MTUHUMIWA UBAKAJI AMTISHIA MWANDISHI WA HABARI, ADAI 'ATAMTAFUTA' | DAY 5

  Рет қаралды 30,452

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 190
@lazarokanga7446
@lazarokanga7446 20 күн бұрын
mimi sio muumini wa watu kufungwa jera, lakina ukiangalia kama hapo unaona vijana tunaendekeza uhuni zaidi na hawaogopi Anyway, GOD OVER EVERYTHING 🙏😢
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j 20 күн бұрын
Kweli wanajiamin
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 20 күн бұрын
​@@user-qh2bx5em6jKwasababu wanajua ypo mtu anaewalinda
@silivestatesha9262
@silivestatesha9262 20 күн бұрын
Kwanini usijiami sasa mbaya nimbayatu hakuna mbaya mzur
@lazarokanga7446
@lazarokanga7446 20 күн бұрын
@@silivestatesha9262 over confidence inaua brother inawezekana ndo hicho hicho kilisababisha kujiamini hadi kufanya vitendo kama hivo
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 20 күн бұрын
Kwa mwenye akili timamu hawez SEMA hvyo Mbele ya camera Na Mbele ya ma askari😢😢
@zachariamishai7258
@zachariamishai7258 20 күн бұрын
Heeeeee 😟 kumbe hawa jamaa inavyoonekana mnawatunza sanah huko sello😂 yaan mpk anapata nguvu za kunyosha kidole 😅😅 pumbav sana uyo kjana 😀
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 20 күн бұрын
😂😂😂😂
@Fgldesigns
@Fgldesigns 20 күн бұрын
Hao hawajaguswa hata kibao, yaanibkuna dalili ya kuachiwa ama kufungw kifungo kisicho zidi mwaka
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 20 күн бұрын
Mwandishi mfungulie kesi huyo kwa kukutishia wakati uko kwenye majukumu yako ya kazi.😊
@analisacecy
@analisacecy 20 күн бұрын
Halfu hana hata wasiwasi
@Alexismadimo
@Alexismadimo 20 күн бұрын
Itakuwa kaongea shiti ndo mana jamaa ka panic kila mtu ana hisia sio ukiwa mtuhumiwa ndo huna haki
@analisacecy
@analisacecy 20 күн бұрын
@@Alexismadimo itakuwa kwajili ya kuchuikuliwa video shit iyo kaongea mda gani na wamemuuona kwasababu mwanamke si wamezoea kuonea wanawake
@highskills5883
@highskills5883 20 күн бұрын
​@@Alexismadimo hata kama mbona wao walikuwa wanamtukana yule dada uku wanamfira sasa yy analeta kiburi wakati bado hajaingia jela 😂😂😂
@Alexismadimo
@Alexismadimo 20 күн бұрын
@@analisacecy feminist kumekucha
@shangazshangaz4222
@shangazshangaz4222 20 күн бұрын
Huyo alie mnyoshea mkonomwandishi namchukia sana ndio yule aliekua akimsokomeza ķojoleo lake mtoto wawa2 mpaka makoo yakamkaoka akaomba maji yakunywa waka mnyima akazidi2 kumkandamiza kwenye hilo kojoleolake tena mungu amlaani kabisa😢🙄😏
@user-yl2br2ts3i
@user-yl2br2ts3i 20 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-qp6lx9ql1q
@user-qp6lx9ql1q 20 күн бұрын
Kabla auja mtafta na ujampata raia tushakuwai
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 20 күн бұрын
😂😂😂😂
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 20 күн бұрын
Itakuwa keshajua hakuna kesi ya kuwasumbua
@user-pi8id7qb7c
@user-pi8id7qb7c 20 күн бұрын
Kwel maan xi kwakuxema vileeee
@ShivoKombo
@ShivoKombo 20 күн бұрын
Wanauakika wa kotoka Hao hadi amwambie nitakutafuta 😅😅😅😅
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 20 күн бұрын
Umesema kweli hii Tanzania ni nchi ya ajabu snaa
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 20 күн бұрын
Kabisaaaa umesema kweli mbwa hawa
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 20 күн бұрын
Daaaaa😢😢😢😢😢
@jovithakawimbe7472
@jovithakawimbe7472 20 күн бұрын
Walisha Data 😢
@momylaviel
@momylaviel 20 күн бұрын
Khaaaa mfungulie kesi huyoooo kakutishiaaa
@tynashao9200
@tynashao9200 20 күн бұрын
Kabsaaa 😢😢
@epielamu891
@epielamu891 20 күн бұрын
Ukweli aisee wanayo jeuriii
@FransisLaurenti
@FransisLaurenti 18 күн бұрын
Ndugu zangu naombeni muacheni matusi litawakuta lakuwakuta mutajilaumu sana ndugu zangu
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 20 күн бұрын
Uyo camera woman inaoneka ndio anawachukuaga vizuri kila siku 😅😅😅 pia hongera kwa jibu lake et " si utanioa bwana naww" 😂😂😂😂😂
@saidimgina8299
@saidimgina8299 20 күн бұрын
Mimi nashangaa sana ushahidi wa video upo tayari ite wanaleta mashahidi wengine kweli nimeamini sheria haina macho sheria kipofu
@user-dn8ok2io4l
@user-dn8ok2io4l 20 күн бұрын
Duuu nchi ngumu sana hii kaah yan ni mtuhumiwa bado anajiamin namna hiyo
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 20 күн бұрын
Hamkawii kuilaumu selikali bilakujua laia wenyewe ndio tunasababisha sasa kama huyu kijana anavyo Fanya
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 20 күн бұрын
​@@zaidiissa3714lazima tuilamu serekali maana anatishia aman wakati anajua serekali haimfanyi kitu uwe una makosa hasa hpo alafu bdo uwe na mikwala ww mwenyewe hupimi
@fadhilishaha8000
@fadhilishaha8000 20 күн бұрын
Hawa Askari nao kama wanaendesha kesi ya ugaidi vile mnawatesa vijana wa watu bure na kutumia mafuta ovyo.
@ShamsaMmero
@ShamsaMmero 20 күн бұрын
Yaan wamevaa na raba kbsa jmn khaa....na ujasiri wanao awajepewa kisago ao cha kueleweka
@daltonpaul5838
@daltonpaul5838 20 күн бұрын
Wakaishi kenya
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 20 күн бұрын
Kila cku wanabadil Nguo tu km wapo home kwann wasinyooshe vidole kwa dharau
@JackMsuya-j6q
@JackMsuya-j6q 20 күн бұрын
Huyooo mtotooo mtoto kautak xaxa saiv mnautaka nyinyi kwa nyampala 😂😂
@JeminAbraham-f1o
@JeminAbraham-f1o 20 күн бұрын
Jaman Kuna haki kweli .nchi hii ya Tanzania mtu ana nakosa lkn anajiamin ivyo .duYan watu awaogopi Sheria ..sijui miak ijayo itakuaje n vizazi vyetu..mama samia tizama hili wewe Muslim mzur n unajua maandiko ya mwenyezi mungu
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 20 күн бұрын
Dawa yake Iko jikoni, hapo ndiyo anaithibitisha Ujasiri wa Kikatili alionao.
@AminaOmary-sm4wl
@AminaOmary-sm4wl 20 күн бұрын
Kijeuri kama dunia ni ya baba yake hajui huu ni ulimwengu
@LizenMaker
@LizenMaker 20 күн бұрын
Binadamu tunajisahahu dada.
@AminaOmary-sm4wl
@AminaOmary-sm4wl 20 күн бұрын
@@LizenMaker kanajifanya uatawamdu Tanzania nzima na kimwili chake kama kinchiti
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 20 күн бұрын
UNATOMBWA WEWE TOKA TUKUFIRE NA SISI
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 20 күн бұрын
😂😂😂😂jmn
@user-oh8ig2cy9q
@user-oh8ig2cy9q 20 күн бұрын
Bado hawajaacha tabia mbaya
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j 20 күн бұрын
😂😂😂kweli
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 20 күн бұрын
😂😂
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 20 күн бұрын
Asante Mwandushi, uliye wapiga Picha, umwnifurahisha
@WakiliHaule
@WakiliHaule 20 күн бұрын
Aya mambo yakupelekana jeshini kindugu ndugu pasipo kufuata vigezo kisa tu ni mtoto wa baba mdogo..matokeo tunakwa na watumishi ovyo wa selekari ambao ni wabakaji na ambao wanaamini Tanzania ipo Kiwanjani kwao
@PeninaAdam
@PeninaAdam 20 күн бұрын
Watambaka pia ,Yan Hawa vijana wana uwakika watatoka watashinda mana afande wao ni mtu mkubwa
@Emily_Puijin
@Emily_Puijin 20 күн бұрын
Hao bado awaja shika jembe la Gerezan wakisha vikwa Karoti mbona watanyooka 2 na wataanza kunyoosha mikono juu sio kidole tena mbele
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 20 күн бұрын
Ila kujiamini😊😊😊
@AminaOmary-sm4wl
@AminaOmary-sm4wl 20 күн бұрын
Visomewe tu al badr vikings sana me naona hata ndugu wa huy binti wanachelewesha ingekuwa me ndugu yangu zaman washafukiwa na 40 ishapita ukinga hiu
@zaiogy5787
@zaiogy5787 20 күн бұрын
Katika comment zote hii nimeiyelewa yaan nasikia uchungu Kama nazaa ingekua Mimi saaizi washasahaulika mda Sana alilbadir moja tu
@jacksonndomba9770
@jacksonndomba9770 19 күн бұрын
nimesikia kama askali anawaambia wafungwa msijali 😮 nimerudia kama mara tatu
@bakaryCMD
@bakaryCMD 20 күн бұрын
Hiko kidole akamuonyeshee mama yake mbwa huyo
@FransisLaurenti
@FransisLaurenti 18 күн бұрын
Ndiyo awo jama
@user-tm7xt3xd7x
@user-tm7xt3xd7x 20 күн бұрын
simumuachie kwa laia apoyupo mkono salama ndoma mkimuacha kwa raia atoboi siku
@victoriapatrick9840
@victoriapatrick9840 20 күн бұрын
Ivi ilo basi lina viti? Mbona kama wamekaa chini awaonekani, au ndo watachafua siti😃 eti takutafuta kijana wa ovyo kabisa.
@muzneali4747
@muzneali4747 20 күн бұрын
HAPO ungemfungulia kesi ya kutishia MAISHA YAKO KENGE HUYO
@paullameck-r5j
@paullameck-r5j 20 күн бұрын
amedhihirisha moja kwa moja kuwa yeye nd muhusika
@othmanshahib1115
@othmanshahib1115 20 күн бұрын
Hao papa mnawapa ulinzi mkubwa wakati mna pingu za kuwanyuka na smg moja mnamalizi mafuta ya bule ningewatembeza kwa miguu mpaka jera nikiona kuna Helement za kukimbia navunja miguu yote naita mkokoteni hawafai kupakia kwenye Gari hao vibaka hao ni washamba tu azabu yao wahasiwe tu wawaachie
@HeriRamadhan-q7m
@HeriRamadhan-q7m 20 күн бұрын
Ingekuwa tuko korea hao ni kuchinjwa hadharani tena uwanja wa wataifa.
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 20 күн бұрын
Yan huyo aliemnyooshea mwandishi kidole mtt mlaini kabisa huyo akifika jela lazma awe mke wa mtu😂😂😂
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 20 күн бұрын
Mtoto mlain sana mm mwnyew nimeona uyo sisi huku kwetu chuga tuna mvunja mapak mishipa yaa😮
@user-vt3uq3xv3s
@user-vt3uq3xv3s 20 күн бұрын
Kamela mani kaziunayo dada
@HappyatHome-bn8wm
@HappyatHome-bn8wm 20 күн бұрын
mtuhumiwa ameingia mahabusu na kofia. hawa wanapata wapi hvyo vitu.. kama mkanda wallet simu kila kitu unakabidh pale mapokezi ya kiumeni
@maestro9618
@maestro9618 20 күн бұрын
Hapo nikiwa kama askar magereza nampiga bonge la banziiiiii
@josephjohn2114
@josephjohn2114 20 күн бұрын
Hii kesi nyingine. Mwandishi fungua kesi
@Tarent-o8f
@Tarent-o8f 20 күн бұрын
Apa amna kitu apa tunazugwa tu
@feisalomar-hr3hq
@feisalomar-hr3hq 20 күн бұрын
Shoga kweli huyu jamaa eti nakutamani Yani watuhumiwa eti wakati wabakaji na ushahid upo wazi Hawa ni wakuvunjwa tu shingo zao naona washatuzoea kua tanzania sisi nikunguru waoga
@EdwinJohn-vo8uf
@EdwinJohn-vo8uf 20 күн бұрын
Mwandishi mfungulie kesi uyo jamaa kwanza ni mshenzi alafu aoni ata haya
@FatmaF-p5k
@FatmaF-p5k 20 күн бұрын
Izoo nguoo za kubadilisha wanapataa wapiii 😢
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 20 күн бұрын
Tuna zugwa tu hawa dawa yao kuwaroga wanakuwa machizi ili familia zao zijutiwe wana jiamini mapaka wana sema tukitoka duh inaamaana wana uhakika wa kutoka sio duh kwel hii nchi bora niahame kenya
@AishaOmari95
@AishaOmari95 20 күн бұрын
Hao wakiachiwa nikudilinao ss wananchi tunawauwa mmojammoja
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 20 күн бұрын
Hapo washajua watatoka sio muda jamani Tanzania tutamkumbuka magufuli nchi hii ya ajabu polisi sio watu wakuwaamini wao ndo wanabaka na kulawiti halafu wanateteana TU tusiwaamini polisi nawakitoka tusipige kula kabisa
@subiramussa1428
@subiramussa1428 20 күн бұрын
Yani mi ndo ningekuwa nimenyooshewa kidole ningeenda kumzaba kofi kwanza msenge sana
@joachimjoseph239
@joachimjoseph239 19 күн бұрын
Kwan ukimwmbia mtu utamtafuta ..Ni kesi
@teller_julio
@teller_julio 20 күн бұрын
Khaaa ... Nime shangaa 😮😮😮
@zully756
@zully756 20 күн бұрын
Chakula ya nyapara
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 20 күн бұрын
Mimi nina wasi wasi tu hawa watatolewa saa yoyote waje kulipiza mtaani hebu ona kaanza na mwandishi je akifika mtaani si atakuwa tishio 😭😭😭
@irenlaurent9650
@irenlaurent9650 20 күн бұрын
😅😅😅😅Inabidi Nicheke kwanza ,,mbona wanajiamini Sana hawa watuumiwa
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 20 күн бұрын
Bado hukumu haijasoma but ikisomwa ataelewa ukubwa wa wake
@ChullyKassa
@ChullyKassa 20 күн бұрын
Hao washatoka mbona maana afande mwenye haonekani
@ayshunamir
@ayshunamir 20 күн бұрын
The audacity waaaah
@user-sq1op8ld4h
@user-sq1op8ld4h 20 күн бұрын
mi naona wapewe na cm wachezee ukiiba kuku tu nangumi unachezya ukigeuka ila wao km wpo matembez
@user-es5me9jm3s
@user-es5me9jm3s 20 күн бұрын
Bado ajasema mpaka aseme
@NasibunanaIsack
@NasibunanaIsack 20 күн бұрын
Amna kesi apo bana
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 20 күн бұрын
Huyo atakuwa ndiye askari magereza.
@abdulwahidhaji3245
@abdulwahidhaji3245 20 күн бұрын
Kwanini 😂😂
@user13375
@user13375 20 күн бұрын
Atakuwa mjshi anazani atatoka😮😮😮
@IssaIssa-h1d
@IssaIssa-h1d 20 күн бұрын
Eti nitakutafuta mbele ya askari kweli mtuhumiwa unaweza kuongeza ivyo 😱😱😱
@HajiSebastian
@HajiSebastian 20 күн бұрын
😂😂 vijana mtihan kweli hao
@FransisLaurenti
@FransisLaurenti 18 күн бұрын
😢
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 20 күн бұрын
Hawa wanatuzuga tu ana nguvu gani kusema ivyo😢
@HamiduMrisho-ck1ft
@HamiduMrisho-ck1ft 20 күн бұрын
Kwel kesi wemeshnda awa jamaa had wanaujasiri wa kunyooshea waandish vidole ivo
@user-ud7cy1yy6v
@user-ud7cy1yy6v 20 күн бұрын
Mmmmh jmn mbona wanajichekesha adi kumnyooshea mwandishi kidole mm bado cjaridhika mbona hta hawjakoma jmn
@johnmike6059
@johnmike6059 20 күн бұрын
Acha mkwala ww kila mtu na kaz yake
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 20 күн бұрын
Ukiona hivi juwa kunajambo
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r 20 күн бұрын
Nawaza hizi jumbe zinawafikia baadhi ya wslrngwa kweli kama hii "acha mkwala ww kilamtu na kazi yake" ataionea wapi
@daudimichael7338
@daudimichael7338 20 күн бұрын
Mmmh, dogo amejikinai
@mimazcollectionmimaz8874
@mimazcollectionmimaz8874 20 күн бұрын
Ajifanya muhuni na kakifika gerezani kanaenda kua mke wa mtu.....😅😅😅
@GabrielSky64
@GabrielSky64 20 күн бұрын
Hao Sasa ndio askari wetu busara na hekima zero sijui kwenye mafunzo wanafundishwa nguvu tu unyang'au
@Mudathiliyavuz
@Mudathiliyavuz 20 күн бұрын
Dah
@NgambaMussa
@NgambaMussa 20 күн бұрын
Mbna watuhumiwa wanabadiri nguo kila siku kwani uko mahabusu waliingia na mabegi
@vanesahilali6122
@vanesahilali6122 20 күн бұрын
Nikajua ni Mimi peke yangu ndo nashangaaaa😮
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 20 күн бұрын
Waacheni serikali ifanye kazi ake mmezid nanyie pumbavu
@ogdosho93
@ogdosho93 20 күн бұрын
Mwandishi uyo aliekuonya ndie aliekua akinyonywa mtulinga😂😂
@LatifaCharles
@LatifaCharles 20 күн бұрын
😮😮😮😮😮😮😮ww kweli?
@japhetmathayo7594
@japhetmathayo7594 20 күн бұрын
Utakuja kufa acha kiherehere kenge maji wewe mwandishi sisi tutaweka bando tu bc tuangalie ulivo fanywa
@RaiyaanRasheedRay
@RaiyaanRasheedRay 20 күн бұрын
Iliyobak ni kiki sasa
@user-rl3yh6ls7b
@user-rl3yh6ls7b 20 күн бұрын
Huyo bangiii
@KhadijaChembela
@KhadijaChembela 20 күн бұрын
Jamani
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 20 күн бұрын
Kuni huko rumande walienda kufanyiwa massage au?mbona hawana hata hofu wala majuto?
@rechomwaigaga2476
@rechomwaigaga2476 20 күн бұрын
ukute wanalalia magodoro
@SaidiMiraji-lk3vm
@SaidiMiraji-lk3vm 20 күн бұрын
Watuhumia wanakula bata la hatari😂😂 wananawili tuu
@KulwaMgaza
@KulwaMgaza 20 күн бұрын
T Muda utajibu wazee
@user-yl2br2ts3i
@user-yl2br2ts3i 20 күн бұрын
atanyooka tu mpumbavu uyo...aliona kumnyonyesha ndonga mtoto wawatu mpaka akaomba maji ilkua n raha.
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 20 күн бұрын
Huyo mtuhumiwa anajiamini nini had anamnyoshea mwandish wa habar wakati bad ni mtuhumiwa.
@AbuuMkabugo
@AbuuMkabugo 20 күн бұрын
Watu hao waso hukumiwa mpaka leo ah inatia uchungu yani ivyo wanavyo fanya unajua haswa kamacwana toka bada wana achiwa
@ibrahim_427
@ibrahim_427 20 күн бұрын
ajiandae kupigwa Mtungo mwandishi wa habari maana yaonyesha hiyo kesi wanatashinda Mpaka kutamka maneno hayo mbele ya polisi 😢
@analisacecy
@analisacecy 20 күн бұрын
Ndio sio bure kunaki2 kinaendela sio cha haki
@highskills5883
@highskills5883 20 күн бұрын
Huyu jamaa akili itamkaa viziri akishasota jela mda mchache tu sahivi ajajua bado
@nordinebaraca4635
@nordinebaraca4635 20 күн бұрын
Mtuumiwa anapiga mikwara kama yote!
@fanitofaustino4108
@fanitofaustino4108 20 күн бұрын
Anazani masiala
@JamesZakayo-o2f
@JamesZakayo-o2f 20 күн бұрын
😂😂😂😂nacheka kama mazuri
@acobisrem2project360
@acobisrem2project360 20 күн бұрын
Yani bola wafungwe tu lkn wakitoka sijui km watakua salama kwa hasira hizi za wananchi, hapa tupu tunaona km uko lumande wanawapendelewa km vp wachomwe hata moto
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 20 күн бұрын
Achana nae mwandishi kesha data mzenge huyo akitoka tunae huku kitaa tunakusubir kwa hamu wasenge nyie
@KareemDully
@KareemDully 20 күн бұрын
Kwaiyo wanajiamini kiasi icho mpaka kuwatisha waandish wa habar. Hii kesi inaenda kimagumashi kuna kitu nyuma ya pazia si bure
@LeylaHamisi-qh3kb
@LeylaHamisi-qh3kb 20 күн бұрын
Yan hii mipumbavu naichukia
@princessplatnum4416
@princessplatnum4416 20 күн бұрын
Hao wanatoka
@fexboe7564
@fexboe7564 20 күн бұрын
Jaman Leo Fex Boe wa Kwanza Gonga like kwangu jamaniii Fex Boe
@HamadJumaa-xj7py
@HamadJumaa-xj7py 20 күн бұрын
Vibakaji alaf vinaleta ujeuri
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 20 күн бұрын
afu si ndo uyu alimwambia mtoto lamba JOKER 😢
@fredymwakikono1575
@fredymwakikono1575 20 күн бұрын
Yaani anapata wapi ujasiri huo huyu dogo, itakuwa no mvuta bangi
@SaidHamis-hy5ps
@SaidHamis-hy5ps 20 күн бұрын
icho ni kiini macho mtu anatuhuma halafu anaongea ivyo du..
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,3 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 36 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 28 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 16 МЛН
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 117 М.
Woman Doesn't Realize Her Tinder Date Is A Killer
18:13
Dr Insanity
Рет қаралды 1,3 МЛН
FUMANIZI MAGOMENI: AMFUMANIA MUME WAKE NA MAMA YAKE MZAZI
18:23
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,3 МЛН