MUENDELEZO CHANZO CHA MTOTO WARDA KUPOTEA/JITIHADA ZINAZOENDELEA/MARA YA MWISHO KWENDA SHULE

  Рет қаралды 18,874

Geah Habibu

Geah Habibu

Күн бұрын

Пікірлер: 152
@remiomar7154
@remiomar7154 Жыл бұрын
Huyo mwalimu nnamashaka nae asijekuwa alimpiga mpaka akafa n amkazika 😢bila watu kujuwa
@coclewitgar-sn8vn
@coclewitgar-sn8vn Жыл бұрын
Kabisa Yani huyu mwalimu kamuua huyu mtoto
@Thebaddest255
@Thebaddest255 Жыл бұрын
Kama kweli huyo msichana alikuwa Ana tabia za ajabu na huzipendi si umrudishe kwa wazazi wake Ona Lina kukuta
@AminaRamadhani-gx8yr
@AminaRamadhani-gx8yr Жыл бұрын
Da gea mgemtafuta dada wa kazi akibanwa atasema
@asiamerey9081
@asiamerey9081 Жыл бұрын
Dah maneno ya dadaake yameniliza sana inshaallah mungu atajalia atapatikana
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Жыл бұрын
Mwalimu .WEMA anatoa..maneno yauongo wamemuuwa hao
@shaaden-
@shaaden- Жыл бұрын
Huyo mama si akamatwe jamani!😢
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Жыл бұрын
Asantee GEA KHABIBU
@jenipherjackson3826
@jenipherjackson3826 Жыл бұрын
kwanza mpk Sasa uyo mwalimu anafanya nn nymbn kwake Kwa nn asikamatwe apewe kibano🥲🥲 #serikaliiiii 😔
@zehrahaji1566
@zehrahaji1566 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu amjaalie apatikane akiwa mzima yarabily Alamiin
@nyamizishaban8815
@nyamizishaban8815 Жыл бұрын
Yote kwa yote !!! Mwenyez mungu ajaalie apatikane au upatikane mwili
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v Жыл бұрын
Inaumiza hii, eeh Mola mlinde huyo binti arejee salama kwa wazazi wake 😢😢😢
@adiventimwanga9937
@adiventimwanga9937 Жыл бұрын
Jamani simuende alipokua anakaa muangalie kwenye makaro ya choo
@Jamillahs1
@Jamillahs1 Жыл бұрын
Mwalimu toa maelezo inaonyesha ww ndie uliemficha kama unalea mtoto wa mtu na amepotea lazima utoe ushirikianao ni ww tu ndie unaejua na kama gharama wazazi wenyewe walikuwa wakitoa ww ulikuwa unag'ang'ania kukaa nae tu sema ulichomfanyia kwanza sio haki kumuacha na huyu mama nje lazima agewekwa ndani
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Nyiiiiieeeeee. MWALIMU AKAMATWEEEEE ATASEMAAAA UYOOO NI MUUUWAJIIII. MNAPOTEZA MDAAAAAAAA
@HoneysugarPudding
@HoneysugarPudding Жыл бұрын
Hivi kweli miezi mitano asitokee hata mtu yeyote aliyewahi kumuona kwani atakua anaishi dunia gani? Allah asimame katika hili.
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Kuna mtu yupo Moshi katoa taarifa Global km wanamuona huko kwahy kamanda mkoa wa Pwani wanaanza kufatilia km kweli ni yy au sio yy
@HoneysugarPudding
@HoneysugarPudding Жыл бұрын
@@OfficialA83640 iwe kheri Yarab apatikane familia yke ifurahi jmn
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Жыл бұрын
​@@OfficialA83640niungo tu yani danganya toto iyo😢
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg Жыл бұрын
Kwa watu wanaofatilia “TRUE CRIME” naamin huyu mtoto kauliwa na huenda kamzika Kama sio wakamzika..huenda alimuua akapanick kamuita mtu wakasaidia kumzika ..sabab behaviors zake zinaleta utata 1:kutokupokea simu za wazazi wa warda 2:jinsi anavyowakwepa hata kuonana nao 3:Kwanini atoe taarifa kwa kuchelewa 💔💔 Yote namuombea apatikane Salama Inshallah
@samahamed2418
@samahamed2418 Жыл бұрын
Kamuua huyu
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Жыл бұрын
Pia kuama sehemu aliyo kuwa anakaa kumfukuza kazi mfaynaki wa nyumbani nguo za mtt kukutwa juma ya nyumba😢
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg Жыл бұрын
@@safiyanirram-pf3sv tuombee mungu apatikane salama
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Жыл бұрын
Polic wakachunguze kule alipohama huyu mwalim itakuwa kamfukia kule ndomana akahama haraka
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Жыл бұрын
Inshallha waa atapatika kwa uwezo wa Allha ufanyie dua siyo part akipatika
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Жыл бұрын
Police wa tanzania bwana sasa mwananchi ndo aende shule akachukue maelezo kwa wanafunz like serious???? Hii nchi inakera sana
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Nimewaza sawa na wewe wa hovyo mno ila wakisikia maandamano ya upinzani au mikutano magari yana Petrol watajaa na maguvu yao.Ila kwa maisha ya raia ni ziro.Hawa hawana elimu ya upelelezi wanangoja fununu kwa watu aibu tupu
@salha.d5060
@salha.d5060 Жыл бұрын
WE MWALIMU NI MBAYA SANA, WAKATI WA MUNGU NI SAHIHI.HAKUNA LISILO NA MWISHO
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Yani nasikiya uchunqu kafanana na Binty yanqu kabisa munqu tenda miujiza arudi mzima huyu mtt jamani
@jarsjam8894
@jarsjam8894 Жыл бұрын
Haiwezekani warda ende kwenye magroup mabaya wanakubabaisheni tu. Tungoje hiyo kesho insha'Allah
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj Жыл бұрын
Yaani mm nashangaa tangu Mtoto alivyo potea mpk SS mwalimu yupo nje anakula Raha viongoz mpo WP mjalini uyo mama warda anaumia 😥😥
@wahidaismail503
@wahidaismail503 Жыл бұрын
Hivi hatuna askar tanzania
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Wapo kuzia Lisu asiende Ngorongoro
@laylamroroo5787
@laylamroroo5787 Жыл бұрын
Allah awape subra inshaallah kama yuko hai Allah abainishe na kama kashatutoka Allah ataweka wazi inshaallah kwake hakishindikani kitu
@ashooeamohammedkhamis7742
@ashooeamohammedkhamis7742 Жыл бұрын
Hii kesi jeshi la police ndio wanachelewesha huyo mwalimu alipaswa kuwa Mahabusu kutoa ushirikiano vizuri sasa mtuhumiwa wa kwanza yuko uraiyani anadunda na police wanatazama tu sasa tukimbilie wapi jamani watu ndio maana wanachukuwa sheria mkononi
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 Жыл бұрын
Mkuu Wa nchi mwenyewe boya ndo maana police wanachukulia hilo suala poa ingekuwa magufuli ingeeleweka hapo
@chemstry409
@chemstry409 Жыл бұрын
She is innocent kabisa...wamemuuwa tu huyo mtoto...
@asiabakari3693
@asiabakari3693 Жыл бұрын
Huko Kibaha fanyeni mpango tupeni picha ya Mwalimu
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
MWALIMU atafutweeee ASHIKWEEE AELEZEEEE jamaniiii pls. MWALIMU anajuaaa kamfukiaaaass kamuuuuwaaaaa
@celinaphysoo4919
@celinaphysoo4919 Жыл бұрын
Huyo mwalimu ni muongo kama kweli warda ametoweka mama ake amesema ana namba zake za cm kichwani lazima kwa vyovyote angempigia mama ake , kwa maelezo hayo tunaona huyo mama kuna kitu anaficha kwa vile serikali haitoi ushirikiano ndo ivo tu sasa ila Mungu awatie nguvu
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Wakachekiii kwenye hileee nyumba aliyooo hanaaa kamfukia hukooooo
@tatually1366
@tatually1366 Жыл бұрын
Ukweli pole
@tatually1366
@tatually1366 Жыл бұрын
Pole mama ward Sana
@esthermashingangi4698
@esthermashingangi4698 Жыл бұрын
Had hapo inaonyesha wazi kuna sir imejificha .mwali'm na mfanya kaz wachukuliwe atua .kwann ana ushirikiano km mzaz
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Nyiiieeee HIYOOOO MWALIMU anakituuuuu MCHAWIIIIIIII AELEZEEEE tuuuu mwangaaaa huyooooo
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Жыл бұрын
Huyuu Mwalimu WEMA kamuuwaa WARDA sio bure .siku .zotee hizo watuu wanapaza. Sauti kamuuwaa .tuu. ndio maana hatoi..ushirikiano R.I.P .WARDA😢😢😢😢
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
Jamani imenitokea kama story ya mama Warda kwa mtoto wangu, lakini mungu yuko tu. Siku ya malipo itafika. Inshaallah 🤲🤲
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Жыл бұрын
Kwaiyo umempata
@ghanimaalabri5783
@ghanimaalabri5783 Жыл бұрын
Pole sana sasa ulimpata
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
@@ghanimaalabri5783 Bado sijampata,Namuomba mungu tu anisaidie 🤲🤲🤲🤲
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Aminywe mfanyakaz abanwe Atasema ukweli
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Жыл бұрын
Mwalimu Wema Alimrudisha house girl wake kwao ndo akahama pale kukwepa usumbufu.
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Kuna kitu kafanya kama hgirl kamrudisha kwao kwa hivyo kauwa ushahidi. Hivi kwa nini asiwekwe ndani na aseme hgirl kwao wapi nae akaletwe waminnywe hao
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Жыл бұрын
Ndio maana mwalimu .WEMA Anahsmahama. Damu yaa WARDA inamsumbuwa. R.I.P WARDA .😢😢😢😢
@OfficialA83640
@OfficialA83640 11 ай бұрын
Jaman kapatikana Warda hajafa eeh😂😂😂
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 Жыл бұрын
Hata kama anamiliki simu ndio umuambie mtoto usirudi mpaka uje na simu ingekuwa mtoto wako ungemfukuza kwasababu ya simu tu haiingii akilini jeshi la polisi ni la kulaumiwa eti uchunguzi unaendelea
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
KAmfanya NDONDOCHAAAAAS. MWANGAA HUYOOO MAMA. AKAMATWEEEE MWALIMUUU
@zainabukivale9571
@zainabukivale9571 Жыл бұрын
Shikamoo magufuri wetu sizani kama angekuwepo mbaka leo hii uyo tich angekuwepo kazin
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
LABDA kachukuliwa kiuchawiiiii. Jamaniiiii SERIKALIIII MSAIDIE MTOTO PLS
@wemakalama6458
@wemakalama6458 Жыл бұрын
Kwani serikali kazi yake nini jamani mbona sielewi.
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 Жыл бұрын
Huyo Mwalimu anabahati kakutana na familia wapole, ingekuwa mm siendi kwenye sheria nizungushwe hivyo , nawatafuta wanaume wawili tunampeleka mahali hadi aniambie kamfanyaje mtoto wangu
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Kiukweli hivi unamuachaje mtt kwa mtu baki toka darasa la nne mpk form 2! Usijue hata mazingira yake mpk kufikia hapo. Ni uzembe wa hali ya juu. Uckute kuna kibwana kimembeba dah! Mungu afanye wepesi Warda apatikane salama
@pungopungo411
@pungopungo411 Ай бұрын
Jamani tunapata hasira na hawa polisi hadi hatuelewi
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Жыл бұрын
Mwambembelezaa. Nini nyinyi huyo mwalimu shetani
@jamesmarwa2372
@jamesmarwa2372 10 ай бұрын
Huyo mwalimu anajua Mtoto alipo,polisi wamchunguze huyo mwalimu
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Kamanda ha a ukweli anavunya vunya maneo
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 Жыл бұрын
Yule mama wa Arusha alimchapa tu mwanaye naye akakimbia
@pungopungo411
@pungopungo411 Ай бұрын
Na huko kuhamahama si bule matokeo atawaponyoka jeshi letu la polisi ni dhaifu na ni mafia pia
@saidkambi6792
@saidkambi6792 Жыл бұрын
Yani ata mm ningekua police pakuanzia ni kwa mwalimu
@RizzyAlex
@RizzyAlex Жыл бұрын
Hivi police wako seriously kwel miez 5 jmn khaa sina uhakika kama mtoto yupo hai
@pungopungo411
@pungopungo411 Ай бұрын
Yachunguzwe matenki ya vyoo kamuua huyo
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 Жыл бұрын
Huyo Mwalimu anatakiwa apigwe ndo atatoboa siri
@chemstry409
@chemstry409 Жыл бұрын
HAO MAPOLISI KUMA TU HAWANA MPANGO WOWOTE......
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 Жыл бұрын
Washamuuwa uyoo😢mtoto yarabi
@AfricaQueen
@AfricaQueen Жыл бұрын
🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳Nimekumiss sana Geaaaaa❤️❤️❤️
@ashaswalehe4744
@ashaswalehe4744 Жыл бұрын
Watu waache ubabaifu km munamkumbuka mama peter WA mabibo relin mbon alipewa kibano moka akasena ukweli kuwa kauwa mtt na akaenda kumzika kule ubungo Sasa kwann mwalimu asipew kibano nae akaropoka tu
@SylvesterAmbokile-ur2vd
@SylvesterAmbokile-ur2vd 11 ай бұрын
Na ninyi watu wa media timechoka sasa hivi hamna mambo mengine kila siku Warda Warda hamna story zingine.Waacheni jamani.
@aminasuleiman9648
@aminasuleiman9648 Жыл бұрын
Mimi nahisi huyo mtoto kashafariki siku ile aliyopigwa n mwalimu wema na watoto wake
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Nyiiieeee WATUUUUU. Mbonaaa amuuwauliziii haoooo WATOTO na mfanya KAZIII???. Na kwani waaameeee BILA taarifaaaa???
@pjmaarifa3528
@pjmaarifa3528 Жыл бұрын
Jamani au alimuhisii anatembea na mumewe? Wala sio simu
@mwamshindozarara8617
@mwamshindozarara8617 Жыл бұрын
24:51 24:52
@annabellajohn2480
@annabellajohn2480 Жыл бұрын
#justiceforwarda tujikumbushe kidogo wakati ule yule mama alichomwa na mume wake na gunia la mkaa Ile kesi ili kimbia kama upepo mpaka ikabainika nani aliuwa na ilikuwaje.....polisi tunawaomba tunawaomba Tena Sana hili suala lifanyiwe kazi kwa uharaka huyu mama ana teseka na maumivu anayo pitia hakuna anae juwa Mama mdogo Geah hebu litilie mkazo tunakuomba
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Nchi hii ukiwa huna kitu familia duni ndio hata Polisi hawajali.Polisi wanafanya kazi kwenye mpunga. Ati cha kwanza nikumshuku mtt akiwa umri huo labda yupo kwa mwanamme ndio akili za kubuni za Polisi wetu .
@aminamohammed5373
@aminamohammed5373 Жыл бұрын
Uyo mwalim wambane mpaka atasema mtoto yukowapii uyo mwalim anajua mtoto jukowapiii
@Zinab-g1i
@Zinab-g1i Жыл бұрын
Jeshi la Police kwanini hamumkamati huyu mwalimu,?.huyu mwalimu kamuua Warda na kumzika kabisa. Tunaomba police wamkamate huyu mwalimu. Pia tunaomba Waziri mkuu atusaidie.
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Жыл бұрын
Sasa kwa nini asimueleze.mama mzazi kuwa..mwalimu .ananitesa..mpaka..kamuuwaa
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx Жыл бұрын
Msaidieni huyo mama warda ampate mwanae daa gea msaidieni
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Polisi wa nchi hii mnatia aibu mkiskia Maandamano mpo wa kwanza kufika na kujitia intelejesia leo hii uchunguzi wa kupotea kwa mtoto ati wanafunzi ndio wanajua jinsi ya kumpata na mwenendo wake .Wakati mtuhumiwa wa kwanza ndie aliyekabidhiwa mtoto.kweli mmefeli na mnatia aibu kwenye Ivestigation ni ziro
@saidkambi6792
@saidkambi6792 Жыл бұрын
Geah nenda kawahoji wa toto wa uyo mwalimu na mfanya kazi wake kuna kitu hapo
@joycemageta4876
@joycemageta4876 Жыл бұрын
Wangemuwek ndn mwl na mmewe na uyo mdad wa kz wangesema kwel alipo warid
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 Жыл бұрын
Inaonekana huyo mwalimu anatetewa na serikali kwa nini mpaka sasa huyo mwalimu bado yupo kazini? Kwa nini asikamatwe atoe ushahidi anavyoonekana anajua mtoto yupo wapi na kama amekufa au yupo hai
@aminaabdallahisa6827
@aminaabdallahisa6827 Жыл бұрын
Huyu binti ni mpole mno tatizo tunawaamini mno hao walimu uyo. Kipo alichomfanya haiwezi Kani miezi minne sasa
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Жыл бұрын
Nahisi alimpiga sana wakamchangia kumpiga akafa wakamzika usiku kwa siri. Sasa hivi anatumia watu waseme yupo kaonekana Moshi Ili kuondoa kile watu na ndugu tunachoamini kwamba walimuuwa.
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Cha kushangaza Tanzania hii Tv zipo kwa nini Polisi wasitoe habari za huyu Bint kama ni huko Moshi au wapi yeyote atakae muona zawadi ipo?Mbona yule aliyetoroka shule ilikuwa kik ya viongozi hadi Waziri Mkuu ndio maana iliambiwa ni mpango.Sasa huyu mtoto mdogo Serekali yote ipo kimya utadhani nchi hii haina Viongozi. Utawaona tu wakati wa kampeni za kuomba kura .
@rachelmsekena603
@rachelmsekena603 Жыл бұрын
Tunaomba tusikilize maelezo ya mwalimu mwenyewe maana tusije tukaropoka kwa kusikiliza upande mmoja wa shilingi
@iddymtitiko
@iddymtitiko Жыл бұрын
Nimetoka global tv saa iz nipo huku ninavyohangaika na ishu yan acheni tu inaumiza sana ila leo kdgo Alhamdulilah matumain yapo japo kdgo lkn Insha'Allah awe ni yeye tu huko moshi
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
Huyo mwalimu akitafutwa hatoi ushirikiano
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
R.I.P. MAGUFULI
@AliAli-m5k9l
@AliAli-m5k9l Жыл бұрын
Warda kama upo jitokeze tu atakama labda umepata mimba usiogope njoo kama unaogopa basi piga ata sm sema upo ili watu tulie usiogope
@nannakhamis5350
@nannakhamis5350 Жыл бұрын
Akamatwe uyo mama atiwe kwenye mikono ya sheria atasema tu alipomficha
@maidaamie648
@maidaamie648 Жыл бұрын
Sidhan kama huyo mwalimu hajamuua Hugo bint mungo ndo mwenye kujua
@abuuda4754
@abuuda4754 Жыл бұрын
Waandishi mbona hamumtafuti huyo mwalimu?! Kwa nn msiwatafute hata ndugu au walimu wenzake?! Mi bado naona kama mchezo... Mnalalamikaje polisi wakati ninyi hata Kwa balozi wa mtaa siwaoni
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 Жыл бұрын
huyo mtoto wamemuua, hakuna kutoroka wala nini,
@shanishani-qv3bc
@shanishani-qv3bc Жыл бұрын
Kashauwawa mana sikwa mizunguko iyo anayo wazungusha mwalimu vipi ajiweke mbari nae ndio mtoto kapotelea mkononi mwake
@aziziramadhani6824
@aziziramadhani6824 Жыл бұрын
Da geah uku kunamsichana kafanana nae cjui km ndy uyo au vp ana miaka miwili sasa lakn uku anaitwa vailet na anafanya kaz lakn katokea nachingwea
@aziziramadhani6824
@aziziramadhani6824 Жыл бұрын
Labda nijalibu kumchunguza
@nuruheartaman5925
@nuruheartaman5925 Жыл бұрын
Cha kwanza uyo mama ashikwe atasema mtoto yupo wapi
@sechebwanahindi8674
@sechebwanahindi8674 Жыл бұрын
Uyo mama anajua alichokifanya..alafu kaikuta familia wapole sipati picha angekutana na familia ambayo ni wakorofi
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Peke yangu mm ningemtosha
@ashahassan2120
@ashahassan2120 Жыл бұрын
Sikamatwe jamani
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Жыл бұрын
Gea huyu mwalim wema akamatwe na uchukuzi uanzie kwenye nyumba aliohama kule kunakitu kakifukia ndomana amehama
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 Жыл бұрын
Wananchi wa kibaha wenyewe hawana akili , ingekuwa huku kwetu huyo Mwalimu anavyowazungusha watu hivyo anavamiwa ucku anapelekwa porini halafu tanuru imewaka huyo mama angetiririka mtoto yuko wapi
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Miaka 15 ni mtu mzima huyo, akichoka kufanya anayofanya ataijua njia ya kwao.
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Mpk anahama alipokuwa anakaa kwanza, yani nyie wazazi hamjui, u r not serious. Inawezekana pia mtt akawa alishakengeuka na nyie hamjui pia
@AishaSalaga-rv7sb
@AishaSalaga-rv7sb Жыл бұрын
Hebu ulizeni marafiki zake wa bungu alikokuwa anaishi awali akili za mtoto huenda yupo bungu
@samahamed2418
@samahamed2418 Жыл бұрын
Jamani😢
@Zinab-g1i
@Zinab-g1i Жыл бұрын
Huyu mwalimu atakuwa kamuua na kibao cha chapati nakumzika.hao bodaboda watakuwa wanajua siri ya huyu mwalimu.tafadhali wazazi wa warda tafuteni ostadhi msome albadili Hadi huyu mwalimu ageuke kima. Wallah km mko tayari nitafuteni niwaelekeze kwa ostadh albadili yake haikopeshi
@afrigrowers
@afrigrowers Жыл бұрын
Kwan huyu mwalim ana mume?mume wake ni nani?na je amezaa na nani?baba wa watoto wake ni nani?au familia yake ni ukoo wa nani? Hapa naona polisi hawamuogop mwalim wema ila huyu ticha ana mtu/watu nyuma yake na ndio wanamsaidia huenda kahamia kibaha kwa kujua hapo kibaha kuna mtu wake so kesi haitafika popote.kitendo cha kumchapia mtu na kibao cha chapat ni hakika atakua alimjeruhi vibaya Mwenyz Mungu ajalie apatikane bint
@neemaberny3598
@neemaberny3598 Жыл бұрын
Hii ndio shida yetu watanzania ..yani unasikia kabisa mtoto wa mwenzako anafanyiwa ukatili wewe unashindwa kutafta namna ya tukoa taarifa kwenye chombo cha usalama???siku hizi kila siku tunapokea msg za namba za dharura za polisi hata kupiga simu kweli?? Sasa hivi tunajifanya mahodari wa kusimulia wakati mtoto kashapotea,hatujifunzi tu jamani kuokoa ndugu zetu kutokana na haya matukio ya ukatili!Inatia hasira sana!!
@aminaayan3460
@aminaayan3460 Жыл бұрын
Kwakweli hao majiran wangewenda kuuliza au kumuokoa warda
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 Жыл бұрын
Hivi ni kwa nini mpaka sasa Huyo Mwalimu hajakamatwa? Wakati mtoto anapigwa usiku ni kwa nini majirani hawakuingilia kati na kumzuia Mwalimu Huyo asiendelee kumpiga mtoto. Nasikitika sana kuwa Warda aliekuwa anateswa na bado akavumilia mpaka sasa amepotea.
@mozasalim7725
@mozasalim7725 Жыл бұрын
Huyu mwalim hajamuuwa kweli huyo mtoto
@rahimaadam
@rahimaadam Жыл бұрын
Nenden kwa uyo mwalimu .wachomwe moto usik kes hiishe yaan angekua kwet hy mwalimu.
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 kweli kabisa
@ladyt1471
@ladyt1471 Жыл бұрын
Mwalimu na watoto wake wamemuua mtoto wafungwe wote polisi wako wapi?
@Thebaddest255
@Thebaddest255 Жыл бұрын
Usimuhukumu Binaadamu mwenzako hukuwepo Sheria itachukua mkondo wake damu nzito kuuwa si kitu rahisi anaweza akawa ametoroka kweli je ? Anyways let’s wait and see
@nicewatson6264
@nicewatson6264 Жыл бұрын
Ndio
@nicewatson6264
@nicewatson6264 Жыл бұрын
Wamemuua
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 Жыл бұрын
Umri balehe ni changamoto
@missjackisondaphrozer7906
@missjackisondaphrozer7906 Жыл бұрын
Wew wasema
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Жыл бұрын
Ni kweli, ila Kuna sistofahamu kwa Nini asitoe taarifa polisi na shuleni aliko kuwa anasoma jamani?
@maidaamie648
@maidaamie648 Жыл бұрын
​@@MiriamAbdallahyawezekana kuna unyama kafanyiwa na huyo mwalimu
MISSION IMPOSSIBLE [59]
21:52
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 50 М.
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 9 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
MTOTO ALIYEKUWA AMEPOTEA SINGIDA APATIKANA DAR
6:02
Geah Habibu
Рет қаралды 4 М.
NILIKUWA NAPUNGA MKONO KWASABABU NILIKUWA NAHISI KAMA NAOLEWA
3:54
MAMA SHUHULI AFANYA KUFURU UKUMBINI KWEMATUNZAJI
4:38
5G Digital
Рет қаралды 1,6 М.
DUNIA (Ep 12)
22:49
ASMA FILMS
Рет қаралды 103 М.
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 98 М.
MC WANGU ALINIKERA IKABIDI NIWE MC MWENYEWE-ZAI KIJIWENONGWA
5:42
BABA YANGU KIPOFU Full  episode /53/ #love
20:30
BabaJoan
Рет қаралды 178 М.
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 9 МЛН