MCH. MSIGWA ATOA SHARTI LA KUHAMIA CHAMA KINGINE

  Рет қаралды 4,332

NURU DIGITAL TV

NURU DIGITAL TV

Күн бұрын

Aliyewahi kuwa mbunge wa Iringa mjini na mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa amebainisha namna ulivyo ukaribu wake na Tundu Lissu huku akibainisha sharti litakalomfanya kuhamia Chama kingine

Пікірлер: 9
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 2 ай бұрын
Mheshimiwa MSIGWA heshima yako itaendelea sana kuimarika ukiwa ndani ya CHADEMA. Na ukiwa na LiSsu na Mbowe. Heche . Mnyika ni majembe
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 2 ай бұрын
Sawa msigwa
@AnosisyeMwaigomole-i5s
@AnosisyeMwaigomole-i5s 2 ай бұрын
Mrafi wa madaraka hafai
@benjamalila9942
@benjamalila9942 Ай бұрын
Ma tepeli sio watu
@mertus.nestory.bishirangon4624
@mertus.nestory.bishirangon4624 2 ай бұрын
Good
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 ай бұрын
Jamani mtu kushinda ubunge sio kwa ajili ya nguvu ya mtu mmoja tujue watu wengi wamekuwa wamepambania chama
@saidmtetwa4363
@saidmtetwa4363 2 ай бұрын
Nenda huko CCM kibaraka mkubwa wewe
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 2 ай бұрын
Tatizo la nchi kuna watu wengi wenye uwezo mdogo wa kufikili na kutafakali mambo kama wewe ndo wengi aijalishi elim ya mtu kudhani mtu mkitofautiana mawazo uyo ni mpizani wako maendelea duniani kote yanakuja kwa kutofautiana namna ya kufikili msiwe kama nyumbu hii nikwa vyama vyote na taasisi zote
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 2 ай бұрын
Chadema mnapambanua kuwa ni chama cha demokrasia sasa utakuaje na demokrasia ukiwa unazuia mawazo tofauti ndani ya chama chako au taasis yako?tatzo lenu mnakua kama nyumbu
Peter Msigwa Ashusha Tuhuma Nzito CHADEMA | Adai Kuhujumiwa
28:55
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 26 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 72 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 55 МЛН
NI SUGU AU MSIGWA? NANI AMEKUSHAWISHI?
33:48
SK Media Online TV
Рет қаралды 16 М.
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 26 МЛН