Interview Nzuri lakini Lugha Kwa JAY MOE 100% lakin Kwa presenter jitahid kujihusisha na Lugha Moja
@diti4899Ай бұрын
Kabisa utafikiri awezi kiswahili
@salimmwabundu958Ай бұрын
Jay Moe kanipa inspiration Sana Kwa hii interview
@lukizatvАй бұрын
One of the best interview ,highlighting music history from early 2000s
@MSASAPODCAST22 күн бұрын
@@lukizatv 🔥🔥🔥
@ray45king84Ай бұрын
We need JayMo music on Spotify...the whole Bongo Records classics
@EmmanuelKabigiАй бұрын
Jaymoe living legend wamda wote
@leofocas7503Ай бұрын
Kwamajina naitwa Leo toka Mozambique mkoani Pemba nimependa interview🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@MSASAPODCAST22 күн бұрын
@@leofocas7503 shukran
@gilbertrogati9722Ай бұрын
The Level of wisdom he has is Inspiring.
@MSASAPODCAST22 күн бұрын
@@gilbertrogati9722 very inspiring
@samboarnold611Ай бұрын
Anko kaongea struggles za kila msanii🔥
@JoseracalittoАй бұрын
Sooo famooous very intelligent brilliance 🎉🎉🎉
@MSASAPODCAST22 күн бұрын
@@Joseracalitto big time
@edwardfanuel-n5v28 күн бұрын
Richi Ulifanyaje chaka to chaka
@asajilemwamundela1220Ай бұрын
Good interview
@drisakamwakitalima1937Ай бұрын
Jaymoe mtu bomba sana
@MSASAPODCAST22 күн бұрын
@@drisakamwakitalima1937 sanaaaa
@tzmagaladiah5680Ай бұрын
Alivyo fanya rich mavoko chaka tu chaka kuna watu walimwona fala sana ila kuna vitu alitengeneza na alipata kujuwa wapi ana kubalika sana .
@rastamichael2734Ай бұрын
Mawazo madini ya kutosha.
@danielkenedy4357Ай бұрын
Accent yako ni nzuli mtangazaji
@MSASAPODCAST27 күн бұрын
Shukran chief
@jilalamaligisa4854Ай бұрын
Mtangazaji umeboa, narudia tena umeboa sana, wewe ni Mtanzania, lugha ya taifa Tanzania ni Kiswahili. Jay Moe ni msanii mkongwe maana yake anajulikana hadi kwa watu wa kawaida kabisa, sasa hicho Kiingereza cha nini? Nakuuliza cha nini? Unatia hasira sana, Mtangazaji mmoja wa ovyo sana, niishie hapa tu, ovyo sana
@eddiearts3713Ай бұрын
fanya yako...acha kupangia watu mambo yao..kama lugha inakusumbua achana nayo
@ashrafkashaija2496Ай бұрын
The best presenter amelenga interview iende international so muache atumie hiyo lugha tena atatumia sana na nice interview na jaymoe living legend
@MSASAPODCAST27 күн бұрын
Shukran haswa kwa kuelewa muelekeo
@MSASAPODCAST27 күн бұрын
Pole sana, Chief! 😅 Tunakubaliana kabisa Kiswahili ni lugha yetu ya taifa na ni muhimu sana. Lakini vile vile, Kiingereza kinatupa nafasi ya kufikisha maudhui yetu kwa hadhira kubwa zaidi, ndani na nje ya nchi. Dunia ya sasa imeunganishwa sana, na kujua lugha tofauti kunaweza kutufungulia milango mingi. Labda ni nafasi nzuri kwetu sote kujifunza zaidi na kupanua upeo! Shukrani kwa kuwa nasi, tunathamini sana maoni yako. 🙏🏽
@jilalamaligisa485427 күн бұрын
@MSASAPODCAST Ni kweli usemavyo lakini unaweza kufanya hivyo kwa kuandaa mahojiano ya Kiswahili na ya Kiingereza kwa nyakati tofauti na sio kuchanganya lugha, inaboa, hata unayemhoji unamchanganya tu maana anakuwa haelewi ajibu kwa lugha ipi. Ulishawahi kusikia hata mahojiano ya nchi mfano Ufaransa wanachanganya Kifaransa na Kiingereza kwa wakati mmoja? Ukweli ni kwemba utakuta kama ni mahojiano kwa lugha ya Kifaransa basi ni Kifaransa na kama ni Kiingereza basi ni Kiingereza na sio kuchanganya lugha tofauti wakati mmoja. Mtu mwingine anaweza kukuelewa tofauti kuwa pengine huyu mtu hajui Kiswahili vizuri au hajui Kiingereza vizuri.