Wow👏👏👏 nimekumbuka enzi zile. nawapenda sana na kuwaombea Kila siku, Wana Michael Mungu azidi kuwatunza na kuwategemeza daima ktk yote myafanyayo nawapenda sanaaaaaaa.
@MT.MICHAELIMALAIKAMKUUNYAMIONG9 ай бұрын
🎉wimbo mazuri sana Mungu awabariki
@RebekaLutego25 күн бұрын
Mwenyezi munguu awabariki kazi nzuri wapendwaa
@dinnapius2 ай бұрын
jaman mtuz nyanza namukubal san😊
@bhokematiko3083 ай бұрын
Wimbo huu unanibariki mnooo❤ mamangu Beatrice Magesa unanibariki mnoo mamangu❤mfike mbali 🎉
@NoahKateiАй бұрын
Imenibamba
@ManenoGongo-fx8vq3 ай бұрын
Huu wimbo kiukwel unanifany niwe natamana nisitende maovu mungu anipe mwisho mwema
@reginaldhhayuma69074 ай бұрын
Florence Ernest Nyanza. Mtunzi mwenye nyimbo za kusalisha
@stellahmnema92799 ай бұрын
Woow huu wimbo umenifanya ninyenyekee san mbele za Muumba wangu...yan ni mzuriii jamn....Mungu awabariki sana.... Naiona huduma yenu inangara sana......utukufu kwa Mungu wetu.