Mtwapa Day 4..+254705602959

  Рет қаралды 11,948

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Join this channel to access its benefits:
/ @biblianuruyadunia

Пікірлер: 73
@rehemafredrick7794
@rehemafredrick7794 Жыл бұрын
Mwenyekiti wakisilamu ako na hasira na malalamiko kibao 😂!! Ndacha Mungu akuweke maisha marefu uishi kuendeleza kuubiri injili ya Yesu Amen 🙏 🙏 🙏
@fauwilliam6780
@fauwilliam6780 Жыл бұрын
yani Mwalim Ndacha nakuombea kwa Mungu uishi maisha marefu watu wengi waokolewe na injili
@msonkoentertainmentke3309
@msonkoentertainmentke3309 2 жыл бұрын
Mwalimu ndacha barikiwa sanaa kwa ujumbe huu mtakatifu mkiwa pamoja na paul hassan be blessed
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi wa Mungu mkuu mwalimu Ndacha na Paulo
@casaica2993
@casaica2993 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mwalimu Ndacha MTWAPA INJILI IMEPEPEA JUU JUU kwa kila mtu
@eunicebukokhe6805
@eunicebukokhe6805 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana ambayo mnafanya mbarikiwa
@eunicebukokhe6805
@eunicebukokhe6805 2 жыл бұрын
Yesu asifiwe sana
@estermbogo7172
@estermbogo7172 2 жыл бұрын
Hakika wema na fadhili zake Bwana sitawafuata siku sote za maisha yenu....tunazidi kuwaombea watumishi wa shamba la Bwana🙏
@monicabh1668
@monicabh1668 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Mwalimu wangu Francis Ndacha 🙏🙏🙏🔥🔥🔥tupo pamoja kiroho.
@samlomnyaki5749
@samlomnyaki5749 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU ndacha uzidi kufunuliwa mambo mengi kama hayo...watu waweze kujua ukweli.
@josephmbotha4878
@josephmbotha4878 2 жыл бұрын
Injili ya bwana yesu ndio kila kitu.
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
Praise God Apostle Ndacha The message is great 👍May God continue using you to win soul's
@philimonimjapa1710
@philimonimjapa1710 Жыл бұрын
Hataakiondoka Mungu atatuinulia mwingi lakini namuombea apewe miaka mingi
@Andrew-oe3fs
@Andrew-oe3fs 2 жыл бұрын
Mungu akusaidie ndugu Ndacha together with the team, lakini hao wamelewa hata kujibu swali la mwisho hawakujibu
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
Sometimes we break up with people we love Not because we want but because of the way they treat us Be blessed beyond human understanding Apostle Ndacha
@sirpleasureb
@sirpleasureb 2 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 SIKIZA WEWE KAFIRI,NDIO UOKOLEWE LAZIMA UAMINI YESU KAFA MSALABANI,NA NI MWANA WA MUNGU.KWA WAISLAMU LAZIMA UKATAE YESU SI MWANA WA MUNGU NA HAKUFA.
@programminglanguagestutori9118
@programminglanguagestutori9118 2 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 Muhamad mtume wako kaelewa kuwa mungu akiwa na mtoto huyo mtoto anafaa kuabudiwa wewe nani?
@henrygitaungigi7793
@henrygitaungigi7793 2 жыл бұрын
Nashangaa, mbona mjadili kifo cha bwana wetu Kristo na huyu muislam mwenye haamini aya za bibilia? Huyu tayari ameshahukumiwa, kubali Kristo uokolewe
@sirpleasureb
@sirpleasureb 2 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 PCHA ULIOWEKA KWA PROFILE YAKO YAONYESHA WEWE KAFIRI
@programminglanguagestutori9118
@programminglanguagestutori9118 2 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 Between Muhamad and Jesus who should we trust most?
@MSABAHASINDANO
@MSABAHASINDANO 8 ай бұрын
Mungu awe nanyi Kwa ujumbe
@navokisembo
@navokisembo Жыл бұрын
Watching from 🇺🇸. Be blessed Ndacha na Paulo
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 2 жыл бұрын
Blessings Ndacha. Be blessed
@judithmoturi3402
@judithmoturi3402 2 жыл бұрын
Unabii njonjo🙏🙏
@henrygitaungigi7793
@henrygitaungigi7793 2 жыл бұрын
Good work team bibilia, keep the ball rolling and be blessed abundantly by our God
@juliusdominic-uk4bu
@juliusdominic-uk4bu Жыл бұрын
God bless ndacha na paul
@judithmoturi3402
@judithmoturi3402 2 жыл бұрын
Be blessed Walimu 🙏🙏
@philimonimjapa1710
@philimonimjapa1710 Жыл бұрын
Dacha njoo Kilimanjaro wilaya ya same ninataka nikuone nikuulize maswali
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
With determination 💪all things are possible Apostle Ndacha keep rolling
@monalisalebasoto2538
@monalisalebasoto2538 2 жыл бұрын
Magret who is ndacha 2 you
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@monalisalebasoto2538 Your Question hits differently....Why au asking stupid question like that..
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@monalisalebasoto2538 ask a question which has gone to group of schools 🏫and learn how to train your mind on how to mind your own business
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@monalisalebasoto2538 after knowing the reason what will you gain
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@monalisalebasoto2538 how does my relationship with Ndacha concern you
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Жыл бұрын
Mkiristo huamini yesu NI Mungu. Tafadhali na Muislamu anaamini NI Nabi. Muislamu Hawezi kuwa Mkiristo hata kwa DAWA LABDA Awe mpumbavu
@mangalaemanuel4797
@mangalaemanuel4797 8 ай бұрын
Njia gani utamtambua Mungu yupoje
@lewiskimathichabari7298
@lewiskimathichabari7298 2 жыл бұрын
Nyie waisilam mnaifanya Quran kuwa special no one can understand it? Mshindwe
@Aladeide
@Aladeide Жыл бұрын
Btw mada ya Mgongano/contradictions katika Bibilia na Qur'an naweza taka kuiskia
@Mudi-zk2cy
@Mudi-zk2cy 8 ай бұрын
Bibilia ni takataka.
@fernandoSipaque-zk4ul
@fernandoSipaque-zk4ul Жыл бұрын
🇲🇿good work Pastor God bles all team.
@loysamwel6308
@loysamwel6308 2 жыл бұрын
Waziristan alituma pesa sikiiyonemanga mahali ulipo weka mkutano nomadic landi
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
People are just People even if you spoon feed them they will hurt you beyond human understanding 💯🙂
@isaiahonyapidi5662
@isaiahonyapidi5662 2 жыл бұрын
Msizunguke Mombasa pekee mkuje Malaba Border
@beatricemutambala3972
@beatricemutambala3972 2 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 yesu aikufa na kufufu baada ya siku tatu sasa muamadi naye kakufa na kwa sasa iko kwayule ibilisi mwenye amusilimisha anapata chamutemakuni ila a yesu yuko mbinguni akiandalia makawo wakristo wote. Ndugu unafatana na ndacha sana ni majini imekuingia kipindi umekuwa na swali nayo msikitini ahu ni ibilisi ambaye amewafanya vipofu vya roho na mwili hamutaki ukweli wanawafundisha ila munakazana na dini yenye imemusilimisha ibilisi shetani na majini kisha munasubiri kuingia peponi na ibilisi na majini na muwamadi nyiye waislamu poleni sana bibilia inasema yesu ndie njia ya kweli na uzima hakuna ingine njia yakuponya nafsi yako
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 kzbin.info/www/bejne/d3_SZ5eOmJecY5I
@monicabh1668
@monicabh1668 2 жыл бұрын
@@beatricemutambala3972 hawa walihukumiwa kitambo sana
What Happens to the Human Body in Space?
14:58
Math and Science
Рет қаралды 592
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
3 Hours of Reality-Bending Paradoxes to Shatter Your Perception
3:00:40
Smarter While You Sleep
Рет қаралды 206
NANI ATAPTA UZIMA WA MILELE?    MUKURU KWA REUBEN
25:03
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 298
🔴 LIVE MADRASAT HIDAYA MTONI KIJICHI DSM 2025/1446H
BABDEO MILADU
Рет қаралды 9
MASWALI NA MAJIBU  MUKURU KWA RUBEN
32:02
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 875
FUNDISHO PAMOJA NA MASWALI NA MAJIBU PT2   MUKURU KWA REUBEN
8:00
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 93
MASWALI NA MAJIBU
2:25:22
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 360
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.