MTUME HWAE-N A MWANDANDILA_WA_NMY-U INTERNATIONAL MINISTYRS_UMALILA MRUDISHIWE HAKI YENU NA ADUI

  Рет қаралды 58

MWANDANDILA TV

MWANDANDILA TV

Күн бұрын

Kuhani na Mtume Mwandishi Hwae-n A Mwandandila wa huduma ya NMY-U INTERNATIONAL MINISTYRS amesema kuwa Umalila ni watu mlioibiwa na Adui maisha yenu yarudishwe Kwa Jina La Yesu nimekuja kukomboa Na kurudisha Hadhina yenu iliyoiniwa.
Amesema ikiwa hamjadai haki yenu na hakuna atakaye jua mnaihitaji Shetani ameweka Giza kwenu na ndiyo maana Ninyi Umalila ni Eneo linalofanya uzalishaji mkubwa na Kuchangia Pato kubwa Mbeya vijijini lakini Kwanini hamkumbukwi kuletewa miundombinu kama BARABARA ya hata kiwango Cha lami kuondoa vumbi, Madaraja mazuri, Maji nk lazima Adui Arudishe haki yenu
Ibada hii imefanyika Tarehe 15 July 2024 Jumapili jioni katika Kanisa la EAGT ISUTO MJINI Kwa REV-MWALUWANDA na ilikuwa ni baada ya Mtume kuhitimisha Ibada sehemu ya kwanza katika Kanisa la MORAVIANI TANZANIA JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI USHIRIKA WA ISUTO Kwa Rev-KASICHILA
Umalila Imetabiriwa mambo makubwa
Isaya 42:22 Watu Hawa ni watu walioibiwa ndiyo mistari aliyotumia Mtume Mwandishi Hwae-n A Mwandandila pamoja na Fungu la Huduma Yohana 8:31-40 Ukiijua kweli itakuweka Huru
Kwa HABARI ZA ULIMWENGU
SIASA
MICHEZO na BURUDANI
MIKUTANO YA INJILI
MUSIC GOSPEL
UCHUMI
IBADA MAKANISANI
MAHOJIANO MBALIMBALI na VIONGOZI WA SERIKALI DUNIANI
Usiache Kutazama MWANDANDILA TV Channel The Hopeever Changing World 🌎🌍
Call Phone 🤳📱 0739 4485 44
WhatsApp (+255)0782 9999 59
Email ✉️ hwaenmwandandila@gmail.com

Пікірлер: 6
SAUTI LADHA MWANANA: TULIA MOYO TULIA
5:03
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 13 М.
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 32 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 10 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,1 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 30 МЛН
UKIANGALIA UTATOKWA NA MACHOZI
4:46
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 44 М.
IJUE ASILI YA JINA LA MWAKALELI
10:05
MbeyaYetuOnlineTV
Рет қаралды 15 М.
MCH. MSIGWA ATOA SHARTI LA KUHAMIA CHAMA KINGINE
7:00
NURU DIGITAL TV
Рет қаралды 4,3 М.
MJUE SANA MUNGU _-_ MWL EDWIN LWILA
49:34
Bethel Templefrelimo
Рет қаралды 122
HUJAFA HUJAUMBIKA
8:02
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 58 М.
LISSU ,HUWEZI KUFUNGWA KISA MICHANGO
9:17
NURU DIGITAL TV
Рет қаралды 521
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 32 МЛН