Temba, Nature, Chege, wameunga kundi lao TNC, Sky amewatembelea kambini, wanafunguka wanachokileta

  Рет қаралды 37,274

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
/ @simulizinasauti

Пікірлер: 100
@BarakabalumeJean
@BarakabalumeJean 6 ай бұрын
Nawependa saana change na temba ❤ nature pia
@Titointokyo
@Titointokyo Жыл бұрын
Wanangu gonga like kama umekubali ujio mpya wa TNC 👍🏽
@RamaMangale-jk2iv
@RamaMangale-jk2iv 8 ай бұрын
Poa sana mabro
@RenovatReuben
@RenovatReuben 11 ай бұрын
Am 20 years from Burundi lakini tangu nizaliwe i love so much these go Guys. Hadi sasa nyimbo zao zinapigwa 🙏🙏 well come back again
@ngarathecomedian5743
@ngarathecomedian5743 Жыл бұрын
Nawakubali sana Temba na Chege waishi Sanaa Juma konki 🔥🔥
@kutokaughaibuni
@kutokaughaibuni Жыл бұрын
Chege anasema kweli wasanii zamani walikuwa wanapenda sana kujificha studio peke yao na producer tu sasa sijui walikuwa wanajiona wanatoa hit aiseee yaani bora this day everything smooth keep it up magoma mapyaaaa
@omosh2023
@omosh2023 Жыл бұрын
Men of very powerful voices.
@Kim-lh1yj
@Kim-lh1yj Жыл бұрын
Ok nawakubali sana wana
@tnftz1461
@tnftz1461 Жыл бұрын
Tunamuomba nature apunguze pombe au aache kabisa maana inamuharibia voice🙏 #tnc🙌
@salumuhamza3920
@salumuhamza3920 Жыл бұрын
Nawakubali sana mimi nandugu zangu from DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩 big up Sana T.N.C
@yusrambarouk3884
@yusrambarouk3884 Жыл бұрын
Mungu awasimamie
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 Жыл бұрын
Vichwa vitatu ndan ya album moja, tunaisubir kwa hamu
@gintezcabayser
@gintezcabayser Жыл бұрын
Hii ni kubwaaa TNC aiiiiiseeeeeh kenya twasubiria ujio huu Mungu amejibuu dua zetu
@hollymore4904
@hollymore4904 Жыл бұрын
Dawa anayokula chege iko Safi Sana✌️👊
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 Жыл бұрын
lile picha linaendelea pale pale lilipo ishia ni 🔥🔥🔥 tukae mkao wa kula 💪🇹🇿🇦🇪
@stephenhaule5055
@stephenhaule5055 Жыл бұрын
Nawatakia kila la kheri ila Nature na Temba wako safi zaidi
@chunanachu2529
@chunanachu2529 Жыл бұрын
Nimemiss hizi sauti.....I can't wait kuskia💪💪💪
@muslimdabas9066
@muslimdabas9066 Жыл бұрын
Nawakubali sana hasta kibla matata
@BarakabalumeJean
@BarakabalumeJean 6 ай бұрын
Wanaume kazini💪💪💪 courage
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 Жыл бұрын
Tunawapenda sana♥♥♥♥♥♥♥ yaani nimefrahi mziki mzuri humerus♥♥♥♥♥
@Brian.f.odinga
@Brian.f.odinga 6 ай бұрын
Napenda ujio mpya TNC .
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 Жыл бұрын
Fanyeni remix ya mkono moja weka ju♥♥♥♥♥♥♥♥
@BakariKazungu-pm2nw
@BakariKazungu-pm2nw Жыл бұрын
Nawakubali kwa Asilimia
@adamsengo1869
@adamsengo1869 Жыл бұрын
Temba style yake ya kijiti mdomoni Hamachi!!😁
@njoroboihustla125
@njoroboihustla125 Жыл бұрын
Hiyo nitabia sio staili hata kwetu yupo huyu haachii hiyo njiti
@adamsengo1869
@adamsengo1869 Жыл бұрын
@@njoroboihustla125 ni kweli lakini nilimaanisha mtindo , u knw the language is wide with different meanings so the word "style" in kiswahili is something that cn sounds in different meaning inategemea na sentence yenyewe
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 Жыл бұрын
Na staili yake ya kuimba chipsi Kuku
@adamsengo1869
@adamsengo1869 Жыл бұрын
@@wemakingdaily1462 😂
@mwanashoogobo1785
@mwanashoogobo1785 Жыл бұрын
Can't wait my big brother 💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥
@belzylucas7275
@belzylucas7275 Жыл бұрын
kiukweli temba namupendaga toka nasoma kidato tmk ❤❤❤❤
@njoroboihustla125
@njoroboihustla125 Жыл бұрын
Mpige collaboration moja na rapcha🚸 😂😂😂ila necha anawajukuu kumbe
@kasaisatv9765
@kasaisatv9765 Жыл бұрын
Amesema "wa juujuu."
@twahashearer8302
@twahashearer8302 Жыл бұрын
Hakuna Chege bila Mh. Temba wala Temba bila Chege...
@mastaplan
@mastaplan Жыл бұрын
Best song HILI DUDE la kimataifa
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Tunawasubiri..mjiiiiini☑️☑️🔥🔥
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Energy
@mgenimawazo3099
@mgenimawazo3099 Жыл бұрын
Yani nasikia raha sana kuona wanafanya ivo maana nilipe daga sn miziki yao na mpaka sasa Nina nyimbo zao ata 20 kwenye sim yangu nawapenda sn👌👌👌👌💞💞
@newbillionaire701
@newbillionaire701 Жыл бұрын
Nature ndo kila kitu bado ana vit vingi sana ila apunguze pombe hiki kichw kikiondoka tutajuta tatiz pia apokee ushauri kama ku shoot video kali muonekano asipende kujikubali tu kukosolewa kupo
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania Жыл бұрын
Nature acha pombe, bangi we vuta lakini pombe itakutoa roho mtoto wa mama Iddi. Tunasubiri mistari tu…Mh. Temba, Juma Kiroboto na Chege Chigunda.
@eliudimfilima8064
@eliudimfilima8064 Жыл бұрын
TNC 🥋🥋🥋
@yuzomafia3949
@yuzomafia3949 Жыл бұрын
Yuzo mafia nimekua wa kwanza sns mnaupiga mwingi nataka rik nyingi apa wanangu pia msisahau kusikiliza ngoma yangu ya tumeshinda
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Vita au
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 Жыл бұрын
Good
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Жыл бұрын
Kaka nyumba hiyoooo niya Alikiba alinunuwa kwa zito kabwe 2019
@MucoLambert
@MucoLambert Ай бұрын
Mngu Awaongoze
@ibrahimhumanamicroscopic6515
@ibrahimhumanamicroscopic6515 Жыл бұрын
I love chege all ways to America 🇺🇸 💙 ❤️ ♥️
@fadhilikigwama3896
@fadhilikigwama3896 Жыл бұрын
Hawa nao wanahangaika sana mara utasikia temba na chege mara temba na necha mara chege na necha mara necha na inspector mara sasahiv temba necha na chege aise
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 Жыл бұрын
Ili ufanikiwe Lazima uhangaike..kuangaika kwao ni moja ya kutafuta Maisha nakuangalia upepo wa mafanikio unaelekea wapi,,
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
@@stevenlugojeremia2323 kwer bro maisha mazur hayakutafuti wew bali wew ndie unaeyatafuta
@mbwanamtessa8607
@mbwanamtessa8607 Жыл бұрын
Sasahivi Kuna watoto wakali Sana Kama mbwa mwitu. So tunawaamini ma broh mtaonesha ufundi zaidi. Ila kwa ushauri nature apunguze maji ikiwezekana aache kabisa..
@kingradji6324
@kingradji6324 Жыл бұрын
Respects guys
@MucoLambert
@MucoLambert Ай бұрын
Nawapongeza Kwakurudi Kwapamja. Nakufanya. Mziki kwapamja
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 Жыл бұрын
Wanajua Sana mbwa hawaaaa....!
@gabrielkabato9909
@gabrielkabato9909 Жыл бұрын
Safi sana
@chafumirro5617
@chafumirro5617 Жыл бұрын
Sky woka ww ndio mtangazaji wangu namba moja
@danielkipngetich6098
@danielkipngetich6098 Жыл бұрын
Napenda ujio wao
@bashiruhassan7310
@bashiruhassan7310 Жыл бұрын
Neture naisi ana losto ya pombe haelew
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao Жыл бұрын
Nilivyona the Caption:-( mapenzi tele can't wait
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Жыл бұрын
From time Iknw you is best interview u do
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Huyu JUMA NATURE ...SAUTI YAKE niyapombe ...Aache mapombe hayana issue yeyote✍️
@g_forcemusician4242
@g_forcemusician4242 Жыл бұрын
Kwahiyo haruna na juma nature. Projects ndo basi tena
@mariamuhady6257
@mariamuhady6257 Жыл бұрын
Hapana itaendelea
@IddiSaid-se9hd
@IddiSaid-se9hd 6 ай бұрын
Mm katika wasani ambao nitasimama kwaji yao ni hawa na alikibaa
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 Жыл бұрын
Apo vipi tunawapenda
@omaraliiddi1424
@omaraliiddi1424 Жыл бұрын
Kama kalambwanda
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Nawakubar wazee wa kazi...ngoja tupishe njiaaa!🤣🤣
@hassannzai9785
@hassannzai9785 Жыл бұрын
Wapili apa wapi like za Wa Kenya
@dicksonbaraka7639
@dicksonbaraka7639 Жыл бұрын
Uzipeleke wapi
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Ili iweje?
@nacetsiringa1334
@nacetsiringa1334 Жыл бұрын
Wangeita CTN ingevuma zaidi maana ni jina la television kubwa duniani
@Zuchu11
@Zuchu11 Жыл бұрын
Inawezekana temba ndo alie sgauri yote so inakua ngumu kubadili pia ni mpaka wajue kuna tlvn hiyo.
@nacetsiringa1334
@nacetsiringa1334 Жыл бұрын
@@hajirajabu19 brand haziwezi kugongana kirefu Cha jina lao sio sawa mtu yeyote ingawa abriviation au kifupisho kinaweza kufanana Ndio maana striking force ya Barcelona waliita MSN Kwa kifupisho lakini ni neno lingine kabisa Kwa maana ya taasisi in short legal had nothing to do with nick names 😔😔
@Burner_Acc
@Burner_Acc Жыл бұрын
Sababu ya hovyo sana
@EvodiusbarakaMtundu
@EvodiusbarakaMtundu 6 ай бұрын
Njemba zimeludi tena mtulize roo msipotee Kaa ledio yambao
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Жыл бұрын
Juma uache pombe sasa ili uimbe vizur zaidi wenzako wakushauli uache pombe
@johnkyara8655
@johnkyara8655 Жыл бұрын
Nature anawaza pombe hapo tu
@bakariabdallah8702
@bakariabdallah8702 Жыл бұрын
awa wauni ma gangster kinoma
@allysalum1112
@allysalum1112 Жыл бұрын
Wadogoo zanguu pigeni kazii achenii utoto rooo mbaya wenyewe kwaa wenyewe mtapotea mojaa kwaa mojaa yuko wapi 20pasent yuko wap Afandee seree kuenii makinii shauri yenu
@mohdabdullwahid3172
@mohdabdullwahid3172 6 ай бұрын
Nyinyi ndy watu mnajua na tunasubir mzigo
@IddiSaid-se9hd
@IddiSaid-se9hd 6 ай бұрын
Hawaa ndo wasani wa bongo wakali hawaa
@ramadhanichichaga2597
@ramadhanichichaga2597 Жыл бұрын
Alama ya temba kijiti mdomoni
@mubarakhassan2618
@mubarakhassan2618 Жыл бұрын
Naona mandonga akaingia kweny muziki hiyi sauti necha
@godwinmwashuke135
@godwinmwashuke135 Жыл бұрын
Haya ndio yalikuwa matakwa ya wanabongo kamili ilituregeshe madili ya bongoflava tukikomeshe utata wa kizazi Cha Leo kusifu viungo tu
@gladyskanemba1079
@gladyskanemba1079 10 ай бұрын
Kwani temba alitoka kula nyama?
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 Жыл бұрын
💞♥♥♥♥♥♥♥💞
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 Жыл бұрын
♥♥♥♥♥♥♥♥
@Burner_Acc
@Burner_Acc Жыл бұрын
As much as I love them ila muda umewatupa mkono wajue kusoma alama za nyakati. Wataishia kuwa frustrated tu hawana tena impact kama zamani
@ramsogoscop5191
@ramsogoscop5191 Жыл бұрын
huyu jamaa temba hajawahi kuacha stick mdomoni tangu nimfaham kwenye mziki wa tmk enzi hizo .Hadi leo stick yake hajawahi kuiacha iende.
@mrconfidencecypherofficial
@mrconfidencecypherofficial Жыл бұрын
Itabidi PNC abadilishe jina basi
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 Жыл бұрын
♥♥♥💞💞💞💞💞♥♥♥♥♥
@wisperfect5320
@wisperfect5320 Жыл бұрын
Sauti zao sas😂😂
@richardburundi3090
@richardburundi3090 Жыл бұрын
Sauti zahawa wasani zinatisha bro Kamazimecanikahivi
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Sauti za kibabe😀
@richardburundi3090
@richardburundi3090 Жыл бұрын
@@ahz6907 kbs
@joakimjoan1195
@joakimjoan1195 Жыл бұрын
Chege ndo wamoto anaye enda na wakati hana mbwela zile za kitambo lakin hawa wengine wataanza kuleta utemi utemi ndan vesi labda ngoja tuone
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free Жыл бұрын
Ingekuwa “Tenache” ingependeza mno
@jumaamanghi8764
@jumaamanghi8764 Жыл бұрын
NaTeChe
@Biharmbeauty
@Biharmbeauty Жыл бұрын
CheTeNa
@iceplay18
@iceplay18 Жыл бұрын
hawa nawo wapumzike hawana mapya , wakawati wao umepita ,wamechelewa kwa game
@SimonThomas-z6h
@SimonThomas-z6h 7 ай бұрын
Ishini kwenye Gam bado hamja poteza
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН
CHINO ASHTAKIWA NA FEROUZ
22:56
b boy rama
Рет қаралды 52
UTACHEKA UFE MANENO YA KICHECHE MBELE YA HARMONIZE
11:13
Mbengo Tv
Рет қаралды 604 М.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
MATOLE TV
Рет қаралды 33 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20