Watake wasitake ndugu zetu masalafy Shekh Muhammad Bachu kielimu na ufahamu sahihi na upekuzi na utafiti wa kihoja isimame mahali gani, Shekh Muhammad Bachu yuko juu sana Maashaa Allaah, na munayo yafanya ndugu zetu ni aibu kwenu na kwa walimu wenu, bali mi nawaambia Shekh Muhammad Bachu Allaah amhifadhi na amzidishie upana wa maarifa ktk Elimu ya Dini yetu Tukufu ya Uislam, na ampambe kwa afya njema, na kwa juhudi zenye matunda kwa wana Sunnah nimdogo tu wa umri lkn kielimu yuko juu sana Maashaa Allaah. Kwaio acheni ubishi mutavuka nguo nyote mchana kweupe. Wambieni walimu wenu wawafundishe namna ya kumjibu Shekh Muhammad Bachu. Na mi nashangaa mbona hoja zenu zina pinduliwa kama kipande cha karatasi tu, lkn hoja zake kwenu zimekua ni tatizo kubwa na aibu kubwa kwenu maana mumeshindwa kujibu hija yeyote na majibu yakawa yameenda shule.
@akidakitete70566 ай бұрын
Shekh unahoja madhubuti sana juu ya jambo hili usalafi na usalafi feki kihakika imekua sunna imeteteleka sana kwa hoja zisizo na mashiko za hawa majadida.Allah akuhifadhi sana shekh wetu....... Allahumma amiyn
@Muharram-c5n6 ай бұрын
Masha'Allah !!!...umebarikiwa kujenga na luvunja hoja kivitabu,M'mungu ampe zaid elimu na mwisho mwema
@NuryaMusa5 ай бұрын
Allahuma Aamiyn
@NuryaMusa5 ай бұрын
😂😂,Abuu Hashim yaonekana anavuta bangi ALLAh mtukufu amuongoz. Mpotevu Abuu Hashim. Na. Genge lake loote 17:26
@YusuphSadiki5 ай бұрын
Kwamaneno yako hayo utakwenda kuulizwa na Allah kwakumzulia abuu Hashim kuwa avuta bangi umefanya dhulma tarajuu @NuryaMusa
@NuryaMusa5 ай бұрын
@@YusuphSadiki ww ni mpumbavu kma Abuu Hashim yaonekana naww ni mvutaji bangi Kama yy nikuulize Kama. Akili zako ni nzima. Hivi unaamini Muhammad Al imam ni Shia kama slivyoongea huyu Abuu Hashim mjinga . Ebu nijibu. Kwanza ndiyo ungalie nyie ndiyo hamtaulizwa kwa maneno yenu ykijinga Kama hayo ya Abuu Hashim hadady swaafikah
@وزيرهالوزير-ذ8س6 ай бұрын
Tunajivunia kua namtukama Muhammad nasoro bachu Allah akupe umrimurefu upate kuupanguvu uislam na wanaozofisha uislam iwekwenye kutumiamajini au kutumia uganga au pete allah azidi kuwazofisha umoja bada yamwengin
@hassanisihaka9106 ай бұрын
Huyu sio sheikh bwanaa Hakuna Salafina Swaleh walofanya haya Kama yupo tuleteeni Adillah
@YusuphSadiki5 ай бұрын
@@وزيرهالوزير-ذ8س fuata hawaa za nafsi uone unajivunia ujinga nauhizbi mche Allah
@Idri6836 ай бұрын
Jazakallah kheiry Ustaadh Mohamed Bachu .
@geographicalworld19946 ай бұрын
Hakika hiki unachokisema waislamu watakielewa tu, Alhamdulillah
@ibrahimabdul82576 ай бұрын
Wallaah mimi na mpenda sanaa sheykh Abul Abbas Hassan waziri … huwa shubha hizi huwa anaziweka wazi vzuri sana kwa mtu anayetaka haqqi
@MohdAziz-z9j6 ай бұрын
Lkopp 0 pool pool pool makka dz, 😏❤OK😊😊😊❤😊❤j I f
@IbrahimMahmoud-em1np6 ай бұрын
Hakuna shubha bali nyinyi ni kihoja
@ابومعاذاحمدناصر6 ай бұрын
Maskin pole
@AbAlhuraas6 ай бұрын
Unampenda Abul abas nenda kamsikkikize Hummeid anaaanza kuwakataa kidog kidog Humeid Muelewa sana Na Alllah atajalia ataicha hiyo njia yenu mbaya ,Dawa imeanza kumuingia
@ابومعاذاحمدناصر5 ай бұрын
Ndugu yetu usifuate kama anavyofuata kipofu
@SugowFarah-up3db6 ай бұрын
Ust Muhammad Bachu حفظه الله niko swali. Abuu Mu'awiya Hassan Awaadh رحمه الله unapomlinganisha na wanazuoni waliompa udhuru Muhammad Imaam je yeye (Abuu Mu'awiya) ni katika wale الراسخون في العلم Nimeuliza hivo kwasababu ndugu yetu Abul Abbas hassan waziri حفظه الله asema kwamba wale wanazuoni waliompa udhuru Muhammad Imaam hawawezi kubidiishwa kwasababu wao ni ahlul ilmi wamebobea kielimu. Kisha akasema kwamba katika elimu ya jarh na ta'adil wanazuoni wasema kwamba inayotangulizwa ni jarh kwasababu waliomjeruhi wametumia hoja za kielimu katika kumbidiisha kuliko wale waliompa udhuru Muhammad Imaam. Kisha akasema kwamba yule ambaye si katika wanazuoni akimfuata huyo aliyejeruhiwa atakuwa miongoni mwake Sasa naomba utuwekee wazi jambo hili
@musarashid-xw1qm6 ай бұрын
Abuu muawiya halaumiwi kuchangua upande baina ya pande 2 kote kunamaulamaa yeye abuu muawia ni bulabu elim
@ELIMUyenyeMANUFAA6 ай бұрын
Kwani Abu muawiyyah (Allah amrehemu hawezi kufanya hivo kwa kuwaigiya hao wanazuoni ??!!!) TAFAKARI,kumbuka walimu zako ni binadam wanaweza kukosea makosa makubwa na miongoni mwa makosa ni nilo la kumbidiisha Abu Muawiyya. Wajirejee.
@ELIMUyenyeMANUFAA6 ай бұрын
Kwanini hao ustadhi wanaenda kinyume na Maulaamaa ?kwanini Abu mamuawiyyah asiwafati Maulamaa? Na kwanini ma ustadhi hao wambidii she Abu Muawiyya kwa kuwafata alafu wasibiidiishwe Maulamaa waliomtangulia kwa hilo? Ni swala la kuwa muadilifu na kutambua kuawa maustadhi hao waliombidiisha Abu Muawiyya wako kwenye Makosa Makubwa Allah awasamee awarejeshe kwenye na sisi pia
@hashimukillenja93776 ай бұрын
Kwanini mlazimishe watu wafuate rai yenu? Sisi tunawafuata wanachuoni waliompa udhuru na ndio wapo katika haqi. و الله أعلم
@AbAlhuraas6 ай бұрын
@@hashimukillenja9377nakupa mwalim kilennja
@abbaspaziaog21886 ай бұрын
Baarakanllah fiikum AL Akhy Muhammad bachu
@mbjunior1666 ай бұрын
Allah akupe nguvu na akuongoze al akhy Bachu!
@sakinasakku83406 ай бұрын
MAASHAA ALLAH jazakallakheir sheikh kwakutupa elm
@rajabTaratibu6 ай бұрын
Akhi nakupenda saana kwaajil ya Allah akupe mwanga Zaid kwenye daawa yako
@ismailmakame71836 ай бұрын
Allah akuhifadhi akufiashe ktk uislamu nasunnah amin
@NasryMwanguku6 ай бұрын
Shekh me nibado 2 mwanafunzi nataman Allah anifanye katija moyo wangu uwe kama wako nakupenda sana mm أسد الله Allah akuhifadhi hutukan watu ndo kilicho fanya nkupende usiogope ostadhi sema wajifunze kupitia ww
Kwanzaaa mm kiukweli nlikuwa nawapenda sana Hawa majadida lkn Tangu nimeanza kuuona ukweli Hawa jamaa Kila mtu kwao hafai. Halafu Wana mafuta na kiburi wanajiona sanaaaaaa na kuamiliana na watu vizur hawana iyo kitu.. kiufupi siwapendi hasaaa wallah tena... Qauli zao mbaya.. alhamdulillah Muhammad bachu kwa kuwanyoosha Hawa mazayuni..
@nassor63336 ай бұрын
Sasa nani kasema anakupenda wewe?
@mbjunior1666 ай бұрын
Watu wa sunna wote tunapendana kwa ajili ya Allah sheikh kasoro majadida tu na ww ni ktk wao!
@IbnuAlly-wm8il6 ай бұрын
Umefanya vyema
@canoksancomprehensivelearn71826 ай бұрын
Kweli kaka hata wakiwa jiran zako wan tabia mbayasana majadida na ni vigumu kuishi nao kwa wema bora wakat mwingine hata mabaniyan wana tabia nzuri salamu wanatoa kwa bashasha na ujiran wanazingatia na wanaishi na watu kwa wema na wanasema mazuri kwa watu majadida ni tofaut kila kitu hawana tabia hizo bali mtihan na ndimi zao hatar
@AbAlhuraas6 ай бұрын
Wee ni Msufi Japo kuwa tuna Mizozo na hawa majadida lkn Hatusubutu Kwaita hawa Kuwa Wazayuni
@وزيرهالوزير-ذ8س6 ай бұрын
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@hashimukillenja93776 ай бұрын
ALLAH AKUHIFADHI,AKUPE UMRI MREFU WENYE MANUFAA. JAPO HATUKUBALIANI KATIKA MAMBO YOTE LAKINI KATIKA HILI TUNAUNGANA NA WEWE.HATUUNGI MKONO KUWALAZIMISHA WATU WAWAFUATE WATU FULANI KATIKA MAMBO YA IJITIHAAD NA KULETA MTAFARUKU BAINA YA WAISLAMU KIUJUMLA NA WANA SUNNA KHASWA.
@IsmailMuhammad-y1i6 ай бұрын
Napenda radi zako waelaikum salam napenda radi zako
@@husseinally3350 ndio mada yake ukiiyangalia kiujumla inahusu uhizbia lazima akumbushwe juu ya hiloo asijisahaulishe ili tupate tarajui yake au aseme yeye ni salafy kwa kauli ni khawariji kwa vitendo
@AhmedSalim-g7s6 ай бұрын
Kwa kweli sheikh Muhammad unatema Madini
@ibrahimabdul82576 ай бұрын
Hawa wana ichukia salafiyyah kwasababu wanataka waachwe waendelee na ule ukhawaajir wao… hawa ansaar sunnah…kila mwenye umri kidogo katika kufatilia mas’ala ya dini anaweza akalijua hlo
@AbAlhuraas6 ай бұрын
Humeid sheikh wako ,Ananza kuwakataza nyinyi mjadida Allah awape nusra ,Allah atamjalia ataoyona haki kisawa sawa
@AbAlhuraas6 ай бұрын
Niyiny ni wajinga wa kuzielew ibara za Wanazuoni ,
@suleyazidu49916 ай бұрын
سبحان الله العظيم
@ibrahimjumaa5386 ай бұрын
Sura yako imejaa nuru na dalili ya imani na khouf ya Allah
@ABUUJAAFAR926 ай бұрын
Usulubu anaoutumia bachu sio wa kiilmu bali ni wakihamasa ,,,sasa maneno kama "mwambieni qasim mafuta alete kibaraka mwingine " Ni dalili tosha si mtu anayejitegemea kiilmu bali anataka kuleta hamasa kwa maneno kama ya mashabiki wa mpira ,na wanaomsifu bachu ni watu ambao fahamu zao ni ndogo maskini na wanaghurika kirahisi na porojo zake ,,,
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Mwamba, kama unaona hayo maneno hayapo sawa hio ni wewe tu, sisi tunaona ni sawa kabisa, mana hao wapuuzi wenzio wanasema machafu kuliko hayo, AU HUKUMBUKI WALIVOMUITA MUHAMMAD BACHU KASUKU WA ZANZIBAR, NA WENGINE WAKAMWITA MUHAMMAD BICHWA? Kama ni muadilifu nenda kawaambia MAJADIDA wenzio kwanza kisha ndo uje hapa... JADIDA MMOJA WE😂
@HassanHamad-rf9tq6 ай бұрын
Tuliaa nyinnyi mahizbu salaf huyo muhamed mafuta Ana maneno machafuu Sana kawatukana baadh ya mashekh
@abuumansour84796 ай бұрын
@@HassanHamad-rf9tq hhhhhhhhh
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x kama mimi sio mtu wa dini jaribu kuvuruga jambo katika dini uone nitakavokuraruwa, mumezowea kuwaonea wasioweza kujibizana kina Dk Islam ndio maana mulijiona wasomi , sasa mumepata mtu uwanjani munatafuta huruma, mutakoma, na kama wewe unajona msomi sana basi usinijibu kwa kiswahili kuanzia sasa, nijibu kwa kiarabu ndio lugha ya kisomi, ntakujua kama ni salafi kweli au unafuata mkumbo tu
@AbAlhuraas6 ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xwee Akhy ushamsikia Humeid tafuta umsikie anavyo sema radi zenu hazna uwdilifu ,Nying ni chaki
@abdiosman60316 ай бұрын
Mwamba huyu ni kiboko ya majadida
@NasirJussa6 ай бұрын
Visalafi wamepata kidume Chao Wana udhi kweli kweli Hawa jamaa
@Jamalkishangu6 ай бұрын
MASOMO haya ni ya kielimu hakika watu wana elimika vyema.
@YusuphSadiki5 ай бұрын
Nyinyi mahizbi mtakwenda kuulizwa nashekh wenu huyo kigogo cha hizbiyyun mmuogopeni Allah namnamatusi mahizibi nashekh wenu bachu duh mtakua na mazito siku ya kiyama
@Muhidinimngazija6 ай бұрын
Hao jamaa ni riihun mumtinah, Mtume pia kafanya mikataba ya Amani na makureishi, na anamuambia swahaba Aly Andika Bismillaahi, makurayshi wanasema hatumtambui Allaaha, hawa ni harufu mbaya
@mohammedhassan-o9s6 ай бұрын
❤❤❤ mashaallah
@abusihaa63966 ай бұрын
Hao unaowaita MAJADIDA ndio walio mletea Sheikh Nassor Bachu Allah amrehemu DAAWA SALAFIA na akaikubali na wewe Allah akuongoze jishughulishe na kutafuta elm na kakako mdogo.
@AbAlhuraas6 ай бұрын
Mbna jambo hilo lishapongwa zamani au hujui
@hassanhamid43596 ай бұрын
Eka muhadhar wa muhammad al imamu
@babatchi91696 ай бұрын
MULABISS MULABISS MULABISS MULABISS MULABISS
@mbjunior1666 ай бұрын
Ww ni jadida mjinga sheikh na hapa huna hoja yyte ni taasub na hasad tu!
@babatchi91696 ай бұрын
@@mbjunior166 na kama week ni msomi basi basi MAULAMÃ wameku7a wo7e,uhizbi unakusumbua neda uka7ie mbali HIZB NKUBWA W3W3
@babatchi91696 ай бұрын
@@mbjunior166 kuna HIZB msomi ona Ilo unalo lii7a aheik jinsi linababaika na ku7apa7apa e7i ho Nam7aka qassim 😂 ikawa MASU7I wamelikojoza na bidã zao i7akuaje kwa sheikh qassim? Ila sheikh anadili na mwen73 MBUA
@HassanHamad-rf9tq6 ай бұрын
Hizbu salaf Katika ubora wako
@saidsalim25616 ай бұрын
Upo sahih @@mbjunior166
@saidabdallah54486 ай бұрын
Alaykum msalam alhamdulillah Abdallah humed yuko wapi? Nimwepesi sana kuwajibu masufi kwanini hafungui mdomo kwa mohamed bachu?
@fatmasalim71326 ай бұрын
Pengine hapo amekosa jawabu ndio maana akawa kimya!
@NaduuAbdilah-uj5vj6 ай бұрын
Achana na abdala humeid hata shekh qasimu mafuta ni mwepesii ila hawajibu wana jua wame kosea
@salumtakao98286 ай бұрын
Abdallah humid haachi hakiba ya maneno akiongea ndo maan kaubana kimnya atanyooshwa vibaya na bachu yule jamaa.
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Hawezi kujitokeza hata siku moja...😂 yaani kama namuona vile atakavokoseshwa usingizi na Bachu😂😂
@abuumansour84796 ай бұрын
@@Najma_Mbarukwe ukht ushaolew kama bdo nije naona wanifaa
@mustafaibrahim52002 ай бұрын
Bachu punguza kuwapiga spana maulamaa wetu wanashikwa na aibu
@IsmailMuhammad-y1i6 ай бұрын
Napenda
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Mtoto wa simba nae simba, wallahy shekh wetu al maruhum nasoro bachu, Allah ampe mwanga katika kaburi yake wallahy mi napenda kumwita simba wa minbar na khurafi , Ameondoka simba ametuachia simba bado ananguruma kwa nyika za ahl batwil na kulaluwa batil zao. Awakupati kabisa nilichokigundua kwa hawa majadida ni kuna mashekh walowaegemeza wao kwa matamanio hawo wakisema kitu hawapingi, Laiti angetamka maneno hayo shekh rabiy ule udhuru alopewa shekh muhammad imamu hilo lingepita na kwakuwa wametamka waso wataka wao ndo hawakubali udhuru huo mfano kina shekh fawzan, abu muhusini abadi, na Hawa ni mashekh wa kisalafi lakini kwakuwa wanawakubali kiunafiki tuuh ndomana hawataki, na hawa wote ni mashekh wa kisalafi. Lakini kwakuwa ni kikundi cha wajinga waso elewa maana ya usalafi walojikusanya wakawaweka na mashekh wanao wataka wao wakisema hawapingwi. Mtu kama shekh fawzan ni salafi sasa uki muhizibisha Abuu muhawiya kwa kuwa kafata kauli ya shekh fawzan na muhusini Abadi wana manisha kuwa Hawa nao ni mahizbi saasa kwa mtazamo wao finyu wa Hawa salafi uchwara japo hawatamki lakini kumtukana mbeba sheria ni sawa na kumtukana aloidhinisha sheriah😂😂😂😂daaah ummah umebainikiwa na hili pote bovu Allah akulinde shk wasomeshe wanafunzi wako warithi hiyo ilmu itasaidia watu unafaida kubwa sana shekh bachu duniani na kwa Alllah.
Bachu! Bachu! Bachu! Hiyo manhaji yako ya jalalani wapelekee maveve wenzako. Usituletee habari za udhru kwa muhammad imam hali kushasimama hoja za kitabu na sunnah dhidi yake. Kwanza wewe soma kwanza ili uache kuokota mizoga kila mahali.
@Kzm-c9u5 ай бұрын
Wewe hata maana ya Jumhur huelewi kama usivyoelewa hadithi ya ghariyb. Eti Jumhuri ulamaa wamempa udhru Muhammad Imam😂😂😂. Kweli kujisomea bila shekh nako ni matatizo
@HamadaZubeirTahir5 ай бұрын
Kuna kauli za jamhuuri hua munaziacha na kuichukua kauli ya mtu mmoja tu Albaani au sio nyinyi
@ibrahimsaid55386 ай бұрын
Hakuna atakae kuunga mkono kwa huo upuuz unao zungmza ispokua mpuuzi mithli yako kaa usome acha ghurur ya nafs ww ni jahil huna mstawa wowote wakielm
@KhalfanSaleh-e7l4 ай бұрын
Muogope Allah usiwaite watu wapuuzi
@ibrahimsaid55384 ай бұрын
Upuuz ni sfa ya vitendo vya mt ambapo mtendaji huitwa mpuuzi soma juzuu ya 2 ayah ya 1 imeanza hv ( wata sema wapumbavu سيقول السفهاء من الناس ) hvo ndug yang mt anapo fanya vitendo hivo si matus kumnasibsha na vitendo vyake hassa akiwa ana kanywa
@seniornyungu97186 ай бұрын
WEWE SHIDA YAKO MPAKA UMTAJE QASIMU MAFUTA,UNAMTAJA KULIKO UNAVYOMTAJA BABA YAKO MZAZI,HIYO NI DALI YA CHUKI,HUSDA NA KUHARIBIKIWA KIMANHAJI.
@AbAlhuraas6 ай бұрын
Kwa iyo ukimpinga mafuta ni dalili ya kuharibukiwa kimanhaki ? Ama kwli nyiny ni Wajinga katika kuzielewa ibara za wanazuoni
@seniornyungu97186 ай бұрын
@AbAlhuraas kumpinga bila hoja ni uhizb na kuharibikiwa kimanihaji,halafu anamchokonoa mtu ambae hamjibu,kwanini amtaje kila siku asipambane na hao wanaojibizana nao?
@AbAlhuraas6 ай бұрын
@@seniornyungu9718 sas unataka atajwe wee wala huhusiki wakati yeye ndiye mhuska wa kadhia hyo atatajwe yeye ,Mpa atakpo Rudi katika usswa ,au unatka atajwe nani sas
@saidsalim25616 ай бұрын
Huna hoja acha taasubb
@AbAlhuraas6 ай бұрын
@@saidsalim2561 kwan kuna sehem nimetoa hoja apo ,mbna Mahizb Asalaf mushagonjwa ,
@HamadaZubeirTahir5 ай бұрын
Naona mnaigana nyinyi kwa nyinyi
@directorkr73026 ай бұрын
We dgo bachu huna adabu kbsa,hyo Abuu hashimu ni baba ako kbsa
@AbAlhuraas6 ай бұрын
Nenda kwambie Mafuta ,kuwa wengi amewavunjia heshima kuna Wengine Wanaweza kumzaa na na wengi wamemzidi kiumri ,lkn kawatusi sana
@nassor63336 ай бұрын
Yaani wewe na shekhe qassim Mafuta (Allah amuifadh) ni mbingu na ardh, sasa upo hapo kujikuza tu maana hata unaemtetea mlikua mnafanana?
@ELIMUyenyeMANUFAA6 ай бұрын
Hueleweki:akikosea ustadhi kassim Mafuta ni jambo la kawaida ni yy kutubia
@Athumaniomari-ge2gs6 ай бұрын
Shida ya ndgu zetu Hawa wanaojiita kuw wao t ndo masalaf au mpk ujiunge nao wanashida tu ya kuelew ;Sasa huyu hasani waziri waliye mtuma mbon hakidhi vigezo vya kupambana na mhammad bachu
@bisharaNassor-w7m5 ай бұрын
Waelimishe salafia jadidah waraa alyahud
@Cherehanitanzania6 ай бұрын
𝗔𝗹𝗹𝗮𝗵 𝗔𝘁𝘂𝗼𝗻𝗴𝗼𝘇𝗲 𝗞𝘁𝗸 𝗛𝗮𝗸𝗶
@abulqassimashirazy-mv8ee6 ай бұрын
Wewe bachu unamfananiza abuu muawiyaa na fauzani ,huoni kua maulamaa Wana mlango mwengine na awamu wanamlango mwengine
@Muharram-c5n6 ай бұрын
Unajichanganya
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Wewe una wazimu? Uliambia Abu muawia ni katika Awamu? Kama huskilizi hizi video usiweke comments zako mbovu hapa
@@abulqassimashirazy-mv8ee Mm nawaambia Abuu MUAWIYAH رحمه الله alikua akisema yeye hamtetei Muhammad Al Imam lakin ananukuu Maullamaa waliompa udhur Muhammad Al Imam kwaio mkitaka kumwita ni hizby bas anzen na shekh Swaleh Fawzan Acha Talbis na uwongo izo ni alama za Uhizbiyya Majadida mna tab
@mbjunior1666 ай бұрын
Hawa watu ni mtihani sana kaka. Allah atuongoze sisi na wao!
@pavillioncry52416 ай бұрын
Huyu jamaaa anatoa elimu tupu
@mussakhamis-g8c6 ай бұрын
MAWAHABI MNAHANGAIKA HIZO SIFA ZOTE NI ZA KWENU MAJADIDE NA MAHIZBI NYOTE MUKO SAWA
@jumasalum26776 ай бұрын
Simba ungurumaa Sisi TU kinajifunza mengi kwako Kuna vitu vingi una vichambua Kwa vitabu sio kama hao waongo anakaa na vitabu alafu havitumii anatoa maneno ya mdomoni kwake na Wala sio vitabu . Sheikh wangu wewe chapa TU usichoke huo ni ubao
@babatchi91696 ай бұрын
KUNA WA7U WANA U7O7O SANA KA7IKA DINI?
@KhamisHabib6 ай бұрын
Mm hapo ndio nakuona ww unamitihani
@ibrahimsaid55386 ай бұрын
حب الظهور يقسم الظهر achana na kutafta umaru kuptia kudhehrisha ujinga
@HassanHamad-rf9tq6 ай бұрын
Mahizbu salaf hamna hoja Zaid ya taasub na hasad tuu
@ibrahimsaid55386 ай бұрын
@@HassanHamad-rf9tq alhamndllah hayo yote hatuna ndomaan huna uthbtisho
@saidsalim25616 ай бұрын
Acha hasadi
@ibrahimsaid55385 ай бұрын
Uthbtisho gan wataka zaidi hayo anayo fanya
@ibrahimsaid55385 ай бұрын
@@saidsalim2561 hiyo so hasad ni maeneno ya wana wachuon kwa weny kupend umaarufu
@وزيرهالوزير-ذ8س6 ай бұрын
Kiukweli asietoshakwahaa hatotosheka hadikufa
@iddijuma61526 ай бұрын
unatosheka kwa lipi upumbavu tu na ujinga ulio mjaa huuhizbo mubtadii
@Muhidinimngazija6 ай бұрын
Hao wanakwenda kichwa mchunga, watu wamebebwa katika kapu la upofu
@iddijuma61526 ай бұрын
nanyinyi mnao msifia huyu bwana hebu msikilizeni na abul hasani waziri
@abdurashidinasorodini6 ай бұрын
hatusikilizi ujinga sisi elimu nihapa
@JumaMweluwe6 ай бұрын
Shekh me nakupend lakn mbon kil sik rad tu tubadilishie radha
@salimkhamis36386 ай бұрын
Ni ladha sio radha
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Raddi ina kipindi chake maalumu. Tutulie kwanza wanyooshwe hawa MAJADIDA mpaka wakimbie😂
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Hata ukiona nipo hapa ujue mume keshatimiziwa kila kitu, Sasa tunaburudika na Ruduud ziloenda shule, poleni MAJADIDA, mara hii mumepata kiboko yenu
@ELIMUyenyeMANUFAA6 ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xmume wake kaingia aje hapa? Ya subhana allah
@babatchi91696 ай бұрын
SHEKH LA 7ALBISS SIKU U7APO7EA NA 7ALBISS ZAKO
@MussaYasini6 ай бұрын
Mh haya twambie ww kafanya talbis wapi?!....😅😅 iyoo aibuu
@rajabTaratibu6 ай бұрын
Mafuta kaleta vurugu kwenye sunna Hana abuu muawia Allah amrehem kashajua ni mtu wawapi nyie mnajiona sahihi saana sio uislamu huo
@salumtakao98286 ай бұрын
Ninyooshee watu simba hadi wanyooke
@twaibumikidadi73776 ай бұрын
Shekh mpka watanyooka nahic wanajilaumu sana walipokutaka kuwa salafi jadiida ukawakatalia!!! Sasa wanakuelewa ww cio mtu wa kumchezea ! Haya jadiida fauzaan n Hizbiyi??? Mjibu sasa nykta kwa nukta!
@babatidaawa65506 ай бұрын
Sikusifu ila hata waungane wote hawakuwezi kwa Uwezo wa Allah Elimu uliyokuwa nayo ni urithi wa Sheikh bachu baba yako Allah Amrehemu komaa na kheir usikate tamaa tuko nyuma yako sheikh letu Allah Akuhifadhi...
@mussakhamis-g8c6 ай бұрын
MAWAHABI MNAITANA MAKHAWAARIJ NA KUKUFURISHANA WENYEWE KWA WENYEWE MNAOJINASIBISHA NA USALAFI
@mahfoudhcalender27476 ай бұрын
lete ushahid?
@rajabTaratibu6 ай бұрын
Achen ushabik wa mashekhe wenu nyie majadida wa mafuta musifute kauli za mashekhe wenu fuata haki
@Shabalala992756 ай бұрын
😂😂vita ya ndugu.......... 😂😂
@masoudmohammed42586 ай бұрын
Huyu haijui manhaj salafi ni mjinga katika manhaj.
@abuumansour84796 ай бұрын
Ww unaejua manhaj pangua hojja acha chukii na hassad
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Hajui manhaj ya salafi😂😂😂 mbona mashekh zenu wanaojua wamekimbia😂😂
@abuumansour84796 ай бұрын
@@Najma_Mbaruk awoo wajing thannna
@HassanHamad-rf9tq6 ай бұрын
Kijana acha mipasho na talbiss lete hoja zenye mashiko
@Modyb6 ай бұрын
Maskini kichwa kigumu yuaenda tu. Allah amuongoze huyu?
@ibrahimabdul82576 ай бұрын
Unajua huyu watu wanapata naye shida ya bure …mustwalahul hadithi kule mombasa ilimtoa kamasi …sasa hapa ukimuambia jerhu mufassar muqqddamu aala taadiili ataelewa kitu kweli?
@abuubanyai83446 ай бұрын
Shida al akh
@hamzakimaro37646 ай бұрын
bachu dawaat ssalaf huiwezi,maana ni DA'AWA inayofungamana na elim na sisla ya elimu hiyo,hao washirika wako ni MAHZIB bila ya shaka,! Unawatetea kina MOHAMED IMAAMU watu wa shari ktk dawaat ssalaf?
@dawud60656 ай бұрын
Akhy umepoteza dira? Hivi wewe si ni katika wafuasi wa Shaykh Yayha hajury ? Kwa nini kutuhumu watu uhizby na hawa unaowashabikia tayari washa wahizbisha ama ni kujitoa fahamu?
@ابومعاذاحمدناصر6 ай бұрын
Shirki ipi
@MohammedBwanga5 ай бұрын
Mna vituko vya karne mashekhele nyie
@mfalmenajjash21286 ай бұрын
Wallah hizi ibarra iliuzifaham lipo sharti
@Athmandeo-kn7ri6 ай бұрын
Mbona wewe pia usitulie uwache fitna wepia huna kheri waongeza mwoto kwa fitna
@bacteria51846 ай бұрын
Hawa masalafy sijui kama wanasoma au ni ujinga?walahi mtihani
@abulqassimashirazy-mv8ee6 ай бұрын
Kua na adabu na abul fadhli .wala humor abul fadhl Hana habar na wewe
@NasirJussa6 ай бұрын
Hana habari au hajui kujibu SI useme tu ukweli
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Hana KHABARI au anaogopa kuabika? Unafanya mchezo na huyu jamaa anavofungua vitabu!!! Lazima ajiulize mara 10 kabla hajitokeza😂😂😂
@HassanHamad-rf9tq6 ай бұрын
Tuliaa wewee dawa iwaingie wewe na shekh wako
@masoudabdallah98786 ай бұрын
uyo mafuta ndo mufti wenu pongwe ila kwa wengine ni wakawaida si mtume wala sio swahab😊
@IbrahimMahmoud-em1np6 ай бұрын
Yani mafuta mnamtukuza sana . Hahahaha nyinyi watu wa hovyo sana
@pavillioncry52416 ай бұрын
Saiv majadida wanakulana wao kwa wao Miskiti yao kwa wao wanafungiana Mashuhuli daawa tabligh
@iddijuma61526 ай бұрын
huyu bacho ni mtu wa fitna sana, lengo lake si dini