MTUMISHI wa TANESCO APEWA ELFU 30 na MAKONDA - ''CHUKUA - NENDA KAMUUNGANISHIE UMEME''...

  Рет қаралды 44,285

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 64
@KomboAbdallh
@KomboAbdallh 8 ай бұрын
Asantemungu kazi naiendelee
@allyiddi2902
@allyiddi2902 8 ай бұрын
Hongera sana muheshimiwa ubarikiwe sana Asante sana
@neemanziku5403
@neemanziku5403 8 ай бұрын
Makonda ww ni kiongoz Mkubwa tunakuom ea sana wananchi💝
@SalimAbdallah-tg1yo
@SalimAbdallah-tg1yo 9 ай бұрын
Asante mwenezi nimefurahi Sana kuona wafanyakaz Wa tanesco kwenye mkutano yako Ila kuwa makin wanaweza pijwa Na wanachi wantutesa Sana Na umeme Ni shida
@LovenessKimario-i3x
@LovenessKimario-i3x 8 ай бұрын
Muheshimiwa hawa ni wapigaji sisi tulichangia laki tatu
@cossanwambura1614
@cossanwambura1614 8 ай бұрын
Hahaha
@ricemohabe2421
@ricemohabe2421 8 ай бұрын
Makonda mungu akulinde
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 8 ай бұрын
Siio boya ila wenyewe wanafanya ufisadi tu hao tanesiko
@HamisiMsami-ol3zk
@HamisiMsami-ol3zk 7 ай бұрын
Wow
@aminaomary5567
@aminaomary5567 8 ай бұрын
Uongo kuna gharama zinatolewa.Makonda hoyooo,Samia hoyooo❤❤❤❤❤❤
@Veni584
@Veni584 8 ай бұрын
Duh! Anajitahidi kukwepa swali la kuuza nguzo
@MoshaRobertKe
@MoshaRobertKe 9 ай бұрын
C.C.M hoyee ,mama samia hoyeee .Miaka mingine 7 ni yako
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 8 ай бұрын
Kazi kweli kweli kama hakuna nguzo huko umeme unafikaje?
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 8 ай бұрын
Hapo ndugu yangu ndo kitaumana na 30 ya mwenezi ushachukua sijui utapita chini kwa chini kama Bomba za maji maana kuirudisha 30 kwa mwenezi noma nchi hii ngumu Sana
@teddyndungurusabnu4792
@teddyndungurusabnu4792 8 ай бұрын
nguzo zipo tanesco ila ni rushwa tu wanataka​@@katabaroonlinetv9688
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 8 ай бұрын
Bwana Mahenge umekamatwa live, umeme uwake sasa😂😂😂🙌🙌
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 8 ай бұрын
Jamani sio kosa la Tanesco mambo haya ya bei juuu za umeme niwakati wa makamba tunaomba hiyo bei ya 27000 irudi nchi nzima tufulaiye serikali yetu km ilivokua kwa kalimani
@AbdallaAli-x8t
@AbdallaAli-x8t 8 ай бұрын
Chadema imekula kwenu mlizani uongozi uko regerege sasa chuma hichooo kinasafisha kila kitu .mama samia ushindi ni asubuhi tuuu tunamtangaza.hongera mama samia kwa kutuekea kiongozi mchapa kazi .2025 mama ww unashinda mapemaaaaaa
@jaydenbedas5729
@jaydenbedas5729 8 ай бұрын
Bei ya nguzo pleass
@neemanziku5403
@neemanziku5403 8 ай бұрын
Baba Makonda na vitu vimepanda maisha ni magum tufikishie kwa mama
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 8 ай бұрын
Kumbe ndo maana leo huku usa hamjakata umeme kisa makonda anakuja
@joycemeela8595
@joycemeela8595 8 ай бұрын
Huo ni uongo mm nimevuta umeme kulikua ni ngizo moja tuu laki tano na elf 55 mbona mnanyonya watu
@HumphreyKarua
@HumphreyKarua 8 ай бұрын
Hi bwana Makonda muenezi wa Ccm kero ya jiji la Arusha ni mgso wa umeme kila siku unakatwa hasa siku za kazi ila jumamosi n jumapili upo kwa nini hasa? Msisha no mzgumu bila ya umeme
@setiseti5281
@setiseti5281 8 ай бұрын
Makonda oyeeeee
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 8 ай бұрын
YAAN TANESCO WANACHUKUA PESA NYINGI SANA KWENYE NGUZO MIE NIMELIPIA LAKI 5 KESHO WASHENZI HAWA
@TwahaMpakani-pn4ov
@TwahaMpakani-pn4ov 8 ай бұрын
Dah aisee kweli siasa ni mchezo mchafu mh!
@Taito-brand
@Taito-brand 8 ай бұрын
Mmh hii nchii ukiwa unafahamu siasa unabak unacheka tyu😂😂😂😂
@SuleimanMponda
@SuleimanMponda 8 ай бұрын
Kwaiyo ukobara kufungiwa umeme shilling elfu ishirini na saba😮😮daa hapa Zanzibar kijijini 200.000
@chachawambura4030
@chachawambura4030 8 ай бұрын
Ishirini na saba vijijini
@africa7479
@africa7479 8 ай бұрын
hiyo ni 200 au?
@SalimAbdallah-tg1yo
@SalimAbdallah-tg1yo 9 ай бұрын
Eheeeeeee ule wako usimunganishie umeme😂mola sanaaaaa
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 8 ай бұрын
HAPA CHADEMA ASE WAJIPANGE DUH😅😅
@williamamon8440
@williamamon8440 8 ай бұрын
Jamaawa Tanesco yupo sahihi na kanyoka, wanasogeza umeme kwa wananchi, hawajasema ni lini, kama unataka kwa ratiba na haraka zako ni 450,000/-
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 8 ай бұрын
Hiyo ni biashara na mteja nimfalme
@TwahaMpakani-pn4ov
@TwahaMpakani-pn4ov 8 ай бұрын
Watanzania tupo ml 65 huyo ni mmoja tu aliye pata nafasi ya kuongea shida yake sasa tujiulize ivi kweli serikali ipo Sirius na hawa watu hohe hahe?
@cossanwambura1614
@cossanwambura1614 8 ай бұрын
Nenda sehemu husika
@NiarPull-im8fw
@NiarPull-im8fw 8 ай бұрын
Mi mwenyewe nimeombwa laki tano
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 8 ай бұрын
Usiwape mbwa hao
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 5 ай бұрын
Mimi ni mwananchi ila utaratibu lazima,
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 8 ай бұрын
Taratibu za kazi zitakiukwa sasa. Magu alifanya gharama kuwa 27,000/= lakini mama akadai nguzo ni gharama iweje makonda alazimishe kwa mtu moja? Iwe kwa watanzania wote sasa.
@MRPRESIDENT-w4l
@MRPRESIDENT-w4l 9 ай бұрын
Na ole wako usimuunganishie 🤣🤣😂😂
@amosmbangala9079
@amosmbangala9079 9 ай бұрын
Mwenezi tunakuomba njombe tunateswa nakunyang'anywa aridhi zetu nakupewa matajili kaimu mkuu waidara ya aridhi anaeitwa amosy imanuel luhamba fika tawi la ccm mjimwema njombe vielezo vipo hapo mheshimiwa
@NuruNyanja-kz1qr
@NuruNyanja-kz1qr 8 ай бұрын
Waongo wakubwa hawa wanatubana sana unaambiwa ununue nguzo utoe milion tatu bei yachini ulipie laki tatu nanusu hakuna elfu ishirini na saba
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 8 ай бұрын
Clip hii nimeshea na watu zaidi ya 200 ili wajue watumishi tanesco wanavyo tutesa wanchi.makonda nitoch ya wezi na wahujum
@YoshuaSeverino
@YoshuaSeverino 8 ай бұрын
Huyo mfanyakazi wa TANESCO angeshindwa kujiamini, ilitakiwa ataje bei ya nguzo, au tunapigwa nguzo hiwa zipo!
@HumphreyKarua
@HumphreyKarua 8 ай бұрын
Bwana Makonda umeme unafanya maisha kywa nagumu sababu uchumi unashuka sana dawa yake ni kuzukuza viongozi wagenbe jazini kama halivyofanya marehemu Magufuli hakuna mfao n Rea ilifungwa kwa sh 27000 tu sasa ni zaidi ya hiyo
@aminimushi6945
@aminimushi6945 8 ай бұрын
Watanzania tuna shida,hivi kweli uunganishiwe umeme kwa sh 27000/,inalipa gharama kweli,hii si danganya toto,Serikaii tuache usani,waya sh.ngapi,mita sh.ngapi,watumishi wanaofanya kazi hiyo sh. ngapi?
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 8 ай бұрын
Kweli makonda mwokoz wetu
@Commentsplus
@Commentsplus 8 ай бұрын
Nguzo ni sh?????
@HappyForestTrees-gc6hs
@HappyForestTrees-gc6hs 9 ай бұрын
Uyu soo mzima kiakili tizama alivyo
@georgegilbertkaizilege5347
@georgegilbertkaizilege5347 8 ай бұрын
Hapo ni uongo mtupu ukishakuwa na umbali unaohitaji nguzo unalipa bei sawa na mjini tu.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 8 ай бұрын
Kweli wanachi saivi wako huru kuongea bila kuogopa
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 8 ай бұрын
Tanesiko ni mbwa
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 8 ай бұрын
Waeke na bei ya nguzo tujue
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 8 ай бұрын
hizi njaa zitatuua
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 8 ай бұрын
Uo umerudi😂😂
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 8 ай бұрын
Hiv jaman hii hela makobda anagawa hiv ni hiz hizi kodi zetu au
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 8 ай бұрын
Ndio
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 8 ай бұрын
We kodi unalipa sh ngapi??!!!
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 8 ай бұрын
Wivu hukapata wewe
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 9 ай бұрын
Uyu meneja NI boya kweli kweli hajui lolote
@MRPRESIDENT-w4l
@MRPRESIDENT-w4l 9 ай бұрын
🤣🤣🤣😂😂😂😂
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 8 ай бұрын
27 hiyo kama hajaweka mfukoni
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 118 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,6 МЛН
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.