Huyu dada ninamupendaga sana zai kijiwe nongwa Hadi muka Niko Burundi natumiyaga hili jina lake huwa na Mimi Nina jiyitaga rehema kijiwe nongwa basi watu wanakuwaga wanafurahi eti emungu rehema hilo jina wumelitowa wapi nakwambiya nihatari❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KhadijaLukas-s3r14 күн бұрын
nakuja huko mda si mrefu burundi upo sehemu gani
@mayrose9772Ай бұрын
Iyo gauni bora ingekua ndefu au fupi au ndo mambo ya uswahilin 🔥
@elphinejoshua1914Ай бұрын
Happy birthday to you my dear Zai❤❤❤❤❤❤ nakupenda saaaana
Kila nikiona mmepinda kona najua tumefika kumbe bado 😅😅😅
@SadaKimangaАй бұрын
Sasa unaaga kwani unaolewa.mwezetu
@btylove1870Ай бұрын
Zai kawakaaaa🍻🍻😂😂
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Zali. Umepata.bahati wa uwo umri unautumia vibaya. Utakujakuujutia baadae. Muigope Mungu. Ni.bola ungejifanyia.hakika kuliko hayo. Mm nimekukumbusha ndugu yangu.katika iiman
@darajalakidatukilomgi2362Ай бұрын
Acheni watu wafurahie maisha yao Duniani tumeletwa kuishi, kama kiama tutakikuta huko huko
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
@@darajalakidatukilomgi2362 Puunzi zinakudanganya naafya. Nimemkumbushatu silazima ufate ukumbusho wangu. Ila Allah kaona.inatosha.
@darajalakidatukilomgi2362Ай бұрын
@@HanifaOman-oo4pl Bibiee acha kukariri maadili ya waarabu sisi ni Waafrika kwetu sherehe ngoma ndio jadi yetu, dini zenyewe zimekuja na meli kutoka kwa waarabu tuache vya asili yetu kwa ustaarabu wa waarabu inahusu?
@HawaaMkubwaАй бұрын
Kwani zai muslam
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
@@HawaaMkubwa ilojina mm najua muislam. Ilasinauhakika
@mwatangachuma9069Ай бұрын
Mama MJUMBE yuko wapi jamani
@masalakulwa7601Ай бұрын
mazipezipe😂.nampendagaa
@ritaabduel4368Ай бұрын
❤❤❤
@TundaEmanuel-ns8kjАй бұрын
Star mkubwa anapoish sas😃😃😃
@GubraCity-dm5sxАй бұрын
Usijisaulishe kua staa wa uswahilin
@njuka3515Ай бұрын
Hii yote hii ni Geha ili atuchekeshe tu 😂😂
@salomethadei6940Ай бұрын
😂😂kweli live bend
@edithaeugeni9695Ай бұрын
😂😂😂😂😂Kwani hyo mwenye kiroba nae vipi 😂😂
@JeniJohn-i4xАй бұрын
Sasa da geah mbona AFA na kicheko
@JAMBOBoy-v3kАй бұрын
Alooooo😂😂😂😂
@uweschmidberger6156Ай бұрын
❤
@PelicePetro-t3dАй бұрын
😂😂😂😂😂😂zai ww
@StevenGivenАй бұрын
😂😂😂🎉🎉🎉
@jestinamagembe2125Ай бұрын
😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉
@MauaMtigeАй бұрын
😂😂😂🎉
@faudhiasalum7279Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@temuramadhani5134Ай бұрын
Awa ndio wanafanya maisha kua magumu
@mamachris6811Ай бұрын
😅😅😅
@ashurajengela3926Ай бұрын
ila zai kwaiyo unavyo punga mkono ndio ulihisi unaolewa sasa ndio unawaaga nduguzo et 😂😂😂😂😂 na farasi Yuko wapi ulisema birthday hii utapanda farasi zai 😂😂😂😂
@Niget-us1npАй бұрын
Kasema kwamb kaambiwa milion 1 na kashidwa
@darajalakidatukilomgi2362Ай бұрын
Zai kama Zai kwa matashtiti ananimaliza, kajisemea ukweli ngamia bei juu mwenyewe anapunga mkono kama malkia anaingia kwenye kasri lake