FUMANIZI MAGOMENI: AMFUMANIA MUME WAKE NA MAMA YAKE MZAZI

  Рет қаралды 270,603

Tiki Tv

Tiki Tv

Күн бұрын

FUMANIZI MAGOMENI: AMFUMANIA MUME WAKE NA MAMA YAKE MZAZI
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#fumanizi #fumanizimagomeni #amfumaniamumewakenamamayakemzazi #breakingnews #exclusiveinterview #tikitvkiakilizaidi #tikitv

Пікірлер: 501
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 21 күн бұрын
Mmmmmh jamani Mama amekosea sana kwa kweli 😢😢 Mungu atunusuru Mama mkwe mkae mbali na wakwe zenu
@HaikaSelle
@HaikaSelle 18 күн бұрын
Pole sana,kiukweli umepita mahali pagumu sana,Nakupongeza kwa ujasiri huo,Naomba umsamehe mama kwa hayo aliyokutenda,maana mama atabaki kuwa mama Mwenyezi MUNGU akufanyie wepesi katika safari hii ya maisha.
@OMARMOHAMED-js9nj
@OMARMOHAMED-js9nj 18 күн бұрын
INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAAJIUN
@NeemaUrasa-u4y
@NeemaUrasa-u4y 19 күн бұрын
Mwamini Yesu uokoke kwa kumaanisha samehe ondoa uchungu moyoni mwako mwambie Roho mtakatifu akusaidie peke yako huwezi mshukuru Mungu hukupata maambukizi Kweli Mungu anakupenda sana
@angelnyange3403
@angelnyange3403 22 күн бұрын
Alafu kuna mtu atakuambia mzazi hakosei 😢😢😢
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 22 күн бұрын
Hapo ndipo unashangaa
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 22 күн бұрын
Mzazi hakosei anatereza tu upwiru kuoga aaaaaah
@ireneshao7950
@ireneshao7950 22 күн бұрын
Hapo sasa
@SwahiliSister-o5v
@SwahiliSister-o5v 21 күн бұрын
Kweli vyoo
@MaryMwende-sj8cl
@MaryMwende-sj8cl 21 күн бұрын
😂😂​@@mwananyamalaz4427
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 22 күн бұрын
Kweli wewe mama ni adui wa mtoto wako unajua una hiv halafu unatembeya na mume wa mtoto wako unajua ugojwa ataupata na mwanao kweli sasa ona ndoa ya mwanao umeivunja na pia umempa ugonjwa mkwe sasa kama mtoto wako angenyamaza na yeye angepata sasa wewe uza kiwanja nenda kanunue kungine ujenge wewe mwenyewe na watangazaji watakusaidia maisha pole sana
@MedsonUlendo
@MedsonUlendo 19 күн бұрын
😂😂😂watangazaji wamsaidie kujenga pombe pombe 🎉
@barkanassir2528
@barkanassir2528 17 күн бұрын
Weee pole Sana dadangu mwenyezimungu akupe subra. Nauwezo wakuendeleza ndoto zako inauma Sanaa dadangu ilatuu lishatokea huezi futa. Ilatuu mtafute mamayako umjulie halituu naikizidi mpe chakula pia kukaa karibu nayeye usikae . Na maisha yatasonga tuu
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 21 күн бұрын
Umekosea sana usingetangaza kwenye mitandao sio vizuri sana
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 21 күн бұрын
Waona ni sawa kulificha hili?? Kumbuka ktk hili kuna funzo kwa jamii
@angolina1768
@angolina1768 21 күн бұрын
Kabisa mpenzi ​@@Zaynab-ny6gr
@syliviakente9460
@syliviakente9460 19 күн бұрын
Hajakosea ukweli utabaki ukweli kwa nini mtu utembee na mkwe wako , hii tabia ya kuficha ficha ndiyo.imesababisha kila kukicha jambo linazuka la ajabu mara mume kamlawiti mtoto wake, mara mume kabaka binti yake, mara mume kambaka mtoto wa mke wake tubadilike !
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 15 күн бұрын
Ametangaza anahitaji msaada wa pesa nawewe,,
@Montana12-v2c
@Montana12-v2c 15 күн бұрын
Waarabu tangu lini wakawa wanaustarabu ?? Huyo mama anajiuza Kwa kifupi tu hao ote wanadanga ndomana mama alikua anamkataza kufanya kazi kama yake kwasabu sio kazi nzuri we unahisi nikazi gani 😂😂😂😂😂😂
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 21 күн бұрын
Kelvin ahsante kwa kurudi ktk hili jukumu
@MagdalenaThomas-cz1qp
@MagdalenaThomas-cz1qp 22 күн бұрын
Daah pole sana
@RashidShedaffa-v9x
@RashidShedaffa-v9x 6 күн бұрын
Pole dada vumilia usimtenge mama msamehe hayo ni matokeo ya ulevi.jiepushe na pombe kabisa na huyo mumeo kuanzia sasa usiwe na maingiliano kindoa tena. Endelea kumaliza deni la kiwanja miliki wewe na lea mtoto ako mwenyewe Mungu akulinde akusaidie. Mama mshauri aache pombe amrudie Mungu haraka na mshauri ahame Magomeni. Huyo mpumbavu mlevi kaeni mbali nae kabisa. Pole Sana Dada.
@africanmom2663
@africanmom2663 7 сағат бұрын
Umepngea point..mbaya mume.wanawake sie wadhaifu ss ukimkuta mwanaume Malaya hafiliti unaweza kujikuta anakuharibia maisha
@gerald-s1e
@gerald-s1e 19 күн бұрын
Pole sana,mumeo Hana adabu,dada uza kiwanja nunua sehemu nyingine
@SalumJohn-h2s
@SalumJohn-h2s 22 күн бұрын
Weyee hujielew2,ety mlevi mbwa,😂😂😂
@DavidDavid-wf5ug
@DavidDavid-wf5ug 19 күн бұрын
Hapo ulipo ni mtu mzima endelea na maisha yako kama kawaida .
@DamasKowinga
@DamasKowinga 18 күн бұрын
😢N🎉
@RachelJohn-yg1gw
@RachelJohn-yg1gw 22 күн бұрын
Mmmh pole xana dada najaribu kuvaa viatu vyako naona havinitoshi uxhauri wangu mwombe Mungu yeye ndiye mfariji
@awadhishabani6975
@awadhishabani6975 21 күн бұрын
Pole sana
@MuhereMuhere
@MuhereMuhere 19 күн бұрын
Dada hayo nimapito ya dunia Yule nimama hata iweje mtafute mama yako maisha yaendelee muachie mungu
@jonasmbala1326
@jonasmbala1326 17 күн бұрын
Nenda kauze kile kiwanja tafuta sehem nyingine asiyoijua huyo mme wako kwani Mungu bado anakupenda ila usiache kwenda kutoa fungu la kumi utapata maisha marefu sana na utapata baraka tele utabaki kumshangaa sana Mungu
@JoharJuma-xo3fh
@JoharJuma-xo3fh 15 күн бұрын
Amina ushahuri mziri
@Joanes-g5z
@Joanes-g5z 12 күн бұрын
😮😢😅​@@JoharJuma-xo3fh
@MercyHamis
@MercyHamis 22 күн бұрын
Pombe ni Shetan cku zote sasa Mama na mkwewe wanakunywaje pombe pamoja na unategemea nn jmn 🙌
@YohanaRichard-e6p
@YohanaRichard-e6p 22 күн бұрын
Achana nae uokoe uhai wako huyo sio mume wako ila ulilazimisha kupenda .
@user-tn5gl6zu2v
@user-tn5gl6zu2v 21 күн бұрын
Kweli apo yeye mwenyew ali kosea wajua mtu akilewa akil ina badilika
@benethmwenga8355
@benethmwenga8355 20 күн бұрын
L?Llll
@MariamAlly-hk7io
@MariamAlly-hk7io 16 күн бұрын
Ukosefu wa dini unachangia Tumta ngulize muumba wetu ktk kila kitu
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 21 күн бұрын
Subhanallah Allah atustiri maana dunia hii ni hatarii
@SalumJohn-h2s
@SalumJohn-h2s 22 күн бұрын
Mambo ya kimjin mjin😂😂
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 22 күн бұрын
Usiombeee yakufike!!!
@jamillahkheir6536
@jamillahkheir6536 21 күн бұрын
Sio ya kiulaya ulaya😂😂😂😂😂😂😂
@SalumJohn-h2s
@SalumJohn-h2s 21 күн бұрын
Mashaka ya roho2,Ma mkwe kautakaaaa😄
@MariamAlly-hk7io
@MariamAlly-hk7io 16 күн бұрын
Tumta ngulize muumba wetu ktk kila kitu
@ZeraMroki
@ZeraMroki 6 күн бұрын
Kalipie kiwanja ,Mungu akutie nguvu na mama msamehe,na itakuwa Mwanzo WA mama kuacha pombe
@MercyHamis
@MercyHamis 22 күн бұрын
Daàah jmn mtihan sana walaah Kuna vitu vingine ni vigumu mpka unashindwa usemej 😢😢😢😢😢
@SalumJohn-h2s
@SalumJohn-h2s 22 күн бұрын
Hahaaaaaa
@munabalushi2964
@munabalushi2964 22 күн бұрын
😢😢
@zainabzain3434
@zainabzain3434 22 күн бұрын
Mtihani wallah Allah akupe subra
@AnethKato
@AnethKato 22 күн бұрын
We fala kwann mama ako asingelal balazani adi ukamwambia akalale kwenye kitanda unacholala ww na mumeo
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 15 күн бұрын
Kweli hiyo siyo sawa mama kulala juu ya kitanda cha mkwewe na binti yake,huo ni uzungu wa kishenzi tu😢😢
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 8 күн бұрын
Kautakaa😂😂
@KaltasiKigelulye
@KaltasiKigelulye 4 күн бұрын
Kosa ndipo lilipoanzia hapo
@edgercyprian964
@edgercyprian964 6 күн бұрын
Daaah pole Sana dada jamaa kafanya kitendo Cha ajabu Sana kutembea na mama mkwe mmmh hii ni aibu Sana 😢 dada hapo chà kufanya wewe kalipie kiwanja Kisha andika jina lako move on na maisha yako
@daudijohn8220
@daudijohn8220 22 күн бұрын
Huyo mmeo achane nae ni sheteni hana hata Aibu tena ukicheza kama umezaa mtoto wa kike akitoka kwa mama yako mzazi anaanza na mtoto wako wa kuzaa maan mmeo ni shetani
@AzratiMasule
@AzratiMasule 10 күн бұрын
Inaskitisha sana pole allah atusamehe sote Inshaallah
@yonasimion3130
@yonasimion3130 15 күн бұрын
Pole dada, rudi kwa mama ukamfariji , mjinga sio mamako, ila ni mumeo, msamehe mama kwa hali yake. Kumbuka hana ndugu na wewe huna ndugu, mama yako ndo nduguyo.
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 8 күн бұрын
We pimbi kweli kwahy mama ake hana kosa
@zoab2699
@zoab2699 18 күн бұрын
Hiyo yote ya kuto kujua dini mana dini imeharimisha kutembea waume wa wazazi wenu na wa toto wenu duu alhamdulillah kwa naama ya dini yetu ya kiislaam na kwa kuisoma alhamdulillah na ukisha kua mlezi basi maisha yana vurugika ufchafu wote unaingia huna barka katika maisha yako kila baya utalifanya. Alhamdulillah kwa kua islaam 🤲🤲🤲
@eliethmwanguya7118
@eliethmwanguya7118 18 күн бұрын
Hakuna dini inayoruhudu mtu kutembea na mzazi wake au mkwe wake, labda hayo masharti wanayopewa na waganga
@zainabzain3434
@zainabzain3434 22 күн бұрын
Ushauri rudi kwa mamako. Msamehe ila mwanaume achana nae
@barikiwa22
@barikiwa22 21 күн бұрын
Kwa mazungumzo wa huyu demu hawezi mwacha huyo aliye mzalisha ndio maana kaamua kumkandamiza zaidi mama yake
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 21 күн бұрын
Kweli
@MercyHamis
@MercyHamis 21 күн бұрын
@@zainabzain3434 ndy aachane na Mume wake akaze roho tu hata kama anampenda yaan mwanaume anatembea na Mama yko mzaz jmn uchafu gan huu uwiii huu ni mcba na hpo bado hajapima maana anaogopa na walishanshirik tendo mara nyingi ndomaana anapagawa, amalizie kiwanja baadae akiuze ajue anaishije bora apange hko afanye kibiashara chake bas
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 8 күн бұрын
Fresh ila kala wote huyoo anaenda kupata chuma kingine
@BonitatemBonitate
@BonitatemBonitate 3 күн бұрын
Kumbe nawe umeliona ilo,yaan anahalalisha kwamba mumewe hana kosa ila mama yake ndo mkosaji, hao wote wakosaji ila bora asimame tu upande wa mama yake mama ni mama tu ila huyo mume anaweza kukuacha kama mbwa na akaoa mwngine​@@barikiwa22
@RaphaelIjaga
@RaphaelIjaga 17 күн бұрын
Pole sana scolar,,ila kulileta mtandaoni duuuu!
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 19 күн бұрын
Pole.sana.SCORA. mama hana .adabu kwa sababu wewe..umezaa na huyo .mume. Wako
@aishakamota6012
@aishakamota6012 21 күн бұрын
Mungu atamuhukumu Mama kwa alicho kifanya na wewe jilinde usije hukumiwa kwa utachokifanya kumkataa mama Muombe Mungu atakuonyeaha njia ila usimkatae mama kwani vitendo vyake vyote ni mtihani mama anakuhitaji nenda yule ni mama umeshajifunza kutokana na hili litupe pembeni maisha yaendelee bado mdogo sana na nguvu unazo utafanikiwa tena umesoma usifanye makosa kataa njia aliyopitia mama na Mungu atakusaidia mama akiondoka duniani hujapatana nae utapata hasara samehe kila mwenye kusamehe yu pamoja na Mungu
@barikiwa22
@barikiwa22 21 күн бұрын
Kwahiyo huyo mwanaume ndio msafi??? Nyie mna mfumo dume wa kishamba sana, ndio maana wanaume wanawaona wajinga sana.
@FRANKNCHEYE-wk8cz
@FRANKNCHEYE-wk8cz 21 күн бұрын
Nimeogopa sana yan aibu aiseee mungu akusaidie dada huna makosa kwa mungu
@AhmedBaruti
@AhmedBaruti 19 күн бұрын
Pole sana dada mungu atakusimamia inauma sana
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 21 күн бұрын
Pole Sana mdogo wangu huyo mume hakufai Tena achilia mbali H I V kulala na mama ako 2 hiyo inatosha usirudi nyuma msamehee mama ako wee mkabidhi mungu yeye ndo mweza usije pata Rana bure msamehee tu
@DxbYae
@DxbYae 19 күн бұрын
Pole sn dada mungu akufanyie wepesi kwa kila pito pole sn huo ni mtihani
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 22 күн бұрын
Mmmmmh hatali
@MaryFwere
@MaryFwere 21 күн бұрын
Namshauri huyo mdada amshukuru mungu kuwa yeye ni mzima kama alivyosema hamjui baba yake na mama yake kamtunza kwa shida na kazi ya mama yake ni barmed nadhan wengi mnajua kazi ya barmed ni kaxi ngumu sana mshahara mdogo mno na huyo dada kasema amelelewa na mama yake kwa kazi hiyo atambue huyo mama amepata ugonjwa kwa ajili yake awezi kurudi nyumban hana mia na huyo dada anatakula na kusoma huyo mama akipata bwana anaenda kulala nae ili apate pesa pasipo kujua kama huyo bwana mgonjwa amsamehe mama yake arudi wawe pamoja ila huyo mwanaume achane nae alichokitaka kakipata na umalaya wake kwani hakujua kuwa yule ni mama mkwe hlf nyie mpo wawili tu kama macho mtunze tu nani atamzika na hali aliyo nayo ila inauma ki ukweli ukifikiria anajua yeye ni mgonjwa nawe siangekuambukiza jamani je mjukuu angeishi vip mungu tusaidie yatima ndio maana haishi
@user-cf5li5mf9o
@user-cf5li5mf9o 22 күн бұрын
Dunia hii sjui tunaelekea wapi daaah
@kudramzee5769
@kudramzee5769 19 күн бұрын
Jamani msimtukane huyu dada ujue hili ni somo tosha
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 19 күн бұрын
Kabisa
@SalomonK-ic6mw
@SalomonK-ic6mw 21 күн бұрын
Pole sana, malizia pesa za kiwanja. Na msamehe mama na umtunze bado mamao timiza jukumu lako la kumtunza .
@SalumJohn-h2s
@SalumJohn-h2s 22 күн бұрын
Tatzo hawa nao wana zaa mapema mno,yawezekan ma mkwe alizaa akiwa mdogo,mi mwenyew ma mkwe kama tako bado nono,anapigwa kongaa😂
@SalumJohn-h2s
@SalumJohn-h2s 22 күн бұрын
Sasajèeee,ukute mwanaume ni mtu mzima we nae ni binti2,Ko ma mkwe ndo size ya mmeo,Sasa hayo ni mambo ya watu wazima weyee bado mdogo,Kaa kwa ku2lia tafuta type yako,Mnaolewa na wazee hayo ndo matokeo
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 21 күн бұрын
Endelea na huo ufedhuli In Sha Allah litakukuta nawe
@MariamAlly-hk7io
@MariamAlly-hk7io 16 күн бұрын
Zinaa ni uchafu
@MariamAlly-hk7io
@MariamAlly-hk7io 16 күн бұрын
Zinaa ni uchafu lazima yawafike
@omanoman2044
@omanoman2044 21 күн бұрын
Mungu wangu qiyam hakiko mbali
@user-ef1zl5gi1k
@user-ef1zl5gi1k 21 күн бұрын
Subuhanalah duu mtihani kwa kwer pole Sanaa dada mwenyezi mungu azidi kukupa nguvu 😢😢
@TabithaMwinuka
@TabithaMwinuka 17 күн бұрын
Yoyoooo!mweee nakufaaaa
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 22 күн бұрын
Maisha ya baba yako huyajui unasema aliondoka kitambo unajuaje kama ww ni wamwanzo nawa mwisho kwa baba yako 😢
@godfreymasiko2630
@godfreymasiko2630 15 сағат бұрын
Pole😮
@GraceDaudi-zm6ms
@GraceDaudi-zm6ms 17 күн бұрын
Pole my dr kpnz
@ezekieltate4877
@ezekieltate4877 15 күн бұрын
Pole dada
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 22 күн бұрын
Mmh mtihani
@JuliusKilulu
@JuliusKilulu 4 күн бұрын
Dada Ingia kwenye point. Umefumaje
@AtibaJoshua
@AtibaJoshua 15 күн бұрын
Pole sana mama uwasamehe TU hii niaibi Yao usjpe presha yameisha tokea mrudie mamayako hayo nimapungu yake nenda uendako atabaki kuwa mama msamehe Bure ili maisha Yako yaendelee kuwa salama
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 18 күн бұрын
Safi sana mama nikahaba
@StellaYona
@StellaYona 16 күн бұрын
Mmh pole sana
@CareenJulias-iu7tf
@CareenJulias-iu7tf 11 күн бұрын
Dada pole Sana Sana kwa changamoto hiyo kubwa Sana da!! balaaa Sana hii dunia inatisha sanaaa.
@RachelLucasi
@RachelLucasi 18 күн бұрын
Pole sana dear! Kama unapesa kalipie kile kiwanja kama huna kakiuze ununue cha beindogo ubakize mtaji maisha yaendelee mama yako msamehe ila asikuzoee sana kama mwanzo na mungu atakusaidia
@HappyShirima-r4m
@HappyShirima-r4m 15 күн бұрын
Mungu amsamehe
@ClintonAward-y3u
@ClintonAward-y3u 17 күн бұрын
Naichukia sana pombe nilijikuta nimetembea na mwanamke ambae skumtegemea toka hapo nanywea pombe nyumbani tyuh yani kama una mwanamke au mwanaume ana kunywa pombe tambua kukusaliti nirahisi hata kwa bahati mbaya tyuh
@MariamAlly-hk7io
@MariamAlly-hk7io 16 күн бұрын
Pombe imeharamishwa kitambo fungue I vitabu Ukosefu wa dini unachangia
@marryngaiza2061
@marryngaiza2061 22 күн бұрын
Kauze kile kiwanja, au tafuta pesa malizia malipo ya kiwanja ndio ukiuze. Pole sana
@melangongo6490
@melangongo6490 18 күн бұрын
Mungu wangu ninininininini😭😭😭😭😭😭😭
@chikujuma18
@chikujuma18 22 күн бұрын
😂😂😂 mtihan hapo kwakweli pole dada
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 21 күн бұрын
Dunia inakaribia Kumaliza safari yake.
@rukiaabdallah1123
@rukiaabdallah1123 21 күн бұрын
Akiiiiiii jaman
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 19 күн бұрын
Kabisa yaani
@user-xo5lq7mw3n
@user-xo5lq7mw3n 22 күн бұрын
Huyu mjinga asojitambua mama yako alikuwa anapambania Maisha yako,Mzazi haongelewi vibaya ,Pombe ni Shetani ,Hukutakiwa kuja kwenye Medea kujielezea Sasa ona Nafsi inavyokusuta ,Sasa Nani anamakosa ?ni Mume wako ndo mwenye Tamaa
@JanethMmari
@JanethMmari 20 күн бұрын
Ila yy anaweza kukufanya yote mabaya? 11:19
@vicentmapunda3146
@vicentmapunda3146 22 күн бұрын
Mkiambiwa watot wanalal na mama zao wapate pesa .mnabisha
@AbdallahShemadeni
@AbdallahShemadeni 10 күн бұрын
Pole sana dada angu pepo huyo ashindwe kwa jina la yesu
@AishaMwarabu
@AishaMwarabu 20 күн бұрын
Ssa nawwe siwanaweza wakawa wamekuambukizadaaa😢 ila pole sana wanaume awa daa pole mpenzi ila nauyo mma amekosea sana mmi nngekua wwe daaa 😢sjui ingekuaje jmni🙆🙆
@elimodaudi4800
@elimodaudi4800 11 күн бұрын
Uongo huo Acha uongo
@stevenmichael9264
@stevenmichael9264 18 күн бұрын
Sasa imagine unakuw na mamkwe kama kajala, kwa kweli hilo jaribu ni ngumu kiliruka
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 14 күн бұрын
😂😂aloo atari san
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 14 күн бұрын
Nikukaza kwa kufunika kombe mwana haramu apite ndg yngu
@RichardMboga
@RichardMboga 2 күн бұрын
Pore sana Dada yangu
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl 21 күн бұрын
Asante. Pole. Sana. Dadaangu. Huyo. Mmeo. Hana. Adabu. Kaona. Yako. Hainogi. Ila. Ya. Mama. Yako. Ndo. Tamu
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 22 күн бұрын
Duuuuu jamani Mungu utusamehe
@VantinMassawe-dh2xf
@VantinMassawe-dh2xf 13 күн бұрын
Hatari sana
@CarineUwimana-y1u
@CarineUwimana-y1u 13 күн бұрын
Poleni sana .ila uwasamee wote
@NassoroMakilipa
@NassoroMakilipa 19 күн бұрын
Mm,hiyo,nomaa.endelean
@MosesSimwanza-z8h
@MosesSimwanza-z8h 12 күн бұрын
Polesana
@ZenaMussa-gf3vy
@ZenaMussa-gf3vy 15 күн бұрын
Inauma sana pole sana dadayangu inauma sana
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 13 күн бұрын
Weeh Uthungu Sana,Hata Heri Ingelikua Dada Yako Kuliko Mama Mzazi🤔😢😢😢🇰🇪
@samjabri2611
@samjabri2611 22 күн бұрын
Yani. Mtiani
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 19 күн бұрын
😢😢😢😢Daah mtihani wallah
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 22 күн бұрын
Mama nae amepnda ukarimu wa mmeoo!
@DativaMbowe
@DativaMbowe 19 күн бұрын
Pole sana dadaangu 😢😢😢
@Shekhahamed-v2f
@Shekhahamed-v2f 21 күн бұрын
Polee mwangu ushuru kiwanja uza katafute kiwanja kwengine😊
@matanoabdallah5460
@matanoabdallah5460 22 күн бұрын
Kiasi gani kimebakia kwenye kiwanja.
@GervasNgoda
@GervasNgoda 12 күн бұрын
Pole sana kwa majanga hayo yaliyokukuta 😮😢
@TRUEHUBBY
@TRUEHUBBY 21 күн бұрын
Mungu ni mwema sana, amekunusuru na hilo gongwa la UKIMWI. Kaa mbali nao, binadamu ni KIUMBE MZITO SANA😭
@FatmaMohamed-vd5zc
@FatmaMohamed-vd5zc 7 күн бұрын
Pole
@khadijashehe1990
@khadijashehe1990 21 күн бұрын
Mungu atuhifadhi
@JmotorsAutogarage
@JmotorsAutogarage 10 күн бұрын
Pole dada muombe mungu atamtoa wako ktk laana hiyo
@NeemaSilijui
@NeemaSilijui 19 күн бұрын
Poleee
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 22 күн бұрын
Huyo jamaa ni mjinga na hana ustaarabu ila bora aende akajipime ili ajijue hatma yake na kwa huyo binti kwa vile kajipima na yuko salama inatakiwa achukue mtazamo mpya wa maisha atafute shughuli za ujasiriamali aachane na huyo mshenzi.
@MariamKombo-s2v
@MariamKombo-s2v 15 күн бұрын
Uwiii mama ni muuwaji Ana roho mbaya alikuwa anataka afe n mtoto wake lkni mungu amenusuru. Naomba ukatoe sadaka umshukuru mungu mno
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 21 күн бұрын
Duu😢 Pole sana dada angu huu ni msiba mkubwa sana. M.mungu atakusaidia ishaallah mungu ana kupenda sana afya yako ni muhimu ni kumshukuru mungu.
@matanoabdallah5460
@matanoabdallah5460 22 күн бұрын
Kiwanja kimebakia kissing gani.
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 17 күн бұрын
Natumia Weifa Lakini Sijui Kampuni Ya Kuzimu Hi Intaneti Mbovu
@benedictntilla6943
@benedictntilla6943 3 күн бұрын
Kiwanja uza kanunue sehemu nyingine ambayo wao hawaijui kajenge uishi huko kivyako
@sergebaleke695
@sergebaleke695 18 күн бұрын
Story ya kutunga, uwe naenda kwenye matukio sio utuletee watu wenye kujifunga vitambaa usoni bhana
@kisogoclassic5329
@kisogoclassic5329 12 күн бұрын
hawa wajinga sans minashangaaa hata wanao toa comment za masikitiko kumbe uongootu😂😂
@restcyprian1598
@restcyprian1598 22 күн бұрын
Mm
@MawaMganga
@MawaMganga 5 күн бұрын
Duuuh! Kwani dhama za mwisho ndo hizi😢😢😢😢
@gracehaulemungubabafanyaki4028
@gracehaulemungubabafanyaki4028 8 күн бұрын
kauze kile kiwanja njoo tunduma ufanye biashara utajenga huku na maisha yataendelea. kaa mbali na hao malaya wawili. HUYO MAMA YAKO HAFAI NI MUUAJI. ACHANA NAYE.
@MihayoSendama-ee6vb
@MihayoSendama-ee6vb 2 сағат бұрын
Mwana mume siyo dugu yako uhesabu tu kama mmechagia mwanaume na mama yako bils kujuwa kaa namama yako naulipiie kiwaja ujjenge tayari wale wanaazabu yamugu hapo do mana wenimzima tafuta mwanaume ambae hajalala na mama yako awe mkwe wake maisha yaedelee msigombane na mm yako sababu ya mtu baki mlevi. Kaa na mm yako sababu ni pombe diyo akiri ya mama
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 17 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 105 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 31 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 19 МЛН
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
KWA MARA YA KWANZA ASKARI POLISI MWENYE AKILI AONEKANA TANZANIA
3:19
ALEX MWANGOSI
Рет қаралды 172 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /36/ #love
33:36
BabaJoan
Рет қаралды 395 М.
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 17 МЛН