MTU MREFU KULIKO WOTE TANZANIA/MPENZI WAKE ANAMFIKIA KIUNONI/KITANDA ANACHOLALA/CHANGAMOTO/STAMINA

  Рет қаралды 38,640

Carrymastory

Carrymastory

4 жыл бұрын

Mtu ambaye anadaiwa kuwa ni mrefu zaidi Tanzania, amefunguka na kusema anapata changamoto nyingi akiwa katika maneno ya watu kutokana na urefu wake.MTU MREFU KULIKO WOTE TANZANIA/MPENZI WAKE ANAMFIKIA KIUNONI/KITANDA ANACHOLALA/CHANGAMOTO/STAMINA

Пікірлер: 128
@afyayangutime8738
@afyayangutime8738 4 жыл бұрын
Ishallah mwenyezi Mungu azifanye changamoto zake kuwa mafanikio yake kupitia umbile lake
@Mtu_mrefutz
@Mtu_mrefutz 3 жыл бұрын
Asante
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 жыл бұрын
Jamani mimi mtangazaji unanichesha ila 😂😂😂ila pore umepatatikana maana sikwaufupi huo mimi nainjoi hapa naona m2 mrefu na mfupi
@mukaplatnumz2313
@mukaplatnumz2313 4 жыл бұрын
Mhhhhhhhh hivi kama walete shindano la mapambano nyie wawili nani ambaye anaweza kumchapa mwenzake? 😂😂😂 Brother yuko vizuri mno kwenye kuchuma hembe mtini kwake ateseki.
@drraizkidume867
@drraizkidume867 4 жыл бұрын
Haka kajamaa karefu kweli dhuuu.. Mi namfikia mpajani tuum from Mozambique
@esterelias8189
@esterelias8189 4 жыл бұрын
Hahahaha
@daughterofziontv530
@daughterofziontv530 4 жыл бұрын
But he is handsome, I love his voice, Gods plan I like how God does his things
@leonardmanyanza1058
@leonardmanyanza1058 4 жыл бұрын
Jamaa limetulia kwenye interview halina wenge
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 жыл бұрын
Hahahaa, utulivu
@tatushoke6856
@tatushoke6856 4 жыл бұрын
pole mtangazaji mana wabadili mikono du mwanakulitaka mwanakulipata mana hapa nacheka mpaka bc hhhhhhhh carry mtangazaji wako kakoma hhhhhhh mara kwapani da pole love
@glorianishimwe1587
@glorianishimwe1587 4 жыл бұрын
Hahaha nimeceka mutangazaji utacoka shingooo
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 4 жыл бұрын
Hahahahaha af eti na yeye anakaza Sauti Kaka Jamaa Tolu
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 4 жыл бұрын
Hahahahahahaha😂😂😂 Mtangazaji mpaka Mkono umechokaa...
@kemalswaleh9527
@kemalswaleh9527 4 жыл бұрын
Ilove u a voice and u a height
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 жыл бұрын
Suruali ya mtangazaji ndo boxa ya bwana Tall 😬😬😬😬😬😬😬🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@kemalswaleh9527
@kemalswaleh9527 4 жыл бұрын
Waoooh nice
@salmangassu1011
@salmangassu1011 4 жыл бұрын
Ungechukua ngazi maana huomkono lazima ukauchue😀😀😀
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 4 жыл бұрын
😀😀
@Boaz22
@Boaz22 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂mtangazaji mpaka unapata tabu kumuhoji😅😅
@AhmedSalah-ri3es
@AhmedSalah-ri3es 4 жыл бұрын
Ndugu mtangazaji naona kma unachoka kunyoosha mkono na shingo hio hhahaha
@caronmussa3543
@caronmussa3543 4 жыл бұрын
Mashine hapo hatar ndefuuuu
@jescamachibya7724
@jescamachibya7724 4 жыл бұрын
Caron Mussa hahaha una mawazo ka yang inakutoa kizaz
@angelokihaka8363
@angelokihaka8363 4 жыл бұрын
Mtangazaji mkono huo utavunjika
@Allelua2024
@Allelua2024 Жыл бұрын
Nenda rwanda wapo warefu waschana
@mashombomashombo9233
@mashombomashombo9233 4 жыл бұрын
Mbona kawaida huyo kwa broo wangu ni mfupi Sana
@Ernestinamkw
@Ernestinamkw 4 жыл бұрын
Mmmmm
@vennymaxmillian1870
@vennymaxmillian1870 4 жыл бұрын
Nimekumsi Sana j
@Mtu_mrefutz
@Mtu_mrefutz 3 жыл бұрын
Me more dear
@chaliwachuga519
@chaliwachuga519 4 жыл бұрын
Uyo ukitembea na yeye akitembea polepole wewe unakimbia
@esterelias8189
@esterelias8189 4 жыл бұрын
Hahahahahaha jmn duuh mimi ni mrefu ila huyu..
@saadakiyungi6437
@saadakiyungi6437 4 жыл бұрын
Hatare
@jacklinemwanga1691
@jacklinemwanga1691 4 жыл бұрын
Kwa kwel ni mref na anajikubal sana
@hamimhamis2549
@hamimhamis2549 4 жыл бұрын
Duuuu htr
@ashamfinanga6216
@ashamfinanga6216 4 жыл бұрын
Kwan mtangazaji amekaa au amesima...coz sielew hiyo distance
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 жыл бұрын
Kazi unayo ukimfikishia maiki nae anainua shingo juu leo umempata wakukupa adabu kazini
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 4 жыл бұрын
Baraka Samson alionyeshwa na ITV mwaka 2016 alikuwa mrefu zaidi. Ana futi 7 na nchi 4.
@jackinemsechu1231
@jackinemsechu1231 4 жыл бұрын
Uyu nae c saba na pont zke na ww,uwe unasikiliza vizur
@vennymaxmillian1870
@vennymaxmillian1870 4 жыл бұрын
Kweli ila baraka hayupo tz Toka ameenda tibiwa nyonga hajalud tz kwaiyo kwa Sasa bro ndo mrefu zaid
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Mtangazaji Umetia Akili, Mkono Una Maumivu. Hongera kwake.
@ashuuyusuf3978
@ashuuyusuf3978 4 жыл бұрын
Ndo wakome kuoji watu...wamezoea piereliquid
@azorindege3583
@azorindege3583 4 жыл бұрын
Sijaelewa mtangazani alivyouliza "umezaliwa hivi hivi?" Viwanja vya jeikeei
@mariamothman7404
@mariamothman7404 4 жыл бұрын
Roja umefinikwa yaan kama katoto😁😁😁ninavyo kuangalia😁😁😁
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Kazubassyathyvry89
@Kazubassyathyvry89 4 жыл бұрын
Duhhhh
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 4 жыл бұрын
Hahaha wauliza jamaa Kama kwao yeye ndio mfupi peke yake au mrefu ww vipi huoni
@eppiemodest
@eppiemodest 4 жыл бұрын
Kuna mwingine mrefu tunakaa naye jirani .ni mpole sana sijui huyo uliemkuta sabasaba ground.
@vennymaxmillian1870
@vennymaxmillian1870 4 жыл бұрын
Huyu pia nimpole Sana... Anapenda utani kucheka pia ila ukimkolofisha anakuhama tyuuu hapendi makuu namtu
@zephanialubuva9208
@zephanialubuva9208 4 жыл бұрын
Mama yangu Mdogo anaitwa Joyce ni mrefu kuliko huyo Dodoma
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 4 жыл бұрын
Dodoma wapi ako na futile ngapi
@eppiemodest
@eppiemodest 4 жыл бұрын
Mtangazaj8 kuuliza umezaliwa hivihivi inashangaza kwakweli. Mtu azaliwe hivyo na ukubwa na urefu hivyo mtangazaji anauliza maswali ya ajabu sana. Binadamu anakua kwa miaka 38 mwisho haendelei kukua. Mtangazaji alipokuwa shuleni hakuwa makini kujifunza.
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 4 жыл бұрын
Maswali yake kwanza yanamnyanyapaa, Mimi ningemtia kofi
@zuleajuma7697
@zuleajuma7697 4 жыл бұрын
Mtto wa Kisukima huyo mbengu
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 жыл бұрын
Huyo ni Mkurya sio msukuma acha kudanganya watu
@happysalva9480
@happysalva9480 4 жыл бұрын
IVi MTANGAZAJI KAKAA AU AME SIMAMA🤣🤣
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@jackinemsechu1231
@jackinemsechu1231 4 жыл бұрын
Hahaha una utan kinoma
@florabaruti8032
@florabaruti8032 3 жыл бұрын
Muulize kuhusu ndonga yake inaulefu gani??
@mwanaidhassan229
@mwanaidhassan229 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 4 жыл бұрын
mnasena uyo ni mrefu kuliko wote je mshawai kutana na mimi?
@siwajafari5125
@siwajafari5125 4 жыл бұрын
Kipen bsnes
@Soccer_Life2
@Soccer_Life2 4 жыл бұрын
mbofinya link kuwona movie part 1 kzbin.info/www/bejne/e2WsmIiAYplgfdE
@chancequeen4710
@chancequeen4710 4 жыл бұрын
Sauti kama ya konk🤣
@munyievarist3070
@munyievarist3070 4 жыл бұрын
vp voice?
@SamsungA-su2qj
@SamsungA-su2qj 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@jonesnyembo7094
@jonesnyembo7094 4 жыл бұрын
Mtangazaji umeikala ama umeshimama?🤣🤣🤣🤣🇨🇩💪
@devidydevidy2301
@devidydevidy2301 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ameikala huyo
@adbashtv6701
@adbashtv6701 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@tajo8276
@tajo8276 4 жыл бұрын
Ameichalaa😂😂
@lelyafriaq4240
@lelyafriaq4240 4 жыл бұрын
Leo roja umekomejeeee
@Carrymastory
@Carrymastory 4 жыл бұрын
Hahaaa
@scanyboytz8937
@scanyboytz8937 4 жыл бұрын
Hahahaha
@ramadhansagutangu5902
@ramadhansagutangu5902 4 жыл бұрын
Daaa
@michaelsimon9908
@michaelsimon9908 4 жыл бұрын
Asili yake ni mtu wawapi huyu jamaa?
@pindabutter2736
@pindabutter2736 4 жыл бұрын
Mtangazaji kwanini umempigia magoti jamaa?
@worldwide9207
@worldwide9207 4 жыл бұрын
Uyu mwamba ni wale wa Black American kabisa
@happysalva9480
@happysalva9480 4 жыл бұрын
Ma black America awakuwagi ivo😅
@halima23862
@halima23862 4 жыл бұрын
Huyu ungekuwa huku USA lazima angekuwa mbali sana Team za Basketball wangempigania
@jeromemwingira7877
@jeromemwingira7877 4 жыл бұрын
USA Huo urefu ni wa kawaida, wapo wengi sana
@zaharajuma5019
@zaharajuma5019 4 жыл бұрын
😂😂😂 eti umekata wingu 😂😂😂😂
@esterelias8189
@esterelias8189 4 жыл бұрын
Mbavu zinaniuma jmn nilivyo ona mtangazaji na mhojiwa
@jackinemsechu1231
@jackinemsechu1231 4 жыл бұрын
Hahaha hahaha
@johnsigara2062
@johnsigara2062 4 жыл бұрын
Kabila gani huyo mwamba?
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 4 жыл бұрын
Duuu huyu mrefu
@elizabethkisogole34
@elizabethkisogole34 4 жыл бұрын
Inamana Mtangazaji umeshindwa kyjiongeza kumuomba akae?
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 жыл бұрын
Akikaa mtamuonaj kama kwel mrefu yeye ndio angesimamia stul maana anaumia shingo
@elizabethkisogole34
@elizabethkisogole34 4 жыл бұрын
Tumeshamuona kwamna nimrefu ila after angemuomba akae
@Kazubassyathyvry89
@Kazubassyathyvry89 4 жыл бұрын
Sasa mbona kama mzee kisha eti bado mda wa kuoa,duh
@rashidmohamedi1495
@rashidmohamedi1495 4 жыл бұрын
Anamboo kubwa awez kuoa
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 4 жыл бұрын
Rashid Mohamedi 😂
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 жыл бұрын
@@rashidmohamedi1495 😂😂🙌🙌umeionea wapi jamani wee umwniacha hoi
@mwalimuuomary2674
@mwalimuuomary2674 4 жыл бұрын
Uyo co mchz
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 жыл бұрын
😂mtangazaji panda kistuliii
@fettyakida5580
@fettyakida5580 Жыл бұрын
Safi urefu ni mzuri mimi mwenyewe nimempenda
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 жыл бұрын
Kweli ntaomba akiniowa mtu kama huyu tusinunue gari anibebe tu mgongoni inatosha tena safari itakuwa fupi kwa mastor njian
@khalfaniyesu8912
@khalfaniyesu8912 3 жыл бұрын
Ndoa unaitaka?
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 жыл бұрын
@@khalfaniyesu8912Yaap Kwa ukoo wa Yesu tena🙌🙌🙌
@khalfaniyesu8912
@khalfaniyesu8912 3 жыл бұрын
@@cheiknamouna2058 Upo tayari kuolewa na mm?
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 жыл бұрын
@@khalfaniyesu8912 Kwani jamani ndo wewe kweli au unatania
@khalfaniyesu8912
@khalfaniyesu8912 3 жыл бұрын
@@cheiknamouna2058 Nitumie number yako, nikutumie picha
@aisha-ro5fr
@aisha-ro5fr 4 жыл бұрын
Itakua wame m zoom😂
@jackinemsechu1231
@jackinemsechu1231 4 жыл бұрын
Hahaha hahaha
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 жыл бұрын
Wewe mrefuu😛nataka uniowe
@AliHassan-mf3dx
@AliHassan-mf3dx 4 жыл бұрын
Njoo nikuowe mm salha nipe namba yako!
@AhmedSalah-ri3es
@AhmedSalah-ri3es 4 жыл бұрын
Salha inaonekana unapenda vitu virefu unajua ana machine ndefuu
@antoinettedjumapili2522
@antoinettedjumapili2522 4 жыл бұрын
@@AhmedSalah-ri3es 😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣
@jackinemsechu1231
@jackinemsechu1231 4 жыл бұрын
@@AhmedSalah-ri3es Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
@Mtu_mrefutz
@Mtu_mrefutz 3 жыл бұрын
0689591590
@geofreylucas9469
@geofreylucas9469 4 жыл бұрын
Ofcourse hapo atakuwa amerith kutoka kwa babu yake by genetic concept
@bebebebe5677
@bebebebe5677 4 жыл бұрын
Mtangazaj leo umepatikana hay maswal yako nimejikuta nacheka mwenyew
@michaelsimon9908
@michaelsimon9908 4 жыл бұрын
Ni kabila gan huyu jamaa?
@nassororamadhan8756
@nassororamadhan8756 4 жыл бұрын
msukuma
@kingkipusa9483
@kingkipusa9483 4 жыл бұрын
Mman'gati🤭🤣🏃
@mrsochu-hv7bm
@mrsochu-hv7bm 4 жыл бұрын
Duuh uyu mtu mashine yake ipoje jamaniii 🙄
@nzeyimanamwavita1904
@nzeyimanamwavita1904 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@sabrinayahya714
@sabrinayahya714 4 жыл бұрын
😂😂😂
@Joumah103
@Joumah103 4 жыл бұрын
Atakutoboa ww
@pericykiko6198
@pericykiko6198 4 жыл бұрын
Kwani Kuna uhusiano ktk urefu na ufupi na viungo nijuzeni jmn
@mrsochu-hv7bm
@mrsochu-hv7bm 4 жыл бұрын
@@Joumah103 🤣🤣
@mekumeku2484
@mekumeku2484 4 жыл бұрын
Tuone viatu miguu yake
@aishanatamaniningekuepoktk5062
@aishanatamaniningekuepoktk5062 4 жыл бұрын
Roja mwambie akae huyo atakuumiza shingo
@Kazubassyathyvry89
@Kazubassyathyvry89 4 жыл бұрын
Duhhhh
@leonardmanyanza1058
@leonardmanyanza1058 4 жыл бұрын
Jamaa limetulia kwenye interview halina wenge
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 жыл бұрын
Limetulia haswa
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 16 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
EXCLUSIVE: Simulizi ya mtu mrefu kutoka Chato hadi Marekani | Futi 7.5
22:12
The Giant Julius Charles: Mtanzania anayevaa viatu vya 'size' 18
6:02
BBC News Swahili
Рет қаралды 47 М.
BAMBO NA MTU MREFU COMEDY RECAP
8:53
Bambo Comedian
Рет қаралды 90 М.
Bukura au Chuma ulete.zibiti sasa usibukuliwe pesa zako.
14:59
Allykk tv
Рет қаралды 3,9 М.
Summer shower by Secret Vlog
0:17
Secret Vlog
Рет қаралды 9 МЛН
La emociones de Bluey #歌ってみた #bluey #burrikiki
0:13
Bluey y BurriKiKi
Рет қаралды 34 МЛН