MUHAMMAD BACHU AMGARAGAZA TENA SH.KIDAW KATIKA MJADALA WA VIGAWANYIKO VYA TAWHID:NO:1:

  Рет қаралды 2,224

QANAATU SUNNAH TV

QANAATU SUNNAH TV

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@darajanida
@darajanida 27 минут бұрын
shukran shekh kidawa umamaliza kazi
@izmamuizmamu6521
@izmamuizmamu6521 13 минут бұрын
Mashallah bachu kaz nzuri
@Athumaniomari-ge2gs
@Athumaniomari-ge2gs Сағат бұрын
Bachu maaashaallah Allah akupe Zaid unatufinz kbs
@saidimtoni1148
@saidimtoni1148 19 минут бұрын
Dooh huyu mzee wetu kiboko allah amuhifadhi
@AmmarIssa-d8s
@AmmarIssa-d8s 2 сағат бұрын
Assallam Allaykum, masalafi mmekua kila siku mkijinasibisha mnapinga bidaa, lkn nyuma yapazia nanyinyi mna bidaa tena mbaya, ndo yale alie yasema mtume una weza ukawa mwepesi wakuwaona watu wako sefu kumbe wewe ndiyo mkosefu zaidi, Dufu unalolipiga vita, liwe Lina kubalika au halikubaliki, lime tajwa kwenye hadith, tena zaidi ya moja, Jeh hii tauhidi 3 imetajwa wapi, katika kitabu au suna,
@AkhiymbwanaAbdallah
@AkhiymbwanaAbdallah Сағат бұрын
Bachu Allah akuhifadhi naona upand wa 2 wanapwaga2
@masoudmohammed4258
@masoudmohammed4258 2 сағат бұрын
Bachu mashallah umeeleweka
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Сағат бұрын
Hata Salam kw waumini wenzio huna bachu,watetemeka mapemaaa unaacha Sunna ya mtume inayosema السلام قبل القلم
@mahammoudhaji
@mahammoudhaji Сағат бұрын
Bachu bado mdogo sana
@ibrahimjumbe8121
@ibrahimjumbe8121 Сағат бұрын
Huyu Muhammad Bachu ni size yangu kabisa naona masheikh mnapata nae tabu bure huyu bwana naomba nae mimi mjadala tafadhalini maana kila nikimskiliza naona mapungufu mingi sana
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 Сағат бұрын
Bachu kabachuliwa
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 39 минут бұрын
Narudia tena bachu niliwahi kukwambia unapiga zogo sana na ufasaha wako unashuka siku baada ya siku hebu katulie uiskilize hii mada vizuri
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 17 минут бұрын
Sheikh Bachu watumie hao kama ubao wa kufundishia, wanafuata mila za babu zao .
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 сағат бұрын
We bachu kila siku mijadala tuuuuu Hebu acha ayo mambo
@ر.ج.ب
@ر.ج.ب 2 сағат бұрын
Kwani mijadala ni haramu? Ikiwa wanafahakishana haqi bila kutukanana kwanini wasifahamishane? Waachane
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 2 сағат бұрын
Vip ndugu 😂 si ndo yul uliyekuwa wamp kampani
@kugotwa004
@kugotwa004 Сағат бұрын
MTOTO MDOGO UYO BACHU
@MohammedAli-u5j9s
@MohammedAli-u5j9s 49 минут бұрын
Bachu ni simba
@taurehassan7399
@taurehassan7399 53 минут бұрын
Cc twataka dalili kutoka kw mtume au swahaba au taabi ww watultea al-imaamu habshi,kwn habshi ni mtume au swahaba mpka ukamtolea ushahid?
@taurehassan7399
@taurehassan7399 59 минут бұрын
Elimu bachu inaamishwa ktoka kwenye vitabu kupeleka kichwani,vitabu mzigo kuvibeba ukitjiwa kitabu uridhike na utosheke km ww msomi uwende ukapekuwe kuthbtsha
@yasserabubakar6167
@yasserabubakar6167 48 минут бұрын
Sasa hapa bachu amemshika huyo ustadh kwa kutaka kuthibitishiwa kama yeye alivoshikwa na ustadh said …
@elimuforum9135
@elimuforum9135 2 сағат бұрын
Dunia inaenda mbio sana au itakuwa double standards, yaani yule anayepinga bidaa anatetea bidaa na yule anayeteteaga bidaa leo anapinga bidaa (ima iwe mzuri au mbaya)
@rumonajarufu1346
@rumonajarufu1346 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 nimecheka Kwa sauti wallahi
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 31 минут бұрын
Maneno yako ya kijahili
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg 53 минут бұрын
Mpaka Dunia itaisha hawawez kuitoa dalili hao nimayahudit
@rushu1232
@rushu1232 2 сағат бұрын
Jambo ikiwa hakufanya Mtume wala maswahaba ni bidaa ndio baadhi ya maaulamaa waliogawanya aksamu za bidaa mzuri na mbaya sasa ajabu kitu ni bidaa hasn lakini hamukubali lakini aksamu tawheed mwakubali.
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 43 минут бұрын
Bachu kapoteza dira na chombo kipo maji mengi
@saidimpako5186
@saidimpako5186 2 сағат бұрын
NANI AMEGAWA TAWHIDI MTUME AU WANACHUONI ? NAONA MTUME HAJAGAWA MPAKA MWISHO WA MJADALA
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm 2 сағат бұрын
Haya mazungumzo ni ya mwaka gani???
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 58 минут бұрын
Uwahabi ni tawi la ukatholiki tu
@AbuuzuhairMuhammad
@AbuuzuhairMuhammad 2 сағат бұрын
Allah atuongoze katika haki
@alijuma8009
@alijuma8009 Сағат бұрын
Kama makubaliano ya mjadala bachu hajajibu hoja
@nayef3903
@nayef3903 40 минут бұрын
Wacheni kukata clip bachu ameshindwa mnakasha wa tauhid tatu yani munafanya mchezo na dini nyinyi mawahabi
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg 59 минут бұрын
Azuunzikat toadalili yavigawanyo vya aqida
@JumbiSecondary
@JumbiSecondary 2 сағат бұрын
Muanzilishi wa tauhidi tatu ni nani? Na ameanzisha mwaka gani? Na wapi?
@saidimpako5186
@saidimpako5186 2 сағат бұрын
BACHO UNEJICHANGANYA RABU ANAABUDIWA AU ILAHU TU NDIE ANAEABUDIWA
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Сағат бұрын
Yani kuamini namna ya kumpwekesha Allah katika njia 3 ndo amegawamywa Allah miitu ya bidaa imepotea katika hakki kabisa
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg 49 минут бұрын
Walishidwa wengine kutoa dalili eje mtu asiejua ata elimu yahadith
@alihassan3648
@alihassan3648 40 минут бұрын
Bachu rud chuoni tumekuchoka
@alkhariaha
@alkhariaha 2 сағат бұрын
Tupunguzeni utashi. Tufuatilieni kiundani sana.
@MahfodhAmeyr
@MahfodhAmeyr 2 сағат бұрын
Sio JARJAN bali JURJANI kumbe bacho mtupu hatajinala shekh halijui
@MahfodhAmeyr
@MahfodhAmeyr 2 сағат бұрын
Bachu kasome kwanondo hizo hunalakumjib SHEKH KIDAWA
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Сағат бұрын
Nondo zipi mbona hakuna kitu chochote hapoo mi ningekuwa bachu sina muda wa kujadiliana na watu wa bidaah kupoteza mda tuuh mijitu ishapotea utawezaje iongoza
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 Сағат бұрын
​@@AbdulIssa-o7eNi nondo kwa sababu bachu kakimbilia kwa wanazuoni wa kuazima bila kuwarejesha kwenye kitabu na sunna. Kweli bachu kashachanganyikiwa
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 36 минут бұрын
@@mybabyarchive2104 wanazuoni kauli zao wanatowa wapi kama sio kwenye dalili za kitabu na sunnah sasa mnakataa shekh wenu wa maulidi alisema mtume kagawa tahhees 3 hilo mnakataa maulidi mbona hamumpingi na hamusemi minal kitabu wa sunnah
@SaidMadai
@SaidMadai Сағат бұрын
Hhhh balbala 😂 hajakunya apo
@saidimpako5186
@saidimpako5186 2 сағат бұрын
SASA KAMA RABU NDIO HUYOHUYO ILAHU SASA UNAMGAWA NINI SASA WAKATI NI HUYOHUYO MMOJA
@masoudmohammed4258
@masoudmohammed4258 2 сағат бұрын
Mbna ilikuwa wa ghafla
@taurehassan7399
@taurehassan7399 55 минут бұрын
Ww c ndo umevikataa vitabu vya maulid hya mbona watolea ushahid humo humo kw wanazuoni wa bid'aa?muogopeni Allah acheni unafq bchu someni
@swalehseifmuhammed8289
@swalehseifmuhammed8289 3 сағат бұрын
Me namshauri bachu akasome tu maana anajiabisha
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary Сағат бұрын
Shaykh Bachu umewahisikia ushauri wa Shaykh Abdallah Humeid?? Huwa anasisitiza msipoteze wakati wenu kufanya minaqasha na hawa watu. Nyie bainisheni haqi watakaotaka kuifata watafuata na wasiotaka wewe huwezi kuwaongoa , naamini una shughuli nyingi za kufanya
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 47 минут бұрын
Miongoni mwa shughuli nyingi ndo hii atajua hajui hao ndo watu wa elimu hao ndo wasomi kimyaaaa huwasikii kuropokwa
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 45 минут бұрын
Sheikh kaumaliza mjadala asubuhi kweupeeee Hivi kweli mpaka hapa mawahabi hawajaona tu الجنون فنون
@darajanida
@darajanida 2 сағат бұрын
bachu chali
@rushu1232
@rushu1232 2 сағат бұрын
Hakuna tawheed tatu kupwekesha ni kumoja Mwenyeezi Mngu ni mmoja tu hata kama nikufahamisha watu basi bidaa hasn.
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 2 сағат бұрын
Watu washindwa kutambua Yaaan hizo ni iswtilaahaaty zinazotumik ktk Elimu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Сағат бұрын
Hivi bachu hana kazi ya kufanya mpk anaepoteza muda wake wa kujadiliana na watu wa bidaah wazushi
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 сағат бұрын
Hivi mnapenda kujadiliana na watu wa bidaah hawoo washapotea allah awezi kuongoa mioyo yao ishapotea katika hakki ni kupoteza muda tuuh! Kujadiliana na watu wa bidaah hivi bachu huna kazi ya jufanya mpk ujadiliana na watu wazushi.
@mahammoudhaji
@mahammoudhaji Сағат бұрын
Rabbish
@ammaarmwinyi1120
@ammaarmwinyi1120 Сағат бұрын
Shekhe madamu mtu hajafa usim Katie tamaa kua nimporofu au mwema yore Yako mikononi mwa Allah yalobakia kuombeana Dua tu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 30 минут бұрын
@@ammaarmwinyi1120 ibn masoud aliitwa akajadiliane na wazushi akawaambia wambieni mi nipo mbali na wao kabisa, watu Hawa mioyo yao imepigwa mihuri Allah kawaelekeza huko walikotaka kwahiyo hata umuoneshe hakki bado ataona batwil,mtume akiambiwa na mola wake huwezi muongoa alopotea so kazi yako kuongoa muhammadi ila kufikisha tuuh kazi ya kuongoa ni ya Allah, kukaa nao sana hawa watajiona wapo katika hakki kumbe ni batwili
@HemedAbdullaSuleiman
@HemedAbdullaSuleiman 22 минут бұрын
Jibuni hoja acha kelele na cc tunajua Mawahabi ndio muliopotea
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 7 минут бұрын
@@HemedAbdullaSuleiman ww uwezi juwa kama umepotea sabu, unakubali kile kisemwacho na mashekh zako, leo mnajuwa kitabu na sunnah mbona maulidi mnakataa kitabu na sunnah mnafata mashekh zenu tuuh amtaki kitabu na sunnah, arafu ujamkubali shekh wako wa maulidi kwenye kuuuxisha maulidi kwenye kusema tahwed 3 Kagawa mtume arafu hilo mnampinga shekh wenu, mnakubali lile mnalotaka ninyi mngekuwa mabingwa wa kusema kitabu na sunnah hata maulidi msingefanya sabu hakuna kwenye kitabu wala sunnah, hivyo bado mnatapa tapa tuhh hamjui kitabu na sunnah kimekataa maulidi, mimi rai yangu bachu aache kujadiliana na watu vipofu ambao Allah amepiga mihuri, katika nafsi zao hawaoni njia ya sawa nikupoteza mda kujadiliana na mzushi bora ifuge mbwa nyumbani kwako umfundishe atakuelewa so watu wa bidaah, mioyo yenu migumu na kwakuwa mlishaipa migongo hakki hapo utajikuta wampigia mbuzi gitaa
Miaka 20 Kwenye Game na Bado Anakimbiza
1:20:39
MSASA PODCAST
Рет қаралды 791
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 121 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 38 МЛН
THIS GRACE CALLED FAVOUR WITH APOSTLE JOSHUA SELMAN (KOINONIA SUNDAY SERVICE)
2:42:31
Webinar 14: Honing Skills For Success
1:01:45
MBCE SULTHAN BATHERY
Рет қаралды 1,3 М.
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:32
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 121 МЛН