Please subscribe now on our KZbin channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #diamondplatnumz #Samatta
Пікірлер: 248
@user-le3fj5xe9zАй бұрын
Ni diamond platnumz wa Kwanza leo mkongomani
@sadibatangalwa589029 күн бұрын
Diamond platinum ongera sana tunakupenda Mungu akubariki kutokea drcongo
@CollisBill-mu3zp29 күн бұрын
Yes Diamond Platinumz on my way Jamanii wasanii wanampungaaaa🎉🎉🎉
@Johndestar47027 күн бұрын
Utajiri wa Mbwana Samatta na Diamond Platnumz unakaribiana sn...na Wote wako Vzr sn 👏👏👏👏👏
@SautizaSiasaАй бұрын
Thanks for the consistency on uploading videos on your channel 🎉🎉
@FadhiliMnyongeАй бұрын
Nimadeni tuu😂😂❤
@BarbaraPatience-qt9ccАй бұрын
Asante sana Simba umemaliza utata! Nyinyi watanzania ni wa jinga wa mwisho,mashetani wakubwa ma ibilisi wenyewe huyu diamond ni fahari yenu na vile munampiga vita na kumkataa na kunidharau hebu tupeni sisi wakenya awe wetu huyu kijana muone vile tunamuenzi!!!!! Sisi hatutukani Calligraph ,wala Sauti Soul tunaeapenda sana nyinyi bure kabisa
@user-gs9mt1vp7i29 күн бұрын
Kwel bro Tz hua hawajui thaman ya madini yao,ndivyo walivyom-underrate Kanumba baada ya kuondoka wakagundua kosa lao
@chusseboywcb280829 күн бұрын
Point sanaaaa bongo shida ndio zinafanya watu kua nachuku😂
@vicentjohn25 күн бұрын
Fala wewe
@jobmkumba288220 күн бұрын
@@BarbaraPatience-qt9cc elewa mada ndo ukomment Samatta n mtanzania na Diamond ni mtanzania sas ww unacomment bila kuelew mada
@MgolaKatembo20 күн бұрын
Ukosawa
@ibrahimrich8289Ай бұрын
Mondi anazidi iyo hela kwa sasa anafika Dollar milioni 25 iv
@shwaibukhatibu283825 күн бұрын
Acha uongo hapo kuna bolioni 11 za mauzo ya wasanii wote WA wcb ukiondoa hio wngekuwa sawa lakini pia sio rahisi Samata kupitwa utajuri na Mondi
@Deamediatz25 күн бұрын
Wewe una shingap tafuta pesa diamond hakusaidii lolote kk
Ila Kusema Ukweli Diamond Platnumz ni Tajiri zaidi kuliko Samatta 👏👏👏👏👏
@ecoty5698Ай бұрын
Diamond bhana😂😂😂 namkubali sana huyu broh
@user-df5gw2mq2nАй бұрын
izo family 🙏🔥 wachanje mbuga tu🙏
@user-pd2bd6by8lАй бұрын
Diamond é mais que qualquer cantor aqui na África
@kidmozjkm796529 күн бұрын
Concordo plenamente contigo
@NobreDacapim-g3x27 күн бұрын
Voçe não têm pensamento
@higildomajacho510421 күн бұрын
Más Samata e grande jogador mano
@armandoleonardo6966Күн бұрын
Não me digas que estás a falar numa barraca. Qual é a fortuna que Diamond tem o senhor dizer isso?
@Anthonyzombie-d2sАй бұрын
Asnte middle simba ,mondi baba lao❤❤
@user-dg1ik8jz8o29 күн бұрын
Diamond ni tajiri sana simba lama simba❤❤🎉🎉
@gabrielmushi2813Ай бұрын
Kama Na Wewe Haukubali Hii Piga Like Hapa...
@princefahdan9385Ай бұрын
Simba
@user-qd9jx4hd9d29 күн бұрын
Ndesa boy diamond platnumz ✨✍️
@tabuleySHABANIАй бұрын
Siiiiiiiiiiimba
@PatrickPolomba29 күн бұрын
Ongera Simba babalaooo ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@EdwinJohn-vo8uf29 күн бұрын
Diamond platnamz ❤
@jonhshao391729 күн бұрын
Simbaaaaa
@ramadhanihot194529 күн бұрын
Daimond platinum
@mohammedkidody561829 күн бұрын
Diamond platnumz🦁
@user-ig8hd7xg6r29 күн бұрын
Kam ww ni mpare like hapa
@FrankMwakanyamale-lj2ju15 күн бұрын
Acha ukabila
@Yummycuisine269_23029 күн бұрын
Why compare a footballer to an artist? two different worlds , make it make sense 😅
@ashirievara8542Ай бұрын
Diamond Platnumz ni tajiri muda wote kwasababu yeye ni mfanya biashara samatta yeye ni mwana football zaidi hivyo basi samatta awezi kumfikia
@allahisone638629 күн бұрын
HHHH🏃🏃 HHHHH
@ELIFASMADEBHO29 күн бұрын
Nawewe vp unautajir gn
@fellyvoicetv443329 күн бұрын
We unauhakikka upi kuwa samatta sio mfanya biashara😂😂 usikalili watu wengine huwa hawapendi kuweka vi2 zao wazi
@donlinechanell476027 күн бұрын
Hapo hapo ukiambiwa dewj ni tajiri kwa Ronaldo utabisha kwa fact hyo hyo ulio sema
@HamisiSalehe-c6b26 күн бұрын
Nakubar
@pepa09mapxne25 күн бұрын
Yeaah ni kwel kama unaamin piga like
@ImaniMsafi29 күн бұрын
Ulizungumuzakuusu bia hiobia ni SERENGETI lite rakini kwajinsi. Simba diamonde pratinamz pratinamz tunavyojua kiukwl umemukosea heshima kidog izohera anazizidi Sana
@OmaryKibonaАй бұрын
Diamond ajengewe sanam kaliakoo
@jumajumanne1455Ай бұрын
Nakubal
@ramadhanihot194529 күн бұрын
DAIMOND PLATINUM TANZANIA ❤
@PedroRachidekalamaga29 күн бұрын
Diamond plntnumz ndo baba lao 🇲🇿
@babalao325029 күн бұрын
Na simba la masimba Dangote
@ZarafiabdallahMatwali29 күн бұрын
Mnyama cmba baba lao
@mathtech_ik25 күн бұрын
Mtangazaji huelewi mpira hiyo figure ni thamani ya mchezaji sio take home hayo malipo yanaenda kwenye management na yeye anapata percent
@ramayonline228129 күн бұрын
Naamin Diamond kwa sas anazid hyo rate he is more than that
@HASHIMMAKUNGUHAMDANI29 күн бұрын
Middle simba nimetoka na wewe tangu 2021 na hicho kibiti kuzuri sana
@NdakhiSusu-qz9md29 күн бұрын
Haujui🔥🔥🔥💯
@Shady_Kizzo_Vevo26 күн бұрын
Umetisha sana bro duuh
@josephmalukiАй бұрын
Samatta obvious
@agustinorichadi125329 күн бұрын
Kweri kabisa
@AllyBabu-kr6lg29 күн бұрын
Mi chawa wa konde ila Leo umefeli samata boya tu kwa mond
@gabrielmushi2813Ай бұрын
Like Hapa Kama Wewe Ni Mchagga
@wilsonsilva371829 күн бұрын
weka mikono ju Diamond sio mchezo ana yela kweli kweli
@gabrielmushi2813Ай бұрын
Bia Ya Serengeti
@maidoibaicaldaude4338Ай бұрын
Wakwanza leo
@ChifuMaluma7 күн бұрын
I love you mond wasokupenda wale sumu na wajinyonge kabisa
@RamazaniMustafa29 күн бұрын
Nakubali diamond ni Simba kweliii
@SalahBoyplatinum29 күн бұрын
The fact 🎉
@MasokaSakina29 күн бұрын
DIAMOND PLATINUM
@emmanuelmaziku201829 күн бұрын
we nae umejuaje
@AugustineFadhili29 күн бұрын
Acha uongo we fala according to Forbes samatta ana utajili wa dola million 20 , ndg yenu Sasa dola million 7 . Hii nchi mashoga hawawez kuisha kama hyu jamaa kutwa kimsifia mond vitu vya uongo.
@NdakhiSusu-qz9md29 күн бұрын
Unateseka ukiwa wap wew kum2🤣🤣🤣
@AugustineFadhili29 күн бұрын
Mtu anawadanganya Karne hii kwel, wakati Google ipoo, ww kwel shoga maarufu😆😆😆
@zaphrineburinozaphrine346722 күн бұрын
Anatakaanga mondi amfire😂😂😂
@ramadhanitokwete806922 күн бұрын
Kk umeandika kwa hasira na chuki😂😂😂😂😂 Tafta hela kk
@islamisco811829 күн бұрын
❤❤❤
@nakupendamamayangu909720 күн бұрын
Ahsante sana utata umekwisha maana nilikuwa nikiishiwa mate kweli kweli
@FrenkCosmePedroPedro-lb3ro12 күн бұрын
Good ,Daimond Big Bosssss Africa🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@hatibumohamedi347119 күн бұрын
Samatta ana hera weww diamond biashara zake ni share
@MarcellySumaye-bv5lh29 күн бұрын
Samata mpambanisheni na kiba
@RamadhaniMshana-gk6vm29 күн бұрын
Fact
@user-rm2mq8un4s12 күн бұрын
Aisee may Allah be with u guys
@user-mj5ds7il9u7 күн бұрын
Diamond❤
@mfalmekaitaba242529 күн бұрын
Wanamziki wanapesa nyingi sana kuliko wachezaji,wanamziki mastar kabisaa wanaingiza pesa nyingi kupitia mauzo ya digital n.k
@omarswaleh608224 күн бұрын
Huwezi kumfananisha utajiri wa samata na mondi . Samata utajiri wake ni wa halali sio kama daimondi wa freemson
@omarswaleh608219 күн бұрын
@@cylviapatric7343 kwani Mimi ni mpumbavu kama wao
@cylviapatric734319 күн бұрын
@@omarswaleh6082 najuaje Sasa😃
@billomlewa498529 күн бұрын
Good
@agogomgagagigigogo29 күн бұрын
Naona mijitu ya utimu inaumia humu kisa tu kuona Simba anakimbiza,Simba anamakampuni kibao nyie na ameajiri watu zaidi ya buku ko c mchezo mtu kuwalipa watu wote hao ,acheni wivu😂😂😂
@ELIFASMADEBHO29 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@patrickkahangwa666619 күн бұрын
always diamond platnumz is the best
@OmaryKibonaАй бұрын
Izo b27 ndo ambazo alilipwa Justin Bieber kule india
@spjr838129 күн бұрын
Na ww ulilipwa kias gan
@foibennjeje77309 күн бұрын
Boss wangu ni tajiri kuliko wote maana hao wote ni masikini tu
@zomasamweli24 күн бұрын
Sasa milioni 70 kwa wiki ndo umulinganishe diamond 😂😂😂😂 diamond show moja TU nizaidi ya hiyo hela ya samat haya bado anauza nyimbo KZbin haya anafanya matangazo na makampin kibao haya ana Lebo wcb ana media tv na fm haya ana wasafi bet
@DamianMwacha-si4og29 күн бұрын
Simba 💰💰💰💰🦁
@COLMANTEMBA-t1g6 күн бұрын
Simbaaaaaaaaaaa
@DianaModesto-ze5kr28 күн бұрын
Samanta sio wakunfanisha na mond Samanta ni wa kawaida
@Gabriel-xf6fg26 күн бұрын
Nikifikilia utajiri wa mond afu mimi ninapambana usiku na mchana na bado sina hata utajiri wa raki tano najikuta nikimuona diamond kama shujaa wa kizazi chetu maana sio rahis kabisa
@donlinechanell476027 күн бұрын
siaminigi data za Forbes japo najua diamond anapesa kuliko samata .
@achawanunetv1167Ай бұрын
Acheni uongo
@chusseboywcb280829 күн бұрын
Tupe ukweli ww Saidi kichwa
@HamisiSalehe-c6b26 күн бұрын
Kwanza diamondi zinazidi anakama dola milioni.12
@barakarajabu975128 күн бұрын
Simba ana tisha
@hilalothman566429 күн бұрын
Samatta is no longer in PAOK.
@TimoBoy-k5w19 күн бұрын
Diamond platinum kwa ciku anaingiza shingap❤❤❤
@JeremiahMathayo-lj6ck13 күн бұрын
Mondi Anaela San ❤
@MwamposaJunior12 күн бұрын
Simba ni tajir mziki una Hela kuliko mpira muone Kanye west na Jay z alafu waangalie wachezaji kama Messi na Ronaldo wameacha mbali diamond ni fireee
@AbdAli-m7o7 күн бұрын
Noma diamond aaaaa sio mchezo hiiii
@goromamussatvonline21 күн бұрын
Tangu lini Football na Music wakalingana kiuwezo wa Fedha Samata bado sana naata apo amejtahd sana kwan muda wote wao nkutumikishwa sio kujitumikia. but samata angekua mfnya biashara angekua mbali sana sema anafugwa kama Mwanafunzi ata pesa anayopata afaid kama anavyofaid Simba😁😁😁
@Lastbornecadet29 күн бұрын
Kazeni mazee 😂
@MartinShama-f3l13 күн бұрын
Baba lao ni noma but samata nnnn🎉🎉🎉
@mohdhussein454819 күн бұрын
Acheni kumsfia mtu hvo ni ujinga mnakera kwan diamond ni mungu mtz cjui mpoje
@ramadhanmsangi467613 күн бұрын
Middle simbaaaa mm nishabiki wa diamond platnumz lakini mwana samatta yuko vizuri sana sema siyo mtu wa mitandao
@AmourHaroub-lv8ll29 күн бұрын
Twendeeeeeeeee😅😅😅😅
@assatz328 күн бұрын
diamond ndo msanii mwenye pesa defu
@johnmichaellukindo2123 күн бұрын
Diamond tajiri sanaa! Samanta hata nusu hafiki!
@sayeedfellah470629 күн бұрын
Samata mtu analipwa pounds kila week
@ndayizeyeemmanuel21121 күн бұрын
Naomba kujua utajiri wa Mtoto mdogo mwenye hela nyingi nadhani umemfahamu
@Chapesatv29 күн бұрын
TEAM MADENI TUJUANE 😅😅😅😅
@ElickInosenti20 күн бұрын
Samata nakukubar kaka%100
@patrickkahangwa666619 күн бұрын
🎉🎉
@SeifAmer-h9q20 күн бұрын
Mond kwa sass ana miliki t 1,5
@AugustineFadhili29 күн бұрын
Mbwana Samatta (Forward) has earned approximately $20,492,194 gross in his playing career. He last played for Genk (First Division A) in 2022-2023. Base salary estimates are not inclusive of bonuses or incentives. Actual salaryies may vary. Coverage may be limited or incomplete.