MSWAHILI:MKASA WA AJABU MAGOMENI MWEMBECHAI,JINI LAMUUA BINADAMU CHANZO KIKIWA SHILINGI 6000/=

  Рет қаралды 92,884

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 201
@allyseif5115
@allyseif5115 3 жыл бұрын
Namjua mm huyo dogo alikuwa dereva wangu wa bodaboda kijana mmoja muaminifu sana mungu amlaze mahali pema
@ireneassey753
@ireneassey753 3 жыл бұрын
Mungu akiwa upande wetu naamini hata shetan atakaa mbali nas
@OfficialA83640
@OfficialA83640 3 жыл бұрын
Nimeshare hii kwa wakaka wengi ili waache kuwa na tamaa wakiona vyaelea tu maana ni mkasa mzito na unahuzunisha hd machozi yamenitoka Subhannallah Mungu amrehem marehem 😢😢
@thabitiykitwana1271
@thabitiykitwana1271 3 жыл бұрын
Jmni msidharau inaweze ikawa kweli. Majini yanauwezo kubadilika katika maumbo tofauti.
@nyokaroadtv5828
@nyokaroadtv5828 3 жыл бұрын
Aswaaaaa
@welcometoeat165
@welcometoeat165 3 жыл бұрын
We acha tu my love baby!
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 3 жыл бұрын
We umejuaje au unaskia story tu...?
@salim02tv24
@salim02tv24 3 жыл бұрын
@@liciouscharles3370 ata din zet zimekil kwamba majin yapo na tunaish nayo apa dunian
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Duuu Allah atuepushe na madhira ya dunia
@abumoyo5341
@abumoyo5341 3 жыл бұрын
Daaah inaumaa sana Mungu amstiri marehemuu
@ibraton4071
@ibraton4071 3 жыл бұрын
hajafa jini kasepa nae
@Kokafamil
@Kokafamil 3 жыл бұрын
Hello from turkey 🇹🇷 Dah hapo kwa mpemba nime miss hizo chips na kuku hapo karibu na zimbabwe bar 😋😋😋😋mtaan kwangu
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 жыл бұрын
Nikaribishe jirani
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 3 жыл бұрын
Stori nzuri Ila mnakulaje wakati sisitunasikiliza story mngekula kwanza Mimi sijapenda
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 3 жыл бұрын
Mtangazaji hana utulivu. Anaharibu kabisa maana ya kipindi
@nambiemasinde8825
@nambiemasinde8825 3 жыл бұрын
Nashangaa.. sio tabia nzuri. Wangekula alafu waendelee na story.
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 2 жыл бұрын
Zembwela anazingua 😀😀
@abdallahabdallahmagonga3475
@abdallahabdallahmagonga3475 2 жыл бұрын
Hii kipindi kinaitwa uswahili na huo ndo uswahili wenyewe big up zembwela
@videozaaj1069
@videozaaj1069 3 жыл бұрын
Huyo kiumbe jamaa alikutana naye huko baharini,na akatamani kumfuatilia kutokea huko baharini,ukweli ni kwamba huyo jini alkuwa ana mission na huyo jamaa hiyo mission ndo hatuijui sasa!..
@paulokiwango21
@paulokiwango21 2 жыл бұрын
KATIKA MIKASA YOTE ULIYOTOA.HII NDIO ILIYONSISIMUA NA KUNFUNZA ZAIDI..GONGA LIKE KWA ULIYENIELEWA.
@mohahassan5687
@mohahassan5687 3 жыл бұрын
Zembwela pole pole na msosi, maana mada hii ya Leo moto sana.
@lulually5209
@lulually5209 2 жыл бұрын
Marehemu alikuwa anasali nn kamuendea kinyume na maumbile hapo hapo kanogewa akataka tena ikashindikana mwisho wa mchezo anaambiwa atoe ankara kabisha kutoa na maneno ya kashfa unategemea jini km jini atachukua maamuzi gani zaidi ya kukudedisha akiangalia tayari keshadhalilika kwa mwanaadamu yalotokea ndio hayo kikubwa ni kumuombea dua marehemu m,mungu amsameh alipoteleza basi hakuna chengine
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 жыл бұрын
Inamaana huyo jini alikua na tako zuri,marehemu alifinyiwa kwa ndani😂😂
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 3 жыл бұрын
Innalilah waina lillah rajiuon
@jumaselemani2720
@jumaselemani2720 3 жыл бұрын
Daah jamaa anasimulia vizuri sana
@achufela9414
@achufela9414 3 жыл бұрын
Co mchezo...safi sana mkuu kipindi kizuriii
@abdirahmansheikh1089
@abdirahmansheikh1089 3 жыл бұрын
Story nzuri lkn kwa ufupi kuwa mstaarabu maana nikama hauna. Shukran
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
Daa' inatisha sana' poleni familia
@ghanimaali4507
@ghanimaali4507 3 жыл бұрын
innalilahi wainna ilahii rajiuna
@videozaaj1069
@videozaaj1069 3 жыл бұрын
Vijana tuache tamaa za ajabu ajabu jamani dah😢😢😢😢
@code_rapper6317
@code_rapper6317 3 жыл бұрын
NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA UKASIKILIZE WIMBO WANGU UITWAO WEKA KAMA HAUTOJALI NAOMBA MUDA WAKO🙏🙏🙏🙏🙏 NAOMBA
@moricemorice75
@moricemorice75 3 жыл бұрын
Wanangu ee hii story inafundisha sana yani Dr Jana mwenyew nimekutana na dem Kam ivo. Nikaanz pilik kumbe sio poa ee dr nimefundishika
@lastbornsaadah7632
@lastbornsaadah7632 2 жыл бұрын
Jamani nimekaa magomeni kweli kuanzia kagera adi mwembe chai jini tena wakike kitambo luti yake maeneo hayo...jifunzeni vijana sio kila king'aacho ni dhahabu...pia unaweza kumpeleka geto baada ya kumla mzigo badala yk ukaliwa ww
@jaharaoman6478
@jaharaoman6478 3 жыл бұрын
Babu unafanya kazi nzr sana big up
@maulidirajabu5331
@maulidirajabu5331 3 жыл бұрын
Hii move kali mno ukipatà mtu akakuhadisia kwa nukta unaweza lia
@josephmanyama9012
@josephmanyama9012 3 жыл бұрын
Napajua hapo nishakaaaa hapo sana pembeni yake ku bar inaitwa Zimbabwe bar
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 3 жыл бұрын
Kweli mnaboa zembwela maneno yanakutoka huku unatafuna tafuna! Sio ustaarabu..
@361NEWS
@361NEWS 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣tulia uko
@mcdanta6919
@mcdanta6919 3 жыл бұрын
Mshikaji Nina wasi wasi jini ndio kamchukua ila hajafa bado
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 3 жыл бұрын
Kuku mtamu unasahau sana Mike 🤣🤣🤣🤣
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 3 жыл бұрын
Zembwela acha ubishi mtu akifa maji kawaida huwa anaelewa but km kuchukuliwa na chunusi huwa ananyonwa damu kisha hutelekezwa kati kati ya miamba
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 3 жыл бұрын
Nice babu zebwela kisa chaajabu kweli
@meddyzambetakis
@meddyzambetakis 3 жыл бұрын
Hili paja la kuku kweli?! Mbona dogo!🤣🤣🤣
@felixtvtz4600
@felixtvtz4600 2 жыл бұрын
Inasikitisha sana
@Kabeya410
@Kabeya410 3 жыл бұрын
Tatizo zembwela huwezi kula hiki unaongea siku nyingine kula kwanza baadae uongee hapo story haiendi mtapaliwa vyakula
@kubulizuberikubulizuberihu5896
@kubulizuberikubulizuberihu5896 3 жыл бұрын
Chakula kina heshima yake kwanini usimalize kula ndio uendelee na chakula
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 3 жыл бұрын
Story nzuri ila kutafuna tafuna huku mnaongea ndio imekuwa bonge la kasoro.
@hashimlowela294
@hashimlowela294 3 жыл бұрын
🤔uyo dada wamoto ukiangalia sana hapo kuna namna ipo
@arngemer
@arngemer 3 жыл бұрын
Hiyo inaitwa rip current, ni hatari sana. Unaogelea kwenda mbele ila inazidi kukupeleka mbali zaidi ya ufukwe.
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 жыл бұрын
Ilekuwa rahisi kuelekea kule mkondo (current) inapoelekea ingukuwa rahisi, na wasinge choka ila wangekuwa wanakwenda mbali na fukwe. Ajali Imepangwa Na M, Mungu ishatokea.
@yahyasaloummvyongo3536
@yahyasaloummvyongo3536 2 жыл бұрын
Mmmmmh kifo ni Cha mungu Allah ampefanyie wepesi natukumbukee MAJINN pia WAPO na hakuna haja ya kuendelea kumfuatili MAADAMUU yalishapitaa
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 3 жыл бұрын
watu wana mlaumu marehemu kuwa alikuwa malaya,, lakini kama umesikiliza kwa makini utagundua kuwa yule jini,, ndo alikuwa wakwanza kusema twende huko unako kwenda ww,, yaani baada ya kumkosa dada yake basi akaona bora tu akaliwe mzigo na jamaa,, hivyo yule jini ndo alimtega jamaa kwa kusudi kabisaa na huenda hata hakuwa na ndugu wala nn apo,, alikuwa tu ana mawindo yake apo,, maana hao viumbe vyakula vyao ni mifupa na damu,, akaamua kupita na ndugu yetu,, na huko baharini ni yy ndo alimvutia huko ili amalize kazi yake kirahisi
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 жыл бұрын
Na Jambo la Kushangaza (au la kuzingatia) ingawa linaonekana dogo, ni Kwamba kwanini Bwana harusi tu pekee, (wa harusi ya kule beach) ndie alieona kwanza, je ni dalili gani ? ni kitendawili hicho. bwana harusi na bibi harusi hapo wana yatenda yapendwayo na dini zote, tafauti na yalio letea kifo hicho ( Tunavyoamini ). Inawezekana ni ajali tu hata hivyo. Tupo kwenye kipindi cha MSWAHILI tusisahau. Nategemea Nimeeleweka. Kama hukunielewa niulize tena,, kama umenifaham hamna MBUNGI.
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 3 жыл бұрын
@@bilalbaker9238 sija kuelewa bado
@kasiniapotatoes9804
@kasiniapotatoes9804 2 жыл бұрын
Rama ali shindwa mtihani kivyovyote vile kosa ni la Rama wajina wangu
@lulually5209
@lulually5209 2 жыл бұрын
Marehemu angekubali matakwa ya jini damu angenyonywa mwengine lkn alivyomkatalia ndio akaamua kumsulubu all in all kikubwa dua
@fahadykajugus
@fahadykajugus 2 жыл бұрын
Sembwela njoo kwa aziziali Kuna story moja noma
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Jamani ni story ya kusikitisha saana bt kile najuwa kuna mtu behind this story angejuwa angetoka tu hapo akaenda msikitini wakamuombea dua vijana tujihadhari jamani.
@hamiibreezy2000
@hamiibreezy2000 3 жыл бұрын
Ni noma Sana....🥺🥺
@mussamlewa2178
@mussamlewa2178 3 жыл бұрын
I miss my street
@fahadykajugus
@fahadykajugus 2 жыл бұрын
Daah Dogo Rama namjua hiyo story nikweli daah
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 жыл бұрын
Jaman😭😭😭😭😭😭poleni
@faridyshaame4705
@faridyshaame4705 3 жыл бұрын
Mm nna rafiki yangu kabsa alikutana nae ila zake za kuishi bado zipo
@fhfbfcvcgfggf6844
@fhfbfcvcgfggf6844 3 жыл бұрын
Oya babu unakula Sana brow🤣
@kikumbivunge7976
@kikumbivunge7976 2 жыл бұрын
Uyoo jamaa ajafa anaishi ujinini mpaka mda huu na uyoo Dada a namjua uyo mchizi na alichokifanya uyo jini kazamilia na uyo jini alimpenda Ramadhani
@esterderiki6505
@esterderiki6505 3 жыл бұрын
Kwani angempa iyo elfu 6 angepungukiwa nini mjifunze
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 жыл бұрын
Utelezi noma huenda alikua na mauno akamfinyia kwa ndani
@edwardongori7734
@edwardongori7734 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭pole na ni funzo kwetu.
@shamimucollectiondubai9727
@shamimucollectiondubai9727 3 жыл бұрын
nenda mbagala kizuiani mitaa ya kwanyoka street
@hamzamoshi8275
@hamzamoshi8275 3 жыл бұрын
Alivyokufa tu namaelezo yauyo jamaa aliyejalibu kumuokoa,, uyo kafa kwakuzidiwa na maji tu sio jini
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 жыл бұрын
May be.
@spaice995
@spaice995 3 жыл бұрын
Nazani hofu ndo imemuua jamani tuache kusikiliza waganga hawa tutakufa na presha maskini nazani aliwaza kuhusu jini 😞poleni sana
@japhetadelard9465
@japhetadelard9465 3 жыл бұрын
Kabisa hiyo ni hofu hakuna jini hapo
@welcometoeat165
@welcometoeat165 3 жыл бұрын
Kwakwel nyie halijawakuta ni lazma mseme hivyo! Msicheze na majini
@spaice995
@spaice995 3 жыл бұрын
@@welcometoeat165 we imekukuta? Washasema hakuwa mjuzi wa kuogelea so kama haujawahi kupata panic ndan ya maji usijafanye mjuaji pia.
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 3 жыл бұрын
Na barua je
@spaice995
@spaice995 3 жыл бұрын
@@mariamramadhani3860 wanawake unatujua kwa vitisho 🤣tunaweza andika chochote kile
@mwantumkombo172
@mwantumkombo172 3 жыл бұрын
Funzo Ilo ...Umalaya mwengine ata haufai
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 жыл бұрын
Akunacha umala wala nini jini akikutaka atakupata tu uwe malaya usiwe malaya
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@urueuudududu5760
@urueuudududu5760 3 жыл бұрын
Mm Niko tofauti na nyinyi , mm nahsi hyo demu ni mchawi, alafu twende mbele turudi nyuma , hyo ni uhuni ndio ila Kila jambo Lina makusudi
@salmaabdulabdul5200
@salmaabdulabdul5200 3 жыл бұрын
Tumejifunza kitu tusipende jamani mbuzi kufia kwa muuza supu
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@361NEWS
@361NEWS 2 жыл бұрын
Dah
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Ni hatariiii
@lulually5209
@lulually5209 2 жыл бұрын
Mmmh zembwela anatia ndani sahani ya pili sio poa halafu huku anaongea amesahau km yupo kwenye kipindi
@habimanayasin4223
@habimanayasin4223 3 жыл бұрын
Unaonaaaa bwanaaa ...
@IbrahimMohamed-yy2il
@IbrahimMohamed-yy2il 3 жыл бұрын
Long story short ubahili umemponza.
@hadijahaji9712
@hadijahaji9712 3 жыл бұрын
Due!ilikuwa mwakajuI kamasikosea 2019 du!
@salmaoman9160
@salmaoman9160 3 жыл бұрын
Daaah adinimeogopa
@hannanommy302
@hannanommy302 3 жыл бұрын
Kaa jamani sasa mnaongelea makaburini?kwanini msiheshimu hao watu walolala?Innalillah lillah wainna illah Rajiun Baki Allah, Allah ampe kaul thabity
@salim02tv24
@salim02tv24 3 жыл бұрын
Kwan ni dhambii ?
@jacksonkendavis8689
@jacksonkendavis8689 2 жыл бұрын
...ITAENDELEA LINI WAKUU... MIEZI 9 SASA!!
@swalehesalim9630
@swalehesalim9630 3 жыл бұрын
Unasahau kula kakaa😀😀😀
@GozbethUrassa-lh7wc
@GozbethUrassa-lh7wc Жыл бұрын
Ayo Mambo yapo
@godloveemanuel7785
@godloveemanuel7785 3 жыл бұрын
Duh noma sana
@urueuudududu5760
@urueuudududu5760 3 жыл бұрын
Hakuna jini hapo kafa Kwa Ajali ya maji tu , demu alikuwa kazini, maana majini hayana shida na pesa jamani, kama demu alikuwa mchawi hapo kidgo naweza amini
@duniayakijani7868
@duniayakijani7868 3 жыл бұрын
Endelea hivyo hivyo kubisha
@salim02tv24
@salim02tv24 3 жыл бұрын
Majin utafta xababu ... Unawezaa ataa ukamwaga maji ovyo na ukamkela na kukudhul maana tunaish nao wengine atuwaonii ..
@josephmuchiri3180
@josephmuchiri3180 3 жыл бұрын
Daaa?sura ya zembwela nzuli☺☺☺☺
@likimaro6
@likimaro6 3 жыл бұрын
Mtafute umpe kinyeo
@josephmuchiri3180
@josephmuchiri3180 3 жыл бұрын
@@likimaro6 kuma la mama yako goli ta uwanja wa Mkapa
@eboumg7061
@eboumg7061 3 жыл бұрын
🤣🤣
@josephmuchiri3180
@josephmuchiri3180 3 жыл бұрын
@@eboumg7061 😊😊😊
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 2 жыл бұрын
Pga vitu zembwela mwili haujengwi Kwa tofal
@wasalimie11
@wasalimie11 3 жыл бұрын
hivyo unavyokula unachafua roho kua ns heshima
@godfreywilliam9673
@godfreywilliam9673 3 жыл бұрын
Hiii ndiyo maana ya mswahili
@saiyydashapi5994
@saiyydashapi5994 3 жыл бұрын
So ule kwanza halafu ndiyo usimuliye kiss.mbona ai u ndogo ndogo.
@irenewile
@irenewile 3 жыл бұрын
Sauti jamani mbona ndogo
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 жыл бұрын
duu 😢😢inauma sana
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
Dotto nakutafuta sana
@hassankarama3412
@hassankarama3412 2 жыл бұрын
Barua yenyewe ikowapi
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 3 жыл бұрын
Tumejifunza kitu…hasa sisi wanaume .. hiyo mbuzi kufia kwa muuza supu
@361NEWS
@361NEWS 2 жыл бұрын
Lipigwe mbungi😂😂😂😂😂
@arafamhina6041
@arafamhina6041 3 жыл бұрын
Cjapenda mlivyofika makaburin mngahadisia tu
@mbwanakonk453
@mbwanakonk453 3 жыл бұрын
Kuku mtam unasahau sana maik
@salminwamu2297
@salminwamu2297 2 жыл бұрын
Eti alikuwa ana swali swali
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Mtu Kafa Maji Polisi Tena Waje Kuchunguza
@thureyaalkindy9373
@thureyaalkindy9373 3 жыл бұрын
Story siiskii vzr kwakutamn hao kuku
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
😂😂
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 3 жыл бұрын
Zembela ujanawa mikono
@himoda7647
@himoda7647 2 жыл бұрын
Babu zembwela hizo chips umekula mwenyew uyo anaongea
@swalhaahmed1041
@swalhaahmed1041 2 жыл бұрын
Huyujamaa kaniboesha Anakulakula wakati wakazi bwana siovzuri tabia mbaya
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 3 жыл бұрын
Mtqongeaje huku mnakula sasa
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 3 жыл бұрын
zembwela hiki kipindi usifanyie mjini njoo huku vijijini uje uone mambo yanavyofanywa hapa duniani nitakutafuta kwenye isngram yako nikupe mambo wee acha tu
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 3 жыл бұрын
Mtafute
@TeamKRX
@TeamKRX 3 жыл бұрын
Ebu mtafuta tupate kujua Ya Dunia
@atuonukyemhema5653
@atuonukyemhema5653 3 жыл бұрын
Wanaume na nyinyi mmezidi kuokota okota
@fatmahchambo3131
@fatmahchambo3131 3 жыл бұрын
Dah kumbe kweli majini yapo 🤔
@AbuBakar-fu9ov
@AbuBakar-fu9ov 3 жыл бұрын
Mtakuja kula mic hazo habar unazungumza huku unakula
@Salhiya-hr7dy
@Salhiya-hr7dy 3 жыл бұрын
Htry wallah ndo muache kutongoza ovyo Allah atustir wallah
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 3 жыл бұрын
Wamezidi
@swdaalii6892
@swdaalii6892 3 жыл бұрын
Na nyie mliobaki muwe makini maana uyo jini na sister wake naye anataka boy friend
@sulexseif1531
@sulexseif1531 3 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 3 жыл бұрын
Daaa mambo ya Dunia hy jmn
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 жыл бұрын
Kiuswazi tunasema rama kafia vitani ila kiuhalisia uchunguzi hakuna ni kusadikika tu,ila nimesikia huyo jini alikua pisi nzuri tako tako,Rama alifinyiwa kwa ndani😂😂
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 3 жыл бұрын
Vijana punguzeni kuokota okota mnaichosha miili yenu na mnajitia matatizoni uzinzi unamadhara mengi msipende kuchezea wasichana mkiwa hamna malengo nao
@josephsilem7239
@josephsilem7239 3 жыл бұрын
Kuchezea au kuchezeana jamani mbona ss tu?
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 3 жыл бұрын
@@josephsilem7239 sababu WANAUME wamepewa MAMLAKA ya kuwa VIONGOZI wa wanawake
@urueuudududu5760
@urueuudududu5760 3 жыл бұрын
Point sana tubadilike ,jamani
@leahmureithi9978
@leahmureithi9978 3 жыл бұрын
tabia chafu ya kula chakula ukiongea
@zuhurakassu1427
@zuhurakassu1427 3 жыл бұрын
Uku unakula zembwele mnaboa bwana
@napster2558
@napster2558 3 жыл бұрын
Sth to learn
@jasonhatjuggling1858
@jasonhatjuggling1858 3 жыл бұрын
Mbungi lipigwetena 🤣🤣🤣
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 3 жыл бұрын
Kitaani kwetu hapo
@ruthmariki6462
@ruthmariki6462 3 жыл бұрын
Mmmh hatari😭😭😭
@maryamhassan7148
@maryamhassan7148 3 жыл бұрын
Duh
@sulexseif1531
@sulexseif1531 3 жыл бұрын
Ya Leo imenoga
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
KISA KASOMA NAE
10:57
Joti TV
Рет қаралды 323 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН