MTU MWENYE NGUVU ZA AJABU, GARI LINAPITA JUU YAKE, AVUNJIWA JIWE KICHWANI - MSWAHILI

  Рет қаралды 179,496

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

MTU MWENYE NGUVU ZA AJABU, GARI LINAPITA JUU YAKE, AVUNJIWA JIWE KICHWANI - MSWAHILI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 246
@kuzimaster3399
@kuzimaster3399 2 жыл бұрын
me nashukulu sana nimekaa na mzee Power ni mtu poa sana pia naeshimu sana kazii alizoo zifanya pia ni mtu bola sana kwa upande wangu adii leo ni mtu anae nipa njia ya kupita kwenye life namuombea Dua kila kukicha my father.. Power Nyati number zako ninazo nitakupigia faza..Power kazii mzuli. baba
@hamzeinmfinanga4389
@hamzeinmfinanga4389 2 жыл бұрын
Kwahiyo ulitaka watu wakuombe namba zake au😏
@UKCTV
@UKCTV 2 жыл бұрын
Namkumbuka sana pia ni Rafiki yangu sana naomba mungu ampe afya jema umri mrefu zaidi tuendelee kujifunza mambo mengi kutoka kwake
@omarimpemba2173
@omarimpemba2173 2 жыл бұрын
00
@pilisimfukwe7900
@pilisimfukwe7900 2 жыл бұрын
@@omarimpemba2173 OK
@charlesnnko8122
@charlesnnko8122 2 жыл бұрын
@@pilisimfukwe7900 ji01kii
@hassanisaidi9860
@hassanisaidi9860 2 жыл бұрын
Duuh,,, huyu kwer power nyati hatareeeee kipande cha mtu💪🔥🔥🔥🔥🔥
@DevZone1089
@DevZone1089 2 жыл бұрын
😂😂
@harrishussein6992
@harrishussein6992 2 жыл бұрын
Wa kwanza leo mimina like 👍japo 10 tu
@gaspermadumla
@gaspermadumla 2 жыл бұрын
Duh huyu power wa kitambo. Ni noma dah,hajachuja mpaka Leo. Namkumbuka sana
@veronicapascal1485
@veronicapascal1485 2 жыл бұрын
Hanakipaji sana huyu baba nakuombea mungu hakufurie rizki kwa jina ra yessu
@manyakuulaompondelo4419
@manyakuulaompondelo4419 2 жыл бұрын
Hanakipaji???? hakufurie????? Hizo "h" umeziweka za nini?
@benedictbenn2632
@benedictbenn2632 Жыл бұрын
Amina
@BigfarryG77
@BigfarryG77 2 жыл бұрын
Wa tano leo like zangu naomba 😄😄
@Swahili14
@Swahili14 2 жыл бұрын
Likes zitakusaidia nn😭
@BigfarryG77
@BigfarryG77 2 жыл бұрын
@@Swahili14 we huwa zinakusaidia nini kwani
@evanccast6228
@evanccast6228 2 жыл бұрын
Power nyati daa hatari sana uyu jamaaa
@manasadunia3458
@manasadunia3458 2 жыл бұрын
Sawa nyati supa kibongeeeeee🔥🔥🔥🔥
@getrudezebedayo1394
@getrudezebedayo1394 2 жыл бұрын
Basi na Mimi wa 8 kukomenti huenda Kuna hela mnapata mnao wahi kukomenti
@credo7837
@credo7837 2 жыл бұрын
🤣🤣ujinga na utoto unawasumbua
@thelightkwambaoselfhelpgro1640
@thelightkwambaoselfhelpgro1640 2 жыл бұрын
Hastings Otieno Otieno is 🔥🔥🔥🔥🔥future and beyond
@kuzimaster3399
@kuzimaster3399 2 жыл бұрын
mzee wangu Power nyaty kaz mzuli
@manp.....7694
@manp.....7694 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 zembwela damu damu. Unanifurahishaga sanaaaaaaaaaaaa. From Russia..
@simulizitanzania2571
@simulizitanzania2571 2 жыл бұрын
Background truck iwe yenye sauti ya chini...mnapambanisha masikio yetu
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 2 жыл бұрын
Sijaona maajabu yoyote
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 5 ай бұрын
Sawa ila sifikirii Kama ww ungeweza kuvumilia. Nyundo ya tumbo
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Umtafute na power mabula kama bado yupo, alitikisa sana Arusha.
@fredialfredi202
@fredialfredi202 2 жыл бұрын
Ata kwetu alikuja
@blackpanther4825
@blackpanther4825 2 жыл бұрын
Aisee duuh wapo wa hivi hata Ulaya. Nimewahi kuwaona. Ni kipaji Mungu anawajaalia
@amani1316
@amani1316 2 жыл бұрын
Mazoez jesh la tanzania limchukue jamaan yuko vizur atumiii uchaw wLa nn nimazoez nauwezo allah kampaa
@athumanindyema2302
@athumanindyema2302 2 жыл бұрын
Ata hivyo uyo alikua mwanajesh sasa sijui kam alishastaaf au kam bado anaendelea at hivyo uyo ni mtu mzima
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 2 жыл бұрын
Ata mzee wangu alikuaga power
@fredialfredi202
@fredialfredi202 2 жыл бұрын
Alikua anaitwa pawa nani?
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 2 жыл бұрын
Tz kuna vituko jamani mashallah Allah akuzidishiye nguvu kweli
@lukabekatundu8136
@lukabekatundu8136 2 жыл бұрын
Mimi nimeanza 2002 mpaka leo
@kuzimaster3399
@kuzimaster3399 2 жыл бұрын
zembwela mwenyewe anashangaa alivyo sikiaa piga nyundooo😂😂😂😂😂😂
@youronlinetv1936
@youronlinetv1936 2 жыл бұрын
Nyie wanga, Pawa Nyati Mwanga na una ilizi😂😂😂🤣
@frankmkude6208
@frankmkude6208 2 жыл бұрын
Aende kwenye mieleka hiyo hela mbona nzuri tu
@abdimtangi3382
@abdimtangi3382 2 жыл бұрын
Mamae,hatari
@daudcharles9823
@daudcharles9823 2 жыл бұрын
Power mwanza enz hizo
@mhandodanny4256
@mhandodanny4256 2 жыл бұрын
Hiyo ya gari kupita juu ya mkono ni hatari acheni tairi inaweza akitereza ikapita kichwani!
@amanirazalo4338
@amanirazalo4338 2 жыл бұрын
Good huyu acheze move na bavo
@rahmakhassan2573
@rahmakhassan2573 2 жыл бұрын
Power nyati supper kibonge😁😁😁😁😁
@saidseif1860
@saidseif1860 2 жыл бұрын
Duh nomaaa sanaa
@ebetoatv
@ebetoatv 2 жыл бұрын
Nipo wa tatu like 👍
@humphreyfungo7669
@humphreyfungo7669 2 жыл бұрын
Toenii hicho kimziki kwenye kwenye background kinakera. Tunataka kusikiliza kwa utulivu bila kelele.
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 2 жыл бұрын
Oya acha ushamba mbona sisi wote tuna sikia vizur tuu nahuu music unao lia ndo unao nogesha yani
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 2 жыл бұрын
Kbsa
@marwamarwa6836
@marwamarwa6836 2 жыл бұрын
Unajua maana ya uswahili au unalopoka tuu na unaujua huo mziki vizuri kama kwa kutulia mtoto, wa kishua
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Achaa stress
@joycewanjiru4160
@joycewanjiru4160 2 жыл бұрын
Angekua kamau ningeamini ...lakini mambo ya mombasani hapana
@vimondocomedian946
@vimondocomedian946 2 жыл бұрын
Io nyundo ya kichwa imekoleaa😃😃
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 жыл бұрын
Kweli zamani nilisikia yupo Baba mwingine alikuwa mwanza sio uchawi ni mazoezi
@nimrodmareges3131
@nimrodmareges3131 2 жыл бұрын
Alikuwa anaitwa Power Mwanza
@sharonyclement9457
@sharonyclement9457 2 жыл бұрын
Safi kaka zambwera una tupatia vitu adhimu
@ARAFATVSHOW
@ARAFATVSHOW 2 жыл бұрын
Manshallah ❤️
@hujjatulasrsocietyoftanzan8420
@hujjatulasrsocietyoftanzan8420 2 жыл бұрын
Linapenda misifa
@saidmadizi9152
@saidmadizi9152 2 жыл бұрын
Cje akafanywa kma yule jamaa wa kuchezea nyoka
@juliusmujungu9043
@juliusmujungu9043 2 жыл бұрын
Pindi la Wana limerudi🔥🔥🔥
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 2 жыл бұрын
Kwel apo kwenye chakula ndio nimekubali sasa vijana wa sasa ivi wanakula chips mayai huwezi kuwa na nguvu.
@enickosanga4921
@enickosanga4921 2 жыл бұрын
Kitambo sana nilijuaga ni mwanajeshi kumbe sio
@salumuseif3324
@salumuseif3324 2 жыл бұрын
Hahahahahaha ndimu umenchekesha unavyoshangaaaa
@saidimbinga6543
@saidimbinga6543 2 жыл бұрын
Pawa mkono unamuuma anataman kulia ngoja aludi kwake atalia Sana uyooo
@bernaberna4159
@bernaberna4159 2 жыл бұрын
😂😂😂😂Kama kweli
@potyaganonlinetv4774
@potyaganonlinetv4774 2 жыл бұрын
Maasha Allah
@williamibrahim2823
@williamibrahim2823 2 жыл бұрын
Hizi ndio mbegu zinazotakiwa
@uvuvweweonyetenyevwe1348
@uvuvweweonyetenyevwe1348 2 жыл бұрын
Noma sana
@kondoatown8765
@kondoatown8765 2 жыл бұрын
Mapawa mabula weshaanza kurudi tena Watoto wa 2000 hawawajui hawa watu PAWA MABULA
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 2 жыл бұрын
Power mwanza usimsahau
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Kabisa aisee
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 жыл бұрын
🤣🤣
@ellyitete938
@ellyitete938 2 жыл бұрын
Pawer mabula alibadil kuwa mchungaji
@dijahmriri523
@dijahmriri523 Жыл бұрын
Naomba jina ya wimbo plz Kwa anayejua
@saidybhokey5744
@saidybhokey5744 2 жыл бұрын
huyu jamaa kipaji kutoka kwa mungu akuzidishi baba yetu
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 2 жыл бұрын
Kwa haraka haraka hapo kuna uchawi unatumika, Hakuna cha mazoezi wewe, Siengeenda jeshi?
@kinggtz7422
@kinggtz7422 2 жыл бұрын
Dah TANZANIA
@johnbernad3990
@johnbernad3990 2 жыл бұрын
We zembwela hasa ni muhuni et mgonge mgongoni 🤣🤣
@timelessdaddy.2542
@timelessdaddy.2542 2 жыл бұрын
Uyu Mzee ila anasura za kichawi Sana adi siez mwamini..
@janetdaniely7945
@janetdaniely7945 2 жыл бұрын
Duuh atr 🔥😍😍😍💯
@meshacksamson1008
@meshacksamson1008 2 жыл бұрын
17:55 sasa mbona kam kuna kitu anakisikia iv😁, Usisikie maumivu we nan😁
@johnbernad3990
@johnbernad3990 2 жыл бұрын
Aloo we jamaa unajua kuchunguza 🤣🤣
@kabeyaselemani3699
@kabeyaselemani3699 2 жыл бұрын
Zembwera hivyo viatu noma 😂😂😂
@fujowaya2315
@fujowaya2315 2 жыл бұрын
Kuna Mzee anaitwa kabayee anafujo balaa
@masoromashauri1256
@masoromashauri1256 2 жыл бұрын
Jamaa ameumia sema kajikaza🙈🙈
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 жыл бұрын
Power Nyati
@dicksonmagari8803
@dicksonmagari8803 2 жыл бұрын
Power ngeta super kibonge alikua kiboko
@masala8099
@masala8099 2 жыл бұрын
Asante mhenga mwenzangu
@waziriomar1414
@waziriomar1414 2 жыл бұрын
Ila mzee ananguvu Sana lkn mwili unanyama uzembe za kutosha kitambi
@wizzleOfficialMusic
@wizzleOfficialMusic 2 жыл бұрын
Nikajua atpita na gari kifuani bana tuone utumbo nje😃
@changanataliforlife3760
@changanataliforlife3760 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 жыл бұрын
Nimewaona sana pawa mabula kitambo sana
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 2 жыл бұрын
Aje huku tujaribu kumpitia na tairi la nyuma la trekta tuone itakuaje.
@waziriomar1414
@waziriomar1414 2 жыл бұрын
😂😂 utauwa
@magrethelias6712
@magrethelias6712 2 жыл бұрын
Aaaaaaaaah ayo mambo kweli au duuuuh😲😲😲
@JamalJamal-vd9sf
@JamalJamal-vd9sf 2 жыл бұрын
Mashallah
@yusuphuessau9443
@yusuphuessau9443 Жыл бұрын
Jamaa nihari
@ellyitete938
@ellyitete938 2 жыл бұрын
Mziki ni kelele ty
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 2 жыл бұрын
Nyat mbona kama mkono unauma Ivi? Yaani umekunja sura!???😝😝
@bakarirajabu2521
@bakarirajabu2521 2 жыл бұрын
jamaa kaaumia huyoo
@davianjosephjoseph3121
@davianjosephjoseph3121 2 жыл бұрын
Pawaaaa nyatiii
@febloniashayo9099
@febloniashayo9099 2 жыл бұрын
Ndo nimeamini mwanamke ni kiumbe hatari yaan anambeba huyo jamaa bila shida
@Lizzah_Media
@Lizzah_Media 2 жыл бұрын
Mbona anaonekana kachoka hata kuinuka kwa shida
@abedysteven4930
@abedysteven4930 2 жыл бұрын
Kimeumia! Hicho kijamaa
@bernaberna4159
@bernaberna4159 2 жыл бұрын
😂😂😂😂Jmn
@assab3167
@assab3167 2 жыл бұрын
Uko vizuri
@Johnjoo196
@Johnjoo196 2 жыл бұрын
Nimekutafuta sana
@JustArkon
@JustArkon 2 жыл бұрын
Hastings Otieno Otieno is future and beyond
@ummyhasheem2245
@ummyhasheem2245 2 жыл бұрын
Apana aiseeee
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 2 жыл бұрын
Duuh atari hii mbona mmmmm
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 2 жыл бұрын
Kwa umri wake na anachofanya Hakuna uhalisia, kuna Kitu nyuma
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 2 жыл бұрын
Seeing is believing, una taka nn tena? Don't believe in age believe in energy
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 2 жыл бұрын
Mmmmh nyatiiii
@barikilosivolosivo8558
@barikilosivolosivo8558 2 жыл бұрын
Duu moto sana💪💪💪💪
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Sio uchawi nikipaji
@sonrose8318
@sonrose8318 2 жыл бұрын
siku unabidi uonyeshe live akila ugari kg 3 na nyama kg 3 tuone kweliii
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 2 жыл бұрын
Wanakula kweli
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 2 жыл бұрын
Pawanyati ni mlemavu wamguu? Mbona hujaulizaa swali hilo BABU
@ramadhanmusa2878
@ramadhanmusa2878 2 жыл бұрын
Mzee chizi uyu😂😂
@joshuamichael338
@joshuamichael338 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@mbwanakonk453
@mbwanakonk453 2 жыл бұрын
Unga kilo 3 nyama kilo 3 kilo 6 tumbon nakubali power buffaro
@aginessmgaza9899
@aginessmgaza9899 2 жыл бұрын
Duh
@zaburi2386
@zaburi2386 2 жыл бұрын
Mjomba kuna cku watanyunda kichwa icho
@alanalexanderntuule6262
@alanalexanderntuule6262 2 жыл бұрын
Hahahahah🤣🤣
@leedsoldat4189
@leedsoldat4189 2 жыл бұрын
Ana umr gn
@shkjumaa8339
@shkjumaa8339 2 жыл бұрын
mbona kama kaumia ukimchek vzuri uson
@mzhsk1386
@mzhsk1386 2 жыл бұрын
huyu jamaa ananguvu mashallah
@jamesmgimba7403
@jamesmgimba7403 2 жыл бұрын
Uyu wa forester hana hata huruma
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 жыл бұрын
power Nyati super kibonge?
@mahamudmhawi2731
@mahamudmhawi2731 2 жыл бұрын
Inakuajee akienda kutembelea ndugu sasa
@veronicasofia3486
@veronicasofia3486 2 жыл бұрын
amaa ameumia sema kajikaza🙈🙈
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 2 жыл бұрын
HAHHA
@modazen7178
@modazen7178 2 жыл бұрын
Zambwela utapata Kes ya mauji ya kukusudia
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 2 жыл бұрын
Lakini hii ni hatar kwa afya....?
@joshuason557
@joshuason557 2 жыл бұрын
Swali kubawa ni analiza muda gani kitandani ?! 4 hours 🙆🤔🤔 Bibi yake anashida kubawa Sana 🤷
@mc_mrope
@mc_mrope 2 жыл бұрын
Duuh ni hatari
Can You Find Hulk's True Love? Real vs Fake Girlfriend Challenge | Roblox 3D
00:24
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 20 МЛН
Из какого города смотришь? 😃
00:34
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,6 МЛН
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 33 МЛН
Can You Find Hulk's True Love? Real vs Fake Girlfriend Challenge | Roblox 3D
00:24