Mudathiri wewe ni machine hatari sana pale katikati Guinea walipoteana.
@ZubedaHamisi-d3bАй бұрын
Kabisaa😅
@PiusSeleman-q4vАй бұрын
kaupiga mwingii apewe maua yake👏👏👏🙌🙌
@ToradEmanuelАй бұрын
Mudathiri kijana mdogo ball la kutosha + Akili nyingi we appreciate your effort Brother
@cloudngoko.2679Ай бұрын
MUDATHIRI YAHYA HUYU JAMAA APEWE HESHIMA YAKE MAANA KILA NIKICHEKI GEMU MUDA & FEISALI SALUMU WANAKUPA KITU UNAKIONA YANI TEAM NZIMA NAWAPA MAUA YAO.
@PiusSeleman-q4vАй бұрын
Man of the match
@rehemawamwarami3854Ай бұрын
Mwanangu mie umenikosha sanaaaa
@BenardChegere-nl4mjАй бұрын
Sema ankoli anajua bolii for sure
@BenardLucumayАй бұрын
Alipaswa kuwa "man of the match"!
@panchovalentino3576Ай бұрын
Noma saaaaNa 💪🔥💯⚽
@augustinemaindeАй бұрын
Huyu jamaa ana ndoto za mbele zaidi
@nasridinmohamed319419 күн бұрын
kweli kabisa
@SaidiUchebeАй бұрын
Mm ni simba but mudathir ni mtu mwenye muono wa ki mpira ambao wanacheza wachezaji wakubwa ,,,na ukitaka kujua hili nililoongea mchukue kibu au mzize mueke ktk Ile space aliokaa mudathir na akatoa assist uone watafanya nn
@ErickKonkiАй бұрын
Siyo lazima useme wewe ni Simba hii ni timu ya Taifa
@malietamalietАй бұрын
ata mm ni yanga ila nimefurahi manula kampiga chini popcorn
@josephevaristi8923Ай бұрын
Kwangu mm Feisal salum ndo mchezaji bora
@MariaMsukuАй бұрын
@@malietamaliet 😅😅 Ila Kuna watu wakorofi
@SaidiUchebeАй бұрын
@josephevaristi8923 mfuatilie muda vzr jamaa ana khatari
@AbuuAaliyaАй бұрын
Congratulations my wajna
@princezebest7453Ай бұрын
Kumbe mkitukanwa mnashinda EEh!! Basi tushajua sasa mtakoma😂😂😂😂
@Jambo-w5bАй бұрын
Hemed Morocco kawapeleka Morocco Kwa matusi😂😂😂.
@seciliamchalo5627Ай бұрын
@@Jambo-w5b😂😂
@BalaleMikateАй бұрын
Tunalipenda taifa letu😂😊
@DENISMAKALAАй бұрын
😂😂😂😂😂kichaa kapewa rungu
@austinmwainyekule8773Ай бұрын
Matusi ya Julio na Mgunda huwezi kuyavumilia😂😂
@allymngwaya2831Ай бұрын
Kabisaaa
@halfanimalinda5421Ай бұрын
Sema huyu dada anapambana sana nampa 🎉🎉🎉 yake
@SharifuIssa-m9hАй бұрын
Ayapeleke wapi ayo maua yake
@SylvesterKameoАй бұрын
Kweli kabisa, anajua vema kazi yake!
@Meshack-f8bАй бұрын
Dada gani tena unaemsema ww kua ni mpambanaji, au mwenzetu haupo humu ndichi
@MagrethKyaruziАй бұрын
Hiiii 😂😂 matusi tu
@HemedyMustaphaАй бұрын
Msuva kwa kweli mudathir kaupiga mwingi
@gazbrax2337Ай бұрын
Safi sanaaaa
@HamzaAli-f3yАй бұрын
Feisal ndy mcgezaji bora tz kwa sasa
@marysaimon2213Ай бұрын
Mr assist, mambo
@bahatinassorali5222Ай бұрын
Raha jamami🎉🎉🎉
@ShukuruMakokoАй бұрын
Nakubari
@KhaleedHamad-vl7lzАй бұрын
Muda uko vzr sana lkn mkongwe anapewa namba kwa ukubwa tu Kuna wtt nje Nina uhakika Wana uwezo wa kufanya vzr tu tulione hili
Duuu hatari, hakuna lugha nzuri ni matusi tu, ndo tukapata hasira 😂😂😂
@HadhifaTellaАй бұрын
Muda daah unajua boli😂
@akrajackson854Ай бұрын
Next time na makofi juuuu😅
@muttae2Ай бұрын
Mitusi Bench😂
@bilalkhamis_Ай бұрын
Nimecheka kishenzi😂😂😂😂.... ni matusi tu😂😂
@ZubedaHamisi-d3bАй бұрын
@bilalkhamis_😅😅
@neemaisrael688Ай бұрын
MUDA🎉🎉
@DeograsiasMhaikiАй бұрын
Halafu utaona Kule Morroco utashangaa wanawapeleka akina Miroshi
@JohnsoniNyaulingo-lj9qcАй бұрын
Mkienda Morocco mitusi tena
@agapemunyi2095Ай бұрын
Bila Matusi hamuendi Bora mmetukanwa na mmefaulu
@lepholosiapril3759Ай бұрын
Kumbe ni mpaka mtukanwe...pumbavu zenu! 😄😄😄😄
@abdallahmchange1370Ай бұрын
KUMBE MAKOCHA WETU NOMAAA😂😂😂😂
@Tarent-o8fАй бұрын
Sana ndomana timu nyingi za mataifa africa zina funzwa na makocha wazawa
@samuelmwaipopo1302Ай бұрын
Bonge la assist mwana
@rich-lr8tqАй бұрын
ni matusi tu... hahahaa kumbe ukifokewa unapata hamasa
@mckobatz5861Ай бұрын
Ni mitusi kwa kwenda mbele😂😂😂
@abdallahkambangwa7215Ай бұрын
Muda sio poa
@abubakarali-wahid2876Ай бұрын
Mashallah
@godfreylushiku3081Ай бұрын
Ni mitusi mwemwere mwemwere imehamasisha vijana
@patrickkilongo3214Ай бұрын
Uyu mwehu ety matusi tyu!!😂 dadeq na kazi munayo Julio yupo mule ndan mjipange ukizingua yule anakuchana direct na matusi juuu
@NELSONKALULUАй бұрын
Mwandishi nimekuerewa kumbe namba unatoa
@pascalemmanuel2557Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@reubenalfred9707Ай бұрын
Kuna chuma nyuma ya camera ameomba namba fasta 😂😂
@AbuuKhuzaimah-z8iАй бұрын
Kuna watu wambea ktk hii Dunia umenifanya nirudi kuangalia tena😂
@firdawsrammy9992Ай бұрын
Huyu dada yuko vizuri jamani Ayoma muongezezlni salary tu ❤
@NikoMsombaАй бұрын
Uyo dada Nampenda Sana
@karimHemedАй бұрын
One of the best midfielder boks to boksi ndan ya hii nchi am kwel n mwamb asiyeimbw hil binafsi namkibqk san fund wa boll huy
@arafatmbaruku8927Ай бұрын
Kwahyo matus yakiendelea mtafka mbal 😂😂
@seciliamchalo5627Ай бұрын
Hata Mimi naona inabidi waendelee kupewa mitusi ili tufike mbali 😂😂
@DoryGeorgeАй бұрын
Kumbeeee
@PaulAntony-i4cАй бұрын
Mdasili uko vzr kwa ujumla leo mmejitahid sana
@KapeLoBoYАй бұрын
hahahahahaha tumefurah mnooo na africa kwa ujumla imefirah ni mda xaxa wakulud mavrch maxhine anoe utupe furaha xixi wananchi
@susanbomani4120Ай бұрын
Siri ni kujitolea
@nasridinmohamed319413 күн бұрын
mudaa wewe ninomaaa siongei Tena upo yakini ukweli nasema
@DanielBenard-c5mАй бұрын
😮😮😮
@MagrethCostantineАй бұрын
Matusi mtayaoga
@seciliamchalo5627Ай бұрын
Siyo kuyaoga tu na kuyanywa ikiwezekana walambwe na makofi kabisa 😂😂
@selemanmcharazoАй бұрын
Shujaa asiyeimbwa
@fauzishabani2622Ай бұрын
Fimbo ni dawa
@eliuskamwelwe1018Ай бұрын
Sema zenji kuna wechezaji siku wakipew kibal na FIFA wawe na timu yao TANGANYIKA tumekwisha😂😂
@DEBORAWILLIAM-m3nАй бұрын
Yaani Tena tume kwisha embu imagine tu Feisal, mudathir, baka mmmm na kuna mchezaji mmojaivi mwingine wa Azam nae sio poa ni mshambuliaji yaani siku wakiunda timu Yao baaasi tumekwisha😂