MUHADHARA MADA:SUNNA SIO KUWEKA NDEVU AU KUVAA KANZU FUPI AU KILEMBA:SH.MUHAMMAD BACHU

  Рет қаралды 4,432

Masjid sunnah Islamic Zanzibar 2

Masjid sunnah Islamic Zanzibar 2

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 14 күн бұрын
Jazakallahu kheir sheikh
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 25 күн бұрын
Shekh wangu bachu tupo pamoja lakini hapa sikuungi mkono, kuibeza sunnah ya bwana mtume, kuna makemeo makali ya kuvaa isbal sasa hapa kusema sunnah so kuvaa kanzu fupi au kuweka ndevu umeibeza sunnah ya bwana mtume alowasisitiza watu wavae nus faki, hapo shkh umeteleza sikuungi mkono nguo ndevu, mtume kasema Allah atowatazama watu wa ainahiyo siku ya kiama
@AminaHamadi-bw6vw
@AminaHamadi-bw6vw 23 күн бұрын
Kwa uwelewa wangu mm hajamanisha hivyo ambavyo umelewa wew yeye kakusudia kuwambia baadhi ya watu wanaofuga ndevu na kuvaa kazu fupi wakajiona tayari washamaliza sunna zote za mtume kuna na mengine tuendeleze kuzifanya sunna nyengine tusibaakie kwenye kanzu fupi na kufuga ndevu tu kwa uoni wangu samahan lkn km nitakuwa nimekuelewesha vibaya
@MakameMufadhil
@MakameMufadhil Ай бұрын
Kweli ustadhi
@MohamedMeja
@MohamedMeja Ай бұрын
Ust Mohd bachu anao elimu tatizoo lakea Ana presha zikiwaa juu hukosa hikma lkn ni msomii
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Ай бұрын
Kichwa cha mada musiandikeni ivo
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Ай бұрын
Wanazingua yaani kichwa cha habri na maelezo ni tofauti
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Ай бұрын
Pia kuweka ndvu ni sunna kusema sio sunna ni makosa kwaio kuweni makini na vichwa vya khabari
@MbwanaRunza
@MbwanaRunza Ай бұрын
Ikiwa arafa nchi zote ile moja huo MDA makka wasimama arafa mchana Tokyo n magharbi Je kuna arafa ya magharibi
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Ай бұрын
Wajna leo sasa ndio umetoa da'awa ambayo kila muislamu akiisikiliza anachota jambo kutoka ktk maneno uliozungumza, dawa ya leo sio ya kiwahabi tu bali ni ya kila muislamu
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Ай бұрын
Mimi naona kuanzia aje Lamu na kufanyiwa wema na ukarimu na Masharifu sasa ndio amenza kuelewa kidogo kidogo
@user-nr4xd4lh5s
@user-nr4xd4lh5s Ай бұрын
Tatizo la mawahabi ni mawili kwanza ni ufahamu na pili ni ukaidi
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 25 күн бұрын
Ww walimu wako Wana ufahamu upi.😂😂😂kukata viuno maulidini na kutangaza hitima ya marehemu itakuwa jumapil
@user-nr4xd4lh5s
@user-nr4xd4lh5s 25 күн бұрын
@@user-yj5on8cz3ehamufuati mwezi hata saudia wanawaambia musitufuate angalieni mwezi matilai yenu bado mwashindana hio ndio shida inawasumbua
@user-nr4xd4lh5s
@user-nr4xd4lh5s 25 күн бұрын
@@user-yj5on8cz3e jibu swali hapo chini watu wa peponi
@user-nr4xd4lh5s
@user-nr4xd4lh5s Ай бұрын
China iko masaa nane mbele ya saudia. unasema arafa ni moja tu. je china hawana arafa hawaipati arafa ?kwa sababu siku inapita china ndio ifkie saudia
@seniornyungu9718
@seniornyungu9718 Ай бұрын
UMEANZA KUSIFIWA NA WENZAKO SASA,HIYO NDIO MANHAJI YAKO KUKEJELI SUNNA ZA MTUME SALA NA SALAAM ZIWE JUU YAKE KWA KICHWA CHA HABARI TU,HAITOSHI KUHAMASOSHA WATU WATEKELEZE SUNNA ZINGINE BILA KUZIBEZA HIZO? UMEHARIBIKIWA KIMANHAJI,HUNA PAKUSHIKA UUNARUKARUKA TU.
@NuryaMusa
@NuryaMusa Ай бұрын
Ww bwana. Mdogo mche ALLAH subhanah wataalah. Hivi. Qasim bin mafuta hajawah. Kusema. Hivyo Sunnah. Sikukata kanzu tu nakufuga ndev. .mbona nyie. Vijana. Wasasa. Sio. Waadilifu . Embu. Muogopeni ALLAH subhanah wataalah
@NuryaMusa
@NuryaMusa Ай бұрын
Arafu sasa ulivyokua pimbi hata hujasikiliza. Ukasikia. Akikejeli. Suunah yaani. Nyie maswaafiqah mahadadiyah. Sijui mtamjibu nini ALLAh kwa. Kuwazulia. Wenzenu. Urongo
@user-nr4xd4lh5s
@user-nr4xd4lh5s 25 күн бұрын
@@NuryaMusa ufahamu na ushindani ndio shida ya mawahabi wanavyofahamu ndio hivohivo ukija na njia nyengine wanakwambia wwewe ni wa motoni wewe ni ukubali usiwapinge ndio muelewane mawahabi
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Ай бұрын
kama umeshindwa kuweka ndevi,na inaonekana wewe hupendi kufuga ndevu!!kufuga ndevu kupunguza nguo zidiburuze (isbaaal)ni ktk sunnah za mtume صلى الله عليه وسلم
SISI NI MAITI, MAISHA YA UHAI YANA MWISHO || SHEIKH MSELEM ALLY
46:54
NASAHA TV *255K Views *2 hour ago.
Рет қаралды 1 М.
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 65 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 11 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,1 МЛН
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 32 МЛН
Muhammad bachu sio salafi bali ni mropokaji tu by sheikh Abu Ume'yr Adam Khamiss Allah amuhifadhi
10:41
Abu Muhsin Minani Abdoullah As'salafiyyu
Рет қаралды 38 М.
#MAJADIDA KWANINI MUSIULIZE KAMA MLIKUWA HAMUJUI || Muhammad Bachu.
1:07:59
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 19 М.
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 65 МЛН