jamaa kaongea point tulitaka mtu mkali sio anaechekacheka
@allirajabu81465 жыл бұрын
kweli tupu
@feiz31805 жыл бұрын
Pinda anaongea ukweli kwa namna aujuavyo yeye. Sisi wazanzibari tumedhulumiwa na chama chako na hilo haliongelewi. CCM wamemalizika kisiasa Zanzibar na hakuna njia ya kukifufua. Dhuluma muliofanya kwetu haikubaliki. Kama kweli Magu ana pambana na maovu basi arekebishe uovu uliofanyika zanzibar.
@ephraimkanyambo48295 жыл бұрын
Kumbe ni junior minister kwa Dr Magufuli kwasababu kwa MIAKA 5 akiwa msaidizi wa Mkapa Dr Magufuli ashakuwa mbunge na waziri kamili
@kalamuyantajajr26055 жыл бұрын
Hiyo haiwezi kuzidi CV yake. Amekuwa karani wa Baraza la mawaziri kwa miaka 27. Huyu mzee ana CV ya kufa mtu kwa wanasiasa ya Tanzania. Anafahamu siri za Marais wote 4 waliomtangulia Magufuli
@zumbeshauri81145 жыл бұрын
yani hata Mimi ninge tamani huyu jamaa angekuwa wazili wa ulinzi wa jpm mbona watu wange nyooka
@margarethsolomon98235 жыл бұрын
Umesema ukweli wako. Mimi binafsi nilimwona John Pombe tangu 2010, nikasema CCM wasipokuja kumpa huyu nafasi ya Urais au kugombea 2015, BASI, hiki chama kitamfia JK mikononi mwake. Nilipoona amechukua fomu ya kugombea bado niliendelea kusema yaani wakiteleza tu wakamwacha hiki chama ccm bye bye. Nilipoona ameingia ndani ya tatu bora nikasema hapo wameota ndoto njema na watapeta, pamoja na vuguvugu la Mh. Lowasa lkn niliamini kuko salama CCM. Ninachotaka kusema hivi sasa, Magufuli aendelee kuchapa kazi aachane na kelele za vyura. Hata ikiwezekana hao wapinzani asihangaike nao. Ila kama maamuzi ya awali wakafanye mikutano kwenye maeneo yao, watafute wanachama kwenye maeneo yao husika, habari ya mikutano kuzunguka kama wana kampain wangoje wakati ukifika kwa sababu kwa kufanya hivyo wataanza tena kuutumia UHURU ule usio na mipaka na kuifanya nchi kutoongozeka. Maana wataingia vyuoni, makanisani na umbeaumbea. Tunaona nchi kwa sasa ilivyo, kila kona watu wako kazini kwa bidii na makatapila kila kona. Enzi za nyuma makatapila yalipack pembeni. Kandarasi anapewa pesa akiishakutoa kumi per cent naye analala mbele, wachache tunaendelea kuzitafuta pesa kwa jasho. Leo wote tunaenda kisawasawa hadi kieleweke. Reli, ndege,barabara, shule madawati sisikii kelele, vituo vya afya, hospital, nidhamu, Rushwa, kodi, madini tanzanite, heeee! Nampa tano. Na haya yameendelea kutendeka ndani ya miaka 3. I love you Tingatinga Magu and I say BIG-UP.
@richardsoka24005 жыл бұрын
Margareth Solomon You are quite right. Lakini hatujampata Waziri Mkuu bora kama Edward Moringe Sokoine tena, kama Rais Dr Magufuli angalipata Sokoine wa pili (kwani Magufuli ni Nyerere wa pili!) mambo yangalikuwa kwa kasi zaidi na msaada mkubwa kwa Rais! However so far we are on the right track and happy. Nchi ilikuwa imekwisha! Kudos Rais Dr Magufuli.
@samsonmwankosole3755 жыл бұрын
Uboya wa kusifiana
@samateryussuf59385 жыл бұрын
huyu mzee aliiiba IPTL , sasa ana kiki ya kusifia nyerere?
@freddymello32275 жыл бұрын
Samater Yussuf duu!!hupumziki. hebu tuache kidogo
@samateryussuf59385 жыл бұрын
@@freddymello3227 tutapumzika tukianza kupiga nyundo kichwani watu kama wewe , kwa nn usife kwa nchi yako ???
@freddymello32275 жыл бұрын
Samater Yussuf ,mnatakiwa mpumzike bhana....tujenge nchi yetu pamoja. haya mambo ya kupinga pinga hayako vizuri!! Tunahitaji mchango wenu kama Taifa. Hivi vyama vinapita maisha yanaendelea ndg yng
@samateryussuf59385 жыл бұрын
@@freddymello3227 unazungumza pumba bado , mchango umekwisha muda mrefu, TZ haina Katiba huru , haina tume huru ya uchaguzi, nchi hii desturi yake ni ccm , utawala wa weusi wachache toka uhuru
@freddymello32275 жыл бұрын
Samater Yussuf ,haiko hivyo hizo ni chuki na roho za kishetani walizowapandikiza hao jamaa. na kuhusu haya maelezo uliyotoa hapo ndio sababu ya Mimi kutowaunga mkono wapinzani. maana wamesahau mambo hayo ya msingi mfano:- katiba mpya,Tume huru ya uchaguzi,uboreshaji wa daftari la wapigakura wao wamebaki na siasa za Kiki na matusi na kuhamasisha chuki katika jamii.
@jumabeku3245 жыл бұрын
Simba vs kmc
@georgebalilemwa33055 жыл бұрын
Hata baadae mtakubali tunayosema.sasa. Hapo baadae akiondoka mtaongea mengine.
@nicodemuhamaro55335 жыл бұрын
Nawaambieni hivii.HUYU NI RAISI WA UKWELI NA ANATEKELEZA MAJUKUMU YAKE KWA USAHIHI.KWA SASA HATUHITAJI UPINZANI HADI 2025 KWENYE KAMPENIII.HONGERA MHESHIMIWA RAIS ENDELEA KUZILINDA RASILIMALI ZETU NA AMANI YETU.
@venstonvedasto5 жыл бұрын
Huyo jamaa mwenye miwan anaitwa Bill mhuni kisenge anapenda chupi huyo heeeeeeeeeeeeee alivotulia utadhan mbuzi mtoto kumbe nyang'au tu
@psitz43785 жыл бұрын
Hahahahaaaa.....asee nimecheka mpaka machozi ...daaah
@barakamwakapoma27025 жыл бұрын
Hahahahaha we jamaa chiz kweli umenichekesha
@menlandmutashobya83774 жыл бұрын
Huyo mhuni toka longi ,hiyo n chezea mbali na watoto
@eliabuilding46675 жыл бұрын
Mzee umeongea vzr'lakini wewe ulifanya nin kuhusu wezi wa nchi hii?mbona ulikuwa kimya tu ulishindwa na mkapiga hela sasa mnakula tu.
@theodoremilenzo94205 жыл бұрын
Huyu Mzee ni mhuni tu kama ni kweli aliishapita katika Tawala zilizopita na kuona zinavyofanya kazi ni nini kilichomfanya yeye ashindwe kuyafanya yale waliyoyafanya wenzake wakati akiwa madarakani????? Huyu bwana alikuwa Waziri Mkuu ni kitu gani hasa kilichomfanya asipinge kwa nguvu Rushwa na Ufisadi wakati akiwa Waziri Mkuu. Sasa anatuletea hadithi zake za abunuasi. Kwenda huko huna lolote na wewe ulikuwa fisadi tu
@atikombogolo23565 жыл бұрын
Mzee ukimfuatilia alikuwa jembe sana sema Mamlaka za Juu zilikuwa zinambana. Kama unakumbuka ishu ya Wazir Ngeleja By then alivyoitema nadhani kuanzia hapo utaelewa kama Mzee alikuwa mtata ila shida ilikuwa Mamlaka ya juii
@margarethsolomon98235 жыл бұрын
Theodore, hivi umemsikiliza au unamchanachana tu. Yeye amejieleza wazi kuwa watu tunatofautiana. Lkn pili yeye hawezi kuvuka sikio kwa kipindi hicho. Ni lazima afuate matakwa ya aliyekuwa Rais, kama unavyoona kwa Kasimu Majaliwa. Hawezi kupingana na Mh.Magufuli. Hapo Kasimu piga ua anakimbizana kwa.kila namna ili aendane na tingatinga vinginevyo kusahauliwa na Magu ni rahisi tu.
@samateryussuf59385 жыл бұрын
thank you
@ceciliajimmy56525 жыл бұрын
@@margarethsolomon9823 Umeongea pointi sana lakini kwa nini mlimwita Lowasa fisadi wakati mnajua kuwa mkuu akisema saini hapa hakuna objection!! Namsifu sana Lowasa, ni mtu wa Mungu sana ameendelea kutunza siri za kiapo chake, anatukanwa, ananyanyaswa lakini ananyamaza tu. Mungu ambariki duniani na ahera. Huyu yeye aliniudhi alipotamka "wapigwe tu" kauli yake itamhukumu siku ya mwisho. Nimwombe tu, kwa kuwa alitamka hadharani kwa hasira basi aifute hadharani ili mazwazwa yasiendelee kuifanyia kazi kauli yake. Wataniita MCHOCHEZI ,...
@SoftwareClasses5 жыл бұрын
8:42 hapo tumeelewa ina maana serikali iliyopita viongozi mlikuwa hamuwezi kupigana na rushwa sababu mlikuwa pia mnashiriki? naomba kueleweshwa. LAKINI HONGERA KWA KUWA MKWELI MIZENGO PINDA
@josephmalisa34325 жыл бұрын
ACHA ACHA Kabisa kuongea mseto wa lugha unapoongea na watanzania huo ni ulimbukeni na ushamba wa kina
@zumbeshauri81145 жыл бұрын
yani hata Mimi ninge tamani huyu jamaa angekuwa wazili wa ulinzi wa jpm mbona watu wange nyooka